BBC LEVELS indeed....Huyu mtangazaji is so underrated, levels zake ni za BBC...namna anavyostructure maswali yake, namna anavyoengage na huyo mama hadi anacheka, anakua confortable kujibu maswali is on another level...KUDOS for the goodjob.
Allah amrehemu maalim...bi Awena kajibu vizur..kwakweli very smooth short and clear..hongera kwa mtangazajiii..indeed ..he is very conving one...Anafaa kua international mtangazaji..BBC swahili wamchukue tu ...
Awena ni.mke mwema,mcheshi, muangalifu,mvumilivu,msiri na akili nyingi.Mume mwingine wa nini Sasa? Atambulia uharibifu kimwili ,kiroho na mateso kwake. Abaki hivyo hivyo mama Awena akimuenzi mume wake Maalim Seif wakati alipokuwa hai na Leo akiwa amekufa. Ameongea vizuri lkn napata shida Zanzibar itawezaje kuwa huru kabla ya Pemba-,Tumbatu na unguja bila kudai uhuru na kila kisiwa kujiamulia mambo yake. Huu mtihani,dhambi ya ubaguzi Haina tabia ya kusimama,inakwenda kama moto wa nyika.muungano udumu milele😂
Mama yupo vizuri Sana sisi tulioowa walimu tunafaidi Sana full busara Nampa tano mama anajitambua Allah akustiri na kila Shari na watoto wako Allah amsamehe maalim seif amuingize Janna Firdausi.
Mama mvumilivu sana huyo anavyoonekana 😆, hongera sana dar 24 pia, wanasema ukitaka kuwaelewa viongozi vizuri, wahoji wake zao, wanawake wa viongozi wanapitia mengi,wanajua mengi, wavumilivu sana na wana siri kubwa ya kuelewa jinsi ya kuwalea viongozi.
Mama ni smart mno, nimependa na majibu yake ,ingekuwa mwingine angekurupuka kuongea ovyo lakini mama anajua kuongea kutokana na wakati uliopo,hajamlaumu wala kukashifu mtu.
Pola sana Ati yangu pole sana dada yangu misimba miwili kwa mwaka moja Allah akupe subra wazazi wetu hao nikombali nanyiyi ila Allah atatukutanisha insha'Allah
Allah akupe nguvu mamaetu kipenzi ila mm nalia bila kituo nakumbuka madhila na mateso tuliopitia wazazinzibar mungu atakupa nguvu zaidi na team DAR 24 MEDIA YETU PENDWA TANZANIA 🇹🇿 ila brother lambat levo yako sio kufanya kazi Africa bbc .dw. au voa sauti ya 🇺🇸
Historia hii ya Mama inatuwazisha kubadili Namna ya uendeshaji wa Siasa Zetu. Kutofautiana kisiasa kunakuwapo lakini baadhi ya madhila ya kisiasa yasio yalizima haukunahaja ya kuyaendekeza. Hasa Haki za Msingi za waambata wa kisiasa na wale wanaowazunguuka. Nimpongeze sana Rais Mwinyi kwa mabadiliko chanya ya Siasa Zetu Upande wa Visiwani. Ninamatumaini yajayo yanafurahisha
Asalam alykum Pole sana mama yetu mama wa Kiongozi wetu almarhamu maalim Seif tunakupenda sana kwa ajili ya Allah sw Pia pole sana kwa dhulma waliokufanyia serikali ya ccm Zanzibar walikufukuza kazi kwasababu ya ubaguzi waoo lakini inshallah Allah amekuona na haki yako haitapotea kamwe na walikudhulimu wakumbuke kuwa Allah atawatia mikononi mwake Nakupenda sana mama
Mama umeeleza vizuri sana Kuna tofauti kubwa Kati ya mzanzibari na mpemba vitu viwili tofauti na ndio Maana kipindi hicho kulikua na Chama kinaitwa zppp lakini wapemba wengi hawalijui Hilo wafahamisheni walijue Hilo
Narudia tena... Kaka unajitahidi sana ... Kwa neema ya Mungu utafika mbali. Wewe na Salim Kikeke mnafanya vizuri sana....
BBC LEVELS indeed....Huyu mtangazaji is so underrated, levels zake ni za BBC...namna anavyostructure maswali yake, namna anavyoengage na huyo mama hadi anacheka, anakua confortable kujibu maswali is on another level...KUDOS for the goodjob.
Hata mm mwanzo nilizani Salim kikeke
Allah amrehemu maalim...bi Awena kajibu vizur..kwakweli very smooth short and clear..hongera kwa mtangazajiii..indeed ..he is very conving one...Anafaa kua international mtangazaji..BBC swahili wamchukue tu ...
