Kaka Sky wewe ni wa pekee katika tasinia ya habari. Unaupendo uliokidhiri kwa wanadamu wenzako. Mungu akufanikishe kwa kila hitaji unalotaka au unalotamani kulifikia. Umeelesha hata wengine waliokuwa hawajaelewa hao watoto wamesema nini.Asante Munggu akubariki wewe na Familia yako ya sns pamoja na ya nyumbani Mpe hi baby sky na watoto. Nawapenda bado nipo ughaibuni. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hiiii chanel naipenda San ten nataman siku moja ni hojiwe na nyie man ni channel yakwanza Tanzania kwa upande wa RUclips mupo vizur I love you somacha ❤❤❤❤❤❤❤nawapeda 🎉🎉🎉
Msingi ni kujitakasa na kuomba toba kila iitwapo leo kwakua hatujui siku wala saa ktk kujiliwa kwetu.miba ni msiba uwe msomi uwe tajiri uwe fukara yote kwa yote mavumbini tutrejea.
Polen sana sana familia, kwa hakika mmepoteza . Ila sasa waliohudhuria mazishi 90% wanaelewa kiswahili. Kwanini sasa lugha nyingine?.Mbona hatuithamini lugha yetu ya kiswahili🤔.Yani kuna nchi hasa hizi za scandinavian huwezi kusikia wazawa wakiongea kingereza kwenye mkusanyiko km huo. Na wanajua kingezera kuliko hata watanzania. Ninavyokipenda kiswahili huwa nadhoofika sn nikiona hakithaminiwi mbele hata ya watanzania🥲🥲
Jamani 😂 makasiriko ya lugha mweee mbona lugha ni kitu kidogo tu mbona salaamu ameanza kwa kiswahili? Mweee watz jamani waacheni wajichagulie lugha ya kuzungumza wanayoona wapo comfortable nayo 😊 kazi kwenu mkajiendeleze sasa ili muelewe lugha zote mbili kiswahili cha kitaifa na kingereza cha kimataifa ❤usisahau kunywa maji 😊
Maneno ya watoto yapo vizuri wameongea yamsingi zaidi lkn kama mnafuwatilia mtoto wakiume alihojiwa kabla ya mzazi wake kuzikwa aliongea kiswahili kwaivo tambueni pale kunawageni hawajuwi lugha yetu ndiyo maana waliongea hivo napia acheni roho zahivo nanyi somesheni watoto watakuwa wazuri.
Simulizi acha kutafasiri kwa sababu wale hawakutaka tuelewe Huu ni upotofu kuthamini lugha ya watawala wetu zaidi ya lugha ya taifa Mzee Nyerere.huko alko anatoa machozi . HIKI KIZAZI KIMEPOTEA KWELI.HATUKO SHULENI HAPA,TUKO KWENYE MAZISHI YA KITAIFA KWA KUMPOTEZA BINGWA WETU😢😢
@@LindaMbilinyi-n3n nikwambie tu usizan sisi Hatuji kingeleza ni Kama kimasai tu Tena kimasai kigumu yaan walio fiwa ni watanzania harafu ndo Tena tuanze kutafasiliwa si wamfufue sasa kwa kingereza hao wa kimataifa huo ni kutothamin Chenu etty ni wasomi machoko nn hawa mm sipend wallah
Ni msiba kweli natoa pole lakini Inashangaza kidogo hapo kuna wabunge na rais wote wamezungumza kiswahili, watoto wangesema Kiswahili wangeonekana wamechelewa ? Kiswahili ni lugha adhimu bana
Yeye Aliandaliwa Hayo Maneno Aliyaangalia Kwa Nini Asiseme Andikiwe Kiswahili Ambavyo Ndio Lugha Yake Au Angeongea Lugha Zote Mbili Aa Kusomea Kunaleta Jeuri
Fred hiy tafsir hatuitaki kbs tena usingefasir sema nawe upo kazini ila ni moja ya mfano mbaya wa kuigwa kwa watoto wa viongozi..Kwanza wamekosa uzalendo na sisi tuwafikirie vip?
