DKT. MWINYI vs MAKAMU WA KWANZA / TUNAKUSANYWA KUOMBA AMANI BILA HAKI / UCHAGUZI UJAO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 85

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 3 дня назад +9

    Makamu wa rais othman hakika wewe ni kiongozi.umeongea vyema.Allah akuzidishie

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 2 дня назад +3

    Duniani hakuna kisiwa chenye kupiga kura mara 2 ni Zanzibar je wizi wa kura na ukapata uongozi kwa zulma ni zambi kubwa mbele ya Allah maisha ni ya muda mfupi

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 3 дня назад +5

    CCM MNAHARIBU UCHAGUZI, MANENO YA Mh. Othman yapo Sawa, Mh Mwinyi bado unatucheza shere, ila ulivyo huelekei kufanya yaliyofanywa 2020, angalia waliokuzunguka.

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 11 часов назад

      ACHENI UJINGA NYIE NANI KAKWAMBIA HUYO MAKAMU AKISHINDA ATATOA HAKI? Hata yeye hana cha ajabu bali kudanganya ili ashinde...HAKI INAPATIKANA KWA ALLAH PEKEE.

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 7 часов назад

      Acha ujinga usifikirie kama wewe ni dhalim wa kumnjima haki yake mtu mwengine ni wewe na sio kila mtu na dhalimu kwa haki ya mwingine.

  • @seifkifundi904
    @seifkifundi904 2 дня назад +4

    Huyu raisi anayoongea na tafauti namatendo yake.....

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 3 дня назад +6

    Kweli haki haipo ardhi zetu zinachukuliwa visiwa hatuna haki navyo vitambulisho hatupewi bora mgeni atapewa iyo amani iko wapi na hiyo fujo sio raia anaefanya na vikosi kipiga watu

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 2 дня назад +2

    Tunasisitiza haki, haki ,haki.Amani itafata baada ya haki.

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 3 дня назад +5

    Ukitaka amani tenda khaki

  • @mohamedomari6129
    @mohamedomari6129 2 дня назад +2

    Mwinyi hapa amepuyanga. Uislam si ujinga na uongo na kuongopea watu misikitini. Mungu hadhihakiwi.

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 2 дня назад +2

    Makubwa pia tumeyapata,vipigo na vifo vya wasionahatia huko nyuma na siajabu huko twendako

  • @alishaksi4639
    @alishaksi4639 День назад +2

    Ili pawepo na amani na utulivu ccm mukubali kushindwa kwani tangu mwaka 1995 kazi yenu kupora haki ya wanzibar, sasa fahamun hala hala ujiti na machoto ncha ina hohoo

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 2 дня назад +4

    Kuna,mwizi,anaetamani,haki

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 17 часов назад

      Haki ipo na Amani ipo ila wewe napendq kutawaliwa na Waarabu

    • @cyprianboniphace-oz5lw
      @cyprianboniphace-oz5lw 13 часов назад

      Kwa hiyo z,bar wenye asili ya kiarabu hawatakiwi?basi waondolewe wabaki washirazi.

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 7 часов назад

      Wewe unaokusumbua ni ujinga.

  • @Mohamed-j5w6w
    @Mohamed-j5w6w 3 дня назад +3

    Kamwe siwezi ogopa kupoteza amani kama kama natendewa yasiyo ya haki

    • @JumaSele-ru8xe
      @JumaSele-ru8xe 2 дня назад

      mfano mwizi kaja kwako kwalengo la kuibia we utafanya nn

  • @jesaminzo
    @jesaminzo 3 дня назад +2

    Hivi kwa nini watawala wengi hawapendi kutaja haki hata siku moja?

  • @YusufuMagembe
    @YusufuMagembe День назад

    Aman bila haki ni kazi bure huyo Mungu pia anataka haki

  • @kibedikamba7616
    @kibedikamba7616 2 дня назад +1

    Makamu yupo sahihi.

  • @alishaksi4639
    @alishaksi4639 День назад +1

    Pili tulikuwa na kiongozi mkarim sana kwa raia wake na sasa hayupo kashafika mbele ya haki, aliweza kutuliza vuguvugu na wimbi zito la mifarakano ccm mara hii munacho hali si shwari bila ya viongozi wenye busara. Mungu tulinde kwa madhalimu ccm

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 3 дня назад +1

    Amani sindio wao wanaoitoesha wanapenda kujifichia katika kichaka cha amani

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 3 дня назад +3

    Huyo police alikuwa hana haja ya kukaa nyuma yake humo msikitini mfalme ni mmoja tu na mmiliki ni mmoja .

