My tears can not stop forever...Maalim Seif...I have nothing to say now cs mdomo wangu umeishiwa na la kusema...Yaaa Rabbi tunakuomba umswamehe dhambi zake na umlaze mahali pema peponi Aamin
Si wame mdhulumu haki yake mbona tuna ona wazanzibari wanavyo mlilia maallim Seif. Mwenye Enzi Mungu amrehemu amlaze pema peponi amjaalie katika as'habul yamiin ampe kauli thabit yaarab ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia, allahumma ameen yaarab
اللهم أغفر له وارحمه وعافه واعف عنه واكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس وابدله دار خيرا من داره واهلا خيرا من اهله وادخله الجنة واعذه من عذاب القبر و من عذاب النار
Munayataja mambo ya siasa tu. Lakini hamuyataji alikuwa mtu wa aina gani. Naona mumesahau hikma zake, misaada yake na uaminifu wake. Wana siasa karibuni wote wanamajumba ya horofa na utajiri mwingi kwa kuiba mali ya uma. Yeye alikuwa anaishi maisha ya kawaida hakuwa na ubinafsi.
WALLAH SITOACHA KUKUOMBEA DUA PALE NNAPO MALIZA SWALA WEWE NA WAZEE WETU NA WALIO PIGANIA DINI NA KUIYOMBEA DUA NCHI YANGU ZANZIBAR 😢😢 ALLAH AWAEKE MAHALI PEMA PEPONI WAZEE WETU NA WAISLAM WOTE KWA UJUMLA NA SISI TUJAALIE MWISHO MWEMA TUKAKUTANE NA VIPENDWA WETU PEPONI 😢😢😢😢
Nimezaliwa 20o1 lakini nampenda Mwalim sef kma nimezaliwa mwaka mmoja na yy😥ckuona ujana wake.ila uzee wake nimeujua utu wakee .Kila nikiangalia na nikikumbuka kifo chake machozi yananitoka .Allah amsamehe na ampe pepo ametutetea na ametetea wazazi wetu wa Zanzibar
innalillahi wa inna ilayhi raajiun , Allah akupe nuru katika kaburi yako, ajaalie Ramadhani hiyi iwe ni neema katika kaburi yako , Allah aitukuze nyumba yako ya milele , Allah akupe marafiki wema malaika wake , pumzika kwa amani inshaallah tutaonana , kila nafsi itaonja umauti
Ni kweli hakushindwa lakini haya yote ya nini na kuna haja gani ya kuyaeleza??!! tuyaache tu yabaki ktk nyoyo zetu lkn hakuna haja ya kuyaeleza mbele ya mitandao hayataleta faida zaidi ya kutuchafulia amani, ikiwa sisi tunampenda maalim bas tumuenzi kwa kuwa pamoja bila kubaguana na kuheshimu kifo chake kwa kutenda mema aliyotuachia tuyatekeleze sio tuanze tena maneno yasiyo na maana yaliyopita yamepita tuangalieni haya tuliyonayo sasa 😭😭😭
Allah atamlipia dhulma aliyofanyiwa yeye na Wazanzibari. Sera inatolewa ni ya kuogopa serikali. Poleni .Mutafaulu siku za Usoni. Muwe na subira. Subira huvuta kheri
Kukosekana kwa tume huru ya uchaguzi ktk chaguzi zote hizo ndio sababu ya kupindua matokeo zanzibar mwenye kushinda anapangwa kushindwa na mwenye kushindwa anapangwa kushinda coz hata ukiangalia mpishano wa asilimia za ushindi ktk chaguzi zote 5 unaona kabisa ni matokeo ya kupangwa(ubabaishaji)
@@pilabiliani9394 mie ntaiweka kwenye nn na sina channel, nimetoa tu ushauri kwasabab kuna mengi yameachwa pengine wanaogopa kusema lkn kapitia mengi sana yule Mwamba.