Mama nimekukubali kwamba watoto wa kike ndo walezi !!
Hongera sana mama
Allah amjalie Kila la kheri kwenye maisha yake ya kaburini natunakukumbuka sana maalim seif mtetezi wa wanyonge
Mashallah mama yetu awena Allah akupe kher na uvumilivu na upate mume mwema Kama baba yetu Almahrumu seif sharifu Hamad.
Allahuma amiin❤
Awena ni.mke mwema,mcheshi, muangalifu,mvumilivu,msiri na akili nyingi.Mume mwingine wa nini Sasa?
Atambulia uharibifu kimwili ,kiroho na mateso kwake.
Abaki hivyo hivyo mama Awena akimuenzi mume wake Maalim Seif wakati alipokuwa hai na Leo akiwa amekufa.
Ameongea vizuri lkn napata shida Zanzibar itawezaje kuwa huru kabla ya Pemba-,Tumbatu na unguja bila kudai uhuru na kila kisiwa kujiamulia mambo yake.
Huu mtihani,dhambi ya ubaguzi Haina tabia ya kusimama,inakwenda kama moto wa nyika.muungano udumu milele😂
Allah Ampe Kauli Thabit Tumempenda Sana Maalim Saif hivi Sasa Hivi Natoka Machozi ,Pole Sana Mama Awena ALLAH atakupa Subra
Innalillah wainnailaih rajiun Allah amlaze mahal pema pepon ammin 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔Maalim wetu hatuwezi kumsahau daima jaman 💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭
kaondoka lakini bado atabaki kuwepo ndani ya mioyo yetu
Innalillah wainna ilaihi rajjiun Allah amlaze mahala pema peponi Ameen ishallah
Ahsante sana mpenzi wetu, Allah akupe nguvu na wepesi Yarrab... Na babaetu Allah amkutanishe na maswahaba na ma walii Yarrab
ruclips.net/video/EprbhEGwTPE/видео.html
Pole sana dada yangu bi Awena M mungu akuzidishie subra In shaallah.
MashaAllah nawapenda Sana Dar 24 na hasa we Mtangazaji na Brother Shaban kondo
Asante sister wangu mpenzi Mungu akuzidishie Subra na akupe furaha Daima Ameen love you Usijali Seif mdogo tunaye nakulelea
Nafurahi unajistiri mtii mume wako Allah akukutanishe naye peponi inshallah
Amiin
Ameen
Ammin🎉
Hongera mama Awena kwa ujasiri ulionao baada ya kuondokewa na mwenzi wako, Mwenyenzi akujalie maisha marefu
Baba yetu mzee wetu Sheikh Seiff shariff Hamad Allahumma ighfirlahu warhamhuu waskanhuu fii janna 😭👏
AMEEN AMEEN AMEEN YAARAB
آللهم آمین
Amin
Ameen Yarabb 🙏
اللهم امين يارب العالمين
Hongera sana mtangazaji uko vizuri mashallah kwenye kazi yako
M / mungu. Amfanyie wepesi. Mama Awena Tupo pamoja.
Mama makini sana Allah akujalie subra inshaallah
Mama tumekuelewa na pole
Sanaa na Tunamuomba allah
Amrehemu marehemu aliko
Akhera
ruclips.net/video/LqTbbQPInMg/видео.html
Allahuma Ameen yaa Rabbi
Allah amsamehe makosa yake maalim seif wetu😭😭😭😭😭😭 tunamuomba allah atuekee mama awena wetu❤❤❤ amuuondoshee mahasid
Pole mama. Allah akupe nguvu. Yaaarabi. Mwenyezi Mungu akupe nguvu.
Muna tz pole mama allah AKUZIDISHIE afya na uzima uzidi kuwa na furaha ndio amani kwa sote
Allahuma Ameen yaa Rabbi
Mama yupo vizuri Sana sisi tulioowa walimu tunafaidi Sana full busara Nampa tano mama anajitambua Allah akustiri na kila Shari na watoto wako Allah amsamehe maalim seif amuingize Janna Firdausi.
Hongera sana bi Awena, hicho ndio kipimo halisi cha uvumilivu kuna jambo kubwa sana la kujifunza kwako kwa vizazi vyetu vijavyo, Allah akubariki 🙏🙏
INNALILLAH wainna ilaih rajiuun Allah akupe shifaa mama yangu
Mashallah. Aunt Aweina amejieleza vizuriii.
