Anakuaje makufuli mdogo wakati yeye Magu alimuona hamfai ndio akamfukuza kazi na kumkosesha ubunge kwa makusudi.Mama ndie aliemleta na kumpa madaraka makubwa sasa hapo jina la Magu linahuzikaje?Badala ya kumtaja Mama Samia unamtaje mtu ambaye alimfukuza kazi na kumwekea vikwazo au mdio udini na ukabila vinawasumbua?
YESU KASEMA ufalme haujifitini .eti wakomeshe hao CCM wakati nae ni CCM .hata wakale walisema zimwi likujualo halikuli likakumaliza.unaetengenezwa hapo ni wewe mwanainchi wa Hali ya chini
Paul Christian MAKONDA Mungu akulinde, hakika unapiga kazi. Dhuluma waliotaka kuifanya UWT -Tunduma kwa huyo mama imenitoa machozi. Tunashukuru Mungu tatizo limeisha na liishe hivyo lisitokee jitu kubatilisha Tena Hilo jambo. Hakika tunamuona Magufuli ndani Yako.
Mheshimiwa makonda mungu akubariki sana Kwa kazi nzuri unaewatendea watanzania kwani umekua mkombozi wa watanzania... Tunakuomba ututembelee na sisi siku Moja wananchi Wa kata ya KIA wanchi tuna nyanyaswa sana na kampuni wanao jiita CARDCO tunakuomba sana mkombozi wananchi tumenyang'anywa maeneo yetu.
Kweli kila nikiangali kazi za makonda naishiakulia.watu wanateseka,wanateswa na viongozi.Makonda Mungu akulinde na azidi kukuongoza. Makonda,mwanangu piga kazi .Tetea wanaoonewa
Mh Makonda Tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki napia kuendelea kutetea haki za Wanainchi hakika umeletwa na Mungu watanzania tuna imani sana nawe
Mungu akubariki sana makonda from Congo🇨🇩 to Sweden 🇸🇪
Be blessed Makonda. MUNGU hakutangulie.
Hii nchi imeoza kwa kipindi kifupi tu ,Mungu asante kwa zawadi huyu kijana makonda ❤❤❤
Huyu Makonda ni Rais 2030.
Hujamjua Mungu bado Mungu sio mtu Mungu SI kigeugeu Mungu ana watu wengi.alimuacha Saul na KUMPA Daud ufalme.
Asante samia kwa kumpa kazi huyo kijana makonda safisha wanao kicha chama
Magufuli mdogo oyeeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉
Anakuaje makufuli mdogo wakati yeye Magu alimuona hamfai ndio akamfukuza kazi na kumkosesha ubunge kwa makusudi.Mama ndie aliemleta na kumpa madaraka makubwa sasa hapo jina la Magu linahuzikaje?Badala ya kumtaja Mama Samia unamtaje mtu ambaye alimfukuza kazi na kumwekea vikwazo au mdio udini na ukabila vinawasumbua?
YESU KASEMA ufalme haujifitini .eti wakomeshe hao CCM wakati nae ni CCM .hata wakale walisema zimwi likujualo halikuli likakumaliza.unaetengenezwa hapo ni wewe mwanainchi wa Hali ya chini
Nani alimpandisha tukamjua@@JaziraMustafa-g9p
Makonda, Makonda, Makonda, utafika mbali kwa jina la Yesu
Acha.kutaja.jinala.yesu.kwenye.komedi.kamaizi
Hongera mwenezi kwakusikiliza kelo za wananchi wa tunduma songwe
Makonda songa mbele baba Mungu akulinde,waangalie sana wasikuue,,wabaya sana mafisad wamenuna zaiiiiid
Bila hii mikutano tusingeyajua kama hata viongozi wa ccm wasio wema na chama wadhulumati safi sana makonda mungu amlinde raisi wetu mama samia
Ww ao wakilitka eneo lako wanalichkua kwanguvu tena napolisi unaltewa
i am from kenya good job bro keep it up makonda
Mungu awabariki watanzania wanapata viongozi bora
Love ❤️ for Makonda kwangu ni ya mda Sana be blessed bro
Makonda hongera Mungu amekuchagua na mama yetu akiwa ndiye kichwa fanya kazi ya Mungu bila kuchoka
Mzimu wa Magufuli umemvaa Makonda bira kupinga😂😂😂😂😂😂😂😂
Kabisa yani makuful kafa nafsi imeenda kwamakonda mungu amlinde
Exactly
Makonda utabarikiwa na mungu🙌🙌🙌🙌
May God bless you & give you long life.. Amen!!!! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Paul Christian MAKONDA Mungu akulinde, hakika unapiga kazi. Dhuluma waliotaka kuifanya UWT -Tunduma kwa huyo mama imenitoa machozi. Tunashukuru Mungu tatizo limeisha na liishe hivyo lisitokee jitu kubatilisha Tena Hilo jambo. Hakika tunamuona Magufuli ndani Yako.
