TRUMP: Enzi ya dhahabu ya Marekani inaanza sasa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 71

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 11 дней назад +22

    Mwamba huyu apa ❤❤❤❤❤

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 11 дней назад +8

    Unforgettable President be blessed 🙌

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa 11 дней назад +3

    Mwandishi uko juu kwa kinge hongera kazi nzuri ❤❤

  • @Firmusnjau-e8f
    @Firmusnjau-e8f 11 дней назад +5

    Glory be to God .The God will Leader to rule the greater nation is my victory

  • @mwamudaniel7912
    @mwamudaniel7912 11 дней назад +11

    Shangwe kwake ila utukufu wote kwa Mungu

  • @OmbeniSengambi
    @OmbeniSengambi 11 дней назад +8

    Good boy

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 11 дней назад +21

    Kinachombeba huyu kumtanguliza Mungu

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 11 дней назад +1

    Hlw sir any News about WHO

  • @charlesadolf1062
    @charlesadolf1062 11 дней назад

    With this incredible speech may Almighty God be upon you by bringing this world peace prosperous and being a place to lives happily with no more barriers and war freely.

  • @Awakening-w5b
    @Awakening-w5b 11 дней назад +9

    @Elon musk jamaa nampenda sana

  • @louangesid
    @louangesid 11 дней назад

    Wow

  • @saiddimarley8445
    @saiddimarley8445 11 дней назад +1

    Wale wakukimbilia umarekani ful stop.Wahamiaji kutoka Africa

  • @fatumasalumu2869
    @fatumasalumu2869 11 дней назад

    Ni furahaaaa kwetu 🤛🏾

  • @GeraldElias-s7j
    @GeraldElias-s7j 11 дней назад +4

    Wangapi tunamkubaki trump 🙏🙏🙏

  • @ChrissBen.CharlessLeli
    @ChrissBen.CharlessLeli 11 дней назад +1

    Proud to god

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 11 дней назад +4

    Glory be to Lord Jesus

  • @matunzojr4862
    @matunzojr4862 11 дней назад +9

    "We need leader not in love with money but in love with justice. Not in love with publicity but in love with humanity"
    ~MARTINE LUTHER KING JR.

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p 11 дней назад +4

    Hataki damu za watu wasio na hatia,hatajihusisha na vita vya kipumbavu,

  • @rumdeesonsoa1811
    @rumdeesonsoa1811 11 дней назад +4

    Elon Musk amefurahi sana aliposikia Mars

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 11 дней назад +1

    Just beginning

    • @salimalmughairi1634
      @salimalmughairi1634 11 дней назад

      safari hii mashoga mtanyooka kwa trump pumbavu trump hawataki nyinyi mashoga no more weapon to Israel

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 11 дней назад +1

      @salimalmughairi1634 Jerusalem aliyeitangaza kuwa the capital city ya Israel ni Nani🤣🤣

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 11 дней назад

      Wenzako wale walioshiriki Oct 7 kashawakatia hakuna kupata hata mia 😂😂😂😂​@@salimalmughairi1634

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 11 дней назад

      ​@@omondiowino7875na kashasema hakuna kupeleka hata mia UNRWA sijui

  • @Firmusnjau-e8f
    @Firmusnjau-e8f 11 дней назад

    Amen

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 11 дней назад +1

    Kazi ipo 😂😂😂

  • @faridithomas4859
    @faridithomas4859 11 дней назад +7

    Jamaa anaongea kama T Bag wa prison break..

    • @FxL_87
      @FxL_87 11 дней назад +1

      😂😂😂
      T BAG got the bag 😂

    • @AbdulyMajaliwa-v4r
      @AbdulyMajaliwa-v4r 11 дней назад +1

      T.bag mnyama😂😂

  • @MengiRashidi
    @MengiRashidi 11 дней назад

    👏👏👏

  • @ivanignatio473
    @ivanignatio473 11 дней назад +4

    Trump katika kutambua jinsia ke na me

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 11 дней назад +2

    Anaonekana mtu kamambe mwenye nguvu za mwili licha ya umri wake.

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 11 дней назад +1

    😂😂😂😂labda wawache tabia ya vita na wezi wa mafuta kwenye nchi za wenzao😏

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 11 дней назад +2

    Bwana yoel na Kamala wake😢😢 wamechukia sana

  • @pastorzakariatv1786
    @pastorzakariatv1786 11 дней назад

    Masalia ya waarabu mpo kiboko yenu huyu hapa

  • @PauloNtunguru
    @PauloNtunguru 11 дней назад

  • @PAULNYANDILE
    @PAULNYANDILE 11 дней назад +5

    kama nakuona Mzee baba PUTIN unavyo msikiliza trump ajichanganye kusema neno lolote la kishamba juu ya RUSSIA ujichukulie rasimi UKRAINE yote😂😂

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 11 дней назад

    Biden na Kamala wamekausha 😂 sanaa

  • @salummohamedi5562
    @salummohamedi5562 11 дней назад +2

    Saved by God? Mungu yupi mnaomsema wamarekani

    • @AbdulyMajaliwa-v4r
      @AbdulyMajaliwa-v4r 11 дней назад

      We unahisi yupi?

