Jazira, Kitwana wajichanganya, OMO awakaanga hadharani | GUMZO LA LEO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 134

  • @AhmeidYussuf
    @AhmeidYussuf День назад +20

    Kiukwel mung akitaka kukupa hakutumii barua ila kiukwel Allah katup kiongozi ktk mda sahihi.mung akuhifadhi Mr Othman Masud Othman.tunakupnd Wazanzibar

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp 2 дня назад +30

    MH, OMO ALLAH akuzidishie afya njema,hekma na busara ktk safari yako insha allah utafika sama unakokusudia

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 2 дня назад +26

    Rais wetu insha Allah ❤❤❤❤ tunakupenda sana omo

  • @AhmedAhmed-gf1rd
    @AhmedAhmed-gf1rd 2 дня назад +21

    Huyu ndio omo Zanzibar kwanza Kisha mengine baadae ,Asante Mr president

  • @omarkb6775
    @omarkb6775 День назад +4

    Omo shkamoo salute kwako sina was was juu ya uongoz wako hata kma nitaish miaka mia kwenye dunia hii

  • @DadiMohammed
    @DadiMohammed День назад +12

    Walimu walipwe viizuri wawe na uhakika wa maisha yao, mm nimefundisha tangu 2004 takriban miaka 20 na sasa lkn maisha ni mtihani kwa kweli Allah Atusaidie

    • @adamstour5736-kb6zq
      @adamstour5736-kb6zq День назад

      Ungana na ACT maan ndio wenye dhamira ya kwel juu ya Maslah ya wafanya kaz

    • @laisamaujud1157
      @laisamaujud1157 День назад

      Asante twende na omo 2025​@@adamstour5736-kb6zq

    • @eshemussa4125
      @eshemussa4125 20 часов назад

      kama maisha ni mtihani acha kazi uwapishe wengine

    • @adamstour5736-kb6zq
      @adamstour5736-kb6zq 20 часов назад

      @eshemussa4125 mh ungekuwa kwa usahihi alichokiongea usingethubutu kuongea ivo

  • @abdallahmohd3777
    @abdallahmohd3777 2 дня назад +15

    Heshima somo kubwa kwa wanaojiita wazanzibar

    • @AbrahmanAbrahman-l7h
      @AbrahmanAbrahman-l7h День назад

      HAWAWEZI KULIPWA VIZURI MWINYI NA WAANDAMIZI WAKE WANASEMA HALI ITAPORUHUSU WAO WANA MAJUMBA NA VITEGA UCHUMI HAVIHESABIKI WENGINE WAUME ZAO WANACHUKUA LIKIZO WAKASIMAMIE MALI ZAO VISIWA VYA WAPUMBAVU WASIO NA VIWANGO

  • @MaryamMasoud-s2b
    @MaryamMasoud-s2b День назад +9

    Mr President🎉🎉🎉❤❤

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 День назад +5

    Omo ndio Mkombozi wetu kwa Wazanzibar inshaa'lLah Mungu amjaalie Afya njema na Uzima apate kufanya Kazi aliokua nayo inshaa'lLah!

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 дня назад +14

    Mh OMO kiboko yao 🔥🔥🔥

  • @abuukhayrallahissa5415
    @abuukhayrallahissa5415 16 часов назад

    Mashallah speech ni tamu mno

  • @SaidSaid-xt1qe
    @SaidSaid-xt1qe День назад +4

    Huyu mtu ni mtaalam sana na mwerevu sana(so intelligent)nathani njia pekee ya kumdhibiti ni kwa kuendelea kutumia nguvu ya dola.