Maalim hakuna uchaguzi hata mmoja aioshindwa ispokua wizitu uliokua ukifanyika na dhulma wamesahau kua cheo kinamdawake uyo salmini nawengineo walomdhulumu saivi wakowapi siwalitumikia namdawao ukaisha mbona hawakubakia hadileo wakazidi kutamba ikulu na majukwaani mwisho yy kawakipofu atakula km hajashikwa mkono bc analalanayo wamebakia nahao wengine ss nao mungu anawaona
Ukisema bila mafanikio muongo hakuna uchaguzi alioshindwa walimuibia tu na watakwenda kumlipa haki yake huko mbele anawasubiri yeye keshatangulia na wao wajipange kumfata kwenda kumpa haki yake
Yaani mumejititumuwaweeee kwanin musingefanya utafiti wa wahistoriya yake hivi hamuoni hamumtendei haki yaani ktk storiyke nyinyi global. nisawa nakudondosha chozi ktk bahari kwenye stori yake yaaani storiyayake nikubwa mnoo mnoo mnoo atahamjawaza ila mupewe pongezi alau kidogo
Mwenyekiti yupi na Lipumba alikwisha jiuulu...MAALIM HAKUA NA MGOGORO NA LIPUMBA MANA LIPUMBA ALIKUA KESHAJITOA..KILICHOTOKEA NIUHUNI TU ULIOTENGENEZWA NA WATAWALA
My tears can not stop forever...Maalim Seif...I have nothing to say now cs mdomo wangu umeishiwa na la kusema...Yaaa Rabbi tunakuomba umswamehe dhambi zake na umlaze mahali pema peponi Aamin
Allahumma ameen
Ameen
Inalillah wainailaihim rajuhun Allah amsameh mazambi yake na sisi atujaaliye mwisho mwema Insha Allah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Namkubali sana Maalim Seif pia na huyu Mtangazaji Historia
Pumzika kwa aman baba yetu mpendwa tulikupenda sana😭 ila mola wetu amekupenda sana😭😭🙏
Si wame mdhulumu haki yake mbona tuna ona wazanzibari wanavyo mlilia maallim Seif. Mwenye Enzi Mungu amrehemu amlaze pema peponi amjaalie katika as'habul yamiin ampe kauli thabit yaarab ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia, allahumma ameen yaarab
اللهم أغفر له وارحمه وعافه واعف عنه واكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس وابدله دار خيرا من داره واهلا خيرا من اهله وادخله الجنة واعذه من عذاب القبر و من عذاب النار
Sijaona kiongozi mwenye moyo mzr kwa sasa baada kufa kwake.
Allah amrehemu
Munayataja mambo ya siasa tu. Lakini hamuyataji alikuwa mtu wa aina gani. Naona mumesahau hikma zake, misaada yake na uaminifu wake. Wana siasa karibuni wote wanamajumba ya horofa na utajiri mwingi kwa kuiba mali ya uma. Yeye alikuwa anaishi maisha ya kawaida hakuwa na ubinafsi.
WALLAH SITOACHA KUKUOMBEA DUA PALE NNAPO MALIZA SWALA WEWE NA WAZEE WETU NA WALIO PIGANIA DINI NA KUIYOMBEA DUA NCHI YANGU ZANZIBAR 😢😢
ALLAH AWAEKE MAHALI PEMA PEPONI WAZEE WETU NA WAISLAM WOTE KWA UJUMLA NA SISI TUJAALIE MWISHO MWEMA TUKAKUTANE NA VIPENDWA WETU PEPONI 😢😢😢😢
Hii historia bdo kbsaa yaan bdoo hswaa ifuatilie tn historia yke vzri maan umepndisha pindishaa
Nimezaliwa 20o1 lakini nampenda Mwalim sef kma nimezaliwa mwaka mmoja na yy😥ckuona ujana wake.ila uzee wake nimeujua utu wakee .Kila nikiangalia na nikikumbuka kifo chake machozi yananitoka .Allah amsamehe na ampe pepo ametutetea na ametetea wazazi wetu wa Zanzibar
Hata ww mwenyew hujaifahamu vzr historia ya Maalim Seif
Global TV mngeenda kuisoma vzr kwnz halaf ndo mkaileta hapa
Kwanini unasema ivo
Kuna mengi kayawacha kuliko ayoyasema hapa
Kwa kawaida hiyo inakua ni surmar tu,kwani igekua Hivyo unavotaka ww tungekua tuna sikiliza habr mojo tu ya global zaidi ya siku 3 mfululizo.
