🅻🅸🆅🅴 : DKT NSHALA/MWABUKUSI NA FATMA KARUME WANAZUNGUMZA MUDA HUU....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 48

  • @MkJj-m7g
    @MkJj-m7g Год назад +8

    Tatizo hapa kwetu Tz ni Muhimili mmoja kupoka mamlaka ya Mihimili mingine, kwa kudai kuwa wenyewe una mizizi mirefu kuliko Mihimili mingine. Kwa utaratibu huo, suala la haki kwa nyanja zote, tutasubili sana. Bila Watanzania KWA UMOJA kuchukua hatua, tutasubili sana.

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t Год назад

    VIVA DADA YETU FATMA KARUME.....UJUMBE NA MANENO MAZITO KWA MAJAJI NA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI....WATANZANIA TUMEKUELEWA!

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus Год назад +4

    Mwenda zake alipata kusema kuwa;Mimi ndo nawalipa mishahara na posho na marupurupu wote wakanyea. Hivyo ipo kimaslahi.TUTAJIKOMBOA ??

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd Год назад

      TUKIMTUMAINI MUNGU HAKUNA LISILOWEZEKANA KWAKE TUTAJIKOMBOA TENA KWA KISHINDO KWANI NJIA ZA MUNGU HAZICHU GUZIKI!!! USIKATE TAMAA KAMWE. USISAHAU UKATILI WA MAKABURU SASA AFRIKA YA KUSINI NI HURU!!!

  • @mgm412
    @mgm412 Год назад +2

    Mfumo mzima wa haki nchi hii umecorrupt,sababu kuu ni mfumo unasujudi uongozi wa rais kuwa ndio jaji mkuu wa kila jambo nchi hii,majaji wote wanasujudia mamlaka ya rais,bunge pia hivyohivyo, kwa kwl tumekwama

  • @nizwaoman8378
    @nizwaoman8378 Год назад

    Selikali ya tanzania zuluma awana haki

  • @faridaallute208
    @faridaallute208 Год назад +1

    Hapa siyo mahakama yenye tatizo! Matatizo yote ni serikali inayomiliki mahakama na Kila kitu. Miaka 30 Madai ya katiba!!!!

  • @aloycemwambwiga2318
    @aloycemwambwiga2318 Год назад +3

    Fatma ni hazina.

  • @LangasSalash
    @LangasSalash Год назад +1

    Mahakama ya Tanzania imegeuzwa kuwa Mwangamizi ya wa Tanzania ndiyo maana tumekosa ma hali ya kukimbilia kutafuta haki

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Год назад

    Pole sana fatuma karume, inasikitisha mnoo

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo Год назад

    Limama lenuhalina muda was kufuatilia Mambo Mambo ya uonevu Kama haya halina muda kabisa, daaa! Inauma sana

  • @nurumnyumba7964
    @nurumnyumba7964 Год назад

    Imani na mahakama inaisha, sasa yanatoka juu kwa majaji!

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Год назад

    😮😮😮😮😮DAH KUCHEKAA 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Год назад +1

    Ongeleeni sera zenu na siyo umbea tu😢😢..
    Iam fed up 😢😢

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Год назад +1

    Wananchi tunajiuliza maswali magumu kuhusu mahakama zetu, Kosa alilotuhumiwa nalo, linampa hukumu miezi 6 kukiuka maadili ya uwakili lakini hakushtakiwa wala hakupewa onyo,na muda wa kujitetea! Ni kwa sheria ipi ya kikatiba inayoruhusu mtu kunyang'anywa haki yake ya kuishi kwa muda usiojulikana, sheria ambayo mtuhumiwa akiishtaki mahakama haitailetea serikali na wananchi hasara ya kumlipa gharama ya fidia

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 Год назад

    Hatun

  • @PembaOnline
    @PembaOnline Год назад +1

    Tatizo hao majaji ni watumishi wa raisi ndiomaana yote hayo yanatokea. Bosi wao ni raisi unadhani wataenda tofauti na interest ya raisi?

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 Год назад

    Serikali ya CCM imefeli mojakwamoja. Yaani uzembe wote mnaofanya kwa Watanzania mmemkabidhi MAKONDA, SHIT!

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t Год назад

    INASIKITISHA SANA KUONA MAHAKAMA ZETU ZIMEKUWA TAWI LA SERIKALI....WANANCHI WATAKAPOCHOKA WATAANZA 'KUWASHAMBULIA' NA 'KUWAUAWA' MAJAJI NA MAHAKIMU MTAKAO KUWA MNATO HUKUMU ZA OVYO KAMA HIZI ZA KUWAFUNGIA MAWAKILI WAZALENDO WA TAIFA HILI.

