Mzee mengine upo sawa mengine unatupa imani2 Kwa sababu kama ulinunua basi1 ukiwa na umri wa miaka19, na hapo baba Yako tayari ana gari ata kama ulikuwa mkwechwe! Kumbe WWE unatokea kwenye family inayojiweza sababu kwenye miaka ya 80_90 familia zilizokuwa zinamiliki gari,pikipiki zilikuwa nifamilia zenye uchumi wa kati Kwa kpndi hicho!
Tatizo watu walio fanikiwa huwa hawapendi kuongea ukweli wanacho kijua ni majigambo. Swala la kufanikiwa halipo kwenye hizo mbinu anazo ziongelea mbunge 🙌🙌 akili mtu wangu 🙂🙂
Safi sana Mungu azidi kukubariki maana utarudisha sehemu ya kipato chako kwa wasio nacho unawashika mkono ili na wao wasogee mbele ni wao tu kuitumia nafasi hiyo adimu tukiwa na Walofanikiwa kama Shabiby wakafanya hayo nchi inasonga mbele
Huo ni mpango mzuri sana mheshimiwa na wengine waliopo kwenye nafasi za kuwasaidia wengine wapate funzo. Hapo umetenda Kwa vitendo sio Kwa maneno. Asante. Wapi mbunge wangu jamani duh... Simuoni kwenye maono hayo kabisaaaaaa
@@msowamhokole7714 ukiwa huna kitu bado huwezi pewa mkopo wa bus hata siku moja,sote tunajua unakopeshwa kulingana na Mali uliyonayo kama dhamana. Maneno alioongea nimazuri,ilakuna vipengere laazima tujiongeze wasikilizaji!!!
Hiv nyinyi mnaosema mmechanwa na huyu jamaa familia yake mnaijua?hiv kijana wakitanzania mwenye umri wa miaka 19 mnakubali kabisa anaweza kununua bas hivi thaman ya bus mnaijua hahahaaaa mm sio mjinga hvyo unachoombiwa changanya na zako
uwe mwelewa bro, mfano amekwambia alikuwa na mashamba makubwa na mtaji wa trekta na wakati huo bas ilikuwa ml 20,Sasa kwa nn asifanikiwe kwa upambanaji huo, Tafakari bro!!
Sisi tutakuunga mkono kwa kutumia ksmpuni yako kusafiri au kusafirisha na ninakuombea kwa Mungu akuzidishie kila la kheri na akuepushe na mitihani ya kidunia
Wabunge wa majimbo mengine waige mfano wa Shabiby, ili vijana wale wenye nia waweze kuinuka kiuchumi, hongera sana Shabiby kwni umeonyesha mfano mzuri sana.
Safi sana Mheshimiwa Shabiby ww ni mzalendo wa Kweli. Unajitahidi sana kuleta maendeleo Kwenye Wilaya ya Gairo hakuna barabara mbovu zote hadi milimani umezitengeza zinapitika majira yote hakika we ni JEMBE!
Hakika Mbunge shabby ni mfano WA kuigwa na viongozi wote tunge kuwa na watu WA aina yake 200 tu kwenye nchii Kwa jinsi anavyowasaidia vijana kijiajiri Kila mtanzania angekuwa tajiri
Kuna watu wanautajiri tqngu kuanza kupevuka shida msingi wa wafamilia haujitambui, kuna wenye vipaji kwa maana ya mtaji wa asili 🥲 inasikitisha waswahili wengi hawajui jambo ili katika hapo wenzetu weupe ndipo walipo tupiga goli la kisigino
Mungu anaona, mtu unasema ulikuwa unaenda kulima na swalaji, baba ako alikiwa na gari mbovu, ulienda kusoma nairobi. Leo unasema ww ulikuwa maskin? Kvp
Pamoja na kuwa ndani yake kuna ujumbe muhimu, naona shida ipo Kwa mfikishaji ambaye anaonekana kukosa hekima kidogo katika kufikisha ujumbe huo,,,,,,kuna kaujivuni kidogo ndani yaki!!
