FATMA KARUME AMJIA JUU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI/MNATUDANGANYA/MAKONDA ANATOA HUKUMU PAPO HAPO..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 52

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 Год назад +1

    Ahsante, umesema vizuri sana na nimefurahi zaidi kwamba kwa mbali unamkumbuka Mungu, Alhamdullillah, Mungu akuoneshe njia iliyonyooka ili pamoja nasi tupate mwisho mwema.

  • @spabiton7989
    @spabiton7989 11 месяцев назад

    your very right dada I love your world

  • @WilisonBagumya
    @WilisonBagumya Год назад +3

    In fact you said true

  • @salama1113
    @salama1113 11 месяцев назад

    Asante mama

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 8 месяцев назад

    Facts Fatma 💯👍🏽

  • @AllyMpandu
    @AllyMpandu Год назад +2

    You are right Fatuma, kuna kesi Ars imeamuliwa na jaji ,kesi ya mirathi, jaji amethamini karatasi ya manunuzi kakataa karatasi ya mahakama ya wilaya ya mgawanyo wa mali toka kwa msimamizi wa mirathi; ukiisoma hiyo hukumu ni Vichekesho

  • @MohamedBilal-w6m
    @MohamedBilal-w6m Год назад +3

    Mama fatma hongera sana haki ya mungu nimekuelewa

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Год назад +2

    Naomba mama apeleke Bunge mabadiliko ya sheria na katiba muhimili wa katiba uondoke hatuutaki shetani hawa .mahakama hazini kazi ni viwanja vya mnada

  • @AlyKhamis-k5e
    @AlyKhamis-k5e 11 месяцев назад

    Fatuma uko sawa

  • @FedyKafyulilo-iz2nw
    @FedyKafyulilo-iz2nw 11 месяцев назад

    Safi mama

  • @zakaria924
    @zakaria924 Год назад +2

    Ujumbe UMETUMWA na KUPOKELEWA 🙏👏🤝

  • @evelynmwabuki7589
    @evelynmwabuki7589 Год назад +2

    Ukweli mtupu! Kila idala na kila taasisi ikitiza wajibu wake kwa haki matatizo mengi yatapungua!

  • @MarkoWMichael
    @MarkoWMichael 11 месяцев назад

    Yaan mahakama za Tanzania ni kawa haziendeshwi na binadamu wa kawaida yaan utu hawana kabisaaaa Mungu atawalipa mnachezea Nafasi nyeti sana

  • @nabimanyafesto5014
    @nabimanyafesto5014 Год назад +1

    Yesi

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 11 месяцев назад

    Asee unatakiwa dada huishi sana

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 Год назад +3

    Fatma na wanasheria wote walionyanganywa leseni na Feleshi warudishiwe Leseni zao maramoja.Huu ni ujinga wa hali yan juu wa CCM.

    • @ombenimunisi6311
      @ombenimunisi6311 Год назад

      Wamemshtukia kwamba anafahamu kuwa walimlima babu yake kwa ajili ya kufahamu ukweli babu aliingizwa cha kike

    • @AlanMbilinyi
      @AlanMbilinyi 11 месяцев назад

      WAOTENDA HAKI MNAWANG'ANYA LISENI KAMA AKINA FATUMA KARUME,NAMWABUKUSI HAWA NIWATETEZI WA WATU MNAPWNDA WAWE KAMA NYINYI WA KUWAONEA WATU .TENAMASKINI NDIYO WANAOFUNGWA ZAIDI NYINYI HATA MKIUA HAMFUNGWA WAKUBWA MNALINDANA.KAMA ALIYEKUWA NAIBU WA SHERIA GEKUL BADO YUPO NJE UPELELEZI BADO WAKATI USHAHIDI UPO HAYO YOTE JAJI MKUU UPO UNAONA.UANASIMAMIA UJINGA KAMA HUO.HIYO NDIYO UTAWALA WA CCM UMEJA RUSHWA NA UONEVU.MNANG' ANIA KATIBA MBOVU KWA SABABU INAWALINDA ,MUNGU ANAWAONA BORA MUNGU AWAHUKUMU KWA UDHALIMU WENU.

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 11 месяцев назад

    Facts tupu anaongea fatuma

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Год назад +1

    Huo ndiyo ukweli kwani wanaosababisha matatizo ni wao serikali.Ndiyo maana wasababisha matatizo eti ndiyo wanajifanya wanatatua Kwa sababu wapo kutafuta kura

  • @faustinemangula8424
    @faustinemangula8424 Год назад +2

    Makonda akumbukwe yeye ni mwana ccm, miaka zaidi 60 nchi haijawahi kutawaliwa na chama nje ya chama chake (ccm) Makonda analia na nani? Wakati Chadema hakujawa kutawala?

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Год назад +1

    Mimi ni firector mmoja katika kampuni.Kampuni ilimpa jamaa mmoja kazi ikamshinda baadae akawa anadai kazi kidogo aliyofanya .kampuni ikamlipa party payments .Hakuridhika akaja achukua magari yangu binafsi akapeleka nyumbani kwake kwa miaka mitatu.baada ya hapo akaniprleka mimi na kampuni mahakamani kudai .Eti mahakama. Ikasema nilipe mimi na kampuni na yale magari akachukua huu ni unyasaji.nilikuwa nilienda mahakama namkuta mdai wangu yupo na hakimu hakafu naitwa kama mbwa nakufokewa .yani mahakama zetu zimeoza zote .yani yakitokea machafuko Tanzania mwanzilishi ni mahakama .