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 11 дней назад

      Acha ushamba wewe ,unafikiri Mungu ni wako wewe peke yako ? Wao wana Mungu wao na wewe pambana na wako

  • @keviolotu
    @keviolotu 11 дней назад +2

    NDYO MAANA XAUUSD IMESIMAMA HUKU DUU

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 11 дней назад

    Enzi ya dhahabu gani uhuni mtupu nanyi vyombo vya habari mmezidi kulishwa ujinga

  • @AlfroLyd
    @AlfroLyd 11 дней назад

    Washamba sana hawa ma raisi, I was part of people who attacked Donald Trump, hiyo shambulio ili undwa tu ila siyo ya Kweli, it wasn't real, pia Donald Trump wasn't planned to be assassinated, and it was Planned for this bravely speech to take place by showing Americans that God didn't allow his death for him to be the president of the United states of America once again, his second mandate, I'm one of those who were behind the scene who got paid for that Job. Don't mind Americans, Wana danganya Sana ulimwengu.😢 If only Africa can be united we can control the world, just with all the mineral resources that we got in Africa.

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 11 дней назад

      We nawe umbu tutokee hapa ,I was I was are you Satan or?😂😂😂

    • @abouwiztv
      @abouwiztv 10 дней назад

      ​@@emmadora7848😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @semkiwafredy-t9z
    @semkiwafredy-t9z 11 дней назад +2

    Kuna mwamba pemben ya Elon musk akili yake haipo sjui anawaza nn😀

  • @Kaida_Cut254
    @Kaida_Cut254 11 дней назад

    But USA ni wanatumia brain nyingi sana. Mnaona vile na wapinzani wamekuja kuhudhuria, aim Yao ni militants taifa kua number moja.

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 11 дней назад

    HUYO MUHUNI TUU ILA ATAKUFA HIVI KARIBUNI

  • @MinisterDaveen
    @MinisterDaveen 11 дней назад +2

    🤍🙏🏼🙏🏼

  • @MonikaBududa
    @MonikaBududa 11 дней назад

    airaviyu turmpo

    • @oscanyakunga
      @oscanyakunga 11 дней назад

      😂😂😂😂😂😂 ata mchumba wako unamwambiaga ivyouwiiiiiiiii

  • @rukiamadati336
    @rukiamadati336 11 дней назад +1

    Nawaza kwa sauti hivi viongozi wa Africa wamealikwa kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @KarimuSaidi-d7r
    @KarimuSaidi-d7r 11 дней назад +3

    Huyu jamaa ninachomkubali ni kumtanhuliza Allah kila jambo lake

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 11 дней назад +5

      No anamtanguliza Mungu ktk Yesu kristo sio Allah
      Tofautisha

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 11 дней назад +1

      @@christinewomanoffaith5479Mungu ni mmoja

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 11 дней назад

      Mungu au Waungu wako wengi watu wanaabudu ngo'mbe, moto, ila Allah ndio 1 tuu hana mshirika wala hana wakufanana ktk dunia hii so ukirekebishwa rekebishika ALLAH NA MUNGU NI TOFAUTI ALLAH NDO WAKUMUABUDU MANA YEYE NI 1 TUU

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 11 дней назад

      ​@@zuleikhakhamis3303tatizo shule 😂😂😂😂 ,Allah ni neno la Kiarabu ,lenye maana Mungu Kwa kiswahili ,Sasa kama hata Lugha yako huitaki si bure una tatizo kichwani 😂😂 ,anaitwa pia Luwa Kwa kichanga , Nguluvi kihehe, Mulungu kipare ,nk

  • @patriciatumain172
    @patriciatumain172 11 дней назад +2

    Mbona kama president BIDEN na VICE wake CAMALLA HURRIS awapigi makofi

    • @OmariChanja
      @OmariChanja 11 дней назад +1

      Wanapigaje makofi sasa wakati wanaonekana hakuna lolote la maana walilofanya

    • @faridmichael1307
      @faridmichael1307 11 дней назад

      Fact

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 11 дней назад +1

      Hata wakipiga yanasaidia nn? Waafrica ujinga mtaacha lini?😢

  • @Firmusnjau-e8f
    @Firmusnjau-e8f 11 дней назад +1

    Glory be to God .The God will Leader to rule the greater nation is my victory