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 День назад

    ❤❤❤❤❤❤ omo mungu kakupa ututumikiye ndio maana mungu kakupa

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER День назад +8

    Naam mh omo unatukosha sana ww ndie raisi wetu wa mwaka 2025

  • @SuleymanRashid-e4q
    @SuleymanRashid-e4q День назад +4

    Asante omo rais wetu wa zanzibar 2025 inshaallah

  • @ahmedsalum6083
    @ahmedsalum6083 День назад +10

    Huyu mtu yuko safi. Wapinzani walimsifu toka yuko chama tawala kwa uadilifu na hataki rushwa

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j День назад

      Na hata hivyo hakuna mtu atakae kuwa kiongozi bora kama hajatoka ccm ama kupitia ccm vyama vya upinzani havina uwezo wa kutoa viongozi wazuri

    • @laisamaujud1157
      @laisamaujud1157 День назад

      Uyo hajatoka ccm uyo alikuwa ni mfanya kazi serikalini sio ccm fahamu mkuu na kwa viongozi bora ambao si ccm tunao wengi maana hao maccm wengi maslahi yao tu ​@@RashidHaroun-c2j

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 День назад

      Hayo ni mawazo yakotu kama yalivyo yangu anaweza kutokea kiongozi akawa mzuri na mwadilifu bila kutoka CCM ,hao CCM ninawaona walivyo .

    • @hamaddadi-hp8tc
      @hamaddadi-hp8tc День назад

      Hajawahi kuwa CCM musijidanganye

    • @allyrashid1235
      @allyrashid1235 22 часа назад +1

      ​@@hamaddadi-hp8tcinawezekana hujui au ulikuwa hujuwi na pengine hwenda ukawa umesahau OMO alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali awamu ya kwanza ya dokta Sheni akajiuzulu kwenye bunge la katiba mpya hakufukuzwa kajiuzulu mara baada ya kuona Zanzibar inataka kuminywa haki zake za msingi

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 дня назад +12

    Mkoamkoa kapata mtu size yake... anamchezea OMO! Ataweka akili next time akizungumza mbele ya Mh. OMO

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 День назад +4

    Hawa sisiemu ni kama mazumbukukuu au kama vile hawakusona au kama wamesoma basi hawakuelewa
    Hakuna amani bila haki na sisiemu hawana haki lkn la kushangaza wanataka amani ni sawa na kuwacha shilingi 100 nyumbani halafu ukataka mke akupikie biriani

  • @AliAbdalla-vt2vq
    @AliAbdalla-vt2vq День назад +6

    Omo n sabuni 🍿🍿 ya Ikraam kila penye doa inasafisha......

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 День назад +6

    Yaani Mh OMO umeonesha kuwa wewe ni gwiji la uzalendo umewajibu kwa falsafa kubwa na busara sana ao jamaa. Mana uchawala umewazidi sana mnropoka tu😊.

  • @kassimharoub9075
    @kassimharoub9075 День назад +5

    dah ,yaan kaongea point tupu ata ccm wamejiskia faraja wallah

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 День назад +3

    I stand with OMO

  • @SeifMohd-x7w
    @SeifMohd-x7w День назад

    Omo yupo vizuri sana

  • @NassorOmarDadi
    @NassorOmarDadi 2 дня назад +11

    Leo wameonja na wamejua kwanini bosi wao anashindwa kujibu hoja yoyote anayoisema Mh. Othman Masoud Othman na kama hawamjui wakamuukize Dr. Salmin, Mst. Karume na mst. Shein wajue kwann walimtumia OMO ktk tawala zao

  • @laisamaujud1157
    @laisamaujud1157 День назад +2

    OMO umekuwa SALAFI unapiga raddi apo apo hukopeshi mashaallah hivi ndivo kiongozi anavotakiwa usiwafiche wape ukwel Tunasimama na wewe omo 2025 biiznillah

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 День назад +8

    Huyu omo mchamungu mkeli kupata watu kamahawa adim duniani

  • @allybin08
    @allybin08 2 дня назад +9

    OMO kiboko ya takata toze 😂😂😂

  • @LUBAINAMOHDRAJAB
    @LUBAINAMOHDRAJAB День назад +2

    Mishahara ya walimu tungeomba uongezwe ni mdgo kwa maisha yao

  • @AllyHamran
    @AllyHamran День назад

    'Sumu ya amani ni kukosekaba kwa haki'Nimekuelewa omo.

