Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 3/5

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 332

  • @AbdiBanda-p9z
    @AbdiBanda-p9z 13 дней назад +1

    Allah akulipe kheli na masheikh walio tangulia abuud rogo sheikh abubakali makabuli Aliah awalipe kheli inshaallah sote njianimoja

  • @salehrasta9165
    @salehrasta9165 4 года назад +32

    Yaa Allah nakuomba mrehemu shek ilunga na uwarehemu waislamu wote walotangulia mbele ya haki na sisi utupe mwisho mwema,aamin.

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 Год назад

      آمين يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين

    • @iddiperembo1607
      @iddiperembo1607 Год назад

      Ameen

    • @feruziabdallah3832
      @feruziabdallah3832 6 месяцев назад

  • @mzeebaba3632
    @mzeebaba3632 5 лет назад +36

    Dah huyu sheikh Allah ampe makazi mema huko alipo, kwa kweli yuko vizuri sana.

    • @khadijaally7478
      @khadijaally7478 4 года назад +1

      Mzee Baba allahummah amiin

    • @mizoyapuga8103
      @mizoyapuga8103 4 года назад +1

      Khakika maneno yenye kuyafuata na Allah ampe makazi mazuri uko akhela

    • @meddykeita5220
      @meddykeita5220 3 года назад

      Allah akulipe pepo shekh ilinga ulijitahid kupiginia dini yako

  • @husseinramadhan3515
    @husseinramadhan3515 5 лет назад +13

    Maandiko yanasema sema u kweli japokua mchungu Allah akulipe sheikh kwa u kweli uliosema bila kuwa na hofu ya viumbe

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 Год назад +4

    Allah akupumzishe pema.
    Hazina imepotea😭😭🙏

  • @wachugypsumtz2061
    @wachugypsumtz2061 5 лет назад +26

    May Allah grant u Firdaus Sheikh Ilunga...Ur words will last Forever.

    • @victorsanga2229
      @victorsanga2229 5 лет назад +4

      ni hakika CCM haijawayi kushinda Zanzibar!!

    • @kamboarheritage461
      @kamboarheritage461 5 лет назад +2

      Never to the end

    • @simonmagaigwa6634
      @simonmagaigwa6634 5 лет назад +2

      Kama hamtaki muungano isiwe tabu. Acheni kutuwekea mihadhara na kueneza chuki.

    • @khadijaally7478
      @khadijaally7478 4 года назад +1

      Wachu Gypsum Tz Allahummah Amiin

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 Год назад

      آمين يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين

  • @HalifaAli-x4s
    @HalifaAli-x4s Месяц назад +1

    mwenyezi mungu akupe makazimema huko uliko amina

  • @kaishazabengesi2971
    @kaishazabengesi2971 5 лет назад +15

    I love this great man for what he used to stand for. May HE WHO HE IS enlighten him to see what he as mortal cannot see.

  • @athmanchihangu3384
    @athmanchihangu3384 4 года назад +13

    Nakuelewa sana maalim wangu Ilunga. Allah akujaalie sana huko uliko

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr Год назад +1

    He is very intelligent person,may Allah grant you firdous.ameen

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 4 года назад +6

    Allah mlaze shekhe wetu ilunga pepon amiina

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 2 года назад +6

    Allah akurehem shekh ilunga,mlikuwa wachache sana duniani

  • @hassanbukukwe6097
    @hassanbukukwe6097 5 лет назад +10

    Allah Akuweke Ktk pepo ya firdaus

  • @othmanmasilamba3844
    @othmanmasilamba3844 4 года назад +13

    Allah akurehem baba yangu ilunga......

  • @amourjuma1441
    @amourjuma1441 4 года назад +2

    Mungu amlaze mahala pema peponi inshaallah ni watu wachache ambao Mungu amewapa uwezo km WA shekh ilunga ni jassiri

  • @nurumaulid9962
    @nurumaulid9962 5 лет назад +9

    Allah akurehemu babaangu akulipe kwa mema yako.

