Safi kabisa. Umeongea vizuri Mungu ailaze inapostahili sisi wanadamu hatujui roho ya mtu inaenda wapi wala hatuna uwezo wa kumuombea mtu aende mbinguni au jehanamu
Hiki kitu kinaonekana kama ni umaarufu lkn baadae watu watakuja kulia na kuomboleza ukweli nikwamba ujana unamambo yake lkn sio hayo huo ni zaidi ya uhuni wanaofanya vijana, na simaanishi alichofanyiwa huyo kijana mpaka kupata umauti kuwa ni sawa ila namaanisha hiyo lifestyle ya vijana wa kwetu Arusha sio nzuri ni hatari kabisa tusichekelee, Mungu awasaidie wabadilike
Baadhi yenu hapa mnaeza sema ni bangi 🤔 but sy kwel boda boda wa Arusha wakogo na kalove flani hv na kaheshima flan hv wanako onyeshaga pindi mwenzao anapofariki so hii sy bangi sy vurugu it's love❤❤❤🙌 FOR THE LOVE OF ARUSHA rest in paradise😢😢
Ni kweli apumzike kwa amani huyu kijana! Ila serikali inapaswa kuangalia kwa jicho la tatu hawa vijana! Naiona hatari iliyoko mbele yetu! Na ubaya wanasema Cha Arusha kina nguvu
Inasikitisha sana serikali inalea mambo kama haya, jeh tumewahi kujiuliza baada ya muda kizazi kinachotegemewa ambacho ndio vijana itakuwaje hasa ukizingatia swala zima la amani na namna ya kufuata sheria za nchi, maana naamini uhuru unamipaka. Kuna haja ya elimu kutolewa na hatua kubwa kuchukuliwa kuanzia ngazi ya familia hadi serikalini
Yote na yote wamiliki wa magari waelekezwe hii kitu aiseh... Kwakweli hata mm pia iliwahi nitokea nikataka kufa kama alivokufa huyu kijana. Nilikua naendesha pikipiki nawahi sokoni, kuna Mahali nikawa nimepita kulikua na gari imepaki mbele... Yaani ile nakaribia tu akawa amefungua mlango wa upande wa barabarani, kilichotokea nilifunga breki kwa haraka nikaruka ule mlango pikipiki ndo ikawa imegonga mlango... Kwakweli niliumia sana... Hadi leo sijawahi sahau na huwa nakua Makini sana nikiwa naendesha boda nikiona gari imepaki... Madereva waelekezwe sana hii kitu. Najua tupo wengi tulokutana hii changamoto
Mimi nafikiri ifike mahala sasa serikali yetu iwe na jicho la kuona mbali hapa tunazalisha vijana wa aina gani jmn,tukumbuke kuna watu wanalea familia zao wazazi wao na wengine kusomesha pia sasa hawa wapuuzi wachache wanafanya madereva wa pikipiki waonekane sio waungwana angali sio kweli! Serikali kupitia vyombo vya ulinzi na usalama tunaomba mtazame hili, naomba kuwasilisha.
Inaonekana vijana wengi Arusha wanatumia mmea vibaya Kwa hari hii niliyoiona inaonyesha akina Dangote hawawez kupotea...ila yote na yote poleni kwa msiba wa dereva mwenzenu..!!?
ARUSHA INATAKIWA IWE KANDA MAALUM YA KIPOLISI NA KIUSALAMA. INAONEKANA BODABODA INATAKA KUWA CHAKA AU GENGE LA WAVUTA BANGI NA MADAWA YA KULEVYA. KUNA SIKU HAO VIJANA WATATUMIKA VIBAYA NA ITAKUWA HATARI!
Hao jamaa wa kiarusha serikali wasipozibiti huo uhuni. Ipo siku watakuja kufanya kitu kibayasana. Wahuni hao kunaishara mbaya sana iliyojificha ktk uhuni wa machalii wa Arusha.