  • @karafuunanazi1701
    @karafuunanazi1701 2 дня назад +9

    siasa sio uhasama, nimefurahi sana kuona viongozi wamekaa pamoja wanasimamia maendeleo na majibu ya OMO ni ya matani yenye ukweli bila kuudhi, tujengeni kwa pamoja na tunapokosoana tukosoane kwa heshima na tunapopatia basi tisione haya kusifu japokua aliyefanya si wa chama unachoshabikia, nchi ni yetu sote.

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 2 дня назад +5

      Jamaa muungwana sana OMO, Kuna shida kubwa sana watu wamefanya siasa kama dini vile kiasi Kuna kuwaona wengine kama maadui na hili ndo sumu kubwa ktk siasa ya zanzibar

    • @laisamaujud1157
      @laisamaujud1157 День назад

      Ni kwel lakin na wanaposhindwa wakubalu kushindwa

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f День назад

      @@laisamaujud1157 Kuna shida miongoni mwetu na pasi nakuirekebisha hiyo basi kufika pahala tukaelewana itakua ngumu sana kabla yakwenda uchaguzini tayari watu washakula Yamini juu ya kuwakomoa wenzao imekua kama vita chuki zilizomo mioyoni mwetu ni zakutisha ndo mana hata hukururishana yni

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر День назад +1

    Mh Omo tuko p1 sisi tupo upande ya wale waliodhulumiwa, na kamwe hatuwezi kua upande ya wale wenye kudhulumu.

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 День назад +3

    Waliomzomea ktk Bunge la katiba leo hii wapo wapi????

  • @Mohd-wl1tc
    @Mohd-wl1tc День назад +4

    Omo kiboko ya wachawi

  • @jumamohamed3168
    @jumamohamed3168 День назад +3

    Unawapiga za uso mbele yao kudadadeki.

  • @harithmohd6318
    @harithmohd6318 День назад +2

    Pongez yako OMO inshaallah ww ndio rais wet zanzibar sina hof juu yk amnn mungu huyu ndio rais ccm wakatak wasitak watamtanga mchana kweupe

  • @MuuminSaid-m5f
    @MuuminSaid-m5f День назад

    Omo🎉🎉🎉

  • @haydarabdallah7914
    @haydarabdallah7914 2 дня назад +7

    Omo💜💜💯

  • @JannatJannat-s6j
    @JannatJannat-s6j День назад

    Yaani daaaa znz inakupemda

  • @HamzaSheha-h4l
    @HamzaSheha-h4l День назад +4

    Hii mijamaa inaonekana ina hofu kwl kwl!

    • @laisamaujud1157
      @laisamaujud1157 День назад +1

      Sana tena wanawasiwasi 😂😂😂😂😂 wao si wamefanya maendeleo sasa ya nini unaogopa uchaguzi

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 День назад +1

    Watetezi wa Tonge kitwana na jazira

  • @bakarhamadhassan4484
    @bakarhamadhassan4484 День назад +1

    AHSANTE KWA UKUMBUSHO NA JIBU SAHIHI KWA WENYE WASIWASI.

  • @Kassim-o6m
    @Kassim-o6m 2 дня назад +4

    Vyama vinamambo yao na serikali ina mambo yao

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni День назад +1

    Kiukweli unaupiga mwingi Sana,kupitia kuongea kwako ukweli leo hii ndio tunaona bara bara zinajengwa na skuli kaza .

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 День назад +1

    WAZANZIBARI wafanye mambo yao , bila ya Amir kutoka DODOMA.

