Lava Lava - Tuachane ( Official Music Video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 5 тыс.

  • @marthawairish8233
    @marthawairish8233 29 дней назад +7

    2024 heartbreak ni real😂yamenishinda mapenzi

  • @PharisJoeMaina
    @PharisJoeMaina 5 месяцев назад +43

    Wangapi wako single...❤❤❤❤ Like tukisonga 🇰🇪🇹🇿

  • @LOJ123
    @LOJ123 2 года назад +82

    This has been my favorite song since 2020❤May God keep Lavalava🙏🏽Wakenya tunakupenda sana😊🇰🇪

  • @PurityKandy
    @PurityKandy 9 дней назад +3

    Listening nikiwa nimegongewa na bestie mapenzi Yana wenyewe🙌🙌

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 4 года назад +223

    Mhh jamani kama mnapenda muziki wa Tanzania gonga like zifike hata 80 tu japokuwa tupo kwenye kipindi kigumu cha ugonjwa wa corona 2020 hatunajinsi.

  • @mosesmuthuri9629
    @mosesmuthuri9629 7 месяцев назад +247

    Wenye bado wamerudi kuskiza hii nyimbo 2024 baada ya kutendwa piteni na like alafu tupatane nyuma ya tent😢😢😢

    • @sandrawanga5390
      @sandrawanga5390 6 месяцев назад +2

      Listening to this while it happened two days ago

    • @mosesmuthuri9629
      @mosesmuthuri9629 6 месяцев назад

      @@sandrawanga5390 woooi pole mamaa usijali yatapa

    • @mosesmuthuri9629
      @mosesmuthuri9629 6 месяцев назад +3

      @@sandrawanga5390 woooi sorry 😔😐

    • @A-dcha_14
      @A-dcha_14 5 месяцев назад +3

      💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔

    • @mosesmuthuri9629
      @mosesmuthuri9629 5 месяцев назад +1

      @@A-dcha_14 💔💔

  • @elizaniko1864
    @elizaniko1864 7 лет назад +16

    Waooo WCB Mmwaah Penda sana nyie Sio watu wamchezo mchezo nani sababisha, like comment kuwapa sapoti

  • @ShiraHassan-v8y
    @ShiraHassan-v8y 3 дня назад +1

    bora tuachane yamenishinda mapenzi december 2024

  • @fancymack1997
    @fancymack1997 9 месяцев назад +17

    Wangap wamechoka na mapenzi. Tuko rikizo sasa😢💔💔💔

  • @jmmucui6720
    @jmmucui6720 3 года назад +17

    kidogo itabidi nimejifunza kutopenda nyimbo za waliovunjika moyo, laini hili kubwa sana

  • @hassanomar4543
    @hassanomar4543 5 лет назад +100

    TRANSLATION
    [Verse 1]
    Kama Imeshindikana Kunirudia Isiwe Taabu
    (If its difficult to come back to me lets not make it harder)
    Usiuforce Moyo Kupenda Usipostahili
    (Dont force your heart to love where it don't deserve)
    Ya Nini Kung’ang’ania Nishachoka Kuwekwa Sabu
    (no need of clinging am tired of being an option)
    Siwezi Ooh Na Mapenzi Nishaghairi
    (I cant ooh for love i changed my mind)
    Tena Niko Tayari
    (And again am ready)
    Vipigwe Vinubi Kengele Kwa Sherehe
    (Let drums beat and bells ring in celebrations)
    Kinaghaubagha Mbele Ya Umati Tuachane
    (Openly and in front of the crowd lets call it off)
    Na Kama Hautojali Tuite Waumini Mapadre Na Masheikh
    (And if you wont care lets sermon the faithfuls the pastors and sheikhs)
    Yaishe Labda Sa Kwa Nini Tutesane
    (Lets end it why now should we torture ourselves)
    Kweli We Ndo Nikupendae Ila Unanipa Ghadhabu
    (Its true its you that i love except that you hurt me)
    Tusitoane Nyongo
    (We shouldn't vomit the bitter bile)
    Na Kama Umenichoka Eh Niache Kistarabu
    (And if you're tired of me eh leave me in dignity)
    Usinipe Chongo Miee
    (Dont give me a blind eye)
    [Bridge]
    Mwili Umebaki Kongoro
    (My body remains just a figure)
    Nyama Sina Ni Mifupa
    (No flesh just bones)
    Naiona Ndomboro
    (I see my grave)
    Kabisa Siwezi Furukuta
    (Completely i cant help myself win this fight)
    Penzi Kiporo
    (Love has become an overnight meal)
    Limeshachina Linanuka
    (Its stale and it smells)
    Kuishi Kokoro
    (Living has become troubles)
    Purukushani Kutwa Kucha Iyeeh
    (Fights all night and all day yeah)
    [Chorus]
    Bora Tuachane Bora Tuachane Siwezi Bora Tuachane
    (Better if we go our separate ways i cant take it anymore)
    Yamenishinda Mapenzi
    (Am done with love)
    Mi Naona Bora Tuachane eeh Tuachane Siwezi
    (I see its better we go our separate ways i cant take it anymore)
    [Verse 2]
    Ni Dhahiri Kisima Kimekauka Maji
    (Its obvious the well has dried up)
    Ndo Maana Naona Hata Sina Maana Tena
    (Thats why i find myself of no use)
    Nilifikiri mi gonjwa Langu Limepata Mponyaji
    (I thought i got a doctor for my illness)
    Umeniongezea Homa Mwili Wote Wantetema
    (Instead you rose the fever my whole body is shaking)
    Mi Naona Basi Labda Si Riziki Yangu
    (I think its enough maybe its not my provision)
    Kama Hunitaki Acha Tu Niende Zangu
    (If you don't want me just let me go)
    Ya Nini Mishikaki
    (no need of mere excuses)
    Ntatafuta Boda Yangu Nijinafasi
    (i will find my own hustle to survive)
    Niipande Peke Yangu
    (And deal with my own problems)