Nyie mnaowaponda hawa watoto kuwa wanaongea kingereza km hajui kiswahili hv mnawaza kwel??baba yke alikuwa anajulikana dunian co kinondoni tu kuna watu wanafatilia huko duniani wataelewaje km wataongea kiswahili??acheni hzo mmezoea kila kitu nyie kuzodoa tu ,ovyoooo mfyuuujj
Watanzania acheni kuishi kijinga watanzania tunasifika sana kwa kiswahili lakini leo tunajipaka matope eti hao watoto hawawezi kuzungumza kiswahili, hii Tabia ilianza kwa Mafuru sasa subiri muone maadili yetu watanzania yamepotea
Ujinga tu walikuwa waongee kiswahili tu. Mtanzania amezungukwa na watanzania alafu lugha ya kigeni. Angalikuwepo magufuli angali wapasuwa hapo hapo msibani.
@@AishaNgoyi-vi2ku jamani tuwaacheni watoto wa watu, baba yao alikuwa Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa, msibani si unaona kuna hadi wazungu hao watu wa pink? hawajui kiswahili, halafu ungeona vile vitoto vya Mafuru ndo ungesemaje maana baba yao hata hakuwepo mdhungu msibani kwake lakini hata salam wanasema our gad is gud yaani vinakera, sasa si bora hawa wameanza kisw na wakamalizia kisw..

Kweli mkuu

Mimi hata sikuelewa chochote halicha ongea ila Asante sama kwa kutafisiri
Asante make mimi nilikuwa sijaelewa
Polen sana , Mungu awafariji awape nguvu mpya
Good speaking kids
Msiba jamani😭😭Sikia kwa mwenzako lkn usiombe ukawa kwako,,poleni familia watoto mnaumia lkn mmejua kujikaza 😭pole mnoooo😭
tunashukuru kwa kututafsiria
Wanaanza vizur kwa kusalimia kiswahili wanaharibu Tena na ngeli 😢 Yote kwa yote apumzike kwa Amani
kiswahili hawajui au nn sijapenda,Kama Burundi wanapenda lugha yetu kwann sisi?mungu awatie nguvu wafiwa
Uku nikujiendekeza kwanini asiongee kiswahili kugha Yao pia poleni sana wafiwa wote tumeumia sana kazi ya Mungu aina makosa Mungu tujakiye sote mwisho
Msingi ni kujitakasa na kuomba toba kila iitwapo leo kwakua hatujui siku wala saa ktk kujiliwa kwetu.miba ni msiba uwe msomi uwe tajiri uwe fukara yote kwa yote mavumbini tutrejea.
Polen sana sana familia, kwa hakika mmepoteza . Ila sasa waliohudhuria mazishi 90% wanaelewa kiswahili. Kwanini sasa lugha nyingine?.Mbona hatuithamini lugha yetu ya kiswahili🤔.Yani kuna nchi hasa hizi za scandinavian huwezi kusikia wazawa wakiongea kingereza kwenye mkusanyiko km huo. Na wanajua kingezera kuliko hata watanzania. Ninavyokipenda kiswahili huwa nadhoofika sn nikiona hakithaminiwi mbele hata ya watanzania🥲🥲
Yaani hapa ndiyo tunapo injoi asante sana ili tujuwe kilicho andikwa hii ndiyo midia moja wapo😢😢😢
Jamani 😂 makasiriko ya lugha mweee mbona lugha ni kitu kidogo tu mbona salaamu ameanza kwa kiswahili? Mweee watz jamani waacheni wajichagulie lugha ya kuzungumza wanayoona wapo comfortable nayo 😊 kazi kwenu mkajiendeleze sasa ili muelewe lugha zote mbili kiswahili cha kitaifa na kingereza cha kimataifa ❤usisahau kunywa maji 😊
Maneno ya watoto yapo vizuri wameongea yamsingi zaidi lkn kama mnafuwatilia mtoto wakiume alihojiwa kabla ya mzazi wake kuzikwa aliongea kiswahili kwaivo tambueni pale kunawageni hawajuwi lugha yetu ndiyo maana waliongea hivo napia acheni roho zahivo nanyi somesheni watoto watakuwa wazuri.
Kiswahi na kiingereza ni lugha rasmi za Taifa la Tanzania.