Muko sawa mumeniliza kwakunikumbusha kifo Cha raisi wangu maalim seifu nitamkumbuka sana
Inalillah wainailaihim rajuhun Allah amsameh mazambi yake na sisi atujaaliye mwisho mwema Insha Allah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Nikimuona maalem machozi yananitoka allah akurehemu maalem
Mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu za kaburi insha Allah.
❤❤❤❤
Mung amlaze pema pepon amin
innalillahi wa inna ilayhi raajiun , Allah akupe nuru katika kaburi yako, ajaalie Ramadhani hiyi iwe ni neema katika kaburi yako , Allah aitukuze nyumba yako ya milele , Allah akupe marafiki wema malaika wake , pumzika kwa amani inshaallah tutaonana , kila nafsi itaonja umauti
Allah akufanyie wepesi
Pumzika baba kw salama tulikupenda ila Allah kakupenda zaid
Yani ipo ivi maalm alishinda karibia chaguzi zote na hii story bado embu wananchi tuungane kwawingi ili watuwekee story yote yaseif hapa🙏🙏
Nikweli hajawai shndwa uchaguz
Ni kweli hakushindwa lakini haya yote ya nini na kuna haja gani ya kuyaeleza??!! tuyaache tu yabaki ktk nyoyo zetu lkn hakuna haja ya kuyaeleza mbele ya mitandao hayataleta faida zaidi ya kutuchafulia amani, ikiwa sisi tunampenda maalim bas tumuenzi kwa kuwa pamoja bila kubaguana na kuheshimu kifo chake kwa kutenda mema aliyotuachia tuyatekeleze sio tuanze tena maneno yasiyo na maana yaliyopita yamepita tuangalieni haya tuliyonayo sasa 😭😭😭
@@abcdabcd1605 nikwl
Umeyandaa histolia kwakulupka kutaim wenye fani hiyo
Allah amrehemu
Amiin
Allah akupe nurru kwenye kaburi lako maana hukupumzika, hukupumzika, hukupumzika kudai Haki za wazanzibari hadi ukaingia kaburini😢
Allah atamlipia dhulma aliyofanyiwa yeye na Wazanzibari.
Sera inatolewa ni ya kuogopa serikali.
Poleni .Mutafaulu siku za Usoni.
Muwe na subira.
Subira huvuta kheri
Innalillah wainah Rajiun 😭😭😭😭😭
Sote tunajua mara zote alishinda
Rest in peace our teacher our icon of democracy n peace
Kukosekana kwa tume huru ya uchaguzi ktk chaguzi zote hizo ndio sababu ya kupindua matokeo zanzibar mwenye kushinda anapangwa kushindwa na mwenye kushindwa anapangwa kushinda coz hata ukiangalia mpishano wa asilimia za ushindi ktk chaguzi zote 5 unaona kabisa ni matokeo ya kupangwa(ubabaishaji)
Amoin
Allahakunawirishie kaburi lako Mwalim Seif
Dah hamjaitendea haki historia yake kuna mengi mmeyaacha, fatilieni tena historia yake mje mtuwekee hapa
Thank you
Tuwekee wewe unayeijua vizur
@@pilabiliani9394 mie ntaiweka kwenye nn na sina channel, nimetoa tu ushauri kwasabab kuna mengi yameachwa pengine wanaogopa kusema lkn kapitia mengi sana yule Mwamba.
@@khatibuhijja459 asa huna channel umekoment vip huku ndanii mkuu
@@Leo-ngende sina maana sina sehem ya kupost na kila sehem ina utaratib wake
Maalim seif tutamkumbuka daima
Maalim hakuna uchaguzi hata mmoja aioshindwa ispokua wizitu uliokua ukifanyika na dhulma wamesahau kua cheo kinamdawake uyo salmini nawengineo walomdhulumu saivi wakowapi siwalitumikia namdawao ukaisha mbona hawakubakia hadileo wakazidi kutamba ikulu na majukwaani mwisho yy kawakipofu atakula km hajashikwa mkono bc analalanayo wamebakia nahao wengine ss nao mungu anawaona
Innallillahi wainnaillaihi rajiun 😭
Makubwa tusio yajua huruma pole Sana maalim
Tunakupenda baba yetu, tutaendalea kukumiss😭😭😭
Forever
Huyu mzee wazanzibar walimpenda kwa takwimu hizo zinaonesha alikua mahindi sema duniani Kuna mambo
Nyie GB Tv Kwanza kaisomeni tena historia ya Maalim seiff.
