Issues ya USTAWI wa jamii Tz it's true 💯 wanachangia asilimia kubwa saanaa, nina experience nao issue ya Adoption ilichukua 2 yrs na zaidii na watu wengi wapo tayari ku Adoption haswa watoto wadogo ambao hata kutembea hawajanza but USTAWI unavunjaga moyo na siyo kila mtu ana subra ya kuzungushwa bila sababu za msingi wakati mtu anataka kujitolea😊 WATOTO WA MTAANI INAWEZEKANA USTAWI WAFWATIKIWE HASWAA
Mmekosa kabisaa picha ya mchungaji mhusika hata mtumie picha ya Mchungaji asiyehusika na tuhuma. Na mbaya zaidi ni Mchungaji anayefahamika... Aliyenusurika kichapo ni Nabii na si mchungaji anayevaa collar ...
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Hbr dada
Issues ya USTAWI wa jamii Tz it's true 💯 wanachangia asilimia kubwa saanaa, nina experience nao issue ya Adoption ilichukua 2 yrs na zaidii na watu wengi wapo tayari ku Adoption haswa watoto wadogo ambao hata kutembea hawajanza but USTAWI unavunjaga moyo na siyo kila mtu ana subra ya kuzungushwa bila sababu za msingi wakati mtu anataka kujitolea😊 WATOTO WA MTAANI INAWEZEKANA USTAWI WAFWATIKIWE HASWAA
Eti Mtumishi!!!!! Dunia imekwisha ndugu zangu
Huyu jamani ni mtumishi wa kanisa gani jamani??
Asa hii picha ya uyu mchungaji asiyeusika mmeweka ya Nini kama sio upuuz
Mnaharibu majina ya watumishi muiteni jinalingine
Mmekosa kabisaa picha ya mchungaji mhusika hata mtumie picha ya Mchungaji asiyehusika na tuhuma. Na mbaya zaidi ni Mchungaji anayefahamika...
Aliyenusurika kichapo ni Nabii na si mchungaji anayevaa collar ...
Jesus. 🥹