Niko Chuga ila kuna muda naogopa asee 🤣🤣🤣🤣awa jamaa kwanza ukikutana nao ili uwahi mzozo kuumaliza wee uwe na chenchi zao ...yaaan we uwe na 2000 ya silver watupie apo asee utaitwa boss na utasindikizwa umbali wowote ule usiku wamanane other wise utaita maji mma
Fainali uzeeni !! Ujana maji ya moto !! Vijana wanajisahau kwamba nguvu nyingi walizonazo wanazitumia kujiangamiza wenyewe na sio kujiendeleza !! Hao vijana bado ni wadogo mno na kasi waliyonayo sio salama kabisa !! Mungu tuu mwenyewe akiokoe kizazi hiki ambacho hakina dalili ya kudumu bali kuangamia !!
Tabia ya madereva wa magari kufungua milango ya magari yao bila tahadhari inahatarisha sana, wiki moja iliyopita nilinusurika aisee, nipo kwenye pikpik sina ili wala lile mbele kuna gari limepaki mara mlango ukafunguliwa ghafla, ile movie niliicheza vyema kwa msaada wa Mungu nililaza pikpk wala sikuumia mim wala pikpik. ila yule dereva wa gari nilimpiga hatosahau
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU Ingia kwenye simu yako📲NAMBA YA KAMPUNI 553111 KUMB NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1000 Utapata ujumbe wa USHINDI
Mmeanza Utapeli nanyinyi sio
Ila halusha bangesana tuwaombee
No
Mungu itazame tanzania kwa macho ya huruma. Kila kitu kimeharibika, sio maadili, sio siasa . Misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini?.
Mungu uliye hai watazame tena vijana wako na warejee nyumbani mwako kwa maana wewe ni upendo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢
Safi kabisa. Umeongea vizuri Mungu ailaze inapostahili sisi wanadamu hatujui roho ya mtu inaenda wapi wala hatuna uwezo wa kumuombea mtu aende mbinguni au jehanamu
Hiki kitu kinaonekana kama ni umaarufu lkn baadae watu watakuja kulia na kuomboleza ukweli nikwamba ujana unamambo yake lkn sio hayo huo ni zaidi ya uhuni wanaofanya vijana, na simaanishi alichofanyiwa huyo kijana mpaka kupata umauti kuwa ni sawa ila namaanisha hiyo lifestyle ya vijana wa kwetu Arusha sio nzuri ni hatari kabisa tusichekelee, Mungu awasaidie wabadilike
Huu ugonjwa unaolelewa ar ni tatizo sana
Dah! Mungu awasaidie sana
Baadhi yenu hapa mnaeza sema ni bangi 🤔 but sy kwel boda boda wa Arusha wakogo na kalove flani hv na kaheshima flan hv wanako onyeshaga pindi mwenzao anapofariki so hii sy bangi sy vurugu it's love❤❤❤🙌 FOR THE LOVE OF ARUSHA rest in paradise😢😢
Mungu amlaze anapoona panastaili ,,mwandishii wewee!!
Ni kweli apumzike kwa amani huyu kijana! Ila serikali inapaswa kuangalia kwa jicho la tatu hawa vijana! Naiona hatari iliyoko mbele yetu! Na ubaya wanasema Cha Arusha kina nguvu
Najivunia CHUGA its ma motherland 🌴😆😉
🤣🤣ao machalii ni kwele ..ARUSHA ni nchi ndani ya nchi vijana waapo Wana life stail yao Wana kiswahili Chao Wana swagazao zakihuni
Kwere sio kwele jomba
Nimatahila sana hawa tukiachana na mambo ya msiba ilakwa mwendohuu miaka miwili mbele arusha itakua na matahila wengi tanzania
Rc makonda aanze nao aisee tanzania haiwezi kwenda hivi hapana.! Sio maadili kabisa
Arusha wamenishinda tabia😃
tatizo wengi ni washamba hudhania uhuni ni sehemu ya maisha yao na ujinga ujinga
Hawa sio wadudu wadudu wanao respect sn hawa wame vamia tuu
Itabidi serikal iwaangalie awa vijana mna uhuru umepitiliza sana..Wamekua wahuni sana wanaweza kufanya matukio ya ajabu kama kukaba kubaka nk.
