Hivi wanaosema hakijafanyika kitu ngoja niwaambie 1 Wamemuenzi Baba wa Taifa kipekee kabisa tuwape maua yao 2 Nchi imetangazika duniani kote kitalii, uwekezaji na kibiashara na kitamaduni 3 Wafanyabiashara wamepata kutangaza biashara zao na kuuza 4 watu wamepata connection hapo KUSEMA KWELI MAKONDA APEWE TU MAUA YAKE
@@tanzcanmediatv4473 Ivi unatumia akili au unatumia mavi!??? Unaelewa maisha ngangu kwanza au unaropoka tu, hujui level yng, hujui maisha yng na hujui naingiza sh ngap kwa siku, anyways, usilolijua ni kama ucku wa giza
Hivi wanaosema hakijafanyika kitu ngoja niwaambie
1 Wamemuenzi Baba wa Taifa kipekee kabisa tuwape maua yao
2 Nchi imetangazika duniani kote kitalii, uwekezaji na kibiashara na kitamaduni
3 Wafanyabiashara wamepata kutangaza biashara zao na kuuza
4 watu wamepata connection hapo
KUSEMA KWELI MAKONDA APEWE TU MAUA YAKE
Haihitaji D mbili kuelewa namna gani kuna watu hii imekua fursa ya kupata kipato
Arusha ni noma
Jambo jema
Fanufaa ya kufanya hvyo ni nin, maana magar hayatengenezwi hapa na mafuta hatuchimbi hapa, badala yake ni kama tumetoa tu hella huku tukazitupa nje
Wenzio walivyokuwa wakienda shule wewe ulikuwa ukigema ulanzi sasa unasumbua watu kwenye comment
@@tanzcanmediatv4473 Ivi unatumia akili au unatumia mavi!???
Unaelewa maisha ngangu kwanza au unaropoka tu, hujui level yng, hujui maisha yng na hujui naingiza sh ngap kwa siku, anyways, usilolijua ni kama ucku wa giza
Kabisa yn akili alizo nazo za kuvukia kwenye zebra @@tanzcanmediatv4473