@@stanslausmteme8455 Hahahaha,,,,, umasikini kitu kibaya, si unaona hata hapo wanasimangwa na mjivuni, wao wanapiga makofi!! Kwahiyo hizo comments ni za haohao!! Kwahiyo usinifananishe Mimi na hao,,,,
Acha uongo miaka 19 ulisoma lini na kwamiaka mingapi ulifanyakazi wapi au biashara gani ukapata mamilioni ndio maana viongozi wa nchi yetu mnaonekana wezi tu kwasababu kauli zenu huwa hazina ukweli.
Acha kudanganya watu wewe shukuru mungu kakupa ila usidanganye vijana eti ulinunua bus ukiwa na miaka 19 labda uliuza figo,, watu tumejichanga mno ila sio miaka 19
@@jumakapilima7295 pale mazae kulikuwa kuzuri sana wakati ule kulikuwa kumetulia kule mpwapwa nilienda kumsalimia mjomba wangu na familia yake lakini mimi naishi Ulaya huwa nikija dar naenda mpwapwa ndugu zangu wengi wanaishi mpwapwa
Huu ndo upuzi ambao bado unaitafuna Africa.Hivi mtoto aliyezaliw familia ya kimasikini hapohapo ni mwanafunz tena wa form4 miak 19 awe na uwezo wa kununuua basi real😭😭🤔🥺
Nahamia jimboni kwako mzee baba ,,,,ambao tunahamia kwenda jimboni kwa huyu mwamba tujuane kwa like👍🏻👍 tutakaa sehemu moja😀💪🙏
Mashaallah mbunge anae pendwa zaid na wananchi wake yote ni kwakua anaupendo sana na wananchi wake allah akupe umri mrefu Ahmedy shabiby🥰🙏
Huna akili hata chembe huyo ni zurumati fisadi nguli naapa kwa mwenyezi MUNGU ataenda MOTONI
Mzee mengine upo sawa mengine unatupa imani2 Kwa sababu kama ulinunua basi1 ukiwa na umri wa miaka19, na hapo baba Yako tayari ana gari ata kama ulikuwa mkwechwe! Kumbe WWE unatokea kwenye family inayojiweza sababu kwenye miaka ya 80_90 familia zilizokuwa zinamiliki gari,pikipiki zilikuwa nifamilia zenye uchumi wa kati Kwa kpndi hicho!
MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki Kwa Roho Yako nzuri
Kama.kuna wabunge ambao binafsi nawaombea wazidi kufanikiwa ni Ahmed Shabiby.Mungu akuzidishie Mara elfu 5
Shabiby umeongea point sana mwenye kuelewa itamusaidia safi sana boss shabiby.
Duh mh. shabiby katuchana sana humu vijana
Sawa sawa maneno ya maana na changamoto kwa vijana , Thank you much Ahmed, Riaz hapa Marekani
Shabiby Hoyer safi sana hongera sana Mbunge.!!
Tatizo watu walio fanikiwa huwa hawapendi kuongea ukweli wanacho kijua ni majigambo. Swala la kufanikiwa halipo kwenye hizo mbinu anazo ziongelea mbunge 🙌🙌 akili mtu wangu 🙂🙂
Kuna zile red Mercury za kule Gailo mbona haisemi
Kwa familia za kitanzania sina uwakika.. Sema matajiri Siku zote Huwa awaongeii ukweli Moja Kwa Moja
Mh hili ni darasa kwa nchi mzima,sio hao tu,kwa kweli dozi imeingia hongera sana kwa shule hii
Nidarasa tosha unakuta jitu unalipa mtaji hata laki tatu linaona mdogo
@@ameenaameena1224 hatari sana!!
