Fatma Karume Afunguka Kuhusu Wananchi Kulalamika Mbele ya Makonda 'Ni Udhalilishaji wa Wananchi'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 412

  • @abdallahkiliaki3744
    @abdallahkiliaki3744 Год назад +12

    I give a 10,000 "thumbs up" to you. Fatma, you have been extra special this time around in your diagnostics.
    Unachosema kuh "system failure" kina ukweli usiopingika. Lkn ilitakiwa pia useme kuwa kati ya 2016-2020 hili tatizo lilipungua sana. Govt service delivery soared to unprecedented levels. Wananchi walisikilizwa na shida zao zilitatuliwa mara moja, mm nikiwa mmojawapo. Mwananchi alikuwa mfalme. Siyo baada ya hapo!
    Na ni kweli kuwa mpango wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali hautaleta manufaa yoyote mithili ya Masanduku ya Maoni.

    • @MsonjoSicario
      @MsonjoSicario Год назад

      F2m ni anabolic entity...anadandia vihoja vya kijinga anachoona majority wanakipigia vikelele ndio anaibuka...ana inferiority complex ya kufa mtu...hapo nyuma kidogoo hatukuwai kumsikia akiongea lolote...why now...cowardice woman....

  • @geraldalfred1781
    @geraldalfred1781 Год назад +13

    It is my first time getting an opportunity to listen to Bi Fatma Karume you are a blessing to our nation and please never stop speaking because tomorrow your words will be the mantra we the youth of Tanzania will sing day and night to demand more because we deserve better the system is complicated and huge but doing nothing isn't making any progress at all we have to start somewhere

  • @sondalasalumu5423
    @sondalasalumu5423 Год назад +12

    Uko sawa mama

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 Год назад +12

    Safi sana shangazi kwa ujumbe muzuri na wakuelimisha jamii, nilikuwa nimekumisi sana, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.

  • @dorismwakalukwa9555
    @dorismwakalukwa9555 Год назад +8

    Mweshimiwa mungu akubaliki kwakweli tunaumia sana mama

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 Год назад +24

    Safi sana shangazi tatizo kila kitu tz kinaendeshwa kisiasa esp .ccm. Mfano mdogo ni elimu ya tz imeshuka sana ila utasikia kila mwaka ufauku unapanda.Huwezi kusikia kuwa mwaka huu ufaulu umeshuka. huo ni uwongo kwa sababu wanaofauku ni watoto wetu ukiangalia uwezo wao si wakuendelea kidato cha kwanza.So ili tujinasue tuacheni ushabiki wa kijinga tuwe serious na tuachane na sifa za kijinga jinga.tunajichimbia kaburi wenyewe. Asante shangazi.❤❤❤❤❤

    • @christosiadanieli6512
      @christosiadanieli6512 Год назад +1

      Comed

    • @nefertitibelinda1146
      @nefertitibelinda1146 11 месяцев назад

      Asante Sana Winnie... UMENENA UKWELI USIOPINGIKA. Matatizo ya systems failure and bullshit governance ni baada ya JPM.😢

  • @davidngogo4011
    @davidngogo4011 Год назад +12

    Umeongea vizuri Sana sana. Wewe kweli ni msema kweli.

  • @munirdaya9135
    @munirdaya9135 Год назад +5

    Eloquent and point delivered.

  • @ChristopherMbano
    @ChristopherMbano Год назад +14

    Mh. Wakili Karume uko vizuri, na umeongea ukweli " Big up"

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute Год назад +6

    Nimekuelewa sana fatuma karume kweli hapa ni system feli

  • @samsongechamet5374
    @samsongechamet5374 Год назад +5

    Nimegundua Mh.Makonda ana maono,kwamba wananchi wanashida na anatatua.Tumuombee kwa anachokifanya.Nashangaa hadi sasa viongozi wengine wamelala kwamba hadi aje atatue!Mungu akutangulie ndugu yangu mwenezi.