    • @hazaaahmadhazaa2770
      @hazaaahmadhazaa2770 21 час назад

      Acha kuongea mambo usiyokuwa na elimu nayo!? mwenyezi mungu yuko ndani ya msikiti na nje ya msikiti!
      kwa mantiki yako hata nje ya msikiti askari wa nini na ALLAH yupo!??
      maswahaba wanagapi wameuliwa ndani na nje ya misikiti!?
      uovu unaweza kutokea ndani na nje ya msikiti!
      na kuchukua tahadhari ndio dini inavyotaka!

    • @abuutasniym2675
      @abuutasniym2675 16 часов назад

      ​@@hazaaahmadhazaa2770
      Jee hao maswahaba walikua nawalinzi nyuma yao?
      Najee akilindwa ndio hatokufa?
      Au huyo mlinzi atamzuia malaika wa mauti au maradhi yasimfike?

    • @hazaaahmadhazaa2770
      @hazaaahmadhazaa2770 13 часов назад

      @
      Wakati wa maswahaba hata bunduki zilikiwa hamna kwa hivyo jinsi silaha na mambo yanabadilika tunabadilika nayo!
      na hayo maswali jiulize pia nje ya msikiti ndio mtu hafi askari wa nini sasa pia nje ya msikiti!? na je nje ya msikiti askari watazuia malaika wa mauti!?
      Acheni ufahamu wa kukurupuka someni kwanza!

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 3 дня назад +2

    Wizi wenu wa kura ccm mtareta vurugu kkama wizi wa samia huku bara

  • @MattarMohammed-f5v
    @MattarMohammed-f5v 2 дня назад +1

    Anaesababisha machafuko madogo madogo ni ccm

  • @mohammedbakar4142
    @mohammedbakar4142 2 дня назад

    TRUE 👍 amani zanzibar hakuna wala utulivu maana hivi nini maana ya Amani ?
    Kama inatakiwa amani lazima kuwe na Haki
    Kama Haki hamna hakuna atakae kuwa rohoni na moyoni kama ipo Amani

  • @abdallahmohd3777
    @abdallahmohd3777 20 часов назад

    Unajuwa,kwakweli viongozi wa ccm wanatuona sisi ,wazanzibar niwatu wahe waallha lakini sio.sisi tumejitambuwa long timekwaiyo zamira yao na malengo yao tunayajuwa,wanajiona wamepata pepo yadunia lakini wanajisahau hii nchi yetu sote ss yanini kupiga kuuwa kunajisi watu halafu tuombe amani ilii muzidi kuja kutuuwa kwasabb hakuna haki🎉😢

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 16 часов назад

    HAKUNA AMANI ZANZIBAR BILA YA MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR
    Anaomba AMANI ya Chama Cha Mapinduzi kwa faida ya Tanganyika na Kanisa✝️
    Hakuna AMANI bila ya Mamlaka Kamili ya Zanzibar.

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 3 дня назад +2

    Ccm wezi tu zanzibar wala hatuitaki

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 17 часов назад

      Saidal pole sanaaaa wewe ksbila gani zaidi y wewe kuwa mtumwa hapo Kisiwani kwenu huna akili kabisaaaaaaa Acha Hussein Mwinyi alete Maendeleo Zanzibar mjinga kabisa kabisa

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 7 часов назад

      Yeyote atakae kaa Zanzibar ataleta maendeleo hata ccm ikiondolewa madarakani kupitia sanduku la kura,Zanzibar itaendelea kuwepo hata ccm kikifutwa usiwafanye watu wajinga wewe umebakia waarabu waarabu hao ndio munaopata msaada Tanzania na kuja kuwekeza nao wanakuja kutawala hapa Tanzania .

  • @AslihanKhamis
    @AslihanKhamis 3 дня назад +1

    Huyu Othman aliambiwa na nani kuwa Husein Mwinyi anazungumza haya maneno nae akajibu

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 День назад

      Ilikua wakati mmoja, siku hiyo hiyo kila mmoja akiwa kibla cha msikiti wakinasihi waumini.
      Hapo lazima kuna mmoja anasema ya haki mbele yake Allah na mwengine anahadaa kufanikisha dunia yake.
      Tutakuja kuona siku ya hukumu, siku ile hata dogo mfano wa sisimizi litakapotolewa hukumu. Sasa hivi hakuna anayemjua mkweli wa nafsi.

