Othman Masoud asema 2025 uchaguzi lazima uwe wa haki kwa vyovyote vile

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 128

  • @AbdulSaid-bn2gi
    @AbdulSaid-bn2gi 3 месяца назад +2

    Alla akujalie uwe na afya njema 2025 inshaallah ❤❤

  • @Silimajuma-d5e
    @Silimajuma-d5e 4 месяца назад +2

    M/mungu alete kheri zake! Tujifahamu Nini tunataka tusiwe wafiki mchana mwema

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 8 месяцев назад +3

    Wazanzibar,tunataka,viongozi,wanamnahii

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 Год назад +3

    Mwenyezi Mungu Muumba wa vyote tunakuomba Zanzibar iwe free na itoke kwenye makucha ya hawa Matapeli wanaojiona wana Nguvu zaidi

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c 4 месяца назад +2

    Na kweli kabisa

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 8 месяцев назад +4

    Ccm,kumbukeni,mungu,hajasema,uongo,hata,siku,Moja,mazalim,mtaondoka,tu,inshaallah

    • @issahajjiira5411
      @issahajjiira5411 7 месяцев назад

      Safi sana mkuu

    • @abdulkrimalawi7165
      @abdulkrimalawi7165 6 дней назад

      Inshaallah na wakiendelea na dhulma zao allah twamuomba awadhalilishe na asiwatimizie dhamira zao chafu

  • @IsmailClassictz
    @IsmailClassictz Год назад +2

    Powerful speech ❤❤❤ LOVE MY COUNTRY ZANZIBAR
    NEVER GIVE UP ZANZIBAR ❤❤❤

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go Год назад +8

    Huyu mzee nampenda sana ❤

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp Год назад +5

    Munaamika wakuu wetu wa vyama mola awape nguvu hivyo hivyo daima

  • @MohdSuleiman-fw2un
    @MohdSuleiman-fw2un Год назад +2

    BIG UP tu pamoja Zanzibar bila mamlaka kamili tutazidi kudhalilikaaaaa ❤ LOVE my country Zanzibar

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 Год назад +1

      Afu nashangaa nyie wazanzibar hiki ndo kilikuwa kipindi chenu cha kuwa na mamlaka kamili angalia ss Raisi wetu uku tanganyika ni mzanzibar alitakiwa ahakikishe ana andika historia ya kutupatia katiba mpya maana ni faida kwake yeye kma mzanzibar rakini namshangaa

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd Год назад

      ​@@faustinebahenobi3412mhhh kenge kenge tuu

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb Год назад

      ​@@cath-ef7wd😅😅

  • @hafidhkhamis731
    @hafidhkhamis731 Год назад +5

    Allah awe nasi tuko pamoja an hakuna lisilokuwa na mwisho ao ccm mwisho wao utafika tu inshaaAllah

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 8 месяцев назад

      Hafidhi hizo ni ndoto za alinacho acha kazi ufanye kazi kuishinda Ccm baada wakongwe walishakubaliana kuungana wewe wewe kidagaa una nini tena utabaki na kelele za chura hazimkatazi ngombe kunywa maji ccm oyeeeee kazi inaendelea Hussein Mwinyi chapa kazi hao njaa za kutakq utumwa zinawasumbua

  • @salyali7807
    @salyali7807 Год назад +3

    Very powerful speech... excellent job OMO

  • @saidjuma7915
    @saidjuma7915 Год назад +6

    Mhe omo inshalah tupo na ww inshalah kukomboa zanzibar ki ufupi tushachoka ndo hatujui la kufanya sahivi zanzibar kurudi kwenye mamlaka ni muhimu sana

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 6 месяцев назад

      @@saidjuma7915 Ahsante sana Rais Hussein mwinyi kwa kuifanya Zanzibar njema na inapendeza kila kona wasikusumbue hao wqnaotaka utumwa kila siku na uroho wa madaraka Siasa mchwzo mchafu hawana kabila hao utashinda kwa kishindo na wewe Omo kula kuku tu Siasa mchezo mchafu Ccm oyeeeee Act Wazalendo oyeeeee Hussein Mwinyi chapa kazi

  • @Yussuph-r2c
    @Yussuph-r2c Год назад +2

    MH HONGERA UMEMWAGA RADHI ZA UKWELI ,,,SAFI SANA

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb Год назад +5

    Huwezi kusherehekra mauaji ukapata neema ndani yake hili mulijue twende tu hadi tufike asante bw. Othman kwa maneno matamu na yenye faida

