MCHUNGAJI LYIMO SASA AKUBARI UISLAMU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 101

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 2 месяца назад +1

    Namshukuru Mungu wangu nimezaliwa Muislamu

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 года назад +6

    Mashallhaaa mwaipopo mungu akujaze kheli

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 3 года назад +5

    Masha Allah
    Subhanallah
    AllahuAkbar
    Lailaha Ilallahu Wahdahu Lasharikalah Lahulmulku Wala Hulhamdu Wahuwa Alakulisheiin Qadir wa Anna Mohammadan Rasulullahi Swallallahu Alaiyhi Wasallim Wabarik Alaiyhi.
    Shukran Jazakallahu kheir

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 3 года назад +5

    Mashaallah tabarakaallah
    Yani raha ongera mwaipopo

  • @achanifumos1093
    @achanifumos1093 3 года назад +2

    MashaAllah shaikh mwaipopo Allah akujaalie IKHLASW ww na mashaikh wetu wote...amiin

  • @rayhanrashid3928
    @rayhanrashid3928 3 года назад +2

    Maashaa Allah Tabarakallah Allahu Akbar

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 3 года назад +1

    Allah akbar Allah awaongoe wasiokuwa na dini ambao wakristo na sisi waislamu Allah azidi kutupa nuru tufe haliakua waislamu

  • @sharcksharckhassanhassan768
    @sharcksharckhassanhassan768 3 года назад +3

    Maa Shaa Allah

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 3 года назад

    MashaAllah hongereni kwa kazi nzuri.

  • @alhadjmugisha5216
    @alhadjmugisha5216 3 года назад +2

    YaaAllah nampnd mwaippo kwaajil yako anavy ipambaniy din yak,muazm uhai azid kuitangz din yk

    • @ibrahimalharthi4599
      @ibrahimalharthi4599 2 месяца назад

      اللهم انصر الإسلام والمسلمين والمسلمات الاحياء منهم والاموات انك سميع قريب مجيب الدعوات يا رب العالمين

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 3 года назад +2

    MashaAllah

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 года назад

    Mashaa Allah tunaomba mwendelezo

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 года назад +1

    Mashallah

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 2 года назад

    Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.

  • @allymbaruku6930
    @allymbaruku6930 3 года назад +1

    Ma sha Allah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 года назад

    Mashallah Allah 💕

  • @MohamedAli-mj3mg
    @MohamedAli-mj3mg 3 года назад +1

    Mansha Allha

  • @rehemajohn5410
    @rehemajohn5410 3 года назад

    Safi mwaipopo.

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 2 месяца назад

    Ivi Balala yuko wapi siku hizi

  • @samuelondieki9164
    @samuelondieki9164 3 месяца назад

    Unasema wakristo walikua Kapla muhammad

  • @SunguraShabani
    @SunguraShabani 16 дней назад

    KAMA UISLAM NI DINI YA KWELI NA ALLAH NI MUNGU WA KWELI
    KWANINI WAISLAM HAWANA UHUSIANO WOWOTE NA ALLAH MUNGU WAO

  • @khatibuhijja459
    @khatibuhijja459 3 года назад

    Ya lini hii

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 3 года назад

    Heeeee! lyimo! Maskini hujapata sadaka? Pole.

  • @mohamedishemtuhu8305
    @mohamedishemtuhu8305 2 года назад

    Huyo angekurana namazinge mwaipopo bado kdg

  • @nathanwakitaa8875
    @nathanwakitaa8875 3 года назад

    Mwaipopo unapambanaa sana MZUNGU akulipe

  • @DaudiMwangati-id1tk
    @DaudiMwangati-id1tk 5 месяцев назад

    Quran haieleweki Yesu pekee ndio Alie wakwanza nawamwisho.

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 года назад

    sasa jamani hata huo ukristo mbona kwenye bibilia hakuna? jamani hawa wanavituko hawa wakristo

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 года назад +1

    Kwahiyo,waislamu woote wataenda mbinguni?

    • @modrikedward1779
      @modrikedward1779 3 года назад +1

      Hapana. Bali ni Watenda Mema tu

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 3 года назад

      @@modrikedward1779 ni watenda mema wazishikao Amri,Mapenzi na Sheria za Mungu,ikiwa na kuzaliwa kwa mara ya pili na kwa njia ya Yesu Kristo. Hao ndiyo watafika na kuishi mbinguni milele yote

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 года назад

      @@josephmusagasa5566 andiko

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 3 года назад

      @@maherzain615 andiko ni Biblia,vifungu mbalimbali vinatanabisha haya,vema usome Biblia

    • @maimunafzaka880
      @maimunafzaka880 3 года назад +3

      Wote inshaAllah wataenda peponi sio mbinguni. Mbingu zitaangamia. Waislamu wanaomuamini mungu mmoja bila kumkufuru ni watu wa peponi

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 года назад

    Quran imetaja wapagani pia,ina maana wapagani wanakubalika? sjui wafanya kusudi hawa

  • @joshuanyonyi3313
    @joshuanyonyi3313 3 года назад

    Mchungaji gani...
    Linatafuta kiki...sisi Wakina Joshua..
    Tuko wengi...hili lichaga ovyoo..njaa na tamaa...limepewa ela...kutuchafulia yerusalemu mahali patakatifu...