    • @dhahabu9219
      @dhahabu9219 5 лет назад +8

      What a beautiful translation. Imetusaidia sisi wa 254 maana hicho kiswahili! Thanks

    • @dhahabu9219
      @dhahabu9219 5 лет назад +2

      Lakini, nita tafuta boda boda ... niipande mwenyewe... maana yake halisi ni nini? I've had heard this phrase in several bongo flava songs. Ni boda boda yaani piki piki za kubeba watu?

    • @hassanomar4543
      @hassanomar4543 5 лет назад +2

      @@dhahabu9219 thank you too and you're welcomed.
      yeap uko sawa "ntatafuta boda yangu "( atatafuta kazi ya bodaboda or pikipiki ambayo ni sawa na kuhustle). kwa mfano hapa inamaanisha kupambana na umaskini wake au hali yake ya kuwa heart broken."niipande peke yangu" inamanisha hatohitaji usaidizi wa yoyote.that phrase ni sawa na msemo wa 254 kusema atapambana na hali yake peke yake. furthermore,many songs za bongo zina mafumbo(idioms) if you give direct translation it will bring confusion instead inafaa uchukue maana iliokusudiwa coz sometimes mafumbo have different meanings in different situations.

    • @dhahabu9219
      @dhahabu9219 5 лет назад

      @@hassanomar4543 Asante tena. I think in the song Ninogesha by Nandy @ 0.43 "boda boda yangu kwanini nipandne mishikaki... siwezi".. means something else. Maana hapo sioni kama anazungumza kuhusu side-hustle. Ama nimekosea?

    • @hassanomar4543
      @hassanomar4543 5 лет назад

      @@dhahabu9219 nimekuelewa,haha,sawa basi maana ya ndani ya "bodaboda" yake ni mshikaji ,na mishikaki ni nyama zilizopangwa kwenye kijiti kimoja yaani kushare mshikaji.thanks umenifunza pia ill have to edit it. YOU ARE RIGHT.

  • @EvelineKawira
    @EvelineKawira 3 дня назад +1

    Wangapi wanaskiaza hii song 22 DEC 2024

  • @ElosyKinyua-tg1ti
    @ElosyKinyua-tg1ti 10 месяцев назад +227

    Wangapi wako single ata sahizi tunaskiza gonga like ya 2024😢😢

    • @AdrianoCardoso-q3e
      @AdrianoCardoso-q3e 7 месяцев назад +1

      Eu

    • @puritydavid8747
      @puritydavid8747 5 месяцев назад +2

      Tuko apa

    • @WafaKikwaso
      @WafaKikwaso 3 месяца назад +1

      Sisi wote tuko single

    • @AbdillahiSalah-p5r
      @AbdillahiSalah-p5r 3 месяца назад

      ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉😢😢😢😮😮😅😅😅😊😊❤❤smdoiy777328901

    • @VickNnko
      @VickNnko 2 месяца назад +1

      Why single come baby am single 😏

  • @johnmalongo5738
    @johnmalongo5738 7 лет назад +60

    Huu wimbo nimeanza kusikiriza tangu ulipotoka mpaka sasa sijasikiriza nyingine tofauti na huu. Daah!! unakipaji Sana kaka✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊

  • @trishshii3468
    @trishshii3468 7 лет назад +33

    mistari kwenye hii nyimbo iko swafi 😻😻😻 kama hanitaki basi niache niende mwaaaaaah

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 Месяц назад +2

    Nani Yuhapa 2024 ,Jameni Mapenzi Yaleta Malaria 😭😭😇😇🥰🔥🙌🏾🙌🏾❤️❤️🇰🇪

  • @lucymutuamulago2092
    @lucymutuamulago2092 6 лет назад +41

    Wakenya tumekubali TZ rules. Maaaad hit. Quality 100%. Kila kitu kiko sawa. Lyrics, video vocals yoooote sawa

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 4 года назад

      Hivi samahani Kenya kuna muziki mzuri wa mapenzi wenye sauti tamu kama huu ??

    • @kanyijoel159
      @kanyijoel159 4 года назад

      kama Kenya ni wee kamuu!! hapo unaona kama kuna mesaage?

  • @davisbett5389
    @davisbett5389 5 лет назад +411

    Aaaaah Aaaah Aaaaah Aaaah
    [Verse 1]
    Kama Imeshindikana Kunirudia Isiwe Taabu
 Usiuforce Moyo Kupenda Usipostahili
 Ya Nini Kung’ang’ania Nishachoka Kuwekwa Sub
 Siwezi Ooh Na Mapenzi Nishaghaili
 Tena Niko Tayari Vipigwe Vinumbi Kengere Kwa Sherehe
 Kinaghaubagha Mbele Ya Umati Tuachane
 Na Kama Hautojali Tuite Waumini Mapadre Na Masheikh
Yaishe Labda Sa Kwa Nini Tutesane 
Kweli We Ndo Nikupendae Ila Unanipa Ghadabu Jina
 Tusitoane Nyongo 
Na Kama Umenichoka Eh Niache Kistarabu Jina
 Usinipe Chongo Miee
    [Bridge]
    Mwili Umebaki Kongoro Nyama Sina Ni Mifupa
 Naiona Ndomboro Kabisa Siwezi Furukuta
 Penzi Kiporo Limeshachina Linanuka
 Huishi Kokoro Purukushani Kutwa Kucha Iyeeh
    [Chorus]
    Bora Tuachane Bora Tuachane Siwezi
 Bora Tuachane Yamenishinda Mapenzi
 Mi Naona Bora Tuachane eeh Tuachane Siwezi
 Bora Tuachane Yamenishinda Mapenzi
    [Verse 2]
    Ni Dhahiri Kisima Kimekauka Maji
 Ndo Maana Naona Kata Sina Maana Tena 
Nilifikiri Mi Gonjwa Langu Limepata Mponyaji
Umeniongezea Homa Mwili Wote Wantetema
 Mi Naona Basi Labda Si Ridhiki Yangu
 Kama Hunitaki Acha Tu Niende Zangu
Ya Nini Mishikaki Ntatafuta Boda Yangu
 Nijinafasi Niipande Peke Yangu
    [Bridge]
    Mwili Umebaki Kongoro Nyama Sina Ni Mifupa 
Naiona Ndomboro Kabisa Siwezi Furukuta 
Penzi Kiporo Limeshachina Linanuka
 Huishi Kokoro Purukushani Kutwa Kucha Iyeeh
    [Chorus]
    Bora Tuachane Bora Tuachane Siwezi Bora Tuachane Yamenishinda Mapenzi
 Mi Naona Bora Tuachane Eeh Tuachane Siwezi
Bora Tuachane Yamenishinda Mapenzi

  • @samwelnjuguna-gz9eb
    @samwelnjuguna-gz9eb Год назад +6

    Ni kweli 💯 Kama mapenzi yamewashinda 💔 Na kabla hamjafikiria kuachana,itabidi mzungumze Kadri ya uwezo wenu 🇰🇪🌍 Ili kujua tatizo liko wapi !?? Na kujua Jinsi mtakavyo lisuluhisha Hilo tatizo bila chuki ❤️‍🔥 Au mkishindwa kupata suluhisho Na muamue Ni Bora muachane !!! Basi itabidi muachane Na kila mmoja aishi Maisha yake kivyake bila YA ata kumtatiza mwenzake kivyovyote vile 🇰🇪🌍Move On 🦉✌️

  • @anordmwakikali
    @anordmwakikali 8 месяцев назад +3

    April2024 who is still listening this banger from lovebite

  • @ashaabdul2984
    @ashaabdul2984 4 года назад +70

    Wangapi wanampenda lavalava gonga like

  • @samtz1399
    @samtz1399 7 лет назад +99

    wayaaa.... ngoma Kali n video Kali, ila aw wcb noma Kama mnawaelew gnga like tukmbizan n mwendokas from wcb

