KIJANA ANAYEMILIKI SHAMBA LA MBWA ARUSHA, AFUNGUA LODGE YA KULALA MBWA, AFUNGUKA - "LAKI KWA SIKU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2021
  • KIJANA ANAYEMILIKI SHAMBA LA MBWA ARUSHA, AFUNGUA LODGE YA KULALA MBWA, AFUNGUKA - "LAKI KWA SIKU"
    GLOBAL TV imefanya mahojiano na kijana Nondo, mkazi wa Arusha anayefanya shughuli za kufuga wanyama aina ya 'MBWA' ambaye kwa sasa licha ya kufuga ameamua kufungua pia nyumba ya kulala Mbwa (Lodge ya Mbwa)..
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Комментарии • 89

  • @onemuzungu7291
    @onemuzungu7291 2 года назад +5

    Kutoka Lusakacity Zambia 🇿🇲
    Hongera Sana mzeeee

  • @deodatamkuwa4890
    @deodatamkuwa4890 2 года назад +1

    Hongera sana

  • @aginiweyessayakyando1885
    @aginiweyessayakyando1885 2 года назад

    Very creative....
    Congratulations to you man

  • @martinsilwimba548
    @martinsilwimba548 Год назад

    I like your advice brother 👍👍

  • @democritenzoisaba9117
    @democritenzoisaba9117 2 года назад

    From Bujumbura we appreciate your project mr Nondo

  • @officialbadson4545
    @officialbadson4545 2 года назад +4

    🙌🤯I love this

    • @karikumutimadonatien3118
      @karikumutimadonatien3118 2 года назад

      Asante sana Mr Nondo niko Rwanda Kigali unaweza kunipa number ya sim card yako iri niweze kuongea nawe kwa sim Asante sana

  • @anordrenatus3991
    @anordrenatus3991 2 года назад +12

    Ongera Sana ndugu yangu,,,utasikia serikali inasema akalipie mapato serikalini💪💪💪💪

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 2 года назад

    Hongera Nondoz kwa ubunifu nimeipenda na nimeelewa,hongera xanaa!nitakutafuta na Mimi unipatie advice Nini nifanye inaelekea uko na mengi!bigup guy.

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 2 года назад

    Safi kabisa.

  • @williammtera1262
    @williammtera1262 2 года назад

    Nc say Mzee

  • @nimempatajeje9440
    @nimempatajeje9440 Год назад

    Aah 👍🏼 ahh nondo i like it

  • @leonardkajuna1213
    @leonardkajuna1213 Год назад

    Big up

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 года назад

    Umetisha kaka. Big up

  • @enockkagomba1261
    @enockkagomba1261 2 года назад

    Asanteeeeee sana kwa kufikiri tofauti

  • @furahabrayson1774
    @furahabrayson1774 2 года назад

    Naomba namba tuongee

  • @nimempatajeje9440
    @nimempatajeje9440 Год назад

    Mungu akuzidixhie biashara yako

  • @abiudeliudi498
    @abiudeliudi498 2 года назад +1

    Wa tanzania tusi mpe hongela tu tumuungeni mkano

  • @babanewkennelbutembo1772
    @babanewkennelbutembo1772 Год назад

    Nataka namba yake

  • @MjusSlam
    @MjusSlam 2 года назад

    Nondo's communication.

  • @benjaminsilo89
    @benjaminsilo89 2 года назад

    Nitumie namba ya simu

  • @omaryfabiano748
    @omaryfabiano748 2 года назад

    Toa namba tuwasiliane

  • @teddysanga1840
    @teddysanga1840 2 года назад +1

    Nipe number ya simu

  • @slaimakhamis9904
    @slaimakhamis9904 2 года назад +1

    Nakubal kazi ya mnyama nhondo au arusha bore bull

  • @sanjafarmmachinerystractor4205
    @sanjafarmmachinerystractor4205 2 года назад

    Number za simu

  • @hamadmavere4406
    @hamadmavere4406 2 года назад +5

    Mr nondo kutoka. Kuuza simu hadi kufuga mbwa

    • @MjusSlam
      @MjusSlam 2 года назад

      Enzi izo, mbali sana nakumbuka

  • @rehemakamwela8744
    @rehemakamwela8744 2 года назад

    wanapatikana wapi?

  • @edwardmwoleka7022
    @edwardmwoleka7022 Год назад

    Nitumie namba za docter moja wapo kiongozi

  • @faridaabdallah2213
    @faridaabdallah2213 2 года назад

    🙄🙄🙄🙌🙌ninavyo waogopa sasa🙄🙄🤔🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @AbubakarAlly-rt6sj
    @AbubakarAlly-rt6sj Год назад

    Hey naomb no yak

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 Год назад

    Tukiitaji kinda mmoja kiasigani.? Tunaomba namba yako

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid2633 Год назад +2

    Wengine wanafanya mboga hapa duniani

  • @lucaskasandiko7904
    @lucaskasandiko7904 2 года назад +5

    Huo ndo ujanja!