Asante Makonda wasambaratishe hao dhulumati wa CCM ndio wanaoangusha chama.
Piya tunamshukuru saaaaana mama yetu SAMIYA mama mimi kama mimi nakupenda sana mama na makonda ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏
Mungu akulinde Malinda ❤❤❤❤
Congratulations keep it up good job sir ❤❤❤
Mungu akulinde makonda❤❤
Makonda damu ya yesu ikufunike kaka kazi njema umefanya
Hakika
Amen
Tuendelee kumuombea raisi wetu wa baadae
Kwel Mzee watu watu wamezowea kuwazulumu wanyonge Asante sana muheshimiwa
eeeee Mungu umlinde Rais wetu Samia Raisi wetu mpendwa. Pia na mwenezi Makonda.
Hongera sana karibu mwenezi Taifa.weweni mwokozi wetu wanyonge
May God bless you sir ❤❤
Kamata wote wanaofanya maovu kwa wananchi makonda oyeeeeeee love you man ❤❤❤😂😂😂
Ndonaamini yale maneno yamtaani yakuwa makonda ni first born wamagufuli ambaye alimzaa kipindi anajifunza mapenzi🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️
Mheshimiwa makonda mungu akubariki sana Kwa kazi nzuri unaewatendea watanzania kwani umekua mkombozi wa watanzania... Tunakuomba ututembelee na sisi siku Moja wananchi Wa kata ya KIA wanchi tuna nyanyaswa sana na kampuni wanao jiita CARDCO tunakuomba sana mkombozi wananchi tumenyang'anywa maeneo yetu.
Hongera sana mungu akulinde
Kweli kila nikiangali kazi za makonda naishiakulia.watu wanateseka,wanateswa na viongozi.Makonda Mungu akulinde na azidi kukuongoza. Makonda,mwanangu piga kazi .Tetea wanaoonewa
Asante mungu kwa zawadi hii makonda
Hii nchi kuna watu wanawaonea sana watu .. Hongera Makonda
Asante makonda apo apo dozi juyadozi
Mungu akukumbuke zaidi mheshimiwa Makonda
❤ nakupenda sanawkaka mako mwenyezi mungu akuzidi shie umli mlefu uzidi kupamba nia watu
Mh Makonda Tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki napia kuendelea kutetea haki za Wanainchi hakika umeletwa na Mungu watanzania tuna imani sana nawe
Mungu akubariki san
ubarikiwe sana makonda mungu akupe miaka mingi ya kuishi
Mungu akubariki Makonda
Mh! makonda mungu akubariki sana karbu kwetu Tanga vijiji mnazi kupitia mkomazi mboga zawanyama karibu sana mkuu
Kuna watu wanapaswa kufungwa maisha
Afungwe huyo anayesoma mwizi huyoooo
@@ChalachimuZephania 😅😅😅😅😅
Nice job
Mungu hamtupi mjawake mkonda fanya kazi br.
Mwanangu,hongera kwa kuwasaidia wanyonge wanaonyanyaswa
Km namuona Baba yangu magu hongera kijana
Nakuombea poul makonda mwenyezi mungu Akulinde baada ya miaka mitano mingine ya mama wewe ndiyo uje uwe my president🎉🎉🎉🎉🎉🎉💯🙏🙌🥰👏🤲
Kaka makonda mungu akubariki
Nakupenda sana makonda kila siku nakuonea baba karibu arusha
Tunduma oyeee oyaa soma barua 😂😂😂😂 nimependa hiyooi
Mungu akubariki
Mimi sijawai kuwapenda wanasiasa ila kwa makonda unanishawishi sana allah akulinde inshaallah
Nawapenda Sana viongozi wa Tz mungu awabariki
Makonda Mungu azidi kukulinda....Makonda Mungu azidi kukulinda, maadui zako wote wateleze na kuanguka mbele yako.