Msitokwe na povu
Ni kweli hilo ndyo jibu sahihi
Wasitoe povu "vyetu" tulishaacha kuvithamini siku nyingi sana.
🕯️🕯️Rest in peace Apumzike Kwa Aman 😭🙏
🙏
Hebu fikiria mtoto wa aina hii baadaye akawa kiongozi je! Atakuwa mzarendo kweli na kujua shida za watoto wasiojua Kiswahili.
Watoto wanafanana na mama yao mashaalah poleni sana lkn wageweka mkalimani w fasiri y kiswahili ingependeza zaid
Makufuli ndiyo mtu wamana sana alipenda kiswahili hawa watoto wa marehemu ni washaba tu
Wasukuma tunajijua tukipata,majivuno kibao
Simulizi acha kutafasiri kwa sababu wale hawakutaka tuelewe Huu ni upotofu kuthamini lugha ya watawala wetu zaidi ya lugha ya taifa Mzee Nyerere.huko alko anatoa machozi . HIKI KIZAZI KIMEPOTEA KWELI.HATUKO SHULENI HAPA,TUKO KWENYE MAZISHI YA KITAIFA KWA KUMPOTEZA BINGWA WETU😢😢
Kumbuka huyu alikuwa ni Nationa figure...hivyo mjue msiba unaudhuria na watu kutoka mataifa mengine..cyo kazi yenu kuhukumu tu
Fahari ya mtu mweusi ni kuona watoto wake hawajui lugha yake. RIP Ndugulile
duh maneno mazito kwel! kusoma kuzur! watoto smat sn
Mlitaka waongee kiswahili halafu hao wageni toka WHO wangeelewa? Watanzania tuache ushamba. Tunatoapovu bila hata kufikiri.
Wangetafsili mkaliman tu easy
Wewe Ndo mshamba wa lugha ya kingereza English is just a language like any other
Jamani msimuhukumu, ameandikiwa hiyo hotuba
Msiwalaumu labda waliambiwa kuongeya hivo kiprotokol😢
kwahiyo hajui kiswahili?
saiv wakrist hawafunui majeneza 😮😮😮
Ndio maana watu kama hawa wakija kupata madaraka wanakua vibaraka wawazungu😭😭😭😭😭
Aliongea lugha kwa ajili ya watu kutoka mataifa mbali mbali,
Maneno mazito kutoka kwa binti
Babu yake anajua na watu huko kijijini wameelewa au ñi kujipraud Ila poleni sana
kweli ela inaenda kwenye elatu umewasikia watoto linavyowatoka yahi
Kwamba hajui Kiswahili huko ni kutoithamin lugha yako pendwa 😢hili limeniliza saana
Tulie wote😢😢😢😢😢😢
Wenzako niwasome na pia kuna wasomi wengi wapo apo
Jmn lazima aongee hvyo coz baba yke alikuwa mtu maarufu anajulikana dunian Kuna watu wanamfatilia wataelewaje khaaa ila wabongo😢😢
😂😂😂
@@LindaMbilinyi-n3n nikwambie tu usizan sisi Hatuji kingeleza ni Kama kimasai tu Tena kimasai kigumu yaan walio fiwa ni watanzania harafu ndo Tena tuanze kutafasiliwa si wamfufue sasa kwa kingereza hao wa kimataifa huo ni kutothamin Chenu etty ni wasomi machoko nn hawa mm sipend wallah
Baba yangu alivyofariki niliugua wiki mbili bila kusema neno
Kizungu, kizungu, kwenye mazishi ya mswahili, hivi waliohudhuria pale ni wazungu kutoka WAPI!