    • @ulimbagakipole3971
      @ulimbagakipole3971 Год назад +2

      Sikia wewe kiumbe mifumo imefeli hata asingekuwa Makonda kwa kuwa watu wana shida watajitokeza tu. Hiki ni sawa na kikombe cha babu watu walikuwa wanaumwa .

    • @peterdeus6093
      @peterdeus6093 Год назад

      Kama taifa sioni sababu ya kumuombea coz hamna anachofanya kwa ajiri ya taifa isipokuwa kwa ajir yake mwenyewe na CCM

    • @yohanamuhambe9422
      @yohanamuhambe9422 Год назад

      😂😂 kwahiyo unataka kusema Makonda awe ndio mahakama sasa? Kipi amekiamua kwenye malalamiko waliyopeleka kwake yeye sio mahakama. Shangazi Yuko sawa 100%

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 Год назад

      Kwahiyo makonda atakua anapita kila siku haujaelewa fatma anacho sema

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 Год назад +5

    Leo umeongea point Sana.hongera

    • @jackmabirangacharles9398
      @jackmabirangacharles9398 Год назад

      Ameongea kweli lakini ndio wale wale ukiwa na kesi hata ukienda kwake yy Binafsi atakuomba pesa kusimamia kesi Yako tunaenda Kwa Makondo kwakuwa kilio kitafika hata kama si Mwanasheria

  • @goodluckkiget6359
    @goodluckkiget6359 Год назад +3

    I’m absolutely with you Shangazi.

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 Год назад +2

    Hapa point ☝️ ipo ukisikiliza

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 Год назад +4

    Namuonaga kichaa ila you're very right on this

  • @jacobngasa8110
    @jacobngasa8110 Год назад +2

    umeongea vizuri sana , Tatizo lako una support ushoga tu.

    • @ZariaAbdullah-r5t
      @ZariaAbdullah-r5t Год назад

      😂😂😂

    • @mkude
      @mkude Год назад

      😂😂😂

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 Год назад

      Acha hizo. Huyo mwanasheria, haki ya kuishi niya kila mmoja haijalishi ni maovu mangapi anatenda

  • @SamNecessity
    @SamNecessity Год назад +5

    Brilliant thought.

  • @gabrielurio6545
    @gabrielurio6545 Год назад +5

    Fatma Karume you deserve to be our AG because of your good ideas, we love you so much.

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Год назад +1

    Nimemuelewa sana Mhshmw Fatma...anaongea kutoka ndani kabisa ya moyo wake❤❤❤❤huyu ni kiongozi

  • @daudkweba6848
    @daudkweba6848 Год назад +2

    Madam Fatma, Indeed your a BIG BRAIN in this country. I salute you!!

  • @RoanCorporation
    @RoanCorporation 11 месяцев назад

    Fatma Karume she is smart and honest , peoples like her should be employed by the government

  • @evaemil856
    @evaemil856 Год назад +2

    Matatizo yote yalitotolewa na wananchi kwa Makonda na yamekuwa yakiongolewa na vyama vya upinzani sasa imeonyesha wapinzani wa kweli walikuwa sahihi nacthis is their time to shine. Ninaona tukubali tuwaachie turn washike nchi watuwekee muundo mzuri ili tukichukuwa back back utawala tutajua nini cha kuendeleza. Utawala wetu kweli umefeli ninasikitika sana. Mungu ibariki nchi yangu.

    • @enodiusedson5008
      @enodiusedson5008 Год назад

      Na ata hao wapinzani nao bado mifumo yao ni mibovu sana pia vile vile Chama kinapokea maruzuku kibao ila mpka Sasa hakina ata office
      Ukweli upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM ndani umo umo itapatkana CCM part 2 ndoutakuwa upinzani ila Hawa wengne hamna kwakwel

  • @200Stella
    @200Stella Год назад +2

    VERY VERY TRUE.ANASEMAGA UKWELI NA NDIO MAANA HAWAMPENDI....