Masha Allah
Allah Amrehem Mzee wetu Maalim Seif
Allahuma aaamin yaa Rabb
Innalilla wainna Illayh rajiunah 😭😭Allah azid kukupandisha darja firdaus,, binafs nilikua nampenda kwaajili ya ALLAH,, ALLAH amjaze subr mkewe maalim Seif naawape furaha family
Habari zenu ni za uhakika Panapo Jaala ya Allah mtafika Mbali sana
Daah!... yan mama la mama yan mama ni cute kwelikweli!
Maa Shaa Allah
Mashaallah mamaa. Allah akufnyie wepes ktk kbri lake. 🎉
Mashallah! Mama umejaaliwa busara mwenyezi mungu akupe kheri
Tunakupenda mama 😍😍😍Allah akulinde pamoja na family yako inshaAllah amiin
Mama bado mzurii kabisa yan...halaf anaongea vizur😍 mashallah
Maa Shaa Allah
😭😭😭😭😭maalim wetu kipenz chetu mtetezi wetu allah ampe jannah yaa Rab pole mama awena umeumia sana zaid ya sisi lkn allah atawakutanisha pepon
Mama awena Mashallah Mashallah Mashallah umeongeya vizuri
Mashalah mama ❤Awena umeongea vizuri sanaa
Hasbiya Allah wani'mal wakiil Mwenye Enzi Mungu ata walipia kwa uwezo wake yaarab
Wanasiasa mjue kwa Mungu ni mbali.
Aiseee........
Interview nzuri sana. Hongera mwandishi
Allah akupe nguvu mama hongera
Mama mvumilivu sana huyo anavyoonekana 😆, hongera sana dar 24 pia, wanasema ukitaka kuwaelewa viongozi vizuri, wahoji wake zao, wanawake wa viongozi wanapitia mengi,wanajua mengi, wavumilivu sana na wana siri kubwa ya kuelewa jinsi ya kuwalea viongozi.
Allahuma Ameen yaa Rabbi
Mama anaongea vizuri
Inaonekana naye ana busara kama matehemu mumewe
@@msuyarashid9482 je?ukotayar tuje tuzibe pengo mma
BBC levels🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Huyu Mtangazaji anajielewa saaaaaaaana
Mama Ana jielewaa kweli Yuko vizuri Sana kichwani , Mungu amjalie Maisha marefu,
Mama ni smart mno, nimependa na majibu yake ,ingekuwa mwingine angekurupuka kuongea ovyo lakini mama anajua kuongea kutokana na wakati uliopo,hajamlaumu wala kukashifu mtu.
@sheshi beshi umeshakula mirungi!!😅
Pola sana Ati yangu pole sana dada yangu misimba miwili kwa mwaka moja Allah akupe subra wazazi wetu hao nikombali nanyiyi ila Allah atatukutanisha insha'Allah
Mama yetu huku anaongea vizuri saana mstarabu saana kwa kweli ahsante saana mama
❤❤❤❤hongera mama etu mpendw upo mchesh na umejibu vzr sana mama
Maashalah mama yupo vizur ,na Hongera bonge la mtangazaj
Hongera mama kwa kujibu maswali ipasavyo Allah akupe kilichobora zaid
Mama awena mim nakukumbuka haukua ivoo wew ulikua mnene mashallah kipindi kile tunapita tunaenda chuoni kwa malim abasi mtoni kidatuu
Sasa ulitaka awe je ? Huo ni udhalilishaji eti ulikuwa mnene kamlishe basi anenepe
Allah akupe nguvu mamaetu kipenzi ila mm nalia bila kituo nakumbuka madhila na mateso tuliopitia wazazinzibar mungu atakupa nguvu zaidi na team DAR 24 MEDIA YETU PENDWA TANZANIA 🇹🇿 ila brother lambat levo yako sio kufanya kazi Africa bbc .dw. au voa sauti ya 🇺🇸
الله يغفرله ويرحمه ويدخله فسيح جناته ويلهم اهله الصبر والسلوان وانا لله وانا اليه راجعون
Nimempenda sana mama mstarabu sana.mwenyezi mwenyezi Mungu amjalie na busara hizo.
