Pure truth..unaweza ukaandikia umma jambo, na umma ukadhani ni kweli kumbe ni maneno tu...mahakama huru,tume huru za uchaguzi na misingi yake...kula kiapo hakuondoi conflict of interest...bonge ya shule...bonge la advocate na mwalimu pia, maua Yako upewe shangazi...
Kuna watu wanaozungumza ukweli kabisa na wazi kabisa kama huyu mwanamama lakini tumeweka masikio yetu pamba tusimwelewe kwaajili ya ugali wetu huo ni ushetani
Madam Fatma Karume anapendeza sana ktk kujadili masuala ya mahakama na haki kwa jumla! Prof Ibrahim Juma na majaji hawa tulionao hawana lolote zaidi ya kuenenda na kuendesha mashauri mahakamani kwa ajili ya aliyewateua i.e Rais. Ajabu hata maamuzi ya kipuuzi yaliyo bayana kabisa kama anaoyatolea mfano wakili Fatma hawaoni chembe ya aibu kwamba yanatoka ktk mahakama inayoitwa ya rufani! Eti mtu akila kiapo basi inatosha kutenda inavyotakiwa ktk kusimamia uchaguzi; halafu hiyo inaitwa mahakama ya rufani! Lazima hii ni taasisi dhalili ambayo iko mfukoni mwa aliyeko ikulu ambaye hataki ukweli ktk uchaguzi bali wizi wa kura unaompa madaraka haramu!! 7:167:16
Hawa ndiyo mawakili wasomi wanatetea watanzania. 💯.we love you.Asanteni kwa kuwatetea wananchi😊
Pure truth..unaweza ukaandikia umma jambo, na umma ukadhani ni kweli kumbe ni maneno tu...mahakama huru,tume huru za uchaguzi na misingi yake...kula kiapo hakuondoi conflict of interest...bonge ya shule...bonge la advocate na mwalimu pia, maua Yako upewe shangazi...
🎉🎉🎉🎉🎉Wakili msomi. Thanks
Mama Fatma karume mauwa yako penda sana wewe🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Sister god bless you
Kuna watu wanaozungumza ukweli kabisa na wazi kabisa kama huyu mwanamama lakini tumeweka masikio yetu pamba tusimwelewe kwaajili ya ugali wetu huo ni ushetani
Ugali😂
Ni ukweli usiopingika
Conflict of interest😢😢😢
Selikal mumemuelewa mama fatima au mumeweka pamba maskion nahiyo?
Akili.kubwa.ccm.mnajitia.uziwi.makonda.kinana.samia.hamelewi?
Madam Fatma Karume anapendeza sana ktk kujadili masuala ya mahakama na haki kwa jumla! Prof Ibrahim Juma na majaji hawa tulionao hawana lolote zaidi ya kuenenda na kuendesha mashauri mahakamani kwa ajili ya aliyewateua i.e Rais. Ajabu hata maamuzi ya kipuuzi yaliyo bayana kabisa kama anaoyatolea mfano wakili Fatma hawaoni chembe ya aibu kwamba yanatoka ktk mahakama inayoitwa ya rufani! Eti mtu akila kiapo basi inatosha kutenda inavyotakiwa ktk kusimamia uchaguzi; halafu hiyo inaitwa mahakama ya rufani! Lazima hii ni taasisi dhalili ambayo iko mfukoni mwa aliyeko ikulu ambaye hataki ukweli ktk uchaguzi bali wizi wa kura unaompa madaraka haramu!! 7:16 7:16
Machawa ndio wako naye😮😮
Sawa kwakutoa elimu
Huyu mama siagombee uraisi tu ata uko zanzibar huko ata tusaidia sana
Kwaani huyu Samia hawaoni wanawake kama
Fatima wakamsaidia ?
Hivi Kuna kipimo Cha kujua huyu ni sympathizer wa chama Fulani. Tunapoteza limited resources ku entertain mawazo ya walioshiba. How we miss Magufuli.
Fatuma shoga mkubwa.Msaliti.yuko upande wa mashoga yeye na Lissu.Zaidi ya hapo ni chagadema mkubwa.Tusiokuwa na chama hana muda nasi😢😢
Jibu hoja matusi ya nini
Selikal mumemuelewa mama fatima au mumeweka pamba maskion nahiyo?