  • @allyjama3552
    @allyjama3552 Год назад

    Nchi ambayo wachache tu ndo wanafaidika, ni dictatorship m'wenye system ya kuwanyima haki wananchi wake ili wasipate mahali pa kwenda kudai haki zao

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t Год назад

    OMBI MAALUM KWA MAWAKILI WAZALENDO WETU.... KWA UMOJA WENU PELEKENI MASHITAKA NA MALALAMIKO YENU KWENYE MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI NA MAHAKAMA YA AFRIKA.....ILI ITOE HUKUMU YA KUIAIBISHA MAHAMAKA YA TANZANIA NA MAJAJI WAKE DUNIANI! NA TUNAWAALEZA MAJAJI WETU....SISI WATANZANIA SIO WAJINGA!

  • @lgf7297
    @lgf7297 Год назад

    Activist Judges

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Год назад

    Wamludishie fatuma karume cheti chake, kingine msijali kuchukua cheti cha mwabukusi, moto utawaka

  • @SaidiMohamedi-n2u
    @SaidiMohamedi-n2u Год назад

    Hii nchi

  • @saturinimushi4746
    @saturinimushi4746 Год назад

    Vichwa kama hivi vinapozungumza Mimi Huwa Naahirisha KULA ili Nimeze Madini ya Wasomi Walioelimika.

  • @ChristerShao
    @ChristerShao Год назад +2

    TLS,inawasaidiaje?

  • @frankmaeda4284
    @frankmaeda4284 Год назад

    Yote haya ni katiba pungufu ya utekelezwaji wa vipengele mahususi. Madaraka yanazidi katiba

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 Год назад

    Usiku umeendelea Sana

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 Год назад

    Hatuna mahakama tantania tunakikundi Cha kijambazi chakutukandamiza na kututisha

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 Год назад

    Kuna nini tena jamani

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar Год назад

    MUNGU ni mwema shangaz naona unatiririka MISINGI hadi inatia uchungu katika tasnia ya sheria

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Год назад

    Kwakuwa kichama na kikatiba tangu mwanzo taasisi moja ilipewa mamlaka makubwa ya Rais kuteua mihimili yote,na idara zote, basi taasisi hii ndio inabeba kila lawama na dhambi zinazofanywa na wateule wake walio chini ya mamlaka yake. Kwa Muundo huu wa Serikali,Bunge,na Mahakama kumilikiwa na mtu mmoja kiuteuzi ni dhahama tupu kwetu Watanzania!, wananchi sasa tunajua ni utawala wa kifalme wa ccm, kila kitu anaamua yeye na washauri wake mbele ya baraza lake la utawala, na ndio sababu mamlaka inang'ang'ania katiba hii, haitaki mchakato mzima wa kupatikana katiba mpya ya wananchi!. Nyakati zile za chama kimoja, Nyerere alipewa majina mengi mitaani kutokana na katiba hii hii! Musa,Mchonga,Haambiliki, Mzee kifimbo,na jina moja la Mwalimu ambalo ndio cv yake na alilipenda.

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Год назад

    Msijalibu kuchukua cheti cha mwabukusi. Acheni. Moto utawaka

  • @ChristerShao
    @ChristerShao Год назад

    Hiyo point Fatima,kea nini kuwe na misululu kulalamika? Hilo shida kubwa.

  • @MUZIMAFrederick-mg2cm
    @MUZIMAFrederick-mg2cm Год назад +1

    Pambaneni mukatoke jalalani !

  • @MaseleMuhhi
    @MaseleMuhhi Год назад

    Hapo Ndiyo Utnapojifnza, Wakili Cyo Mungu, Kesho Kuna Makubwa,,!

  • @ChristerShao
    @ChristerShao Год назад

    Hivi wenye mamlaka wanajisokiaje?

  • @paull8659
    @paull8659 Год назад

    Mpoki siyo Mwabukusi aloo rekebisha heading guys

  • @lgf7297
    @lgf7297 Год назад

    This is a circus or what?

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Год назад +1

    Wananchi tunajiuliza maswali magumu kuhusu mahakama zetu, Kosa alilotuhumiwa nalo, linampa hukumu miezi 6 kukiuka maadili ya uwakili lakini hakushtakiwa wala hakupewa onyo,na muda wa kujitetea! Ni kwa sheria ipi ya kikatiba inayoruhusu mtu kunyang'anywa haki yake ya kuishi kwa muda usiojulikana, sheria ambayo mtuhumiwa akiishtaki mahakama haitailetea serikali na wananchi hasara ya kumlipa gharama ya fidia