MAKONDA APIGA MAGOTI JUKWAANI AKIOMBEWA - ALIA KATIKATI ya MAOMBI na KUINAMIA CHINI...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 142

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 дня назад +3

    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

    • @NYAKINOVA
      @NYAKINOVA 2 дня назад +1

      Mkowa wa Arusha umekuwa kama upo nchi tofauti na Tanzania natamani sana makonda angekuwepo mwanza

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 дня назад +7

    Amina Amina Amina watumishi wa mungu mnaomwombea kiongozi wetu RC Makonda. Mbarikiwe watumishi wa maombi haya makubwa kabisa mbele za Mungu aliye Hai. Mmetuombea sooooooote. Ameen

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 День назад +2

    Roho ya Mungu iliyokuwa ndani ya Magufuli ilibaki kwa Makonda.

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 2 дня назад +8

    RC MAKONDA ni mtu na nusu na ni genious sana katika mambo ya kiutawala.

  • @BeatriceKitembe-gs9si
    @BeatriceKitembe-gs9si 2 дня назад +3

    Mungu azidi kukutunza na kukulinda Mh Makonda. Mungu akupe Afya, akujaalie hekima na busara... Akulinde UTOKAPO NA UINGIAPO 🙏hofu uliyo nayo mbele za Mungu itakufikisha mbali.... Amen🙏

  • @tituslucas2348
    @tituslucas2348 2 дня назад +4

    Aisee huyu Makonda aanzishe na kanisa tu maana anampenda Mungu sana! Ikiwezekana awe mtu mkubwa Nchi na Nchi itakaa salama

  • @tagomshana4032
    @tagomshana4032 2 дня назад +3

    Mungu skuepushe na aadui wenye is mbaya dhidi Yako na nulinzi wa mungu uwe juu Yako akangumakonda nakupenda sna

  • @PeterMathias-g2d
    @PeterMathias-g2d 2 дня назад +1

    Hongereni sana watumishi wa Mwenyezi Mungu kuwafunulieni katika kumkabidhi mikononi mwa Mora wetu ,Mungu awabariki mno mno,

  • @EmmanuelUsele-vf2fx
    @EmmanuelUsele-vf2fx 2 дня назад +2

    sina cha kusema zaid ya kukuombea kua Mungu akushikilie amen

  • @hamisayusuph5966
    @hamisayusuph5966 2 дня назад +1

    Mungu nakuomba uzidi kumlinda Makonda aishi maisha marefu hapa duniani

  • @happympanyakavili7471
    @happympanyakavili7471 2 дня назад +3

    We trust in you dear Lord,Makonda b protected by the holy blood of Jesus in Jesus name.

  • @JehhusRaoul
    @JehhusRaoul 2 дня назад +2

    Arusha salama Mungu awalinde na. Kuwajaza roho yake hongera Makonda

  • @johnmaumba9110
    @johnmaumba9110 2 дня назад +5

    Huyu MAKONDA azidishe maombi, Mimi naona hata hapa kwenye mkuu wa mkoa siyo mahali pake ila nguvu za kibinadam na Hila za watu ndo zinamrudisha nyuma. But one day atakuwa Mtu MKUBWA Saana Subiri Muone

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 2 дня назад +4

    Mh makonda M Mmungu atakufanyia wepesi ktk kazi zako

  • @godfreykasimba6187
    @godfreykasimba6187 2 дня назад +2

    Ameen lazima yesu atukuzwe Arusha

  • @angelishika6054
    @angelishika6054 2 дня назад +2

    Mungu yupo na wewe Paul Makonda na hatokuacha kamwe

  • @EmmanuelUsele-vf2fx
    @EmmanuelUsele-vf2fx 2 дня назад +2

    makonda umeendelea kutugusa watanzania.Ombi langu kwa Mungu siku moja uwe Raisi wetu.