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 8 месяцев назад

      AAAA wewe mnyanwezi acha kelele wewe hiyo Zanzibar ni yako humo kuna kila sina ya watumwa hakuna hata mwenye Zanzibar yake nahisi wewe umezaliwa 2000 hujui lolote wewe ni bendera yafuata upepo hakuna mnzanzibar kamili njoo Tabora nikuobyeshe warabu wanyamwezi huna lolote kazi kubwabwanya tu

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 5 месяцев назад +2

    Hao wanayoitetea ccm njaa km sie tu nyie

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 Год назад +4

    ZANZIBAR YA KALE NA UISLAM
    1) ZANZIBAR ilikuwa ni nchi pekee ya Kiislam kwa Afrika Mashariki na Kati.
    2) ZANZIBAR ilikuwa ni Kitovu Cha Mafundisho ya Kiislam kwa Afrika Mashariki na Kati.
    3) ZANZIBAR ilikuwa ni Makao Makuu ya Pan-Islamism na Islamic Modernism kwa Afrika Mashariki na Kati.
    4) ZANZIBAR ilikuwa maarufu Duniani kwa sababu ya Uislam na Kiswahili, yenye Lugha ya Qur'an kwa Uislam Duniani.
    SASA ZANZIBAR HAINA DINI.

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Год назад

      Wala maadili hamna

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Год назад

      KUPINDUA MAADILI YA KIISLAM
      ​@ahmedalbalooshi8518 SWADAKTA. Kwa sababu lengo la Mapinduzi sio kuondosha Utawala wa Kiarabu kama inavyopotoshwa bali Vita Dhidi ya Uislam na Maadili yake.
      MAPINDUZI KWA MUUNGANO
      1) Misahafu ilichomwa na Mingine kutupwa Baharini.
      2) Wanafunzi waliharamishwa kusoma Surah al-Fatiha na Surah al-Ikhlas kabla ya kuingia Darasani. Na wakalazimishwa kwaya ya kumsifu Mkiristo Nyerere kabla ya Darasani.
      3) Mafundisho ya Uislam na taarekhe ya Zanzibar yalifutwa. Kinyume chake utaitwa "Mdini."
      4) Akiwa Mgeni Rasmi Siku ya Baraza la Eid, Beit al-Ajaib Rais Julius aliwaambia Waislam wa Zanzibar kuwa Nchi Haina Dini.
      Hiyo ni Utawala wa Mfalme Julius kwenye Biblia. Aliwataka Wakiristo wasichanganye Dini na Siasa katika Nchi:
      a) Ingawa Wimbo wa Taifa unaomba Mungu aibariki Tanzania isiyo na Dini.
      b) Pia Wanasiasa wanawataka Mashekhe waiombee Nchi yao isiyokuwa na Dini.
      5) Na Kiswahili Cha Zanzibar
      kinapinduliwa kwa kuondosha maneno yenye asili ya Kiarabu:
      a) Zanzibar kubatizwa kuwa Tanzania Visiwani. Ni tafauti na Visiwa vya Kilwa na Mafia.
      b) Darasa la Tisa kubatizwa kuwa Didato Cha Kwanza.
      WALITAKA KUBADILI QUR'AN
      Ali Hassan alikuwa Rais lakini Julius Nyerere Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Mgeni Rasmi Dodoma.
      Kwa vile Serikali ya Muungano inaongozwa na CCM, viongozi
      walisema Qur'an ibadilishwe😂
      Lakini Waislam wa Zanzibar walipinga kwa kulinda Qur'an, walijeruhiwa na kuuliwa.😂
      Sheikh maarufu Nassor Bachu alipelekwa jela na Mwandishi wa BBC Mh. Ali Saleh alitupwa jela kwa kutangaza tukio hilo.
      HITIMISHO LAKINI SIO MWISHO
      Bila shaka Maadili ya Waislam wa Zanzibar yametoweka kwa sababu ya kuacha Mwongozo wa Qur'an. (Qur'an; 25:30).