  • @damarisfuraha
    @damarisfuraha 7 месяцев назад +56

    2024 This is song is hard😭😭😭😭enzi zile akiimba nlikuwa mdogo😅

  • @believeboy2150
    @believeboy2150 Год назад

    Nyimbo yangu bora katika nyimbo bora kuwai kutokea masikioni mwangu hii ni moja wapo why,lavalava usiimbee tena aina ya hii nyimbo najua tunaisubiri kwa muda sasa aina hii ya music

  • @jacksonebrahim7961
    @jacksonebrahim7961 4 года назад +168

    Kama bado unasikiliza wimbo wa lavalava tuachane nipe like zakutosha
    2020

    • @barakakaudenzo4629
      @barakakaudenzo4629 3 года назад

      Nimzr

    • @toiantimardachaou9365
      @toiantimardachaou9365 Месяц назад

      Je me souviens qu'il y a 5 ans passés, j'avais un problème en m'avait pris mon mari avec une cousine a maman, , j'ai souffert , je faisais que écouter cette chanson, depuis mon île de Mayotte

  • @manethjunior3782
    @manethjunior3782 2 года назад +435

    Kama bado unapenda hii Ngoma na upo single 2022 gonga like

  • @dylanafia9094
    @dylanafia9094 7 лет назад +62

    ni wanga pi mashabiki wa huu msani keep it up bro WCB SIMBA LAVALAVA DIAMOND PLATNUMZ HARMONIZE RAYVANN RICH MAVOKO NICE MUSIC'S OR SONGS KEEP IT UP BROTHER GOD BLES YOU GUYS NICE MUSICIAN LOVE YOU GUYS

  • @perismuthoni8990
    @perismuthoni8990 2 года назад

    Honestly tuliachana na baba mtoi so lavalava hakukosea akiimba huu wimbo tuachane

  • @risky2544
    @risky2544 4 года назад +476

    Kama bado 2020 unapenda hii ngoma na uko single,gonga like hapa😂😂

  • @Nonie-up4wr
    @Nonie-up4wr 9 месяцев назад +116

    Anyone 2024💔🥺😢😭

    • @The_moribos
      @The_moribos 8 месяцев назад +4

      Yes am here crying like a baby 😢😭😭😭😭🙌💔💔

    • @fuadahmed2475
      @fuadahmed2475 8 месяцев назад +3

      Every morning when I wake up 🤣🔥♥️

    • @ELIZABETHIndesiaKisiangani
      @ELIZABETHIndesiaKisiangani 8 месяцев назад +2

      mimi aki 😢😢😭

    • @SB_swagboy.
      @SB_swagboy. 8 месяцев назад +1

      Hell yeah 💞😭

    • @faithsyombua143
      @faithsyombua143 8 месяцев назад +2

      ​@@fuadahmed2475pole😂😂😂

  • @RhymekingKenya
    @RhymekingKenya 7 лет назад +194

    Honestly am Kenyan but im jealous because The Tanzanian Industry is taking over East Africa and Africa at Large.......Nampa pongezi Diamond kwa motisha anayowapa wasanii wake na pia maagizo .....i really wish we had a Diamond in Kenya....bless up Wasafi....Lava Lava this is an awesome track...ive watched behind the scenes and u really put some hard work...good job

  • @isabellawakweika1426
    @isabellawakweika1426 3 месяца назад +3

    who's here on September 2024 ♥️♥️♥️we are still kicking,,,lava lava my best artist

  • @lilianondegwa6786
    @lilianondegwa6786 7 лет назад +40

    waaah hii song tamu sana ,,,,lavalava umeweza na utaenda mbali I say,,,keep it coming us Kenya twakupenda sanaaaa!!

  • @tonidieumerci
    @tonidieumerci 7 лет назад +182

    I like his voice my Gosh, very sharp, heavy and deep I cried watching this song ....swahil sounds good nakuambia....I m a Rwandan and i understand swahil this song is full of emotions...............

  • @machajah
    @machajah Год назад +60

    2023 still can't get enough of this song🥹🥹🥹💔🇸🇸🇸🇸🇸🇸

    • @maximemasinga9504
      @maximemasinga9504 Год назад +1

      Pamoj San I'm from Tanzania, Dodoma

    • @machajah
      @machajah Год назад +1

      South Sudanese 🇸🇸

    • @CelinSammy
      @CelinSammy Год назад +1

      I still remember this song big up lava lava

  • @johnmwangi3773
    @johnmwangi3773 Месяц назад +1

    May we heal from whatever makes us come to this song

  • @musaayubu2786
    @musaayubu2786 7 лет назад +26

    musa ayub from Qatar gonga like apa kama 254 imeweza big up lava lava

    • @amanijulius8398
      @amanijulius8398 7 лет назад

      Musa Ayubu broo vipi Qatar huko naomba unicheki +255764679887

  • @socratesshamillah6499
    @socratesshamillah6499 7 лет назад +6

    +254 represented! A big chune there kijana wa Bongo, watching from Nairobi!!!