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 2 дня назад +1

    Zungumza sana na Mungu kaka nami nakuombea inshallah ALLAAH,utafika juu.
    Aamiin 👏

  • @AminarashidAmina
    @AminarashidAmina 2 дня назад +1

    Mungu akujalie mafuta ya kipaji.mungu akulinde kaka makonda na maadui yote.tunaendelea kukuombea mungu akufunike na mikono ya maadui

  • @RhoderYohane
    @RhoderYohane 3 дня назад +9

    Naomba mwakani ugombee urais kura yangu utakua nayo baba angu😓😇❤

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 3 дня назад

      Urais wa mke wake

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 3 дня назад +1

      Tuombe mung napenda hata Mimi awe laisi mungu tusaidie

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 День назад

      B​@@mataypanga5262acha chuki bnafs au wew n Rais wa vuta bhangi

  • @leilasalim-2009
    @leilasalim-2009 2 дня назад +1

    Hiyo ni nema mashaallah maombi juu ya adhana mashaallah ❤

  • @JacksonBayyo-uo3eg
    @JacksonBayyo-uo3eg 3 дня назад +4

    Asante kwa kumwimbea kiongozi wetu

  • @eliudymwanandenje7229
    @eliudymwanandenje7229 2 дня назад

    Amina, ubalikiwe sana Mh Makonda, hakika MUNGU akuzidishe kwa nyenyekevu wako kwake.

  • @EmmanuelUsele-vf2fx
    @EmmanuelUsele-vf2fx 2 дня назад +3

    nakupenda sana makonda .ila ushaur wangu ijulikane ni Mungu yupi unae mtumikia.

    • @ev.emmanuelkawema2493
      @ev.emmanuelkawema2493 2 дня назад

      Hata Mimi kwenye group moja nimeongea haya kwamba awe na msimamo ni Mungu yupi anamwamini maana Mungu hachangamani na miungu

    • @ReemaReema-v2l
      @ReemaReema-v2l 2 дня назад

      Kwani kuna mungu wangapi? Ilo swali gani

  • @ChristinaJob-hu3cn
    @ChristinaJob-hu3cn 2 дня назад +1

    Mungu ibariki Tanzania na Viongozi wake wote.🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 3 дня назад +9

    Amen...Mungu amwinue hadi ikulu

  • @CopperBelt
    @CopperBelt 2 дня назад +3

    Makonda mzalendo wa kweli

  • @Magdalene-er2ur
    @Magdalene-er2ur День назад

    Mimi naimani Paul makonda ni rais wetu kwa wakati Mungu alio ukusudia na wishing ndani ya moyo wangu.....❤

  • @Ibramollel-d1q
    @Ibramollel-d1q День назад

    Amen kubwa snaa kwa kaka yetu sisi wadogo zake mungu amlimde na kumpa afya njema na wadogo zetu na familia yake,,ila kaka ,mweheshimiwa po makonda mpka kuwekwa duniani,,ni mipngo ya mungu alie hai na sii mfu,,mungu mfalme amekuchagua,na kafanya jicho,,jiji linashuka nadosoito muriet ila madiwani wetu wana maslahi binafsi mweheshimiwa wa mungu,,ili tupate nehema ni wew maana mungu kakuleta ,,barabara haipitiki kipindi hichi cha mvua,,kwanzia east afric shuka idara ya maji mpk hakika mvua ikianza hatupiti mweheshimiwa,,mumgu akulinde,tukumbuke maana mungu ndio ametuoa utuokoe na bila yeye huwezi ila hakika mungu mwenye nguvu anakupa nguvu zoteweheshimiwa.

  • @emmyurio7735
    @emmyurio7735 16 часов назад

    Mungu akulinde uishi Miaka mia Tano upate kibali kama henoko

  • @HamisiMauridi
    @HamisiMauridi 3 дня назад +2

    Asanteni vionhozi wa dini kumuombea kipenzi chetu makonda nami namuombea kwa mwenyezi amtie nguvu, afya njema kweye safari ya kuitumikia nchi yutu .