  • @MohammedEddy9
    @MohammedEddy9 Год назад +4

    ALLAH akueke!! Na atuweke!! inshaAllah

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 3 дня назад

    Mashallall mh othmani qur-ani ipo

  • @alifoum6758
    @alifoum6758 Год назад +3

    That's significant milestone

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 Год назад +4

    Zanzibari ni nchi iliharibiwa NA ungereza NA marekani NA wayahudi kwa sababu ya uslaam wao NA wanahaki kuihifathi dini ya mungu wao NA kila mtu huko akhera moja moja peke yake ataulizwa alicho kitenda duniani NA atapewa kitabu chake kwa kulia au kushoto tutaulizwa tu umetetea dini yako umetetea nchi yako au umeunga kutawaliwa NA wakrsto

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Год назад

      Alia,usimsahau hayati Nyerere nae yumo

    • @شيخنيف
      @شيخنيف 4 месяца назад

      ​@@ahmedalbalooshi8518laanatullahi Nyerere

    • @muhammedbakari2867
      @muhammedbakari2867 2 месяца назад

      Dah.. hongera kamanda unajielewa sana Allah akupe nguvu uzid kuyafaham hayo .. big up bro.. 👍

  • @MohammedSaid-cz2od
    @MohammedSaid-cz2od Год назад +2

    Kwa uwezo wa allah hapaharibiki kitu ishaallah

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 5 месяцев назад +1

    Ccm Hana njaa Wala Hana shida haya ni mwanachama Gani huyo wa ccm anaesaidiwa kwenye shida mtu pa kukaa Hana ama wew ni ccm hebu waangalien ccm Wana shida Wana njaa zindukeni nyie wenzetu tuungane tuwe kitu kimoja tupiganie haki kwanza tuishi vizur hatuna Raha maisha magumu mtu akiamka Cha kukila Hana ama wew unajiita ccm umjinga wew

  • @rayamgeni9772
    @rayamgeni9772 Год назад +2

    Tunakuombea kwa Allah mkombozi wetu.

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 Год назад +1

    njaa hii hatuna haja ya kampeni tuko nawe OmO

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Год назад

    OmoWewe nenepa tu hamna kitu hapo Ccm iko juu sanaaaa zanzibar kimaendeleo wewe kula tu urefu wa kamba yako Rais Hussein Mwinyi humuwezi anachapa kazi vizuri sana

    • @kassim1262
      @kassim1262 8 месяцев назад +1

      Tunahitaji znzbr htuhitaji kazi

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 8 месяцев назад

      @@kassim1262 ulie tu huna Zanzibar wewe siajabu mnyamwezi msukumq mmakonde Muha nk kule kote kulikopita waarabu wewe mtumwa tu huna cha Zanzibar yetu naneno yako ya kufuata mkumbo msimsumbue Mwinyi muacheni aiguze Zanzibar kama Dubai huyo mchapa kazi mtumwa wewe usiyetaka kukombolewa kwa warabu

    • @Rukaiya-lt3hm
      @Rukaiya-lt3hm 6 месяцев назад +1

      Anachapa kazi kweli sukari 3400 mchele 2500 tumpe hongera kwa uchapa kazi huo

    • @hamadmkasha6998
      @hamadmkasha6998 14 дней назад

      Njaa

  • @kassimhaji1141
    @kassimhaji1141 Год назад +1

    Yuko pamoja mm na Zanzibar na Zanzibar na mm ewe mola tusaidie tuwe huru

  • @arthurbertluanda3390
    @arthurbertluanda3390 Год назад

    Mashaalah no kukata tamaaaa

  • @SumuuKijoka
    @SumuuKijoka Год назад +1

    sio rahisi bila ya katiba mpyaaaaaa piganieni katiba huru na haki kwanza

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 2 месяца назад

    Lukuvi alisema tusipewe nchi kwakuwa tutawasumbua kwa uislamu..hiyo ni dalili tosha kuwa Zanzibar inatawaliwa na makafiri..halfu eti mtu mzanzibar yeye anajiita CCM kumbe ni kafir..laana ziwashukie ccm wote inshallah.. Zanzibar itakomboka tuu kutoka kwenye mikono ya makafiri wa wanao jiita ccm..

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 10 месяцев назад

    ALLAH AWALAANI WAO NA VIZAZI VYAO VINAVYOKULA HARAMU.MALIPO DUNIANI AKHERA HESABU.