Kazi kwenu haya yakuigwa
C.C.M Hoyeee, hongera sana Mh. Shabiby
We nae unaanza kuo gela masuala ya c c cm
Hii ndo sawa unasikiliza motivation speech toka kwa tajiri aliefanikiwa,, achana na porojo za motivational speekers
Upo vzr sn Mh.Sabiby unamalengo mazuri na vijana wako hongera
Safi sana Mungu azidi kukubariki maana utarudisha sehemu ya kipato chako kwa wasio nacho unawashika mkono ili na wao wasogee mbele ni wao tu kuitumia nafasi hiyo adimu tukiwa na Walofanikiwa kama Shabiby wakafanya hayo nchi inasonga mbele
Hongera Sana shabiby mungu akuzidishie kheri akujaliye miongoni mwa watu wema
Umeongea tajiri mungu akupe maisha marefu
Huo ni mpango mzuri sana mheshimiwa na wengine waliopo kwenye nafasi za kuwasaidia wengine wapate funzo. Hapo umetenda Kwa vitendo sio Kwa maneno. Asante. Wapi mbunge wangu jamani duh... Simuoni kwenye maono hayo kabisaaaaaa
Naitwa Bahati mwiyombo wa iyogwe kwa sasa nipo Dodoma asante mafundisho mazuri munge wangu cku ukifika Dodoma nitafute
🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Ely Tozy
Yaan Mh, akifika Dodoma akutafute wew?😁😁
Bro una umwamba ni mzito yani mkuu akutafute kweli? 😂😂😂😂
Great brain hyo wajanja tumekusoma vzr
Hongera Sana mbunge wao ww ni mfano mungu akuzisishie
Mashaallah umeongea vizuri, I will be back..!!!
Elimu ulio itoa juu ya suala la utajili ni funzo Tisha kweli wewe ni mzalendo hongera mkuu
Hongera sana Mhe.Shabiby
Mzee umeongea point sana duuh nimeiludia mara tatu😂😂😂🤣🤣
Hard TRUTH shabiby...🎉🎉
Uko vzr mungu akutangulie unanyo pambana na wananchi wako. Ila mkubwa vijana wanakukubal mno
Duuuuu hii kali,,,,,,! Hii ni speech bora ya muda wote.
Ujumbe mzur sana Hemed unawaasa vijana wanaobweteka
Miaka 19 ufanye kazi kwa bidii upate pesa ununue basi labda uuze unga kama hujarisi
Alikopa Basi lake kwa super star bus ndio alio mpa mwaka 91 wewe unakumbuka
@@msowamhokole7714 ukiwa huna kitu bado huwezi pewa mkopo wa bus hata siku moja,sote tunajua unakopeshwa kulingana na Mali uliyonayo kama dhamana.
Maneno alioongea nimazuri,ilakuna vipengere laazima tujiongeze wasikilizaji!!!
@@konshazikonsha6180 hakika...huwezi kupewa mali kama huna mali.
Ni possible mtu wangu
Mungu baba akutunze sana maana umejua kumfurahisha kuwajali wahitaji inapendeza maisha marefu kwako.
Hiv nyinyi mnaosema mmechanwa na huyu jamaa familia yake mnaijua?hiv kijana wakitanzania mwenye umri wa miaka 19 mnakubali kabisa anaweza kununua bas hivi thaman ya bus mnaijua hahahaaaa mm sio mjinga hvyo unachoombiwa changanya na zako
Na baada ya miaka miwili tu yameongezeka kufikia matano.....wakt mda huo ata mtaji haujarudi yy kafika matano
uwe mwelewa bro, mfano amekwambia alikuwa na mashamba makubwa na mtaji wa trekta na wakati huo bas ilikuwa ml 20,Sasa kwa nn asifanikiwe kwa upambanaji huo, Tafakari bro!!
@@davidezri4117 mbona unadanganyika kiwepesi hivyo,,,
Wakubwa syo lazma wote tuanze na mabus
Bidii sawa lkini katka safari ya manikio kuna siri nyingi sana
Exactly
Yeah ofcourse 😎
Shukran mzee kwakutumotuvate vijana
Asante Sana Kwa kusema Ukweli
Hongera San kumiliki basi na miaka 19 so mchezo ulikuwa na bidii sana
Kiongozi bora wa jimbo langu kiukweli umekuwa msada sana kwa jamii yako Mungu azidi kukupa Afya njema na mafanikio zaidi.
Safi San mkuu mm nachukua hatua mwezi huu asntee kwa wazolako
Unajua tajiri wengi huwa wanasema mm nilikua nauza karanga nauza mihogo hakuna atakaye sema ukweli hata moja wanasiri nzito
Hongera sana. Hapo kwenye masada umenirudisha primary. Sijui na mifudu, misasati au huko Gairo haipo.
