Biashara ya mbwa ilivyobadili maisha ya kijana wa Tanzania

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 авг 2021
  • Kwa miaka sita sasa kijana wa kitanzania Mike brown ana tengeneza zaidi ya shilingi milioni mia moja fedha za kitanzania sawa nawastani wa dolla elfu 45000 za kimarekani kila mwaka kwa kuuza mbwa
    Kijana huyu ambaye ana elimu ya shule ya msingi alikuwa mjasiriamali kwa muda akiuza vyombo minadani kabla ya kuhamia kwenye biashara ya simu na sasa mfugaji wa mbwa na mkulima
    Mike ana amini iwapo vijana watatumia elemu zao kujiajiri tatizola ajira litakoma nchini
    Eagan Salla alimtembelea jijini Arusha na hii ni simulizi yake

Комментарии • 7

  • @samflame6287
    @samflame6287 Год назад +1

    Anaweza patikana aje

  • @rosedigna6825
    @rosedigna6825 2 года назад

    Ukweli kabisa..god.is good

  • @lucasnyerere4295
    @lucasnyerere4295 2 года назад

    Hongera sana

  • @husseinmahube2648
    @husseinmahube2648 Год назад

    Nawapend San mbwa nawez anza na mbegu gany kufuga

  • @user-yj3tq6yo4t
    @user-yj3tq6yo4t 5 месяцев назад

    Habari😅😅

  • @samaboy2592
    @samaboy2592 2 года назад

    Fursa hio.unakuta mtu kamalza shele eti anasema hamna ajira.shtukeni sana

  • @ngurukitv4584
    @ngurukitv4584 7 дней назад

    God I love you follow back God bless you 🇰🇪 🙏 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