  • @kassim1262
    @kassim1262 8 месяцев назад

    Ccm hawalijui hili au ndio maslahi kwnz nchi baadae duh inasikitisha wanajiita wzalendo lkn wanaiua nchi

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 10 месяцев назад

    Narudi kuwakumbusha vyama sio sulisho kwa wananchi sababu watu wamechoka na kusikiliza sera ya vyama vusivyotejelezeka watu wanaangalia mtuu ktk chama ndio maana nccr ilikufa ndio maana cuf Iko taababani sababu hakuna watu mazubuti lakini ikitikea mtuu mazubuti ktk chama basi chama hupata nguvu

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 Год назад +1

    VYAMA VINABADILISHWA KAMA CHAI. IPO WAPI C.U.F 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @HassanKings-e7u
    @HassanKings-e7u 4 месяца назад

    Huyu nae mnafki tu ww kama utaona wanachofanya serekali mambo ya ovyo si ujiuzulu bado upo tu hebu waachie uwongozi upambanenao kimaneno unapambana kimaneno na bado upo hujiuzulu Tanzania hakuna siasa asidanganye watu hii yote ni wivu tu kwa anacho kifanya mwinyi kwa sasa

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 10 месяцев назад

    Imekula kwako😊

  • @kaslali2039
    @kaslali2039 Год назад

    Dunia ya leo si ya kusemana
    Alie na mwana aombe salama
    Kwetu kuliroa kwao kushazama

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Год назад

      Kusemana kwa kukosoana bila matusi ni wajibu wa kila mwananchi,kwani mabaya na mazuri yaanikwe

  • @AbdulNassir-jk1jf
    @AbdulNassir-jk1jf 4 месяца назад

    Watu wote tume kaa kama tumepigwa pasi kwanjaa bwana

  • @HassanKings-e7u
    @HassanKings-e7u 4 месяца назад

    Hivi kama ww ukipewa hiyo nchi utafanya maajabu gani ya mussa ili iyo nchi iwe ya kitajiri usidanganye watu atakaechukua nchi yyte yule yatakua ni yale yale tu hayo ni maneno ya wana siasa tu hakuna lolote ww si umo humo

  • @BernadethaSimba-qi4dw
    @BernadethaSimba-qi4dw Год назад

    Na ss tunaomba dua kwa M/ Mungu aepushe na ipo siku itafika hicho unachosema kitafutwa tu hata huku tunakeleka kila mtu ale chake kashiba kalala njaa shauli yake tunakuomba tuonyeshe huo mkataba wa kudhibitiwa nyie zanzibar

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 5 месяцев назад

    Na nyie viongozi wetu hatutaki ahad zisizotekelezeka hatutaki ten hewala km marehemu maalim huruma hailei mwana tunatk vitendo sasa apa hachomoki mtu mara hii ata kuwa mtu kanaijenga Dunia mzima hii hamna kukaa ten ccm madarakani mwisho wao ni mara hii hao

  • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
    @AbuuImraan-alghafr-azinjibar Год назад

    Acheni ujinga nyinyi acheni kuwafitinisha watu kwa siasa zenu

  • @HassanKings-e7u
    @HassanKings-e7u 4 месяца назад

    Sasa huyu omo kule serekalini anafanya kazi gani na kwanini asijiuzulu akawa na chama chake tu akapambana na hao CCM

  • @AbdulNassir-jk1jf
    @AbdulNassir-jk1jf Год назад

    Kama walivyo pinduwa nanyi mupindue ndo mtapata madaraka si kwa sera

  • @MaryamSaid-m8y
    @MaryamSaid-m8y Год назад

    Asnte omo wape vidonge vyao hao 😂😂

  • @emilbocco5895
    @emilbocco5895 Год назад

    Sawa Zanzibar kamili na Tanganyika kamili we are ok with That, jitayarisheni kuanzisha jeshi lenu maana tunatumia pesa nyingi kuilinda zanzibar, pia mjifunze kulima maana chakula kinatoka bara, pia mjifunze kulipa umeme maana smz ina madeni makubwa ya umeme kutoka bara

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Год назад +1

      Kwani kabla ya muungano waZanzibari walikuwa wakilala na njaa?.Waache wenyewe watatafuta mbinu za kuishi.Nyie musishuhjulike

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Год назад +1

      Umeme tutafuta,kuanzia tutatumia taa za asili,usijale kaka.

    • @alijuma7674
      @alijuma7674 Год назад +1

      Huyu jamaa anaakili za mende ,mana hafahamu historia. Tanganyika haikuwa na serikali bali Zanzibar Alitawala kote huko lkn la pili ni kichwa maji .Zanzibar haikuanza 1964 ,ipoooo years and year ni dola kongwe sana

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Год назад +1

      Tokea awali ,Zanzibar haikuwa na jeshi,kwa sababu nyingi,moja wapo ni kuwa hawakuwa na adhma ya kuvamia nchi jirani,na ukiongezea hapo,wananchi wake walikuwa wa amani na upendo.Kwa upande wa chakula, wana uwezo wa kujilisha kama walivokuwa wakila hapo awali.Usisahau mamilioni ya fefha za kigeni zilizochukuliwa na kuhamishwa huko kwa waporaji.