🤣🤣🤣🤣🤣 eti mifudu umenikumbusha hukoooo kwetu wanging'ombeee
Hongeraa muheshimiwa
Daaaa aiseee kweli kabisa bhana
Hongera sana mh shabby mitano tena
Sisi tutakuunga mkono kwa kutumia ksmpuni yako kusafiri au kusafirisha na ninakuombea kwa Mungu akuzidishie kila la kheri na akuepushe na mitihani ya kidunia
Wabunge wa majimbo mengine waige mfano wa Shabiby, ili vijana wale wenye nia waweze kuinuka kiuchumi, hongera sana Shabiby kwni umeonyesha mfano mzuri sana.
Ahsante mzee
Sawaa kabisa mheshimwa huko kitungu vipi
Safi sana Mheshimiwa Shabiby ww ni mzalendo wa Kweli. Unajitahidi sana kuleta maendeleo Kwenye Wilaya ya Gairo hakuna barabara mbovu zote hadi milimani umezitengeza zinapitika majira yote hakika we ni JEMBE!
Kweli bro maisha nikupambani tu no way out
Dah hongera kaka kuwatia moyo watu 🙏🙏🙏🙏
Safi sana mheshiwa shabibi utajiri hauna elimu hata mbuyu ulinza kama mchicha
Kila kitu mipango ya mungu sio uhodar
vijana waache siasa za omba omba katika siasa
Mashallah mashallah maneno mazuriii sana
Wewe ndio nakuangaliaga Mheshimiwa Shabiby wewe ndio mwalimu wangu naangalizia kwake
Asante sana Mh Mbunge
Hakika Mbunge shabby ni mfano WA kuigwa na viongozi wote tunge kuwa na watu WA aina yake 200 tu kwenye nchii Kwa jinsi anavyowasaidia vijana kijiajiri Kila mtanzania angekuwa tajiri
Shabiby is hustler big time
Shabby umetisha baba
Allah amfanyie wepesi
Hongera sana mheshimiwa, hatuna shaka na utekelezaji👍🏿
Sav Sana mweshimiwa shabb
Dah huyu jamaa kweli alipambana mwenyewe maana mbinu zake yuko sahihi
Wabunge wote igeni mfano wa shabib hakika kwa mtazazo na maono yake anafaa kupewa dhamana kubwa zaidi ya kiutawala
Dah! yaani miaka 21 Basi 5 duh! hiyo safi🤫🤫
Big up mhe mbunge
Mzee unasema ukweri mungu akusadie
Kwa vijana wakitanzania! Umeliwa mzee. Wasaidie tu upunguze mapipa yako ya hela
Kama watatoka basi ni asilimia moja!
Hongera Sana mzee shabiby Mungu akuongezee siku za kuishi kwa upendo wa namba hiyo kwa wananchi wako pia mawazo yako ni k
Nikweli kabisa utajili ni usubutu kujituma na kutokata tamaa tufanyie kazi 🏌️
Safi Sana,👏👏👏.
Kuna watu wanautajiri tqngu kuanza kupevuka shida msingi wa wafamilia haujitambui, kuna wenye vipaji kwa maana ya mtaji wa asili 🥲 inasikitisha waswahili wengi hawajui jambo ili katika hapo wenzetu weupe ndipo walipo tupiga goli la kisigino
Mungu anaona, mtu unasema ulikuwa unaenda kulima na swalaji, baba ako alikiwa na gari mbovu, ulienda kusoma nairobi. Leo unasema ww ulikuwa maskin? Kvp
Pamoja na kuwa ndani yake kuna ujumbe muhimu, naona shida ipo Kwa mfikishaji ambaye anaonekana kukosa hekima kidogo katika kufikisha ujumbe huo,,,,,,kuna kaujivuni kidogo ndani yaki!!
