Mazungumzo Maalum ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Diaspora | GUMZO MAALUM | The Minds

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 58

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 17 дней назад +15

    OMO umebeba Imani yetu Wazanzibari Allah akupe afya siha na nguvu kiukweli tumepata kiongozi

    • @w4058
      @w4058 17 дней назад +2

      Allahumma Aamiin

  • @allybin08
    @allybin08 17 дней назад +12

    My future president OMO in shaa Allah ❤❤❤

  • @SaidJuma-gs9ej
    @SaidJuma-gs9ej 17 дней назад +3

    Hatusikii vizuri sauti

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 17 дней назад +7

    Mbinu za CCM zilizobakia Zanzibar ni kuiba kura ya siku mbili na kuwavunja moyo Wazanzibari kwa kuwaaminisha kwamba nzi wa kijani wanakubalika.

  • @fahmiy6197
    @fahmiy6197 16 дней назад

    OmO yupo vizuri sana mashallah

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 17 дней назад +6

    2025. tunaenda na OMO INSHA ALLAH

  • @ridhwansalum1386
    @ridhwansalum1386 17 дней назад +4

    Omo omo omo omo omo

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 17 дней назад +2

    The true figure of Zanzibar future OMO.

  • @SaidShaban-o2e
    @SaidShaban-o2e 17 дней назад +7

    Muungu atujalie Mara hii ikomboke nchi yetu

  • @allybin08
    @allybin08 17 дней назад +3

    ❤❤❤

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 17 дней назад +4

    tuna kupenda. sana.

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 16 дней назад +1

    Mashaa Allah omo Rais mtarajiwa

  • @jumajuma1142
    @jumajuma1142 15 дней назад

    Mtandao shida, haiko wazi vizuri sauti

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 17 дней назад +2

    allahıma amina

  • @sheikhaswalehsalim3392
    @sheikhaswalehsalim3392 17 дней назад +3

    Aameen Aameen Aameen yarab

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar 17 дней назад +6

    Freedom zanzibar ❤

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 17 дней назад +1

    tunamchukiya sana

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 17 дней назад +4

    sera za ccm ni moja tu nikujitangaza. na kuuuwa hawana jingine na tuombe mungu. sana. kwani hawa hata dakika moja kuwamini. ni ngumu tizameni. juzi tu mimi nilimuamini. sana samiya nikadhani. atakuwa. kumpe ni boyatu. huyo uraisi wake

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 17 дней назад +6

    Zanzibar yenye mamlaka kamili

  • @Yussuf-b3b
    @Yussuf-b3b 14 дней назад

    Act wazalendo mutaenda vipi kwenye uchaguzi wakati munajuwa sheria zile zile zilizosababisha mauwaji ?

  • @HamzaSheha-h4l
    @HamzaSheha-h4l 16 дней назад

    Wape somo labda hawaelewi

  • @YussufJuma-z5u
    @YussufJuma-z5u 17 дней назад +4

    Omo unatupa darsa ila mtandao tu unasumbua

  • @FernandezBruno-p5t
    @FernandezBruno-p5t 17 дней назад +1

    Pesa kila mwaka yye anasema kila mwezi data zake sijui anatoa wapi bwana mdgo anaona watu hawana akili 😂😂😂umo serikalini watu wa nazijua chchoro zote anaona kama anajua pekeake😂😂😂😂😂

  • @HamzaSheha-h4l
    @HamzaSheha-h4l 16 дней назад +1

    Na hatujawah kushindwa uchaguzi ila tunashindwa kwa nguvu kwasababu hatuna bunduki.

  • @FernandezBruno-p5t
    @FernandezBruno-p5t 17 дней назад +2

    Omo inaendelea kutoa uchafu... Omo inashirikiana na jiki😂😂😂

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 17 дней назад +2

    sera za ccm ni moja tu nikujitangaza. na kuuuwa hawana jingine na tuombe mungu. sana. kwani hawa hata dakika moja kuwamini. ni ngumu tizameni. juzi tu mimi nilimuamini. sana samiya nikadhani. atakuwa. kumpe ni boyatu. huyo uraisi wake
    act wazalendo. yenye mamlaka kamili. zanzibar mpya. pemba na zanzibar yote ni yako ishaalla

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 17 дней назад +2

    mimi. kwakweli. japo tuna. muhashimiwa awadhi na mwezizwe wanaweza wakawauwa wao kwanza ili wapate watangaze. wayatakayo.

  • @HamzaSheha-h4l
    @HamzaSheha-h4l 16 дней назад +1

    Vyombo vya dola ndio wanaiweka ccm madarakani ila sio wananchi

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 17 дней назад +1

    abuuu tuombe. sana

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 17 дней назад +4

    msahau huyo ni mwizi tu. moyo unanichefuwa. mkinitajiya mwiyi. simpendi hata kumuona

  • @HamzaSheha-h4l
    @HamzaSheha-h4l 16 дней назад

    Ila kama na wao ccm wameshakubali kufa mwaka huu tutakufa pamoja ila hatukubali

  • @HamzaSheha-h4l
    @HamzaSheha-h4l 16 дней назад

    Omo ndio chaguo letu wazanzibari.