  • @IdrisaAbdallah-pf4mw
    @IdrisaAbdallah-pf4mw Год назад +3

    Huyu mwanamke ana akili sana yn ❤

    • @htx1873
      @htx1873 Год назад

      Msomi huyo, she know her stuffs , ila watu Watajifanya she westernized. They need to give her a chance ,

  • @Faidhajohn347
    @Faidhajohn347 Год назад +1

    Good point

  • @ivanmatalu4028
    @ivanmatalu4028 Год назад +4

    Absolutely true

  • @abdallahlugongo4738
    @abdallahlugongo4738 Год назад +1

    Leo umeongea vitu venye akiri sana, Munguakupe maisha marefu afya njema furaha tere Inshallah

  • @georgemtewele7656
    @georgemtewele7656 Год назад +5

    To day you speak true

  • @raishamedical2837
    @raishamedical2837 Год назад +2

    It can not be said better than this ❤❤❤

  • @saidpazi531
    @saidpazi531 Год назад +6

    MIE NAFIKIRIA UNGELISEMA SHERIA ZOTE. ZA NCHI HII ZIFUNDISHE SHULENI ZA MSINGI HILI WATU WA WAPUNGUZE KUDHULIMIWA

    • @shadymoses5813
      @shadymoses5813 Год назад

      Nakubaliana na wewe kwa upande mmoja, ila upande wa pili mfumo wa kutoa haki umebezi kwenye utashi wa walioko madarakani, angalia watu waliofika kulalamika kwa Makonda wengi wao wameshafika katika vituo vya kutolea Haki i.e Police na Mahakama ..Ila SHIDA YAO NI KUIPATA HIYO HAKI sasa

  • @mohamedIssa-ot8ph
    @mohamedIssa-ot8ph 11 месяцев назад

    Point

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 Год назад +3

    Dada fatma na wewe unaongea tu na hakuna kitu unafanya bora ungekua kama makonda nenda ukafanye kitu sehem husika hapo unataka airtime

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 Год назад

      Shida hana mamlaka

    • @noelnoel4916
      @noelnoel4916 Год назад

      @@adkajisi4536 haiitaji awe na mamlaka kwa hapo anafanya nini. Hapo Anapiga siasa. Inaitwa political science

  • @matiankomola2391
    @matiankomola2391 Год назад +3

    Hongera Sana Mama Karume!
    Nawe Mama Tumbua Jipu!

    • @johasaeed391
      @johasaeed391 Год назад

      Kabisa ayumbuee maana makonda kaweza nawatakuja kushaa makonda anawazidi akili atapendwa na wanchi mimi tu teyari nishamsamehe makonda ya nyuma yote now nampa namba moja

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 Год назад +5

    Upo vizuri sana Dada
    Hongera y

  • @aloycesingano1352
    @aloycesingano1352 Год назад +4

    Oh wew ni shujaa na mzalendo sana mama wa watanzania wenye kuwa na hofu tusemee mama

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 Год назад

    Ahsante sana shangazi.makonda hawezi kuwarudisha wananchi haki yao.serikali ndiyo inao wajibu wa kuwapa wananchi haki yao.

  • @paulkifumbe5110
    @paulkifumbe5110 Год назад +2

    Makonda sio Mahakama ila malalamiko ya watu yanaonesha kuna baadhi ya Maafisa wa Serikali hawawajibiki ipasavyo kwenye nafasi zao na hii inasaidia kuongeza uwajibikaji kwa watendaji hasa serikalini... Mimi na jamaa zangu tunaunga mkono jitihada za Chama Cha Mapinduzi katika kuondoa unyonyaji kama Mh. Makonda anavyofanya.

  • @rikokopuga2998
    @rikokopuga2998 Год назад +11

    kwakweli kwapointi zaleo shangazi pongezi sana tena sana

  • @lucyjustine4632
    @lucyjustine4632 Год назад +1

    Well said Madam Karume

  • @danielmushi5755
    @danielmushi5755 Год назад +6

    Sawa kabisa Fatma,tatizo la Nchi hii ni Total System Failure na hii ndo approach ya Ccm ili iendelee kukaa madarakani.