    • @syliviakente9460
      @syliviakente9460 Год назад

      Unasema hayo sisi hakimu mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo kacheza na kubadilisha Will.ya baba yetu na kufanya upuuzu mkubwa Sana, imagine Mirathi ilishafunguliwa huko nyuma za mali hizo utaratibu wote wa ugawaji upo wazi , kampatia mwana familia ambaye ni Shangazi yetu baadhi ya mali hizo na si mhusika mgogoro mkubwa sana, Shangazi.kakimbilia mahakama nyingine na kufungua mirathi kwa mali hizo hizo pia kaka yetu anatudhulumu kwenye mirathi , Ila ipo siku wataumbuka,

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 11 месяцев назад

    Kumbe tz ipo siku kitawaka

  • @SimonMaregge
    @SimonMaregge Год назад

    Uyu mama apewe maua anaelimu kubwa tuna mwelewaa sana

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 11 месяцев назад

      Afutiwa leseni ya uwakili kwa mambo ya kupambania haki

  • @JonasKatundu
    @JonasKatundu 11 месяцев назад

    Msomi huko sahihi mfumo humefeli makonda hanakopita Hana waumbua kuwa hawafanyikazi zao vizuri. Watu wanasema migogoro Yao walikwenda Kwa mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, mtendaji wa kata, mtendaji wa Kijiji, mwenyekiti wa Kijiji, wapi hamehona hao Wananchi migogoro Yao wamepeleka kanisani au msikitini. Hao Wananchi Wana huelewa kuliko hanavyo zania yeye. Wafanye kazi wasisubiri taarifa kuletewa

  • @obadiajuma436
    @obadiajuma436 11 месяцев назад

    Nikweli nifelia UB

  • @SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
    @SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz Год назад +1

    Kazi ya kiongozi au viongozi ni kutatua shida au kero za umma

  • @chrispinmavukilo4238
    @chrispinmavukilo4238 Год назад

    Shangazi umenena
    Watendaji wote wa serikali wamefeli,kinchofanywa na makonda nikuzidi kukidhalilisha chama chake

  • @ruwaichijoseph5946
    @ruwaichijoseph5946 Год назад +2

    Wanaona wananchi wate ni wajinga kama wao aibu ya watawala tanzania ccm vilaza wote

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke Год назад

    You see what they can't see

  • @saidally6981
    @saidally6981 11 месяцев назад

    Jaji mkuu hata huko unaongeza ruswa jiuzulu tu waachie waadilifu umeshindwa mahakama no maduka yenu.

  • @GraceMkandawile-j5w
    @GraceMkandawile-j5w Год назад +1

    Saf

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Год назад +1

    Rudhwa na dhuluma zimejaa mahakamani hakuna haki.Mimi hakuna watu nao wachukia ka watuishi wa mahakama na mashetani .Natamani siku machafuko yatokee
    Hawa watu wamahakama watakuwa na kazi ngumu kupita mtuu yoyote.

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 Год назад

    Siyo rahaisi kukusanyika nawewe kajaribu uhone

  • @saidally6981
    @saidally6981 11 месяцев назад

    Acha ujinga bora makonda koliko mahakama kuliko mwanashea mkuu anakula kodizietu hamna kazi anafanya hiyo unataka uongezewe pajeti ya malalamiko ili upate ulaji.

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Год назад +1

    Hi ichi mtihani kwl mtu aliewekwa kusimamia haki za watu anakua kada wa ccm nakutetea walioko madarakani

  • @saidally6981
    @saidally6981 11 месяцев назад

    Jaji mkuu unasema viwekwe vituo vya kusikiloza kero za wananchi wewe na mahakama kazi temp nn

  • @spabiton7989
    @spabiton7989 11 месяцев назад

    Kuna wafugwa wa Ethiopia Somali Nigeria but Hawa rudishwi kwao Nini mbaya

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 11 месяцев назад

    Majaji na mahakim wako ki mchongo nchi ya Tanzania

  • @MikereMio
    @MikereMio Год назад

    wazee wenu sio ndio wapo madarakani , kazi yao ni kuiba tuu

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 11 месяцев назад

    Fatuma nakukubar

  • @saidally6981
    @saidally6981 11 месяцев назад

    Jaki mkuu umeshindwa jiuzulu umeshindwa

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Год назад +1

    Mashetani hawa

  • @AdamFundikira-jb9vq
    @AdamFundikira-jb9vq Год назад

    Mwanasheria mkuu mpumbavu tuu

  • @SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
    @SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz Год назад

    Acheni unafiki na ujinga nyinyi mmeshiba

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 11 месяцев назад

    Huyu mwanasheria mkuu kajikanyaga tuu hajielewi nadhani hicho cheo alikipata kwa bahat mbaya.maana anataka kuanza tena kuomba bajeti ya kujenga nyumba tena za kusikiliza malalamiko hizp zilizopo zinafanya nini