  • @khalfanamour1022
    @khalfanamour1022 Год назад

    Allah hajayasahau kwa walio kufanyia madhalim hesabu yao ipo kwa allah moto watenda kuteketea mungu akupe kauli sabit

  • @wastambuli8039
    @wastambuli8039 4 года назад +10

    Nimesikitika kutozungumza na huyu Shehe, ningepata faida nikiwa mwandishi, Inalilah Wainailaih Rajiun,

    • @tashone7884
      @tashone7884 Год назад

      Wapo wasomi walikuwa pamoja na Marhem Ilunga
      Mtafute Mohamed said au mtafute u tube
      Katunga vitabu vingi

  • @kassimmurji2872
    @kassimmurji2872 2 года назад +2

    Umemaliza kazi yako kila muislamu anajua historia na mungu akuhitadhi

  • @salumnyenye7566
    @salumnyenye7566 Год назад +1

    Allah akujalie upate kauli dhabiti insha'Allah

  • @jamalsheikh9610
    @jamalsheikh9610 9 месяцев назад

    Ameen Ameen Yarab Thumah Ameen Wabillahi Tawfiq InshAllah 🤲🤲🤲. from Malindi Sub County Kilifi County Kenya Jamal Sheikh

  • @saidsahd1971
    @saidsahd1971 5 лет назад +10

    Mungu akupumzishe mahala pema peponi Amin ni ukweli mtupu uliouongeaa

  • @mumybhay4984
    @mumybhay4984 5 лет назад +13

    Sheikh mungu akupe malazi mema..mpenda kusema ukweli alhamdulilahy Mungu akupe nour ya kabri lako.

    • @omarymnola1011
      @omarymnola1011 5 лет назад +1

      Allah ampe makazi memaa kipenz changu Sheikh ILUNGA

    • @ismailramadhani3813
      @ismailramadhani3813 4 года назад +1

      Shekhe ilunga mungu akupandishe daraja LA pepo firidausi

    • @khamismohamed8374
      @khamismohamed8374 3 года назад

      Allah akuzidishie nour katika kaburi lako

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 Год назад

      آمين يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 года назад +1

    MA SHAA ALLAH MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI AMEEN YA RABI ALLAMEEN GENIUS LION OF AFRICA

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 Год назад

      آمين يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين

  • @abuubakalmtangenange4389
    @abuubakalmtangenange4389 3 года назад +2

    Maasha Allah umekufa lakn maneno yko yapo hai

  • @abaslegera9841
    @abaslegera9841 5 лет назад +12

    ALLAH akupe kauli dhabiti

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Год назад

    Yarabii msamehe sheh wetu na kila alompatisha dhiki umlaani

  • @amraniramadhani4148
    @amraniramadhani4148 Год назад +1

    Amaa kweli waislamu wa tanzania tumepoteza jembe

  • @rasheedsassi4852
    @rasheedsassi4852 5 лет назад +22

    Mwenyezi Mungu akulaze mahali pema peponi

  • @ramadhanijuma2256
    @ramadhanijuma2256 5 лет назад +11

    Allah akuhifadhi mahali pema peponi

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 Год назад

      آمين يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 Год назад +1

    اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة واجعل قبره روضة من رياض الجنة ولا تجعل قبره حفرة من حفر النار يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين

  • @abaafarhat9191
    @abaafarhat9191 3 года назад

    ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI HAKIKA ULIWAFUNGUA MACHO WENGI WALLAHI MOJA WAPO MIMI ULINIFUNGUA MUNGU AKULIPE

  • @tajjudinihaji2776
    @tajjudinihaji2776 4 года назад +2

    Allah akulipe nilikuwa sijakuelewa zaman

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 лет назад +3

    Sheikh ulikua unanyoosha Allah akujaalie pepo aaamiyn

  • @mumybhay4984
    @mumybhay4984 5 лет назад +4

    Watanganyika mtachukia sana haya maneno..sababu yana ukweli mtupu..na nyinyi watanganyika ndio wasaliti wa znz mnatunyonya sanaa

  • @ismailramadhani3813
    @ismailramadhani3813 4 года назад +1

    Allah akupe kila LA kheri tunajifunza sana shekh Ilunga

  • @brendagregorymndeme109
    @brendagregorymndeme109 Год назад

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Allha akulipe sheikh ilung

  • @suleimansaid7486
    @suleimansaid7486 3 года назад +1

    Ni sawa sheikh ilunga
    UKO WAPI UHURU WETU?
    TUMEMEZWA NA BARA.