Pole sana mama pamoja na watoto wko pia poleni sana watoto mliopata sulubu hiyo ila nawao waliowatesa watoto hao mungu atawahukumu mpka kiama
Mama Wetu twakupenda sanaa nipo oman nikija zanzibar inshllah nitakuja nikuone 😭😭😭
MashaAllah mungu akupe kila la khery mama
mashAllah maam awena ni mtu wawap
Allah akupe kila la heri inshaa Allah🙏
Mama yupo vizury.....apewe siku nyingi za kuishi
Vizuri siyo vizury
Mashaallah dada etu Allah amlaze mahali pema peponi mzee wetu Amin
Mtangazaji mashallah saut cute 🥰🥰🥰🥰🥰
Mungu ampe kauli thabit huko alikoo pamoja na sisi sote
ruclips.net/video/EprbhEGwTPE/видео.html
🎉🎉🎉🎉🎉 Hongera mama nimekubali maoni yako
Historia hii ya Mama inatuwazisha kubadili Namna ya uendeshaji wa Siasa Zetu. Kutofautiana kisiasa kunakuwapo lakini baadhi ya madhila ya kisiasa yasio yalizima haukunahaja ya kuyaendekeza. Hasa Haki za Msingi za waambata wa kisiasa na wale wanaowazunguuka. Nimpongeze sana Rais Mwinyi kwa mabadiliko chanya ya Siasa Zetu Upande wa Visiwani. Ninamatumaini yajayo yanafurahisha
Mtangazaji 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Pole Mama Awena nimekukubali kwa maelezo yako
Mh maa pole sana, mshkur mungu tu
Siasa ni nzuri. Hakuna mwanasiasa masikini
Mama nakupenda san nakuwona kam mama yangu Allah atakupa tahfiki
Asalam alykum
Pole sana mama yetu mama wa Kiongozi wetu almarhamu maalim Seif tunakupenda sana kwa ajili ya Allah sw
Pia pole sana kwa dhulma waliokufanyia serikali ya ccm Zanzibar walikufukuza kazi kwasababu ya ubaguzi waoo lakini inshallah Allah amekuona na haki yako haitapotea kamwe na walikudhulimu wakumbuke kuwa Allah atawatia mikononi mwake
Nakupenda sana mama
Tunyamaze tu kaka ila duhhhhhhhh ile sio haki kila siku sisi ila uyu mama allah ampe subra
Interview ya Nyota 5. Nimeipemda sana❤
Wa kwanza ku comment ni mm toka Bara,
Safi sana
I didn’t know the guy but the government machinery walimtesa sana huyu mzee. How ha survived, I don’t know
Mama anaekima sana jaman tumuombe mung ampe maisha marefu
Wewe mama unaongea vzur km mumeo mashaallah
Inna lilah wainna ilayh rajiun Mama allah azd kkupa nguvu
Allah akupe subra mama Awena
Nakupenda sana mama Awena
Mama umeeleza vizuri sana Kuna tofauti kubwa Kati ya mzanzibari na mpemba vitu viwili tofauti na ndio Maana kipindi hicho kulikua na Chama kinaitwa zppp lakini wapemba wengi hawalijui Hilo wafahamisheni walijue Hilo
Hujui lolote ww
Usitubague hakuna Zanzibar bila ya Pemba wala hakuna muungano wa Unguja na Pemba
Wanawake wa viongozi oyeee😂👌👌👌👌🙏wanakula kiapo kuwatunza waume zao safi....
Pole sanaaa Mamaaa
Wewe mwandishi huwa uko very smart yanii nakupendaga sana
Bado kijana Maasha-Allah nitajivuta hapo .!
Pole San kW a matatizo bi Awena mungu akuzdshie subra
Pole sana mwalimu wangu
Siasa nzuri. Hakuna mwanasiasa masikini.
Mama awena mlezi wa watoto na mlezi wa marehemu wa maalim seiif
Pole sana mama yangu ila mungu atalipa kwakile ulichokifanya😢😢😢
Na sikitika sana Malim nimeanza muelewa dakika za mwisho kabisa Allwah ampe makazi mema peponi
Amiin
Pole sana Mama wa taifa
Siasa inaonyesha nyumbani kuna msaada Mkubwa.mungu anaalie kila zuri akhera dunia. Aamin.
Huyu mtangazaji 100%
Pole mamangu CCM CHAMA CHA AJABU SANA
Sio Hayati ni Marehemu mpe Rehma.
Dr mwinyi ni raisi mwenye mawazo naamini Atafkiria na kumpa Ajira biawena na kumsaidia inshallah nakujenga umoja na ushikamano zaidi
Ajira gani na huyo ni mke wa kiongozi wa juu kabisa na analipwa mpaka kufa kwake.
Inauma sana ala Allh 🙏 atakulipa mama kwa vizazi vijavyo
Allah ampe kauli thabit Amin.Maalim seif Hamadi 😂kutoka🇰🇪001county mambasa
Allahuma Ameen yaa Rabbi
Amin
Ameen
@sheshi beshi wewe senge la mtwapa acha kutangaza tarabu zako hapa
@sheshi beshi huna heshima yani watu waongea ya maana ww watuma tarabu zako how senge la mtwapa mombasa ww nakujua vizuri sana
Mama awena nakusalimia mashallah