Nadhani ni hicho cha Arusha wanalima mpaka uwani, wanatisha kama ( ALSHABAB WA TANZANIA)
@@ummySheikh72 Kwel kabsa ndugu
Hawa hawaibi wala kubaka ni maderva wa Toyo na wana madem wao hawabaki
Abake nan ndicho hicho tu kipo kichwan KWAKO fyuuuuuu
Mawazo yako ya kiwaki
Pombe bangi,, noma sana Allah atuongoze
Allah Anasema usihukumu mtu usiyemjua,Arusha Kwa Usiokaaa A-city Utasema Machalii wanakula Hizo vitu Umeandika lakini hamna....
Napenda xana sun rise jaman 🔥🔥👊
Arusha sio Tz nakupenda 😅😅😅
Eti Mungu Ailaze Roho Ya marehemu anapoona panastahili ,Daah mwandishi Hapo umewaza nini?????😊😊😊😊😊😊
Arusha changamoto sana watoto wetu nitatizo sana
Eti wadudu😂😂ila machalii wanakula bangi kali sana
😂😂😂 nafikili huko ndio unalimwa
Mungu ikomboe Arusha asa hizo rebon kajipamba yeye ndio marehemu?😭😭😭
🤣🤣🤣 ni masikitiko
😢😢😢 wanamuezi.marehem
Arusha lnahitaji nguvu ya ziada ya serikali na Jamie itoe ushirikiano ni wadogo ukiwaangalia
washadanja tayari na wao
😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu rais mpole sana
Noma Sana😀😀
mungu amlaze mahala pemapema ameena
Yaani Ni Arusha mtu ananyonga bangi bila kwere
It's another Nation in Tanzania
Og machalii
Inasikitisha sana serikali inalea mambo kama haya, jeh tumewahi kujiuliza baada ya muda kizazi kinachotegemewa ambacho ndio vijana itakuwaje hasa ukizingatia swala zima la amani na namna ya kufuata sheria za nchi, maana naamini uhuru unamipaka. Kuna haja ya elimu kutolewa na hatua kubwa kuchukuliwa kuanzia ngazi ya familia hadi serikalini
Mi sijaelewa hata Neno mojaa uwiiiii
Wadudu wa arusha jamani msiipeleke watoto wenu arusha ni pa kufanyia maombi dogoo kapumnzika mazima
Poleni sana ndg zangu pole sana
Mtu anaitwa mdudu jmn nyie jhaa😂marehem pumzika kwa aman 🙏
Nimeipenda hii ya mtangazaji mungu amuweke anapoona panastahili💯👆🤣
Najivunia Saana Kutoka Kaskazini....
Mungu awe msaada.?
Da! Hatari sana, nchi ina maadili, najua, tuanze na hawa
Serekali inajua Arusha ni mkoa unao jitegemea
Kuna jamaa kalamba teke latumbo apo aisee machali yachuga nomaa
Jamaaa kala kofi
Wadudu ngaaaa hahahahaaa hii ni nomaaa
Republic of Arusha
Polen Sana Wana chuga
Hawana shida wamepat maumivu ya wenzao
Jaman vijana wetu Mungu wasaidie
Mtakufa muishe kbsa
Wako karibu na milaaa
Anapoona bana estahili😅😅😅😂😂😂
Mmhh Arusha nae
Mungu atunusuru na vizazi vyetu
Mm naona wapunguze bange hau Selekali wafutilie bange Zisiwe kuunzwa
Hili ni TIME BOMB kwa taifa letu😢😢😢😢😢Serikali ipo???