  • @SulemanAli-s9k
    @SulemanAli-s9k День назад +3

    Watu wanaibiwa kura kila mwaka halafu ccm mnadaii amani iposiku amani itatoweka nchi hiii

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j День назад

      Kutoweka amani.zanzibar ni suala la kusahau

    • @laisamaujud1157
      @laisamaujud1157 День назад

      ​@@RashidHaroun-c2jusiseme ivo sema mungu atunusuru maana roho si jiwe hao waliokuwa hawana amani saiv unazani ilikuwaje ni hivi hivi unashindwa hukubali unakaa kijeshi roho zao watu zikapinda wakaingia mtaani amani ikapotea tena kwa jambo dogo tu la tamaa

  • @zinjibaryetu8451
    @zinjibaryetu8451 День назад +1

    Huyu Jazira naona almuradi nayeye yumo yumo tu hajijui anachokitaka wala anachokisema... mtu mbumbumbu kama Jazira kupewa uongozi basi ni dhahir kua CCM haina muelekeo na imeshindwa katika kila nyanja

  • @SulemanAli-s9k
    @SulemanAli-s9k День назад +3

    Amani bila hakki inatikea wapi

  • @Kassim-o6m
    @Kassim-o6m 2 дня назад +5

    Sio kuisifia serikali bali kasema kwamba iyo ni wajibu wa kikatiba na kila mtu anae kubali kuwaongoza wananchi kikatiba lazima afanye hivyo vitu

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 дня назад

      Siyo sifa lakini ni wajibu wake Dr. Hussein kuyafanya aloyafanya kwa muda mfupi kwa wakati wake. Mungu ibariki Zanzibar na watu wake.

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo День назад

      ​@awmmmmhhhatifalghanim1106

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo День назад +1

      Mmmhh

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 День назад

    Wape darasa hao wasiojitambua.

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga День назад +1

    HAJAWAKAANGA KAFUNDISHA YA KUWA KAZI YA VIONGOZI WA SERIKALI NI KUITUMIKIA KATIBA YA NCHI NA WANANCHI NI WAJIBU WA SERIKALI NA SIO KUHUBIRI ILANI ZA VYAMA

  • @SulemanAli-s9k
    @SulemanAli-s9k День назад +3

    Amani amani billah hakk haijawahi kutokea popte

  • @alimalimussy3999
    @alimalimussy3999 День назад

    Watu wanatakiwa kutafakari sana ktk haya yanayozungumzwa maana wengi wetu tunapenda kubezana hapo kuna mambo ya kujifunza kwa mustakabali wa Nchi yetu

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp День назад +2

    Akili kubwa

  • @AbrahmanAbrahman-l7h
    @AbrahmanAbrahman-l7h День назад +1

    WASIKUPOTEZEE MUDA VIRAKA VYA SIASA HAO ENDELEA KUFANYA YA MSINGI HAWAJUI KAMA WAMEJITAWALA AU WAMETAWALIWA HAOO?

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 День назад +1

    wanataka amani huku wakiwa wamebeba mapanga na masalia ya mafuvu ya vichwa jenga picha hao ndo ccm

  • @suleimanalisaid2201
    @suleimanalisaid2201 День назад +3

    Wee ni kiboko omo

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 2 дня назад +5

    Yes omo

  • @AbrahmanAbrahman-l7h
    @AbrahmanAbrahman-l7h День назад +1

    KWANINI TUSIONGEZEKE IKIWA WAHAMIAJI WANAINGIA KAMA CHOO CHA SERIKALI CHA ZAMANI NA MWINYI AMEKUBALI ZANZIBAR IBEBE MZIGO WA WATANGANYIKA TUTAWEZA WAPI KUWABEBA WATANGANYIKA KWA KUONGEZA BUDGET YA MATIBABU NA AFYAA?

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 День назад

    Taifa HURU la ZANZIBAR bila ya kutawaliwa na TANGANYIKA.

  • @SaidAbdala-f7p
    @SaidAbdala-f7p День назад +2

    Ohaaa zuyeni watu kuingiya zanzibar ovyo. Watu washakuwa wingi mno. Na hata kama wazanzibari wangekuwa kila mmoja angekuwa na wake4. Basi isingefika idadi ya watu hawa walikuwepo

    • @1961nungwi
      @1961nungwi День назад

      Watu kuongezeka haizuiliki. La msingi boresheni Elimu, lipeni waalimu vizuri, na muanzishe biashara na viwanda vya kisasa kukuza uchumi. Kujifungia haitawasaidia Dunia itawaacha nyuma.