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 3 дня назад +1

    Kura feki zaja tafuteni mbinu ya kuzibiti kabra

  • @idirisakhamis-m3i
    @idirisakhamis-m3i 23 часа назад

    Hakika unafiki haujifichi

  • @yasinkaunda1552
    @yasinkaunda1552 3 дня назад +2

    Kama huna haki mbona waendelea kuwa makamu jitoe kwenye serikali

    • @SuolFat
      @SuolFat 3 дня назад +1

      Umakamu wa raisi sio hisani ya ccm na mwinyi

    • @lusakaone7782
      @lusakaone7782 3 дня назад

      @@yasinkaunda1552 Hayakuhusu wewe

    • @omarhusna1766
      @omarhusna1766 2 дня назад +1

      Hawa watanganyika wakija ZANZIBAR wana midomo wana fikiria kama hapa zanzibar kwao hapa sio kwenu na hamna hati yoyote yakumilinkitu zanzibar msijitie midomo sana watanganyika

  • @MariaEma-k1k
    @MariaEma-k1k 3 дня назад +2

    Ccm niwapumbavu amani ipotee tu, haki ikiwepo amani itakuwepo TU, Wana nchi tunaporwa haki zetu na ccm alafu tunatishiwa amani niyamuhim lengo usidai chako, nibora nipigane ili unipe changu

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن День назад

    HAKUPATIKANI HAKI NJE YA MISINGI YA DINI YA KIISLAMU, HIVYO TUKISHA TOKA KWENYE MISINGI YA DINI TUKA INGIA KWENYE SIASA HATUWEZI KUPATA HAKI, HIVYO TUKIOMBA AMANI NIKUOMBA KILA MMOJA MUNGU AMKUBALISHE KUTII NGUVU YA DOLA !
    HIVYO KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU ATUPE AMANI NI MUHIMU YEYE NDO ANAJUA ATATUPAJE HIYO AMANI 🙏

  • @lulutemakota
    @lulutemakota 3 дня назад +1

    Wee Mzee wee Haki gani haiko ZENJI??

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 3 дня назад +1

    Amani ni mtoto wa Haki, Haki kwanza

  • @RANKMANTANZANIACOLTD
    @RANKMANTANZANIACOLTD 3 дня назад +1

    Mpaka umekuwa makamu huoni kuwa ni haki? Jiudhuru

    • @JumaSele-ru8xe
      @JumaSele-ru8xe 2 дня назад

      kiswahili kwako mtihani sijui ww ni mkongo ni kujuzulu na sio kujiudhuru

  • @RANKMANTANZANIACOLTD
    @RANKMANTANZANIACOLTD 3 дня назад

    KWA HIYO ZANZIBAR HAMTAKI AMANI. HONGERA SANA DR MWINYI KWA HUTUBA ILIYOTUKUKA

    • @lusakaone7782
      @lusakaone7782 3 дня назад +1

      @@RANKMANTANZANIACOLTD Hayakuhusi

  • @MariaEma-k1k
    @MariaEma-k1k 3 дня назад +1

    Msitudanganyue amani, twambie haki hakindio huleta amAni tu

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz День назад

    Mnafiki sn huyu mzee

  • @2002-h6c
    @2002-h6c 3 дня назад +1

    Hii kimsingi ni mapambano kati ya ASP na Hizbu, hivi vyama vina historia ya siku nyingi , Hizbu walisimama kidogo, sasa wamerudi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 17 часов назад

    Haki ipo ila wewe unampiga Vita Hussein Mwinyi wakati analeta Maendeleo ya hali ya juu wewe unataka kutawaliwa na Waarabu tu hupendi Muungano Omo

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 3 дня назад

    Unganisha na ya jussa kuhusu hili

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 3 дня назад

    Tume huru pambanieni laasivyo amchukui wao wanajua awawezi shinda

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 День назад

    Mnafiki tu ww mwinyi

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 3 дня назад

    Jaribu kufanya vurugu

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 дня назад

      @@hamidmussa838 mutauwa tu mutamwaga damu kisha na nyir mutakufa hamuridhik mpka muwauwe wapemba halaf munajifanya munawapenda

  • @BakaryOmally
    @BakaryOmally 3 дня назад

    Omo domo legee Tunakusanywa au sio pumbavu ukishaona unazulumiwa siku zote utaona wakuzulumiwa tuu kazi anayoifanya dr mwinyi mlipaswa kumuunga mkono na kurekebesha yale ambayo mnaona hamuyaridhii kuliko kujitia ujuaji pumbavu

    • @ramzsule7678
      @ramzsule7678 3 дня назад +2

      Sheikh utambue kua Dr mwinyi aliahidi ili ayatekeleze Yale aliahidi kwa maalim seif sio majengo ndio kelele zote za Omo na jussa hivi hujui kama watu hawapewi vitambulisho au wewe hujui kama ni haki kikatiba

