MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ATOA KHUTBAKUELEKEA UCHAGUZI 2025 | JANUARY 1/2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 31

  • @salyali7807
    @salyali7807 5 дней назад +7

    This is the best press conference with my OMO

  • @omarsaleh6292
    @omarsaleh6292 5 дней назад +8

    We love you our next President. May Allah make it easy for you.

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 5 дней назад +9

    Mimi ni Ccm ila Zanzbar kwanza maana tunaoumia ni sote

  • @OmarMohammedOmarMohammed-h9u
    @OmarMohammedOmarMohammed-h9u 3 дня назад +1

    Dah!maashallah kumbe naww kigogo kumbe umeviona vipaji zanzibar yaaa allah tujalie zanzibar huyu mrisi wamarehemu maalim afanikiwe kuongongoza hiyi inchi
    Kumbe nilikua nakosa elimu nilikua sinahamu yakusikiliza hutubazake ila kumbe nilikua nakosa elimu kubwa
    Nanaamini wapowengi wakuinusuru zanzibar lakini hadisasa nihuyu jamaa namwengine nimuheshimiwa Ayub mkuu wamkoa kusini hadisasa nayeye ikiwa hatogeuka

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 5 дней назад +7

    Zanzibar yenye mamlaka kamili ndio itakayoleta hadhi heshma na watu wake hongera saana Mheshimiwa Othman Masoud Othman

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 5 дней назад +6

    InshaAllah utakua rais wa zanzibar 2025

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 5 дней назад +4

    Bila ya Mamlaka Kamili Hakuna Zanzibar ya Kweli.

  • @zaeexplore
    @zaeexplore 4 дня назад +1

    one of the most hutba in 2024 to 2025 mashallah

  • @OmarMohammedOmarMohammed-h9u
    @OmarMohammedOmarMohammed-h9u 3 дня назад +1

    Mama samia hiyo nifursa ambayo allah amekupa kuinusuru zanzibar jitahidi kablahujaondo ukajajuta usiruhusu wazanzibar wenzako kuuwawa kwauzembe hususan ww nimuislam tuendako siombali

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 4 дня назад +1

    Kumbukeni na mutafakari maneno ya hayati Nyerere aliposema kuwa kama angelikuwa na uwezo basi angelivisukuma visiwa vya ZANZIBAR na kuviweka mbali na bara.Kwa mwenye kuchambua undani wa kauli hio atajua kwa nini leo Zanzibar iko hivo.

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 5 дней назад +2

    Zanzibar ina wasomi ambao wanaweza kuiongpza nchi yao na ikawa imara, nasio kuletewa wapumbavu kutoka tanganyika eti ndo wawe viongoz hapa!!

  • @AhmeidYussuf
    @AhmeidYussuf 5 дней назад +8

    Mung akuongoze mh Othman Masud Othman Masud pamoja nasi

  • @moxasaidi3398
    @moxasaidi3398 4 дня назад

    CCM WANAEKANA KWA MASLAHI MOJA TUU YA KUKILINDA CHAMA CHA MAPINDUZI WAPO TAYARI KUTOA UHAI ILA WABAKIE KATIKA UONGOZI WA CCM

  • @saidmakombeni5155
    @saidmakombeni5155 4 дня назад

    Omo , towa uvivu uanike ushauri ulotoa kwa serikali ukakataliwa au ukufanyiwa kazi tupime kwa vitendo.

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 5 дней назад +2

    Hissen mwinyi nae atwambie nyazfa zake alizozishika, hahahaa

    • @adamyussuf1678
      @adamyussuf1678 5 дней назад +1

      Kweli rabda za kuuwa,kulawiti,kuzini wazanzibari 2020 eti kisa anataka awe nusu rais wa Zanzibar

    • @shaabanmakame2690
      @shaabanmakame2690 4 дня назад +1

      ​@@adamyussuf1678😂😂😂😂mbunge wa Mkuranga

    • @shaabanmakame2690
      @shaabanmakame2690 4 дня назад +1

      Si mbunge wa Mkuranga na Kwahani😂😂😂😂😂😂

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 4 дня назад +1

      Najiuliza alisomea wapi siasa na uwongozi 😂😂😂

  • @MohdHamad-i8o
    @MohdHamad-i8o 5 дней назад

    Am

  • @saidmakombeni5155
    @saidmakombeni5155 4 дня назад

    OMO ,omo, na Jussa wako umesahau ulomfanyia Babu Duni?

    • @OmarKhamis-z4y
      @OmarKhamis-z4y 4 дня назад +1

      Hakuna baya alilofanyiwa duni ila wewe hujui siasa