  • @HajiFaki-w5q
    @HajiFaki-w5q 5 дней назад

    Munguwapemacho vipofu Wetu

  • @farajaally6790
    @farajaally6790 3 года назад +2

    ALLAAHUMA-GHFIR LAHUU WASKANAHU FIL JANNAA

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 Год назад

      آمين يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين

  • @khadijakifungakifunga288
    @khadijakifungakifunga288 2 года назад

    Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema amina ustaz ilunga aamin

  • @alimaomar3618
    @alimaomar3618 9 лет назад +19

    Mashallah mola akuzidishie hutufaamishe.

  • @jaffarchimbuvu7499
    @jaffarchimbuvu7499 3 года назад +1

    Kweli ilunga Allaah, akujalie kauri thabit,kumbe ndio mana masheikh wanaomogopa Mungu wako jela, hhaaa,Mungu ana waona

  • @saidomilanzihawowotenifree9590
    @saidomilanzihawowotenifree9590 3 года назад

    Illunga allah akulaze mahali pema peponi amina

  • @fatumashabanfatumawawapimy1157
    @fatumashabanfatumawawapimy1157 3 года назад

    Allah akupe nuru ktk kabur lako shkh wetu

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 Год назад

    Moto ni halali yako kabisaa maana ni lichochezi hilo lizee liangalien halina tofauti na shetani

  • @hemedytengu5718
    @hemedytengu5718 3 года назад +1

    Sheikh wallahi unatutia majonzi maana mpaka leo masheikh wetu wapo kizimbani, (sirikali)😭😭

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 Год назад

    Sheikh alikuwa anajua history ya nchi ya Tz sana

  • @mkundwaafile1826
    @mkundwaafile1826 5 лет назад +2

    Mungu akulehemu shehe ilunga hasani kapungu

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 Год назад

    Allah amrehemu amueke pema

  • @maryamkhalid8701
    @maryamkhalid8701 4 года назад +5

    Allah ampe jannah

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 5 лет назад +6

    Allah azidi kukupa kauli thaabiti huko ulikoendaaaa

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 Год назад

    Allah mjalie pepo huyu Baba

  • @mohdeddy123
    @mohdeddy123 5 лет назад +4

    Mashallah sheikh allah akulaze mahali pema peponi amin tutakukumbuka sana tena wala hatupumui tunavonyonywa sheikh daaah tunaomba kama uje tena utupe wasia ila kazi yake mola ?

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 Год назад

    Mungu akuchome moto maana anachokihubiri kwenye mihadhara yake ni hatari sana kwa taifa letu

  • @seifhamed5859
    @seifhamed5859 5 лет назад +4

    M mungu akujaalie akupe kauli thabit

  • @moodyeddie2530
    @moodyeddie2530 10 лет назад +15

    Tulikupenda sana shekh wetu

  • @dissimmadi2773
    @dissimmadi2773 2 года назад

    Mwenzi mungu shubuana akueremu

  • @msukuma1
    @msukuma1 2 года назад +1

    Jamaa alikuwa mwongo sana pumbavu kabisa

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln Год назад

      Muongo ww msukuma kazi yenu kulima2 watu wa porini hamuwez kuwa na akili maana mnaishi na wanyama akili zenu zinafanana na wanyama

    • @MussaMussa-v4x
      @MussaMussa-v4x 7 месяцев назад

      Mhhh'' umemmaliza

  • @mumybhay4984
    @mumybhay4984 5 лет назад +4

    HUYU NYERERE ALIKUA JINAMIZI SHETANI KHASWAA.LAANATU LLAHY ALAYHI

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 4 года назад

      Uwe na heshima kwa baba yangu wa Taifa ama la ukirudia kumkashifu na maneno mabaya utaishia mikononi mwa Police. ...ongea kwa ustaarabu. ...jua jembe zako zinasomwa na watu wa usalama. Kuweni makini na mazungumzo yenu jamani....watoto wenu wanawategemea, wazazi bado wanatupenda.....weka akiba ya maneno!