  • @ganomwakisambwe2715
    @ganomwakisambwe2715 Год назад +2

    That great my heroine!

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 Год назад +1

    Mungu akutunze sana

  • @celestinechasama4764
    @celestinechasama4764 Год назад +1

    Such a wonderful speech

  • @elishamwaitebele
    @elishamwaitebele Год назад +2

    Ukweli wenye akili fupi sana hawezi kumwelewa fatuma lkn ka nchi tunahitaji kujiformat

  • @ValEmaChannel
    @ValEmaChannel Год назад

    The Chanzo TV
    mnapaswa kuwa serious sana na sauti.
    mtu anaweza samehe picha mbaya lakini hawezi samehe ukosefu wa sauti kwenye maudhui.

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 Год назад

    Makonda chapa kazi kama kawaida. Mimi sina Chama lkn BigUp mh. Makonda..

  • @ChrisTengeneza
    @ChrisTengeneza Год назад +5

    Vichwa kama hivi adimu lakini ni Kwa kua siasa imetawala Kila idara anaonekana hafai hata chembe

  • @dennismongi8970
    @dennismongi8970 Год назад

    This is very very very very true,

  • @allyussi8708
    @allyussi8708 Год назад

    Wow!

  • @BahatituyayineBahatituyayinw
    @BahatituyayineBahatituyayinw 11 месяцев назад

    Ongela mama

  • @abdalakombo1595
    @abdalakombo1595 Год назад

    Leo ndugu yangu. Umezungumza safi sana.jitahidi kukamata njia hiyo hiyo .wanyonge wanaumia

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Год назад

    DAAAA DADA YANGU UMEONGEA POINTS SANA SANA ENDELEA KUONGEA UKWELI DADA

  • @imortal5354
    @imortal5354 Год назад

    Your extraordinary bi fatma

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 Год назад

    Umeongea fact sana ❤ anamuigiza magufuli aonekane mtendaji mkubwa yaani makonda anavyojiona saivi mama Samia Hana lolote kuliko yeye daaah anazingua❤

  • @mussalimbe6673
    @mussalimbe6673 Год назад +1

    MAKONDA Genius huyo

    • @DanielTumaini
      @DanielTumaini Год назад +2

      Hahahaha ati genius nafikiri hujiu unalosema ukisahau Makonda ni bashite means zero brain

    • @epimackjohn461
      @epimackjohn461 Год назад +1

      Huyo akiwa GENIUS panzi au kuku nao wanaweza kuwa GENEUS , GENEUS anaiga waliopita kuigiza ? Itokee mtu kama huyu kwa RAIS nchi itarudi nyuma sawa na miaka 45 iliyopita ?

  • @FrancisYamecha
    @FrancisYamecha Год назад

    Hongera sana Shangaz

  • @FadMoe-o4f
    @FadMoe-o4f Год назад

    Asante mama kutusemea.

  • @rasgwandumikaisi7489
    @rasgwandumikaisi7489 Год назад +1

    Big up Shangazi ✊🏿

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 Год назад

    Very True Sister

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 Год назад

    Very true Fatma!

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 Год назад +2

    KWa hiyo wananchi waendelee hivyo hivyo kuonewa mngelisikia wapi na huyo mwanasheria hayo mengine anayajua kweli

  • @krispinkisanga3261
    @krispinkisanga3261 Год назад

    Huyu mama anaongea point sana

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Год назад +1

    Fatma karume unaakili sana Dada, uwajibika waviongozi serikali hawawajibiiki kabisa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Год назад

      Kwa mantiki hiyo ni bora iwekwe iyo sehemu ya kupeleka shida kisha wahusika wafukuzwe kazi.Nimesikitika Mwanasheria Mkuu kusema iundwe ofisi maalum akisahau Fedha za Mtanzania mlipaji kodi ndio zinazotumika kulipa waliopo madarakani na hawafanyi kazi kwa hiyo zitolewe nyingine tena kulipa hivi yupo sirious kweli na kodi zetu ?