    • @SaidAbdala-f7p
      @SaidAbdala-f7p День назад +1

      @@1961nungwi
      Hapo tulipo ishatuwacha duniya ishatuwacha nyuma.swaka linakuja Wakati huwo mbona tulikuwepo mbele. Hii nchi ni ndogo. Kwahiyo wstu wanaingiya bila y hata usajili wowote. Unakumbuka zamani zenji kuingiya kwa paspoort na sasa zenji kwa viboti.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi День назад +1

      @@SaidAbdala-f7p uko sahihi kusema watu waingiye kwa usajili unayo eleweka. Tukiwa Wacha hihi hivi sio sawa. Lakini pia tujiendeleze kielimu zaidi. Mapambano Duniyani siku hizi ni ya Elimu. Ni ya Sayansi na teknolojia.

    • @baparma3051
      @baparma3051 День назад

      Duu!!! Inauma kweli hii kitu​@@SaidAbdala-f7p

    • @ALIAli-ih7ii
      @ALIAli-ih7ii 9 часов назад

      Shida si kuongezeka , pkiwa na maendeleo watu watakuja kutfuta fursa , lkn cha kukaa na kukzngatia ni kudhibiti watu wanaokuja , na kuwatumia wao kma fursa kwa kulipa kodii na kuengeza maendeleo ya nchi , na sio kujazana kma chooni na kusababisha bajeti ya nchi kutokutosha kwa kukaa na kuwahudumia wao kwa kiasi bdala ya wananchi waliokusudiwa

  • @Jal210
    @Jal210 День назад

    Hawezi kuongoza nchi kama una chuki maana, tayarri mwinyi kishafanya mnayoyaoona subhannallah binadamu mnataka mshikwe vipi na huyu kwa maono yangu atawaangusha kama mtachagua

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni День назад +2

      Unateseka ukiwa wapi?

    • @idrisasalum8013
      @idrisasalum8013 День назад +3

      Zanzibar tunataka iwe nchi ww huoni kilasiku biashara zinakufa ,unajenga ila huwezi kujitegemea kama nchi huru c upuuzi huo ,unajenga ila watu wanakaatu vibarazani hakuna ajira c ujinga kabisa ,unajenga lakini unasubiriwa ulipe madeni na ww huna uchumi madhubuti c ujinga kabisa ,amka kijana usile pumba hapa

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 День назад

      Chuki sio Sura ya Mtu ni Roho ya Mtu kwa iyo anaonekana ni Nani mwenye Chuki na Kuhukumu 😂😂😂

    • @issaally8702
      @issaally8702 День назад +3

      Wewe mwehu ndio ulie chuki mendeleo niwajibu wakikatiba kuyafanya kwa wananchi wake lakin kudai zanzibar yenye mamlaka yake pia nihaki ya wanzanzibar walo nauchungu na zanzibar yao

    • @laisamaujud1157
      @laisamaujud1157 День назад +2

      Utakufa na kisokoro kwinyo chako tunasimama na omo 2025

  • @AbrahmanAbrahman-l7h
    @AbrahmanAbrahman-l7h День назад

    HATUONGEZEKI KWA KAZI YA VIJANA TUNAONGEZEKA KWA KUONGEZA WAPIGA KURA UNGUJA NA PEMBA.

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x День назад +2

    HUYU KITWANA HAJA SOMA HATA DARASA LA 5 HAJAFIKA ANASEMA NINI YEYE ??