    • @hamiduhamisimrisho4323
      @hamiduhamisimrisho4323 Год назад

      @@richardboaz-mashagospel2346ww Kama Nan mbwa ww unakataza watu kuongea

  • @abbakarinyange1655
    @abbakarinyange1655 3 года назад +1

    Allah akuhifadh

  • @ruwailaomar6501
    @ruwailaomar6501 4 года назад +3

    Anae nuna anune ila ujumbe umefika

  • @masungwasalumu1278
    @masungwasalumu1278 4 года назад +1

    Soma Qruan 2;102 ndiyo utajua waislam mkowa vipi dunian

  • @ahmmadaaly5112
    @ahmmadaaly5112 4 года назад

    Sheikh wangu ni kweli kabisa bakwata ilipo fikia ndio hivyo hivyo unavyo sema aise dah

  • @franaelmbise6594
    @franaelmbise6594 4 года назад

    Duh haya Madini yaan Mungu wangu, Kivuli kinaishiii jamn ndg zangu Basi tuuuh

  • @khamismohamed8374
    @khamismohamed8374 3 года назад +1

    Kweli Allah akulipe mazuri

  • @jumakibauri479
    @jumakibauri479 5 лет назад +7

    Jazakalahu kheri shekhe wetu.

  • @nassorkhamis6233
    @nassorkhamis6233 11 месяцев назад

    Kassim Mafuta njoo usome dini hapa

  • @hamadisalim8173
    @hamadisalim8173 4 года назад +2

    Hupo Tena shekhe wetu Allah akulipe

  • @kingzerock1504
    @kingzerock1504 4 года назад +2

    Subuhana llah mitihan jaman 😭😭😭😭

  • @twahaabrahman5725
    @twahaabrahman5725 2 года назад +1

    Ilunga Ni muongo, hujuwi kusoma kiarabu, Una fikra za kigaidi, Uikhwani, huna taaluma ya uislam Ni m'babaishaji tu wewe

    • @hajikassimu4646
      @hajikassimu4646 11 дней назад

      SALAFI NI MAKAFIRI WANAO TUMIWA NA WAYAHUDI NJOO NIKUPE ELIMU VIZURI

  • @mwarabumsitu4098
    @mwarabumsitu4098 2 года назад

    Kumbe tuwe pole wazanziibari

  • @hassanrwitita2503
    @hassanrwitita2503 4 года назад +3

    Tumetoka mbali sana kulikoni na Mambo haya

  • @sulaymuallyuthumaniy3061
    @sulaymuallyuthumaniy3061 5 лет назад +5

    #اولم یرالذین کفرو ان السموات ولارض کانتا رتقا ففتقناهما#تنغانیک # وزنجبار#وجعنا من الماء کل شیٸ حی افلا یبصرون#

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 2 года назад

    Hicho anachosema mfumo kristo

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 года назад +3

    Si kweli kuwa waislam hawashabikii muungano!!!

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 4 года назад

      Mimi siushabikii kwa sababu kunadhulma ndani yake ,hata wewe ukuwa mkweli utakubali kuwa kuna dhulma kwa walioungana inayofanyika.

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 года назад

      @@jumamohamed3168 sema wewe, usiseme waislam,,,,,,Mimi naushabikia muungano!!!!

    • @ruwailaomar6501
      @ruwailaomar6501 4 года назад

      Waislam wanaoshabikia muungano ni wale wanafik wa ccm

    • @ruwailaomar6501
      @ruwailaomar6501 4 года назад

      @@jumakapilima5674 wewe usishabikie muungano tu hata jahanam shabikia pia

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 года назад

      @@ruwailaomar6501 kafiri wewe!!!

  • @moxasaidi3398
    @moxasaidi3398 11 месяцев назад

    Kiongozi kama huyu ni wachache sana duniani

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 4 года назад +3

    Allahu mma ghufirillahu warahamahu firjannah

  • @fatmahamad2156
    @fatmahamad2156 5 лет назад

    Aakh shekh unasema kweli,mkonloni mweusi ametutawala,na vio
    ngozi wa Zanzibar ndio wanaotusaliti,wanzanzibar jitambueni ili kupata ukombozi ni kushirikiana na kuindoa ccm😆😆😆2020 shen asipate kura hata moja

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 Год назад

    Yawezekana alikua shoga huyo mzee

  • @aminamashaallahsaid9893
    @aminamashaallahsaid9893 4 года назад +2

    Ya Allah tupe mbadala wake

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 Год назад

      آمين يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين

  • @mumybhay4984
    @mumybhay4984 5 лет назад +5

    SEMAA UCTADH. KWELI TUPU MI CCM LAKINI HAYA UNAYOYASEMA HAYAPINGIKI NI UKWELI ..NA HAWA MAKAFFIR WAMETUPELEKESHA LAKINI SASA TUMEAMKAA..TUTAKWENDA NAO SAMBAMBA.