    • @emilbocco5895
      @emilbocco5895 Год назад

      Muungano una ubaya wake pia una uzuri wake, kama hutaki kurekebisha mapungufu unataka uvujike sisi hatuna shida. Ila hata ndoa lazima mapungufu yatokee, huwezi vunja kabla ya kujitahidi kurekebisha huu ni muungano wa nchi na watu si muungano wa vitabu,

  • @AhmedAhmed-z6m7t
    @AhmedAhmed-z6m7t Год назад

    Mnatupanga tu hakuna uchaguzi wa haki Tanzania

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 3 месяца назад

    UCHU WA MADARAKA UNAWALEVYA KWELI YAANI UNAPOSEMA NI LAZIMA KIELEWEKE SIJUI UNA HAKIKA GANI KAMA UTAKUWEPO?

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад

      Hicho ni Chama cha siasa na sio ya mtu!hata akiondoka kauli hii iko pale pale Kwa mrithi atakayekuwepo!hujajifunza Tu Kwa Maalim Seif na Makufuli?

  • @aliamour4970
    @aliamour4970 Год назад

    Wewe user ukitaka toa aibu za watu toa zako kwanza usojielewa

  • @MuhidiniMohamedi-rx9gb
    @MuhidiniMohamedi-rx9gb Год назад +1

    Seemababa

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 Год назад

    Zanzibar mnailindavkunann cc wenyewe tunajeshi lakutosha cc kulima tunalima kilakitu nasilazima vyakula vitoke kwenu maana hamtupi buree tunanunuwa kwapesa zetu

  • @MachanoAbdalla
    @MachanoAbdalla Год назад

    Jino kwa jino haki

    • @C-uj4np
      @C-uj4np Год назад

      Sawaaaaa 🎉❤😂😊

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 Год назад

    TATIZO LENU KUSHINDWA HAMKUBALI HATA UCHAGUZI UWE WA HAKI VIPI MADHALI MKISHINDWA MTASEMA UCHAGUZI HAUKUWA WA HAKI HAMUWEZI KUKUBALI KUSHINDWA

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd Год назад +1

      Lini mlishinda ?? Kenge wewe

    • @muzneali4747
      @muzneali4747 Год назад +1

      @@cath-ef7wd HAPO NDIO MWISHO WAKO WA KUFIKIRI SIWEZI KUKULAUMU MAANA KWENYE AKILI ZAKO NDIO KUMEKAA MAVI NA SEHEMU YA MAVI NDIO ZIKO AKILI ZAKO KWA HIYO SEMA UTAKAVYO

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Год назад +1

      Sujui kama uluwahi kumsikia Ali Karume,mtoto wa hayati Rais wa kwanza wa Zanzibar,alitamka hadharani kuwa CCM hawajahi kushinda toka 1995 huko Zanzibar.

    • @jaffaralimakame1533
      @jaffaralimakame1533 Год назад

      KWANI UNASEMAJEEEEEEE

    • @muzneali4747
      @muzneali4747 Год назад

      @@ahmedalbalooshi8518 YUKO WAPI HUYO BA ALI YEYE CHUKI YAKE HAKUUPATA URAIS HIVI ANGEKUWA RAIS ANGEYASEMA HAYO?? MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI HIVI KIPINDI HIKI CHA UTAWALA WA RAIS HUSSEIN MAENDELEO HAMUYAONI?? CHUKI BINAFSI HAZIFAI UKWELI USEMWE

  • @KassimFadhil-r8j
    @KassimFadhil-r8j 9 месяцев назад

    Mfupa uliomshinda fisi nani atauwezaa, ccm hamuwezi kutuyumbisha ,tutadumu hadi maishaa

  • @SalumAwam
    @SalumAwam Год назад

    Hata ushinde hawakupi hawa labda upindue

    • @kinkybanjukome217
      @kinkybanjukome217 Год назад +4

      M.mungu ndio atawapindua kwa Allah hakuna kisichowezekana na wala hakuna Cha milele isipokuwsa Allah ndio wa milele iko siku

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb Год назад

      ​@@kinkybanjukome217naaam 🙌🙌

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Год назад

    Nyie wasaka tonge Urais hampati kamwe wee kaa na maridhiano tu nyie ni ccm namba 22 kuleni ruzuku tu maana ni sheria ya dunia kuwa upinzani ni lazima kuwa chama chochote kilichopo mdarakani pale kinapokosea kisahihishwe nchi za Ulaya zinaweza lakini kwa Tanzania wapinzani wote ni wasaka tonge tu

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 Год назад +2

    Hizi ndoto za mchana tumezisikia sana.