  • @magdalenasirikwa517
    @magdalenasirikwa517 2 дня назад +1

    Aiseee huyu mmasai kaomba vizuri sanaaaaa

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 дня назад

    Wasukuma jamani tupo vizuri sana mungu anatupenda makonda watu wa mwanza mungu aturinde sana

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 дня назад

    Amina baba etu makonda mngu akupe faraja sana na kukurinda na akupe umri murefu utumikie taifa retu baba

  • @Lillian-qt6gi
    @Lillian-qt6gi День назад

    Amen🙏🙏🙏Be blessed

  • @GraceGasperGa
    @GraceGasperGa 2 дня назад +1

    Mmhn!, cjui kwanini nalia 😢m/MUNGU akulinde

  • @MariamWiliam-z8k
    @MariamWiliam-z8k 11 часов назад

    Uyu makonda ni nabii katumwa namungu si vngine kaka una hekima ,busara mpk ht mungu anashangaa

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 3 дня назад +2

    Mungu atakwenda kuifariji Tanzania kupitia wewe naonakitu ndani yako hili jambo si dogo katika MUNGU akubariki kupitia manenomema ya baraka waja wake.

  • @leilasalim-2009
    @leilasalim-2009 2 дня назад

    God bless you makonda tuna kura zako za urahus inshaallaah

  • @TimbuloHemed
    @TimbuloHemed День назад

    Kwangu me huyu the next president of Tanzania

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 День назад

    Makonda bado kitambo kidogo.Mungu atapbadilisha njia yako.utakuwa Mtumishi wa Mungu.Hongera kwa kufuata nyayo za.JPM.Kweli alikuwa mwalimu wako.

  • @DavidKalima-q8y
    @DavidKalima-q8y 3 дня назад +4

    2 wakorinto 6:12-18 msifungiwe nira pamoja na wasioamini,kwa jinsi isivyo sawasawa_ _
    Makonda wewe ni mlokole, utakubalije kuwekewa mikono na watu wasiomwabudu Yesu?. Kama kuna mtu anaweza kutoa sababu za msingi basi naomba anielimishe

    • @amosdaniel1327
      @amosdaniel1327 3 дня назад

      Ni 2 kornto 6;14,, siyo''' 12

    • @DavidKalima-q8y
      @DavidKalima-q8y 3 дня назад

      @amosdaniel1327 Je alichofanya Makonda ni sahihi?

    • @OscarGregorymosha
      @OscarGregorymosha 3 дня назад

      ​@@DavidKalima-q8yhatupaswi kua na ushirika na wasio amini . Ugumu uliopo ni kua nikiongozi wa wote na kibali anakihitaji kwa wote

    • @jasirimjasirimedia7940
      @jasirimjasirimedia7940 3 дня назад

      Unahitaji elimu ya Mungu na jamii na uongozi pia

    • @salomenashon5864
      @salomenashon5864 3 дня назад +1

      Kiongozi wa serikali hatakiwi kua na ubaguzi wa kidini

  • @richardmashauri2584
    @richardmashauri2584 День назад

    safi sana

  • @AsiaHamisi-q1k
    @AsiaHamisi-q1k День назад

    Devid kalima makonda amewekewa mikono naviongizi wadini amabao wanamwabudu mungu mmoja .kwahiyo unataka kusema kuwa walokole wanamwabudu yesu nasiyo mungu au wewe unamungu tofauti?

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 3 дня назад

    Hatari sana hii Dua mungu mwenyewe

  • @TarcisiaKilumile
    @TarcisiaKilumile 3 дня назад +1

    😂😂😂😂Mungu nisamehe aliye shika mkia kanichekesha.

  • @ShabaniMustafa-n8h
    @ShabaniMustafa-n8h 3 дня назад +1

    Bingwa wa sanaa

  • @MussaMgaza
    @MussaMgaza 3 дня назад +3

    Kwazana hhh iposiku utakuwa laisi wahichi

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 3 дня назад +4

    Makonda one day you will be a president of this nation god bles

  • @JehhusRaoul
    @JehhusRaoul 2 дня назад

    Barikiwa

  • @childofgod3216
    @childofgod3216 2 дня назад

    Makonda asihangaike na hao wachungaji na mashehe hakuna namn maneno yao yakabadili fikra ya Mungu kinachotakiwa hapo ni uraisi tu nothing
    Na kwa namn anavyoenda inaweza kua ngumu kua president Bwana asipo ulinda mji walindao walinda bure
    Ni jambo la kutulia tu mheshimiwa usijiangaishe sana na hiko kiti kitakuja chenyewe