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 лет назад +6

    Daah Allah Akurehem

    • @abraally9759
      @abraally9759 4 года назад

      Mungu akulaze pema peponi amin

  • @allymsuya6655
    @allymsuya6655 5 лет назад +2

    Wazanzibar msipokataa CCM mtatawaliwa milele

    • @nyalalimohamed5061
      @nyalalimohamed5061 4 года назад

      Shekhe wangu hata ccm mfumo ni uleule wa ukafiri,tusimamishe dola ya kiislamu khilafa ndio katuachia mtume na swahaba zake.

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 года назад

      Hahahaaa,,,,, sio kweli!!

    • @HasnuuMakame
      @HasnuuMakame Год назад

      Ni kweli kabisa, CCM kupitia Muungano ndio ukoloni ulipo kwenye kuitawala kinguvu Zanzibar

  • @aminamashaallahsaid9893
    @aminamashaallahsaid9893 4 года назад +1

    Allah tujadlie kama huyu

  • @allybeka8401
    @allybeka8401 5 лет назад +5

    kwel shewetu hawa viongoz we2 wanafik wazanzbr shilngi wameiweka mbele maana washamba san

    • @ahmedsalim2058
      @ahmedsalim2058 5 лет назад

      Kwa maana Ali Hassan ni mzanzibar ndio maana akatangaza condom na kupigwa mkono

  • @kaisarimkuu3685
    @kaisarimkuu3685 5 лет назад +3

    Hili linguruwe linawafundisha mapanzi.

  • @ramamchina4730
    @ramamchina4730 3 года назад

    Katka mtu nilie kuwa naipenda bakwata nili kuwa mm nilivo msikilza uyu shekhe nili koa daha

  • @marcominja8850
    @marcominja8850 5 лет назад +4

    Mungu akulaze akhera, si kwa uchochezi huo.

  • @mosesmagembe7015
    @mosesmagembe7015 4 года назад +3

    Nadhani umeshakufa mzee wangu! Ningekuuliza tu ni faida gani ambayo Tanzania bara wanaipata kutokana na Muungano?

    • @mbarakahatibu3296
      @mbarakahatibu3296 4 года назад

      Fuatilia mambo Ya muungano na mambo yasiyo ya muungano.. utaelewa vp Tanganyika wananufaika na Muungano.. Angalia Bahari .. angalia madini angalaia Karafuu.. Jaribu kuangalia huko brazaa

  • @rashidmakame3374
    @rashidmakame3374 4 года назад

    Mngu akupe kilalakheri umetuachia usia mkubwa

  • @divaimafuru1334
    @divaimafuru1334 2 года назад

    Mimi ni mkristo but ostadh illunga upo sawa sikubaliani na manyanyaso kwa wenzetu

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika 11 часов назад

    Kweli watuwenye akili hawatakiwi ndio mana wanaitesa wana chadema sana ata leo

  • @alimussa2655
    @alimussa2655 5 лет назад +2

    Ah waisilamu wa saiv sijida kubwa lakini moyoni hamna kitu

  • @masungwasalumu1278
    @masungwasalumu1278 4 года назад +1

    Huyo Shekh mchochezi hana lolote mbaguzi mdinidini msiasa Dino hafaikabisa anapenda ubaguzi hajitambu

    • @mbarakahatibu3296
      @mbarakahatibu3296 4 года назад

      Dini ya Uislamu inabagua .. yeye ni sheikh anabainisha na kubagua kati ya Haki na batili

  • @alyedy2795
    @alyedy2795 3 года назад

    kamata kalam vizur

  • @kojckkojckmudy4199
    @kojckkojckmudy4199 5 лет назад +3

    allah akulaze mahali pema

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 Год назад

      آمين يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين

  • @eliasnavytanga
    @eliasnavytanga 4 года назад +1

    Brain hiyo. Sio. Hawa Mashekhe wapiga ramli

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 года назад +2

    huo sio mfumo kiristo huo ni mfumo ccmnismu ndio unaotusumbua

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 4 года назад +1

    Ngazi Mia si nguzo mia