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 3 года назад

      wewe ni.mshabiki wa ukristo na huwezi kuijua haki maana huna elimu na huyu Lyimo ana elimu wewe unaonyesha unavyo comment unashabikia na huangalii hoja kuwa muislam ni mpaka mungu apende na sio ujanja maana humuacha apotee anayefuata matamanio yake nahumuongoza anayetaka haki

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 года назад

      Hao wa Jerusalem wenyewe hawawajui wala hawasemi yesu ni mungu wko mbali kabisa na nyie

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 3 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 kwakwel usipo lijua neno la Mungu na kulishika, waislamu wanakupeleka motoni ivhiv unaona kwa macho yako🤣🤣

    • @mwarabumbarak4342
      @mwarabumbarak4342 3 года назад +4

      Sio kwel kua waislamu wanakupeleka motoni matendo yako ya kiwa mabaya utaenda motoni lakini ukitenda matendo mazuri utakua mahali salama ushahidi huu hapa
      QUR'AN 40
      40.
      Mwenye kutenda uovu hatalipwa ila sawa na huo uwovu wake, na anaye tenda wema, akiwa mwanamume au mwanamke, naye ni Muumini, basi hao wataingia Peponi, waruzukiwe humo bila ya hisabu

    • @profs.a5412
      @profs.a5412 3 года назад

      @@mwarabumbarak4342 wanawapumbaza tu hapo, hamna kitu chochote hapo, kuna wakati shetani hujigeuza kuwa malaika wa nuru ili kuwadanganya watu, believe or not ....uislam unapeleka watu motoni hakuna pepo kwa waislam mjomba. Muhamad kapoteza wengi na anazidi kuwapoteza hata sasa .......hakuwahi kutumwa na Mungu yule so hata mafundisho yake sio ya Mungu , ...kamuulize pangoni alikuwa anafinywa na nani? Huyo ndio mwenye mafundisho ya Quran

    • @magrethmollel1078
      @magrethmollel1078 3 года назад

      yaani ulichokisema ni kweli kama ujui neno umekwisha

    • @profs.a5412
      @profs.a5412 3 года назад

      @@magrethmollel1078 wahuni saana hawa jamaaa😀

    • @alhadjmugisha5216
      @alhadjmugisha5216 3 года назад

      Neno gan la mung ambal unazmgmzia?kam unajuw kwel n'en la mung som vzr mann yak kwa uelwa utapat k slim kW nguv za Allah ,Allah akuwekee WPS in sha Allah milang iko waz

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 года назад

    Mping Kristo ndiyo kama hivi uonavyo. Huyo Mohammed amekuja zaidi ya miaka 500,kwanini? Hawa ndiyo hao wamekuja ili kupinga Neno la Mungu. Yesu Kristo alitabiri kuwa siku zijazo atakuja mpinga Kristo,na hatimae akajitokeza huyo Mohammed,huyu ndiye aliyetabiliwa na huyu ndiye alimsilimisha shetani kuwa muislamu,hivi ninyi hamjiongezi? Au mnazidiwa kwa maneno ya kibishi na maneno mengi? Jitafakari na chukua hatua

    • @Sandra39823
      @Sandra39823 3 года назад

      Ukona shida za akili wewe, mpinga kristo na vile atakavyoingia waislamu tunajua ataingia na dalili gani, na atatokea wapi, na atauliwa na nani, kawaida ya mkristo lazima ampige Muhammad na yesu mwenyewe, mkristo ni mpinga kristo na mpinga Muhammad hilo linatambulika, ungekuja na haya kama Muhammad ni mpinga kristo, Muhammad mwenyewe anamfuata yesu na anafuata mafundisho ya yesu tena anamsifia yesu sana, wewe mjinga wa maana kafili mkubwa

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 3 года назад

      @@Sandra39823 kwa matusi hayo utafika peponi kwenu au vipi? Dini yako inskuruhusu kumtusi mtu? Eti,unasema unaijua dini vizuri hadi unamjua mpinga Kristo,kwa matusi hayo? Hebu soma zile nguzo Tano za uislamu,kuna Yesu Kristo hapo ktk hizo nguzo? Sasa inaingiaje kuwa Mohammed alimfia Yesu? Jitafakari Mohammed huyo ndiye alimsilimisha shetani kuwa muislamu,je kuna Mungu hapo? Jitahidi kusoma badala ya kutega masikio ili uhubiriwe. ndugu yangu,matusi ni kigezo cha kukupeleka kuzimu pia. Aliyekupa akili wewe ndiye huyo huyo aliniumba mimi pia,iweje unitusi? Ila ubarikiwe

    • @monicamarko5768
      @monicamarko5768 3 года назад

      Sijaona hoja ya mtu kusilim dini ya ujanjaujanja hakuna Mungu hapo

    • @shabansalee4924
      @shabansalee4924 2 года назад

      @@monicamarko5768 andiko lipi linasema uhislamu ni dini ya ujanja ujanja ? Nyinyi yesu alivo kuwa tumboni kwa mama yake mlikuwa mnaswali vp?

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Год назад

      Tupe ilo andiko Muhammad alimsilimisha shetani acha kuwalisha watu pumba

  • @NassorKhamis-l6r
    @NassorKhamis-l6r 2 месяца назад

    Mashallah

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 года назад +1

    MashaAllah