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz Год назад

    Hahaha Shangazi anaongea kama Baba yake na Baba yake Mdogo Ali Karume😅😅😅😅

  • @artist_mtulivu7799
    @artist_mtulivu7799 Год назад

    Smart 📌

  • @NaifatHamad-u4p
    @NaifatHamad-u4p Год назад +3

    Wonderful speech shangazi I give you 100 %

  • @alexkimaro2886
    @alexkimaro2886 Год назад +3

    Nimekuelewa sn

  • @reachglobal9939
    @reachglobal9939 Год назад +3

    Yes gd work tz tunawatu

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda Год назад +1

    Sawa kabisa shangazi Fatma karume

  • @LazaroELucas
    @LazaroELucas Год назад +11

    The problem of this country is politics everywhere even where there is primary issues concerning the country, we never reach where we desire, this is because politics has become the final say no matter what the court or parliament says nothing changes.

  • @JumaMakame-y4u
    @JumaMakame-y4u Год назад +2

    Huna sera Fatma

    • @Nabiilkhamis
      @Nabiilkhamis Год назад

      Ww hukusoma kasome Kwanza ndio uje ukoment

  • @FelixMwacha
    @FelixMwacha Год назад

    apply nafasi kwenye taasisi za kimataifa utasaidia sana wengi

  • @joachimmahoo9786
    @joachimmahoo9786 Год назад +2

    Hongera dada. CCM has expired its legacy as a political party. A new part is on the horizon. And it is Chadema. The system has to be removed from power by weapons. This will cost human lives. Ian Smith of S Rhodesia told Queen Elizabeth " Zimbabwe needed 100 years for Mugabe to talk about Independence. Look what is left of Zimbabwe. Look at what is going in Tz. 30 years the country cannot rewrite the constitution.

    • @mussalimbe6673
      @mussalimbe6673 Год назад

      Chadema mavi MAKONDA is extra genius hebu ajaribu mwingine kama watu mtawaona

    • @joachimmahoo9786
      @joachimmahoo9786 Год назад +1

      @@mussalimbe6673
      Pesa anayo gawa makonda kapata wapi? Bajeti hiyo iliandaliwa na nani. Si
      Hela za Waarabu mnagawiwa ili chotara aendelee kuwauza uarabuni

  • @sondalasalumu5423
    @sondalasalumu5423 Год назад +3

    Uko wapi mama

  • @bishoppaulomacha
    @bishoppaulomacha Год назад

    Hata Makonda anaposikiliza kero za Wananchi sii kweli sababu Ugonjwa Upo kwenye chama ccm.siyo Upinzani kwa hiyo Anajikuna alafu Anacheka Mwenyewe😂😂

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 Год назад +2

    Watu wanamuogopa makonda😅😅😅 sasa kwani yeye anawaita au ni wao wenyewe hata mwanao anaweza asikuambie changamoto zake akamwambia housegirl na wazazi wake wapo hapo na wewe ukaambiwa na housegirl

    • @simbamtoto7530
      @simbamtoto7530 Год назад

      Fatma anaongea ukweli wanao lalamika kwa makonda walisha lalamika sehemu usika awakusikilizwa yàni watendaji wabovu

  • @Luganosolomon
    @Luganosolomon Год назад +1

    huyu Mhe. Ana akili Sana na ni msema kweli Ila tu watu watamkubali tu ila tatizo la Tz ukiongea sana unaonekana kichaaa kama anavyosema makonda anasaidia watu nikweli Makonda fanya kazi tusaidie. Na hiyo leseni mpeni jamani afanye kazi asaidie watu u wenye shida

  • @BahatituyayineBahatituyayinw
    @BahatituyayineBahatituyayinw 11 месяцев назад

    Mama nakupongeza sana selikali wajibuwao wengi wao shida pakusikilizwa hakuna selekal inakuw jina tuu mama ongela uposaw

  • @BekaCCM-mb6yp
    @BekaCCM-mb6yp Год назад +1

    Unajua makonda amezma upepo wawatu,mtanyoka tuu mpaka mseme , mandamano haya mvuto tena ,mwache afanye kazi hizo