Hahahahaaaa, nimependa iyo buti huyo mbanga kapigwa ya mbavu?
Yote na yote wamiliki wa magari waelekezwe hii kitu aiseh... Kwakweli hata mm pia iliwahi nitokea nikataka kufa kama alivokufa huyu kijana. Nilikua naendesha pikipiki nawahi sokoni, kuna Mahali nikawa nimepita kulikua na gari imepaki mbele... Yaani ile nakaribia tu akawa amefungua mlango wa upande wa barabarani, kilichotokea nilifunga breki kwa haraka nikaruka ule mlango pikipiki ndo ikawa imegonga mlango... Kwakweli niliumia sana... Hadi leo sijawahi sahau na huwa nakua Makini sana nikiwa naendesha boda nikiona gari imepaki... Madereva waelekezwe sana hii kitu. Najua tupo wengi tulokutana hii changamoto
Pole Sana Aiseee
Ndo ujifunze uneona gari limesimama wewe unakuja na pikipiki spidi. Ila nakupa pole my brother.
Boda wengi huwa hawatumii alama na Sheria za barabarani,wanafanya kama vile wapo peke yao barabarani
Hawa macharii wakikutana na PANYA road wa dar ni kwilikwichi
Mimi nafikiri ifike mahala sasa serikali yetu iwe na jicho la kuona mbali hapa tunazalisha vijana wa aina gani jmn,tukumbuke kuna watu wanalea familia zao wazazi wao na wengine kusomesha pia sasa hawa wapuuzi wachache wanafanya madereva wa pikipiki waonekane sio waungwana angali sio kweli! Serikali kupitia vyombo vya ulinzi na usalama tunaomba mtazame hili, naomba kuwasilisha.
Iko sawa maana kiukweli hawa wame zingua sana
Hapo kwa Rc makonda watapona kichaaa😂😂
Mungu ailaze mahali panapo stahili roho ya marehemu.😅😅 Kwanini isilazwe peponi dingii??
NI kafiri huyo Marehemu.
Inaonekana vijana wengi Arusha wanatumia mmea vibaya Kwa hari hii niliyoiona inaonyesha akina Dangote hawawez kupotea...ila yote na yote poleni kwa msiba wa dereva mwenzenu..!!?
inabidi wapigwe risasi kufuta kizazi hicho
Kizazi kwisha hapo
Jamani apo ni tz kweli.mbona sielewi
Huwa sitaman kabisa kuishi huu mji dah
Hahahahaha Tangu lini machalii wafunge barabara ,wkt cyo Yao
Kwan Kuna mwandishi mbumbumbu
ARUSHA INATAKIWA IWE KANDA MAALUM YA KIPOLISI NA KIUSALAMA. INAONEKANA BODABODA INATAKA KUWA CHAKA AU GENGE LA WAVUTA BANGI NA MADAWA YA KULEVYA. KUNA SIKU HAO VIJANA WATATUMIKA VIBAYA NA ITAKUWA HATARI!
Najivunia kuwa mtu wa Arusha
😂poleee
Udereva wa hovyo tunajua mnavyoendeshaga mkituka au kwenda kuzika
Hao jamaa wa kiarusha serikali wasipozibiti huo uhuni. Ipo siku watakuja kufanya kitu kibayasana. Wahuni hao kunaishara mbaya sana iliyojificha ktk uhuni wa machalii wa Arusha.
BODA WA AINA HII ASE, MBONA TUNAKWENDA KASI SANA MAZEE.
Baada ya miaka kadhaa sipati picha hawa watakuwa ni wazee wa aina gani
Hata drug cartels za Mexico na Colombia zilianza hivi hivi serikali inalea ujinga, hawa wahuni wadhibitiwe mapema akiwemo mdogo wangu nae kalowea humo
😂huna mwingine tuoe???