  • @richardmashauri2584
    @richardmashauri2584 День назад

    safi

  • @levisopata4716
    @levisopata4716 2 дня назад

    Naona rais wa kesho

  • @ASIAMIPAWA
    @ASIAMIPAWA 2 дня назад

    Amina

  • @SimbaJumanne
    @SimbaJumanne 3 дня назад

    Karibuni tanzaniaa

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi 2 дня назад

    Amiib amiin

  • @jeremialyati6092
    @jeremialyati6092 3 дня назад +3

    Analia na mengi na damu za watanzania Hakika Mwenyezi Mungu ni wa haki wala hahongwi

    • @sebastiansalamba313
      @sebastiansalamba313 3 дня назад +1

      Yakwako na familia yako

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 3 дня назад +2

      @jelemislyat hakuna mkamilifu duniani zaidi ya Mungu. Ww huna dhambi?? Vp mauaji ya Sasa anaua yeye unaonekana una roho mbaya sana

    • @epifaniamilinga2848
      @epifaniamilinga2848 День назад

      Umethibitisha au umesimuliwa,,? Kama ni kweli,basi Mungu amemrehemu,na uhukumu yake utabaki.Nayo ww.

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 дня назад

    Makonda vaa kiatu cha baba wetu wa mwanza mangufuri niko na kura yako

  • @BakaryBekq
    @BakaryBekq 2 дня назад

    Mungu alimtuma samweli nyumbani kwa yese kwani mungu altona kunamfalme yese akawaleta watoto wake women ila kayak hakukuwa mpakwa mafuta samweli akasema je wanao nihawatu? Yese akasema yupo mmoja yupo machangani akasema sitaondoka mpaka aletwe mengine malizieni wenzangu

  • @Neematitus-hs1cb
    @Neematitus-hs1cb 2 дня назад

    Agombee urais mwakani naona anafaa sana

  • @MkayulaDavid
    @MkayulaDavid 2 дня назад

    Siasa kweli ni mchezo mchafu sana

  • @charlesjunge
    @charlesjunge 3 дня назад

    Wahuni TU watu wanaharibu uchaguzi hawasemi Leo wanajifanya bize kuombea Amani wanasahau Haki za ki uchaguzi

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 3 дня назад +1

    Sheikh unaridhia hyo kwa jina la yesu...hujui hyo ni shirk ktk uislamu???

  • @CopperBelt
    @CopperBelt 2 дня назад

    Tanzania homgereni watanzania kwa kupendana kwakweli hii ni baraka tulopewa na MUNGU

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 2 дня назад +1

    Siwez ombewa na mwislam KINYWA chake kinapumua majin

    • @barakalukeha6184
      @barakalukeha6184 2 дня назад

      Mimi ni mkristo lakini natambua uwepo wa watu wasiojitambua kama wewe,,hivi ndugu neno hilo umelitamka humu ukiwa na akili timilifu kweli????haujui kama kuna neema unayoipata ktk maishayako kwa sababu ya maombi ya watu wa Dini usiyoikubali wewe????wenzako wanaomba wakimaanisha Mungu wa kweli sasa wewe unataka kuingilia dhamili za watu na kuzisemea mbele ya madhara hivi kweli!!!!ungelikuwepo zama za mitume ktk matendo ya mitume 10:1 na kuendelea hadi mbele kidogo alikuwepo Mkuu wa majeshi ya kirumi jina aliitwa koronerio alimuomba Mungu sana na kufanya matendo yanayokubalika mbele za Mungu akiwa hata sio wa Dini ya mitume wako unaowafahamu kama kweli wewe ni mkristo.lakini Tunasoma pale kwamba Mungu aliipokea Dua zake na Sadaka zake sasa ungekuwa wewe ndiye Mungu ungefanyaje ikiwa unatamka maneno ya chuki namna hiyo!!! Ninamashaka nawewe kwamba ni mchochezi wa chuki za kidini ebu watanzania tumpuuze huyu anamakusudi ya kuona waislam wanachukia na wakristo wakihamasishwa kuitikia ujinga kama huo..hautapata mtu mwenye akili safi wa kukuitikia ktk wazo lako.soma biblia kama sio mkristo fake unayejificha humu ili kuchonganisha watu

    • @GraceGasperGa
      @GraceGasperGa 2 дня назад

      😮😮

    • @PatrickiGodfrey
      @PatrickiGodfrey 2 дня назад +1

      Sijapendaa

    • @epifaniamilinga2848
      @epifaniamilinga2848 День назад

      Mungu amekuambia? Umesoma bible ww..she he na kuhani walitembea pamoja.Hivyo Mungu aliyeruhusu alikuwa mjinga.Soma neno we acha kusimuliwa mtaani.