    • @kakore_jr
      @kakore_jr Год назад +1

      Kuongoza Nchi Ambayo wananchi wake hawana ELIMU NI Raha Sana

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 Год назад

    Wanaona unafuu ndani ya Makonda kuliko selikali

  • @alfredmbwilo7354
    @alfredmbwilo7354 Год назад +2

    Tanzania ni gumu sana

  • @KasongiAlex-t9b
    @KasongiAlex-t9b Год назад

    Exactly

  • @kitwanaissamuhami3590
    @kitwanaissamuhami3590 Год назад

    Uko vizuri shangazi

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 Год назад +1

    Nikweli kabisa Fatuma tatizo ni system failure na imesababishwa na viongozi kuingiza siasa chafu kila sehemu

  • @HfvJfv-zf2dt
    @HfvJfv-zf2dt Год назад

    Kweli kabisa

  • @ChristopherSibale-f3u
    @ChristopherSibale-f3u Год назад

    Mungu niwahaki

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 Год назад +2

    Sheria kama haiwasaidii,wafanye Nini?Acheni uhuni,huko kwenye Sheria wananchi hawasikilizwi wafanye Nini ss

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 Год назад +1

    Uncle Magu katuachia shangazi na Makonda

  • @EmmanuelMaganga-ey4oz
    @EmmanuelMaganga-ey4oz Год назад

    Tatizo sio viongoz bali watanzania inatakiwa tujitambue. Solute Madam Fatuma

  • @stephenmabinza9043
    @stephenmabinza9043 Год назад

    Upo sahihi Madam

  • @monicamwita7865
    @monicamwita7865 Год назад

    Fatuma , shangazi na mama . Nakupongeza, waambie

  • @AyoubKikondo
    @AyoubKikondo Год назад

    uko sawa mama hivyo ndivyo hakuna uwajibikaji mfano kwa sasa umeme unakatika katika nani anawajibishwa?

  • @onetwo12981
    @onetwo12981 Год назад

    Akili Kubwa sana, BIG BRAIN

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 11 месяцев назад

    Kwa leo Fatuma nimekuelewa kabisaa

  • @katotoGenius-ml9ve
    @katotoGenius-ml9ve Год назад +1

    Hii nchi ni sawa na chapati anayo pika mtoto,ikiungua halaumiwi.

  • @abdallahlugongo4738
    @abdallahlugongo4738 Год назад

    Dada yangu vizuri sana kiongozi

  • @MarcruzOlivares
    @MarcruzOlivares Год назад

    Na ninacho kiona ni this woman kaja kuongea because Makondo so hata kama kaongea point Bi Fatma ungekuja kuongea kabla hata ya makonda kusimama ila una kifanya ni kumchafua makonda ✌️But for me Makonda did well kaweza kufanya kitu ambacho watu wengine hawawezi kufanya

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 Год назад +3

    Sasa mnataka wananchi wakidhulumiwa waende wapi

    • @faustinedeogratias4337
      @faustinedeogratias4337 Год назад

      Wananchi hawapaswi kudhurumiwa, kwakua system imefeli ndo maana yanatoea haya unayoyaona sasa

    • @KeloRichard
      @KeloRichard Год назад

      Bill makonda kuteuliwa tungeyajuwa wapi apewe mauwa yake makonda ,sio awo walikuwa wapi kabda ya makonda kutuonyesha yaliyomo, wanatulletea siasa za kipuuzi za makundi ndani ya ccm at wamtume kuundoa kill achofanya makonda kisiwe na nguvu daa amechelewa

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Год назад

    System ya nchi ndio kikwazo kwa wanachi badilisheni mofumo iyo

  • @EliaChristopher-u3t
    @EliaChristopher-u3t 11 месяцев назад

    Uhh mechangia vizuri lkn kazi anayofanya Makonda ni njema sana ,kama wlipwasa kufanya wameshindwa plz mwacheni Makonda afanye alafu msisahau kwamba Makonda ktk uongozi wanauwezo mkubwa