Vybz Kartel👐
Umafia tupu.😅😅
Duuuuu😊😊😊😊😊😊
Niko Chuga ila kuna muda naogopa asee 🤣🤣🤣🤣awa jamaa kwanza ukikutana nao ili uwahi mzozo kuumaliza wee uwe na chenchi zao ...yaaan we uwe na 2000 ya silver watupie apo asee utaitwa boss na utasindikizwa umbali wowote ule usiku wamanane other wise utaita maji mma
N vile nafeel iyo pain aloh😢
Uku kwakweri sio kuzuri😂😂😂😂😂
Chuga sio kuzuri ni kuzuri sanaa
Dadeki Hadi raha hiy vurugu
Ngekua ofisah..Hawa wote nawaweka ndan. Washawaka
Una jeuriii iyooo
Una jeuriii iyooo
We ni mama tu kwanza njoo huku chuga uone
Duuu wadudu ndani ya arusha
Serikali isipoangalia kwa ukaribu itavuna mabua ..
Wapiga kura wa mama samia hao....Sasa hapo bandari ya nini?
Kisimiri plantation
Arusha unakujia na Passport na Visa ni Taifa lingine hili.
Fainali uzeeni !! Ujana maji ya moto !! Vijana wanajisahau kwamba nguvu nyingi walizonazo wanazitumia kujiangamiza wenyewe na sio kujiendeleza !! Hao vijana bado ni wadogo mno na kasi waliyonayo sio salama kabisa !! Mungu tuu mwenyewe akiokoe kizazi hiki ambacho hakina dalili ya kudumu bali kuangamia !!
Ongeza saut mtangazaji
Hali Tete wazaz na serikali msisinzie
Selikali hawa vijana inawachukuliaje hiki kizazi sio salama sana; hili kama ni gang
Nimemuona mmoja kanyoa àlama ya kuuliza?jaman wadudu
hee Arusha imebadirika
Ivi ichi kizazi kipo ktk nchi yetu ya tanzania au ninchokiona ni action za kuigiza
Ni kweree
Umesikia tamko la torati iliyopita Arusha ....
Ukisababisha ajali wanakufuta no case no traffic report ....daaa Ni mbaya....
mtiani sanà
Kuna serekali kweliii au imelala?
Hakuna,Tanzania imekua ya ovyo mno
Chuga amnaga uwoga Yani Ni nguv moko
Mkiaambiwaga ni USA, muwe naelewa,,,, Arusha hawanaga mbili kweny mojaa,,,
apumzike kwa amani mameni ken
Tabia ya madereva wa magari kufungua milango ya magari yao bila tahadhari inahatarisha sana, wiki moja iliyopita nilinusurika aisee, nipo kwenye pikpik sina ili wala lile mbele kuna gari limepaki mara mlango ukafunguliwa ghafla, ile movie niliicheza vyema kwa msaada wa Mungu nililaza pikpk wala sikuumia mim wala pikpik.
ila yule dereva wa gari nilimpiga hatosahau
Hakika bange ya arusha ingechukuzwa huwa inachanganywa na nini😂😂
Kipindi cha magu walikuwa wanamalizwa kimya kimya wanapotezwa now wamekuwa machoko sana
Unatak kusema DADY MAGU ALIKUWA NAFANYA NN CHUNGA KAULI YAKO
Arusha ina vijana wa ovyo sana. Serikali inabidi itizame hawa vijana kwa jicho la 3 this is soo serious 😢
Huku bangi ndio tatizo, hawa jamaa wananyonga mbaya😂
Njoo uwaonyeshe ilo jicho la tatu maana nalionaga kwenye iphone🔥
Arusha yenyewe ndo serikali kuu 😅😅😅
Sasa huyo jamaa anampiga mwenzake teke 😂😂😂 nimecheka kwelii cha Arusha sio poa
Accheni viredio kama ingekuwa tunaharibikiwa mbn mnataman kuwaleta watoto wenu ILBORU na KISIMIRI waje wachukuwe material??????