Huyu jamaa anaesoma mbabaishaji sana 😂😂😂 au kalewa
bravo makonda for the excellent job
😊😊😊😅😊😊
Mama samiha umefanya mahamusi sahihihi samiha hoyeeeee makonda poa ccm poaaaaaa
Asanteeh
Magufuli number 2! You're the next president baba...u got my vote
Huyo jamaa anasoma barua kama kapiga gongo😅
Kweli bhana atakuwa kapiga kidogo😂😂
Tunduma hoyeee 😃😀😀
Ameanza vzr kusoma lakn mwishoni akaanza kujifanya amelewa
@@MwigaKatumpula-mi3zt😅😅😅😅umeambiwa usome barua
Amepiga Aiseeee
We ni magufuli namba mbili mungu akupe maisha malefu makonda
Makonda mungu akuzidishiye miyaka
Eeh M/MUNGU tusaidie mm amuachie uyu 2025 agombee uraisi🙏
Ubarikiwe makonda ubarikiwe
Aise makonda mungu amubaliki
Mungu akulinde muheshimiwa makonda tunakutegemea sana
Hongera makonda
Magufuli ndani ya makonda 😢
Kwani si ni Magu aliyemfukuza huyo MAKONDA?TUACHE UNAFIKI MPONGEZE MAMA ALIYEMREJESHA? AU UDINI NA UKABILA VINAKUSUMBUA?
Makonda unanipa raha.kweli makufuli halikufunza na ukaitim.mkombozi wa wanyonge❤
Mama huyu anafaaa Kua waziri Mkuu Mama msaidie huyu Kaka mm nampenda Sana
Mungu baba wa Binguni akubariki sana kwa kuwapa nguvu wanyonge.
This is the way I like be faithful
Hapa akipatikana na Sabaya kazi itakuwa nzur
Kabisaa
Na mr polepole
Mungu akulinde makonda
Makonda mungu akupe afyanje teleyele akuongezee nauhaipia
Makonda angalia huyo mama anavyolia NAMI nalia huku Kwa wema wako makonda mungu akulinde sana sana
Ndy inavyo takiwa
Mungu tu amlinde ili ikimpendeza yeye aliye juu ampe uraisi bac
Hatuhitaji Rais Mbumbumbu, uraisi lazima usome.
Jibu p😊😊
safi sana makonda wanyooshe kabisaaaaaa wamezidi uonevu😂😂😂😂😂😂
Viva Makonda you are a leader
Big up bro
Respect kiongoz one day hii nchi itakuelewa 2,nanukuu maneno yako kuwa "usiogope kuonekana waajabu Kama unakitu unakiamini"
Kwel mungu ni mwema,,haku ya mtu haipotei,, Kaka yangu makonda mungu akutunze,,ww nimsema ukweli 🎉
Makonda nimpango wa Mungu🙏
Hao Ni machumia tumbo hovyo kabisa
Mungu akutunze makonda damu ya yesu ikufunike
Nipeni namba yamakonda nimwambie na hawa tiaraei mbeya pare tazala watume mpelerezi
CCM Kuna watu wezi na waonevu tu wanaichafua chama
Binamu umetisha sana
Makonda oyeeeeeee
We makonda yani cc tunalia kila siku tukiangalia Hutuba zako Mungu akulinde
Uko vizuri kagela lini
Makonda mungu akulinde kama mboni
Magufuli amefufuka ndani ya makonda😂😂😂
HAYA wale waliosiki uw TUU gonga like 😂😂😂😂🤣
Tunduma hoyeee 🙆🏾♂️😃😀😀🙌🏻
Nakitambi chake kama kibuyu😂😂😂😂
Mungu akutuze
Makonda the best
Next Prime Minister