  • @moseslaizer7349
    @moseslaizer7349 2 дня назад

    🙏 🙏 🙏 🙏

  • @GermanaMhaku
    @GermanaMhaku 3 дня назад

    Amen

  • @EmmaroseJoseph
    @EmmaroseJoseph 3 дня назад

    Mh MUNGU ndiye achunguzaye mioyo

  • @godfreykasimba6187
    @godfreykasimba6187 2 дня назад

    Huyu mtu mm nameona mbali sana ni suala la muda ni lazima Mungu aje kuchipusha zao la Magufuli tena tunzeni msg yangu hii Mungu ni waajabu njia zake hazichunhuziki

  • @CopperBelt
    @CopperBelt 2 дня назад

    Makonda hakuna anaekuzuia

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd 3 дня назад

    USANII MTUPU HAWA WATU WANATUMIKISHWA HAWAJIELEWI. WANASIASA BWANA.

  • @kamarhelo
    @kamarhelo 2 дня назад

    Ila makonda usinenepe unakua mbaya

  • @masoudabdoul8447
    @masoudabdoul8447 2 дня назад

    Michezo😂😂😂

  • @emmanueltillya2017
    @emmanueltillya2017 3 дня назад

    Acheni basi utani.

  • @PatrickiGodfrey
    @PatrickiGodfrey 2 дня назад

    Jamaa ameogezewaaaa nguvu ya ajabuuuu nitamwomba RAIS samiaaa aupandisheee huu mkoaa iwe nchiii sasa

  • @MkayulaDavid
    @MkayulaDavid 2 дня назад

    Tukutane 2025

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 3 дня назад

    Mnadanganyani.mwambieni.atubu.kwanza.mungu.achezewi

    • @AgnesAndrea-l3k
      @AgnesAndrea-l3k 3 дня назад

      Unataka atubu kwako?

    • @JosephMihayo-zg8se
      @JosephMihayo-zg8se 3 дня назад

      Katubu wewe .. Acha kujifanya wewe ni mkamirifu Acha wakati utende haki wenyewe

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 3 дня назад +1

      Tubu kwanza wewe hii dhambi ya kunena hayo uliyonena

    • @magrethmollel1078
      @magrethmollel1078 3 дня назад

      Makonda wewe umeokoka hupaswi kuombewa kupitia jina jingine ila jina la Yesu Kristo Mungu akusaidie

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 3 дня назад +1

      @magrethimoilel maombi hayachagui dini. Hofu ipo Mungu ni mmoja tu

  • @davidelijahlaiser4064
    @davidelijahlaiser4064 3 дня назад +2

    Ukiona kiongozi yeyote wa serikali anatumia maombi kuhusu matatizo ya wananchi ujue serikali hiyo imekufa haipo na haina maana tena.Serikali inatakiwa itekeleze sera zake kiserikali sio kidini.
    Kazi ya kuombeana ipo makanisani na misikitini ndo maana zipo.
    Ya kaisari mpeni kaisari ya Mungu mpeni Mungu.
    Serikali ya Tanzania inaelekea pabaya sana.

    • @HellenSulle-m7t
      @HellenSulle-m7t 3 дня назад +2

      Hata serikali ya zama za Kuna Daudi,sulemani ilikua unaongozwa na wenye hofu ya Mungu

    • @davidelijahlaiser4064
      @davidelijahlaiser4064 3 дня назад

      @HellenSulle-m7t Ni sawa lakini mimi ninaongelea serikali ya Tanzania.Sijaongelea wafalme,Mitume na manabii.Upo utofauti mkubwa.Ikiendelea hivi ipo siku kiongozi wa serikali wa Tanzania atawaambia wananchi wamwombe Mungu awajengee barabara.Wakati kuna bajeti na wananchi wanalipa kodi.