    • @ibniabdalla4817
      @ibniabdalla4817 Год назад

      Pole yako

    • @zuzadomikano3765
      @zuzadomikano3765 Год назад +1

      UNASEMA NINDOTO ZA MCHANA KWELI NDUGUYANGU!
      RUDI KWAMUNGU HATA WAZUNGU WAMECHOKA AFRIKA MAGHARIBI HUWAONI WEWE !

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Год назад +1

      Hizi sio ndoto ni mauno ya wazawa

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 Год назад

    😂😅😅😅😂😂😂 ILE 2015 NDIO KINGEELEWEKA ILA HUKO MBELE KELELE TU😊😅😅😂😂😂😂

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Год назад

      Fakih,ingeeleweka vipi wakati Wabara walikwisha teremsha majeshi ambao walipewa amri ya kuhakikisha CCM washinde,kwa hali yeyote.

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 Год назад

    Kazi kutia watu chuki mioyoni mwa watu

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd Год назад

      Wewe unamaradhi ya BT

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Год назад

      Hizi sio chuki bali ni ukweli,labda kwa umri wako huyafaham

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 Год назад

      Una banduliw

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd Год назад

      Kwa kuwa unajaza kapu lako la tumbo ndo mana unasema hivo.Anasema ukweli...chuki mtu hatiwi inakuja kutokana na dhulma anofanyiwa.Acha ujinga

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Год назад

      Chuki twaziona zikitekelezwa na zaidi ifikapo vipindi vya uchaguzi.Wananchi hawasahau hayo kwani ni majaraha yanayo toneshwa mara kwa mara.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Год назад

    Tanzania nzima sijaona upinzani wa kuishinda ccm
    Navona wapinzani njaa tuu

    • @salyali7807
      @salyali7807 Год назад

      Kakojoe ukalale huna mpango

    • @yussuphsaleh767
      @yussuphsaleh767 Год назад

      ​@@salyali7807huyu jamaa vipi kwani ccm inshinda uchaguzi? Hebu mwambie ukweli kila mwaka wanapora huku mukiwauwa watu

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb Год назад

      ​@@salyali7807😅😅 akalale

  • @foumkundi
    @foumkundi Год назад

    WEWE OTHUMAN MASOUD MUONGO HAYO MANENO YAKO DHAMANA UNAYOIJUWA WW KUOA WAKE WENGI NA KUACHA BILA KOSA HUNA MPANGO WOWOTE

    • @salyali7807
      @salyali7807 Год назад

      Jamaa umechanganyikiwa ?

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 Год назад

      Hebu taja aibu yako

    • @RajabJuma-qx6ry
      @RajabJuma-qx6ry 10 месяцев назад

      Madhila si unayafanya wewe Othman unakula neema za seif baada ya yeye kufa ACHA kuwa miongoni mwa waongoza dola ndo utakuwa msafi au ndo unakula kwa urefu wa kamba Yako?

  • @MohdSuleiman-fw2un
    @MohdSuleiman-fw2un Год назад +14

    BIG UP tu pamoja Zanzibar bila mamlaka kamili tutazidi kudhalilikaaaaa ❤ LOVE my country Zanzibar

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 Год назад

      Mohd pole Hussein hamumuwezi aneleta Maendeleo ya hali ya juu Zanzibar

    • @MWIGAADAM-r3e
      @MWIGAADAM-r3e 9 месяцев назад

      Pole kwako kwakuona ujezi wa Hussein mwinyi ni maendeleo tembea ukaone maendeleo kwa wezetu pia hao wezetu na maendeleo walio nayo wanapigania uhuru na demokrasia pia huijui Zanzibar ww @@margarethpolepole7438

    • @SudiKhamisi
      @SudiKhamisi 6 месяцев назад +1

      Mungu afanye wepesi ten tusha wachok ccm

    • @baraghash4964
      @baraghash4964 4 месяца назад +1

      Kwa nguvu hatumuwezi kweli. Ila kwenye sanduku la kura la haki basi hoseni hana lake jambo