  • @omarmwalimu92
    @omarmwalimu92 17 дней назад +4

    1.Je serikali ya Zanzibar utakayoiunda itawapa hadhi gani Wazanzibar waliozaliwa nje ya Zanzibar,ikiwemo waliozaliwa bara??
    2.Je unatarajia kuunda serikali ya aina gani?.Ahsante.

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 17 дней назад +2

      Serikali ya Zanzibar kwa ajili ya Wazanzibari haitotazama mzanzibari huyo anaishi wapi.

  • @SaidSaid-xt1qe
    @SaidSaid-xt1qe 14 дней назад

    Mh Othman endelea kutoa elimu ya siasa Zanzibar ili watu wazidi kuelewa maana ya Uchaguzi,lakini pia majengo na barabara sio maendeleo,hasa uko Micheweni,tunakushkuru,2025 ni kuinusuru Zanzibar.

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 17 дней назад +2

    uongo ndiaana hatamimi. nilimsikiya. lakini nilkajuwa kuwa ni mshezi tu.

    • @Abdul-latifJuma-nr6hf
      @Abdul-latifJuma-nr6hf 16 дней назад

      Moza tenda kwenu Tanganyika waache wazanzibar najambolao wanalo litafuta wameshakufa wengi kwajambo Hilo nabado watu hawakata tamaa

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 17 дней назад +1

    kazoweya kuwabiya hao mabubu weziwe.

  • @HamzaSheha-h4l
    @HamzaSheha-h4l 16 дней назад

    Sasa km wanatenga bilioni 300 kwa mwezi ivi kuna haja ya kukopa?

  • @nazirbakari3406
    @nazirbakari3406 17 дней назад +1

    Inaskitisha kuwa OMO hapaEU hakuskika vizuri

  • @HamzaSheha-h4l
    @HamzaSheha-h4l 16 дней назад

    Vyombo vya dola wakiua na ccm wawachukue makambini kuwapa hifadhi vyenginevyo na wao watakwenda ma maji

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 16 дней назад

    Mheshimiwa wala halitengi chochote bali ndio uhalisia,, suala la haki inapofika hakuna mheshimiwa

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 17 дней назад +3

    hata sura yake ni ya kinafiki akiwa bele yawatu. huyu huseni mwabiyeni hatumtaki zanzibar hatumtaki

  • @HamzaSheha-h4l
    @HamzaSheha-h4l 16 дней назад

    Na wao wakimaliza kuuwa wahamie uko uko kambini.

  • @Ibrahimhassan-wd4xc
    @Ibrahimhassan-wd4xc 15 дней назад

    Njama ya ccm nyenginee ni kutokupeleka kura za rais kwenye vituo vya kura .

  • @w4058
    @w4058 17 дней назад +2

    Waziri wa biashara sie anaepanga ushuru mkubwa unaisababisha makodi tela tele sio yeye ya Mwinyi hataki ushauri maana keshashauriwa hivyo usimtupia lawama Waziri wetu

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 17 дней назад +1

    omo kwani lini tulishindwa

  • @karafuunanazi1701
    @karafuunanazi1701 17 дней назад +2

    Mimi nafahamu kwamba ni kazi ya chama cha upinzani kuihoji serekali namna inavyotumia rasilimali za nchi, mapato na mikopo katika kuwafikishia wananchi wake maendeleo na kuonyesha njia bora mbadala, jambo ambalo sikubaliani nalo ni matumizi ya lugha zenye kuchochea kutofahamiana na hasama kenye majukwaa ya kisiasa kama kuitana majina hasi!
    Chama cha ACT ni sehemu ya GNU, mawaziri wake mmoja ni wa afya ambae anasimamia haya tunayoyaona ya mahospitali mapya kujengwa na huduma za afya na wa pili ambae ni wa biashara na viwanda, ACT inajitengaje kutokua ni sehemu ya kutetereka kwa sekta hizo wakati wao ndio wasimamizi wa hizo wizara mbili? Ikiwa biashara imeanguka waziri wa biashara ni nani?

    • @AllanQuarterman-uq7oj
      @AllanQuarterman-uq7oj 17 дней назад

      UCHUMI WA BLUE

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 17 дней назад +6

      Inavyoonyesha wewe huijui katiba ya Zanzibar wala mfumo wa GNU.
      CCM ndio watawala na ilani yao ndiyo inayofuatwa. Mawaziri wanaotokea ACT ni watumwa tu ndani ya GNU.

    • @sadih5333
      @sadih5333 17 дней назад

      Wewe umeenda mbali bila mazingatio , utasimamiaje suala la biashara na ufanikishe wakati hauna mamlaka ya kodi.

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 16 дней назад

      @@sadih5333
      Huo ndio mfumo wa GNU Zanzibar ndani ya katiba

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 17 дней назад +1

    ❤❤❤