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 3 дня назад

      Umeandika meeengi lakini umekufa kifkra mbwa koko ww! Ndyo maana ukienda nchi zingine wana serikali za kiislam ni dini hiyo! Umekufa ww unacheleweshwa kuzika tu

    • @davidelijahlaiser4064
      @davidelijahlaiser4064 3 дня назад +1

      @@ndogoroedson199 Ni sawa lakini msingi mkubwa kwa Tanzania iliseparate dini na Serikali. Inamaana Tanzania inaondoka kwenye misingi yake.Viongozi hawachaguliwi kwa sababu ni wacha Mungu sana.wanachaguliwa wakatatue matatizo ya wananchi.Wewe uliye hai ulioni hilo?

    • @salomenashon5864
      @salomenashon5864 3 дня назад

      Tunamashaka na wewe serikali ni Mungu anaisimika na kuwaweka viongozi, ndo maana tunaomba Mungu atupe viongozi sahihi

  • @PendoMakundi-xv6nh
    @PendoMakundi-xv6nh 3 дня назад +1

    Naona sasa anatafuta huruma za watu na watumishi wamuombee Hana amani,furaha Wala uhalali was anachokifanya mungu anamsuka suka sasa😅

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 3 дня назад +2

      Unasukwa sukwa ww na chuki zako na ulaaniwe kwa jina la Allah mbwa ww mabaya yote yakufuate popote ulipo

    • @MaryMafuru
      @MaryMafuru 2 дня назад

      ​@@ndogoroedson199ana chuki huyu, ashindwe

    • @epifaniamilinga2848
      @epifaniamilinga2848 День назад

      Duniani ufanye nini usisemwe? Lakini kama Yesu alisemwa si kitu.

  • @emmanuelBon-p6u
    @emmanuelBon-p6u 3 дня назад

    Mbona kila siku maombez wanajaribu kusafisha aonekane mtuu. Mhm siasa bwana!!

  • @NourdnNourdn-v9q
    @NourdnNourdn-v9q 3 дня назад

    Nimshenzi lazima alie jambaz ilo mungu yupo

    • @Vuvuzelaz1
      @Vuvuzelaz1 2 дня назад

      Wewe ni msafi kiasi gani

  • @MussaJames-q7c
    @MussaJames-q7c 3 дня назад

    Ww kila siku kuombewa kuna siku utasema uliyofanya ya sirini

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 3 дня назад

    Mnuombea Muuwaji alishirikiana na magufuli kutesa watu wa Dar es Salaam.

    • @epifaniamilinga2848
      @epifaniamilinga2848 День назад

      Kama huna ushahidi.ila umesimiliwa na maadui woa.hukumu hiyo itakaa juu yako na uzao wako.kama ulishuhudia na ww upo safi.dua imefika

  • @AmanLaizer-rb5rt
    @AmanLaizer-rb5rt 3 дня назад

    Bongo muvi bongo mavi

    • @samwelsimon7392
      @samwelsimon7392 3 дня назад

      wewe endelea kuteseka tu maombi yanaendelea

    • @Vuvuzelaz1
      @Vuvuzelaz1 2 дня назад +1

      Unateseka ukiwa wapi dear

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 3 дня назад +1

    Amean

  • @HenrymodestKipesha
    @HenrymodestKipesha 3 дня назад

    Anatubu kwaariyoyafanya,damuzawatu

  • @childofgod3216
    @childofgod3216 2 дня назад

    Makonda asihangaike na hao wachungaji na mashehe hakuna namn maneno yao yakabadili fikra ya Mungu kinachotakiwa hapo ni uraisi tu nothing
    Na kwa namn anavyoenda inaweza kua ngumu kua president Bwana asipo ulinda mji walindao walinda bure
    Ni jambo la kutulia tu mheshimiwa usijiangaishe sana na hiko kiti kitakuja chenyewe

  • @hurumamlowe6320
    @hurumamlowe6320 2 дня назад

    Amina