    • @AbdulhaamisSoud
      @AbdulhaamisSoud 3 дня назад +3

      Omo amefahamika na Yuko fact zaid

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally 3 дня назад

      @ramzsule7678 hayo ndio yakukaa wakayajadili lakini mimi na wewe tunayajua waliopanga na marehem maalim? Kwangu mimi dr mwinyi mitano tena katuletea barabara kwetu ukongoroni mpaka mitaani miaka 60 iliopita tulikua kama sio wa Zanzibar kwaio mimi nitamtetea mpaka mwisho sasa hivi alhamdulilah muda wowote unafika mjini

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally 3 дня назад

      @@AbdulhaamisSoud lakini siwezi kumpa kura yangu yupo fact ila ana kimdomomdomo pia hana mvuto wa kuongoza hajui kushawishi bila ya kutia hoja za chuki dr mwinyi mitano tena kwetu kulikua kama tumetupwa leo lami kuteleza tuu sasa nihangaike na omo domo

    • @ramzsule7678
      @ramzsule7678 3 дня назад +2

      @BakaryOmally ni haki yako kumtetea ila waliyokubaliana na act yapo wazi na hajatekeleza pili ndugu yangu isikuhadae Barabara utakuja kujita baadae sisi tunalia kwa ardhi na visiwa kua makini mgeni ana thamani kuliko mwenyeji angalia usoni

  • @issakarim4413
    @issakarim4413 2 дня назад

    Unachotakiwa nikuhubiri amani ili ufanikiwe amani kwanza
    Kitu cha kwanza ni amani kisha itafute haki unatafutaje haki ingali huna amani hem kaa chini usitumie nafasi yko vibaya amani ndio kla ktu

    • @abuutasniym2675
      @abuutasniym2675 16 часов назад

      Naomba nikuuliza suali ili nipate kuelewa kitu muhim.
      Ni nini maana ya AMANI?
      Naomba jibu ili tufahamiane

  • @2002-h6c
    @2002-h6c 3 дня назад

    Hivi huyu OMO kanyimwa haki gani hiyo anayolalamikia kila kukicha ? kama ni Mamlaka kamili apeleke tu hoja Baraza la Wawakilishi, kisha kura ya maoni watu wavunje Muungano baasi, siyo mwanaume mzima kila siku kulalamika tu kama demu vile , manake huwezi kuwa na Mamlaka kamili ukiwa umeungana na mwenzio , lazma kwanza muachane ndo uwe na Mamlaka yako mwenyewe

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 дня назад

      @@2002-h6c juz tu watanganyika wanaanz kulia baada ya kuingia mzanzibar madarakani

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 2 дня назад

      Wewe Una mtindio wa ubongo!vp uwe huelewi aliyozungumza OMO?usimlishe maneno Kwa utashi wako?

    • @DuuSaid
      @DuuSaid 2 дня назад

      Ulaya wameungana hakuna ilie mmeza mweziwe wela kumlazumisha mweziwe hakuna vikwazo sisi tumeekewa vikwazo hata timu yetu yampira znz Haina uwezo yakucheza kimataifa sisi hayo yanatukera😎

    • @binbuhakhamis4336
      @binbuhakhamis4336 2 дня назад

      Inaonekana ww cimzanzibar , au ndomiongoni mwa wale wasio jitambua. [Vipogu]

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 6 часов назад

      Vipi bado upo usingizini,hapo mameno ya Othman Masoud ni ya dhahabu kubwa sana kwa sababu unapoipa jamii haki zake za msingi na kufahamisha jamii juu ya kutendeana haki inayostahiki kumtendea mwenzake basi umefanikiwa kwa kiasi kikubwa kabisa ,hata mwenzako akipoteza kitu mfano simu ukijua hii sio haki yangu utampiga simu kwa watu wake wa karibu na kuwaambi hii simu nimeiokota sehemu fulani kwa hiyo namuhitaji muhusika ili aje kuichukua simu yake .kwa sababu hii sio haki yangu .ndicho tunachokihitaji kuwepo Zanzibar .hata katika uongozi masuala ya kupiga kura,kuajiriwa katika taasisi za kiserikali na sehemu nyingine tenda haki .hakuna hadaa na kutendeana dhulma za kijinga jinga ndio Othman anayasema hayo ili yaondoke ya dhulma .uuwe wenzako ili upate Ubunge ,uwakilishi ,udiwani na Uraisi wa Zanzibar huu ni upuuzi .