Sio ujivuni ni namna yk ya kuongea hii a angeongea Mh.Mpango kwa sauti na upole wake usinge comment hivyo
@@stanslausmteme8455 inawezekana ukawa Una tatizo la uelewa,,,
@@jumakapilima7295 soma hizi comment zote harafu ujitafakari kuhusu hekima na uelewa ulonao ambapo mimi sina
@@stanslausmteme8455 Hahahaha,,,,, umasikini kitu kibaya, si unaona hata hapo wanasimangwa na mjivuni, wao wanapiga makofi!! Kwahiyo hizo comments ni za haohao!! Kwahiyo usinifananishe Mimi na hao,,,,
@@jumakapilima7295 Tajiri hana muda na unachokifanya wew humu utajiri wako labda hekima ulojinadi unayo ila si mali
nakubali sna,, siend tena kutafuta chuma ulete
Siyo wabunge tu ata matajiri wengine
Acha uongo miaka 19 ulisoma lini na kwamiaka mingapi ulifanyakazi wapi au biashara gani ukapata mamilioni ndio maana viongozi wa nchi yetu mnaonekana wezi tu kwasababu kauli zenu huwa hazina ukweli.
Great leaders inspires their followers
Ongela baba yangu
Acha kudanganya watu wewe shukuru mungu kakupa ila usidanganye vijana eti ulinunua bus ukiwa na miaka 19 labda uliuza figo,, watu tumejichanga mno ila sio miaka 19
Teh teh teh,,,elimu yote hiyo hujaamini tu ndugu yangu..
Hongera kwa maendleo mazuri katika jimbo la gairo pamoja na kata zake zote
Shabibi unafaa kuwa mhubiri uponye akili za walio sinzia hayo ndio maisha sio kuong'opeana sijui nitawaletea maji sijui nini nk Safi kaka
Kwani wahubiri tu ndo wanaongeaga point kwahyo we humuelewi mpaka awe mhubir?
Mbon hpo sjkuelewa miak 19 basi1 na 21 mabas matano...haiwezkani kuna chanzo chengin cha pesa sio basi lamwanzo.....umerithi bwaaanaaa
Millard apo kwenye gwanda umefinya saut ila tumeelewa
ASANTE HATA KAMA NIKO DAR ES SALAAM, NIMEFURAHI, VIJANA INUKENI HARAKAAAAAAAAAA....
Inspiration ya maana sana
ASANTE KWA KUMWAGA MADINI YA UFAHAMU KWA WENYE AKILI, WAPUMBAVU HAPO UNAPOTEZA MDA, HONGERA SANA....VIJANA TOKENI KTK MAWAZO MGANDO...
SoMo lako Kama vijana watakuelewa Basi gairo itakuwa juu Ila Nina wasiwasi na hao vijana
Mm nataka niwepo kwenye hicho kikao mwakani Kama tutakuwa wazma
Nilipanda basi la Shabiby kutoka dar kwenda mpwapwa mwaka 1997
Duuuuuh
Mazae, Mwanakianga kulikuwaje wakati huo?
@@jumakapilima7295 pale mazae kulikuwa kuzuri sana wakati ule kulikuwa kumetulia kule mpwapwa nilienda kumsalimia mjomba wangu na familia yake lakini mimi naishi Ulaya huwa nikija dar naenda mpwapwa ndugu zangu wengi wanaishi mpwapwa
@@happynelson1180 😁😁
Ahsante,kwa kututia moyo vijana lakin vingine unatupiga na kitu kizito hapo pa miaka 19 kwa hesabu za fasta haingii kwa akili?
Niko nyumbani Leo nawapata vizur mno
Asanteni sanaa
Great news
Huu ndo upuzi ambao bado unaitafuna Africa.Hivi mtoto aliyezaliw familia ya kimasikini hapohapo ni mwanafunz tena wa form4 miak 19 awe na uwezo wa kununuua basi real😭😭🤔🥺
Inspired
Pokea utajiri Kwa jina la shabibi
Hiyo mitoto ya kiume uisemee kweli inakazi yakuywa pombe inakuwa mijizi
Kweli tufanye kazi
CCM munazingua mbona munapea ardhi za watanzania vijana wa ccm tu et daah kweli hamuna jipya ccm sasa munaenda kubaya zaid
Miaka 19 Mh. ulikuwa na biashara gani ili na sisi tuwasaidie vijana wetu wajiajili?
Daah nalo nenoo
Mm mwenyewe hapa pananikwaza maana miaka 19 pesa kapata muda gani shule kasoma muda gani hii hapana bhana