  • @navokisembo
    @navokisembo 2 года назад +1

    Nataka hao Germany shepherd

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 года назад +5

    Anapenda saana mbwa mpaka na yeye anataka kufanana na mbwa wake si kwa ubaya

  • @ayishaali5173
    @ayishaali5173 2 года назад

    🇹🇿💕

  • @simonimarikichuwa912
    @simonimarikichuwa912 2 года назад +1

    Vsana kaka mkubwa

  • @mathiasvicent9955
    @mathiasvicent9955 2 года назад

    Oooh jamn me napenda mbwa saaana Mungu akubariki!

  • @chaxpeter5789
    @chaxpeter5789 2 года назад

    Safi sanaa kaka

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 2 года назад

    Namkumbuka huyu Tajiri

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 2 года назад

    Jamaa anapenda sana Mbwa mpaka amefanana na Mbwa

  • @aggreymichaelmkalawa3425
    @aggreymichaelmkalawa3425 2 года назад

    Huyo jamaa Kichwa Aisee

  • @aggreymichaelmkalawa3425
    @aggreymichaelmkalawa3425 2 года назад

    Ubunifu wake Ni wakipekee Sana Na atafika Mbali sana Muhimu Ni matangazo tuu watu wanahitaji Mbwa Ni wengi sana

  • @iammokee
    @iammokee 2 года назад

    Tunaomba number ya simu nataka shepherd

  • @furahabrayson1774
    @furahabrayson1774 2 года назад

    Kaka mm naitaji jerman

  • @navokisembo
    @navokisembo 2 года назад

    Huku ulaya unapeleka kwa baby sitter na unawalipa kama vile ungeacha akuangalizie watoto wako. Na kuna wanaolipwa tuu kumsaidia kumtembeza mbwa wako yaani kuna watu special wa kuja kumchukua mbwa wako kwa matembezi. Very good idea bro make the money

  • @omarthabit3053
    @omarthabit3053 29 дней назад

    Huyo jamaa nishawahi kutaka dume la german,alkua mkubwa kidogo niliambiwa 20M

  • @saheedali7467
    @saheedali7467 2 года назад +3

    Kwema mapenzi usiangalie gharama. Imenikosha hiyo, wengi tunafeli kwa ubakhili

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 2 года назад

      Ila hapo ilitakiwa ajibu swali straight ili na sisi tupate kujua makadirio ya gharama. Ni km alivyotaja bei ya mbwa, ile ni gharama ya kumnunua mbwa.

    • @ezekielleonidas5798
      @ezekielleonidas5798 2 года назад

      @@RuzoOwzy anakula kilo 1 ya nyama kwahiyo fanya 1x30x5000

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 2 года назад

    Shikamoo nondo

  • @billycanto
    @billycanto 2 года назад +4

    Mr nondo naomba ulete mbwa mbegu ya tibetan mastiff bongo sijaona giant dogs

  • @williammashito316
    @williammashito316 2 года назад

    Mim nipo dar na hitaji Mbwa nakupataje?

  • @user-hq9le5wd9g
    @user-hq9le5wd9g 25 дней назад

    Vipi hao wanafaa kwa kamboga, maana sisi huku iringa hatun kama hao wajamani

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 2 года назад

    Nataka kununua mbwa unapatikana wapi ? ?

  • @otchumastory2698
    @otchumastory2698 2 года назад

    .

  • @navokisembo
    @navokisembo 2 года назад +6

    Biashara nzuri hii ulaya, hao mbwa kwa wenzetu wanawajali ni family members kabisaaa. Na mbwa ni rafiki wazuri na walinzi Wema. Nitakuja nunua mbwa kwako kaka

  • @merycianachangarawe8979
    @merycianachangarawe8979 2 года назад

    Arusha kiukweli unahitaji sana mbwa maana kuna wezi jamni uwii

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 2 года назад +1

    Mbwa amekuwa rafiki wa binadamu tangu zamani za kale.

  • @ilungasalle
    @ilungasalle 2 года назад +1

    Nikija bongo nalutafuta kamanda

  • @rommelmauma8081
    @rommelmauma8081 2 года назад

    Toeni mafunzo, malazi bora, mafunzo, mapenzi na uzalendo kwa mbwa koko wetu ili nao, baadaye, wapate ajira na heshima...kama baadhi ya hao "mbwa wa kizungu".

  • @cashmoneytz2759
    @cashmoneytz2759 2 года назад

    🤪🤪🤪🤪 million 4

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 2 года назад

    Dah! Mbwa anajengewa Lodge, alafu kwao wazazi wanalala nyumba za nyasi wadogo zake ada awana hii dunia inaenda kwa kasi sana

    • @asantembise6
      @asantembise6 2 года назад +8

      Acha uchawi ww unamfaham nyie ndio wachawi wa Africa nzima hampendi maendeleo wanafiki wakubwa....ww umefanya kipi cha kuelimisha au kusaidia familia yakooo

    • @peternassari7634
      @peternassari7634 2 года назад +2

      @@asantembise6 😂😂

    • @kyaa006
      @kyaa006 2 года назад +2

      Nao si waungane na kaka yao kwenye kufuga hao mpwa ada wataipata hapo hapo kwenye kazi hiyo......acha unafiki wewe wazazi wako umewajengea garofa ngapi? Wadogo zako umewalipia ada kiasi gani?

    • @peternassari7634
      @peternassari7634 2 года назад

      @@kyaa006 😂😂😂

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 2 года назад +3

      Yaani kwenye jema wakosoaji hawakosi. Sijui umemaanisha nini?