So sad Poleni family RIP
kiswaili saw tujue bb Yao arikua nni ndiyo imepasa waonge ivo iri dunia iwajue tuache ushamba
Kuumbe watoto ni wazungu na tulikua hatujui
Kingereza kujua nijitihada za mtu kusoma novel na kuona movie na kuskiza nyimbo za RnB
Kwani wao ni wazungu acheni kudharau lugha yenu nyiye ni waafrika tu
Wangetafsiri hivi pale Msibani ingekua jambo jema
Atujui chochote dah
Watanzania bhna 😅😅😅😅pelekeni watoto shule acheni ujuaji wa kishamba
Fact😂😂😂 Masikin tuna makelele Sana
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun 🥺😒Dah nime jikuta machozi yame nitoka 😢
nimaerewa
Ni msiba kweli natoa pole lakini Inashangaza kidogo hapo kuna wabunge na rais wote wamezungumza kiswahili, watoto wangesema Kiswahili wangeonekana wamechelewa ? Kiswahili ni lugha adhimu bana
Afadhali tumeelewa mweeh
Mimacho mikavu utafkiri wamekunywa gongo eti wamefiwa na baba 😅😅😅
Jamani
Kwa hy shule za kata na kayumba zetu cc maskini eeeenh
Yeye Aliandaliwa Hayo Maneno Aliyaangalia Kwa Nini Asiseme Andikiwe Kiswahili Ambavyo Ndio Lugha Yake Au Angeongea Lugha Zote Mbili Aa Kusomea Kunaleta Jeuri
Kuna mataifa tofauti yasiofahamu Kiswahili , thus why
Sikuhizi imekuwa kawaida watoto wa marehemu kupiga umombo, walianza wa Mafuru wamekuja na hawa, angalau wa manji walijitahidi
Hivi ndo imekuwa fashion viongozi wakifariki tunasomewa historia kwa kiinglishi. ?
Mwingereza hata kama angaliishi ugenini ataongea lugha yake tu ktka swala kama hili.
Fred hiy tafsir hatuitaki kbs tena usingefasir sema nawe upo kazini ila ni moja ya mfano mbaya wa kuigwa kwa watoto wa viongozi..Kwanza wamekosa uzalendo na sisi tuwafikirie vip?
Labda wa.eongeya kingereza kwa vile wafaham zaidi huko who
Nyie mnaowaponda hawa watoto kuwa wanaongea kingereza km hajui kiswahili hv mnawaza kwel??baba yke alikuwa anajulikana dunian co kinondoni tu kuna watu wanafatilia huko duniani wataelewaje km wataongea kiswahili??acheni hzo mmezoea kila kitu nyie kuzodoa tu ,ovyoooo mfyuuujj
Kwahiyo wewe unaona ni sawa waongee kingereza Bora hata ametafisiri
Sasa hapa wapo TANZANIA sio England
@@Ushauri235 tafuta pesa acha makasiriko ndio nyie watoto wenu wanasoma shule kajamba nan mnaumia na wengne
@@malongoisack5811 rudia caption yangu baba ake anajulikana duniani na watu wanamfatilia huko hajuliakan kariakoo tu😀😀😀😀pole
Shule kajamba nani ndo shule ipi hiyo mbona kama una hasira dada
Kwa hiyo hawajui kiswahili, hata nyumbani wanaongea hiyo lugha
Sasa kulkua na sababu gan ya kutumia kingereza kama sio upuuzi tu
Watanzania acheni kuishi kijinga watanzania tunasifika sana kwa kiswahili lakini leo tunajipaka matope eti hao watoto hawawezi kuzungumza kiswahili, hii Tabia ilianza kwa Mafuru sasa subiri muone maadili yetu watanzania yamepotea
Mkalmani umeharibu Radha,maliza urudishe bila kutafsir
Mmmmh
Mnajifanya wazungu nanynyi ni waswahi mmechemsha
hapo imebidi waseme ki english maana kuna wawakilishi wa WHO hao watu weupe apo ati.
Ujinga tu walikuwa waongee kiswahili tu. Mtanzania amezungukwa na watanzania alafu lugha ya kigeni. Angalikuwepo magufuli angali wapasuwa hapo hapo msibani.
Kweli kabsa 😅😅
Kifo wewe ni mbayaa
Watu weusi wengi ni wajinga sana! Hasa watanzania baada ya ujio wa English Medium sasa bongo ni ajabu
Yaan sio kidogo yaan mtu akisoma kdg bac anajikuta mzungu
Kiswahili wanajuwa kabisa wanajifanyatu wasomi.
😅😅😅😅
Mmmmmh ovyooo
Me naona hata wangekufa wao