Ukisema bila mafanikio muongo hakuna uchaguzi alioshindwa walimuibia tu na watakwenda kumlipa haki yake huko mbele anawasubiri yeye keshatangulia na wao wajipange kumfata kwenda kumpa haki yake
Watampaje haki?
Akili mavi
@@depaolo3461 kama yako au ndo yenye harufu mbovu mm yangu yananukia udi na asumini
Hahaha... aiseee, who told u kuna maisha mengine?
Kabisa watamlipa allah hasinzi wala halali namungu niwetu sote
Wamemtesa Sana.
Wanajua ila kwenye wasifu hawajasema
Hawaachi kujuta haoo walio mdhulumu Allah alitie Nuru Kaburi lako Sef wetu🙏 Tutakukumbuka daima baba yetu Wazanzibar 😭😭😭😭
Msimulizi umefili uyu mzee alishaongoza Zanzibar kama makamu wa kwanza wa raisi selekali ya sheni 2010 hadi 2015
Mengine sio kweli
Kila mmoja wetu
Ataulizwa kuhusu umri wake siku ya kiama.
😕😕😕😕
Yaani mumejititumuwaweeee kwanin musingefanya utafiti wa wahistoriya yake hivi hamuoni hamumtendei haki yaani ktk storiyke nyinyi global. nisawa nakudondosha chozi ktk bahari kwenye stori yake yaaani storiyayake nikubwa mnoo mnoo mnoo atahamjawaza ila mupewe pongezi alau kidogo
@Adrash Abdallah umesoma vizuri? nakubali binaadamu hatunashukrani ila rudi usometena ujumbe wangu nafkiri haujaufaham huenda ukaufaham angalizo usikurupukie kitu usichokifaham
Mwenyekiti yupi na Lipumba alikwisha jiuulu...MAALIM HAKUA NA MGOGORO NA LIPUMBA MANA LIPUMBA ALIKUA KESHAJITOA..KILICHOTOKEA NIUHUNI TU ULIOTENGENEZWA NA WATAWALA
Matokeo yote ni fake, ni matokeo ̂ya kubadilkshwa, 2020 Maalim Seif ameshi nda lakini ZEC na Usalama wa Tanganyika wàkamapa Ushindi Hussein.
bado hujaijuwa histriya ya malim wwe unazugatuu
Historia bado
🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Jecha ypo,wp,naon,hatumsikiy tn
We umekurupuka naona huijui historia yake vizuri.
Yan huyu alikua anataka awe wa kwanza kutoa historia yake lakini wala hajui mengi
HAKUNA HIYO HISTORIA YA KURA NI UONGO HAWAJAWAHI KUMSHINDA MAALIM SEIF KWENYE CHAGUZI ZOOOOTE ....NA UKWELI WANAUJUA
😭😭😭 kwa dhulma aliozulumiwa kila miaka 5
Wala husemi alivo pata mateso
Hahika Huyu mkombozi wetu
Historia gani io nayo ovyoo usituzingue
Wanafika watu WA TV hizi.
Mtu akiwa Hai hata kutaka Jina lake tuu wa naogopa. Akifa ndio wanamwaga sifaaa
Shkamooo
Fanyeni utafiti hamkuipata historiaya yake
CUF ya JAMES Mapalala ni ipi na CUF hii ni ipi ,lkn Bora mtuma post hii umejitahidi kueleza vizuri maana wengine hawasemi Kama aliwai japo kukamatwa
Kwenye stori hujazungumzia nafasi yake ya umakamu wa Rais wakati wa Dk Shein.
Bado history yako hamjatendea haki fatilieni tena
😭
Bado hmjapata historian yake
K
Mueka fup
Nendeni mukafuatiliye historia ya mwalimu ya haki baadaye mutoe part 2
Weziwakubwe mmenyanyasa sana maalim