    • @ummuraw6372
      @ummuraw6372 День назад

      Kitwana kasoma na kamaliza karume technical college mimi nilikua first year na yye third year tena alikua msomi alipasi vizuri tu

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un День назад

      @ummuraw6372 ulimuona msomi sababu hamukuwa na wasomi

  • @JannatJannat-s6j
    @JannatJannat-s6j День назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 День назад

    sasa sawa ndio maana nasema wewe mungu kashakupa ikulu niya wazanzibar wote ila leyo jaribu. utake hata kumuona. hata huyo wanaye muita mkuu wa mkowa basi ipo kazi kumuona. ukweli. ni ukweli tu.

  • @Ibrahani-r5v
    @Ibrahani-r5v 2 дня назад +2

    Ujinga ujinga huu Sasa basi

  • @aboudinternational1819
    @aboudinternational1819 День назад +1

    Elimu bila kuelimika hayo majengo yanakua ni utumiaji mbaya wa fedha.
    Kuelimika ni uwezo wa kuchanganua kati ya zuri na baya, sahihi na lisilokua sahivi, haki na isiyokua haki, n.k.
    Sasa serikali ijitasmini zaidi inavyo wafanya wajinga wasomi kwa kuwalazimisha kua watu wasio na maana

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 дня назад

    Hapa anaidifia Serkali na mambo inayofamya kuletea watu Maendeleo, ila akiwa kwenye Mkutano wa ACT anaiponda Serjali alisema hakuna kitu Serkali inafanya na Wananchi wasimwamini Mwinyi, mara po Serkali inaingia Wananchi. Hii Ndio sababu kubwa Smwamini Huyu jamaa maana anadanganya watu ili mradi mshahara wake unaingia kila Mwezi.

    • @abdulatifismail4747
      @abdulatifismail4747 2 дня назад +2

      Hujielewi wewe

    • @HamadiHaji-g9p
      @HamadiHaji-g9p День назад +2

      Wewe hujielewi pumbavu

    • @zuwenafakih3345
      @zuwenafakih3345 День назад +4

      Serekali imefanya kwa pesa za COVID na moja ya wasimamiaji ni ofisi ya makamo wa kwanza .Sasa je mbona mbona hawajisifiii kama wamefanya ?misaadavna Kodi zety

    • @zahormohammed4476
      @zahormohammed4476 День назад +3

      Kwa tàarifa yako huyo amewacha mshahara zaidi ya 20m tshs kwa mwezi huko umoja WA mataifa akakubali kuja kuwatetea wazanzibar

    • @Ibrahimkhamis-m2o
      @Ibrahimkhamis-m2o День назад

      Duh twambie neno gani aliyoisifia serekali

  • @reallyman9836
    @reallyman9836 2 дня назад

    Ila Dr. Hussein anapiga kazi sijaona kiongozi yoyote wa upinzani Zanzibar ukijumuisha hawa wasaka tonge wenye vision kama ya huyu jamaa, upinzani huko Zanzibar umebaki jina tu, sisi tunawafuatilia huku

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 2 дня назад +6

      Endlea kujidanganya, km anakubalika kiasi hcho mwmbien anlsiogope Uchaguz
      Yale waliokubalina na Maalim mbna kashindw kuyatekeleza

    • @ghalibelghanim1151
      @ghalibelghanim1151 День назад

      HAO wote NI watanganyika usiwajibu​@@salehkhalfan7345

    • @ridhwansalum1386
      @ridhwansalum1386 День назад +6

      Aeke uchaguzi wa haki na uhuru km yeye ana kubalika tuna mchekea mtomoni tu moyoni wazanzibari tuna lengo letu kuigomboa zanzibar kua huru

    • @SaidAbdala-f7p
      @SaidAbdala-f7p День назад +5

      Wazanzibari hatuna haja ya kujenga....Bali tunachokitafuta ni warka wa nchi yetu. Ili tujuwe tunacho jenga ni kiwe cha kwetu kwa ushahidi

    • @saidal-hind5338
      @saidal-hind5338 День назад +3

      Usengeoo zn huijuwii sisi sio wa shamba wa barabara wala nyumba sisi tunataka nchi