  • @vachieng247
    @vachieng247 Год назад +8

    Bado nko hapa 2023, can't get enough of this song ♥️♥️♥️

  • @Carolinemwende-qe5nd
    @Carolinemwende-qe5nd Год назад

    Kama imezidikana kunrudia iciwe taabu uciu force moyo kupenda ucipo staili ili this song 🔥 🔥🔥 very true 💪💪💪👊👊

  • @mohamedsiadi8144
    @mohamedsiadi8144 7 лет назад +11

    Dah huyu msani mpya hatari sana. kuliko wasani wote including Diamond himself 💥🔥

    • @toksolo9764
      @toksolo9764 7 лет назад +1

      Steve john can you pls explain this song to me in English?

    • @pandabooming
      @pandabooming 7 лет назад

      tok solo the guy is complaining about the drama her girl does to him so he's saying its better we break up hes fed up

    • @luqman0769
      @luqman0769 7 лет назад +2

      Steve john hajafika kiwango cha simba

    • @maureenmuteitsi3809
      @maureenmuteitsi3809 7 лет назад

      Yes

  • @judykingoto9494
    @judykingoto9494 6 лет назад +149

    Ii ndo wimbo napenda kati ya nyimbo zote za lavalava, the words though, just loving it

  • @johnkaroki7010
    @johnkaroki7010 7 лет назад +18

    ni dhahili kisima kimekauka maji,,,,,noma saana toka NYUMBANI WCB.....shukran toka hapa hapa kenya

  • @yasintawatson7450
    @yasintawatson7450 2 года назад +1

    Hii ngoma iwekewee mji pale mjin dodoma

  • @shabanimachala7090
    @shabanimachala7090 3 года назад +31

    Nyimbo yangu pendwa All the time..... Good job broo

    • @issajohn2572
      @issajohn2572 2 года назад +1

      jumbo sonata kayango rahivani Asante sana parkour game Mari Connie Asante sana what musician casa Hindi cool to me cool to make a musician movie mongo our Juliet mahali popote neposika Santa cacao hulali mahali salama ❤️🍄🌹

    • @jasannjenga3568
      @jasannjenga3568 2 года назад

      My favorite

  • @sabrinibrahim3186
    @sabrinibrahim3186 7 лет назад +143

    I dont understand why people dislike this song...I think those people they dont have brain, eyes,ear's, ....its such romantic song such emotional.. Wow you're such talent love you............................

  • @rehemaswaleh4141
    @rehemaswaleh4141 6 лет назад +344

    Usiuforce moyo kupenda usipostahili👌💕💕💕💕🙅🙅🙆

  • @AdmiringGeoCave-tf6dp
    @AdmiringGeoCave-tf6dp 8 месяцев назад

    Lavlava nakukubali San bro wew n unaimba tena unaimba sana uzur unaimba kwa hisia ujue nakubl sana by melina

  • @MishenOnMission
    @MishenOnMission 3 года назад +42

    If you are here 2024💕💕✌️

  • @normanmukangamatiza1257
    @normanmukangamatiza1257 7 лет назад +51

    Don't understand any swahili word but I played this song from 8pm to 1am. Was obviously late for work, but first thing I did was plug in my earphones and play the song again. A Zimbabwean working thousands of miles away from Africa and addicted to Tanzanian music, but this song is just in a class of it's own! I HAVE to learn Swahili.

    • @maureenandrew8636
      @maureenandrew8636 2 года назад

      you should.....the more you listen, the more unajifunza.

  • @mwaijatvonline895
    @mwaijatvonline895 5 лет назад +32

    I love this song
    Kweli wewe ndo nikupendaye .....
    Mwili umebaki kongoro.......
    Yanini mishikaki ntatafuta boda yangu......

  • @halimaponda812
    @halimaponda812 3 года назад +2

    Kama umenichoka niache kistalabu

  • @mansamoosa1121
    @mansamoosa1121 2 года назад +32

    From Uganda and i don't know swahili but it's 2 years of playing this masterpiece and i got word for word at heart. 🔥

  • @Hamiduz
    @Hamiduz 7 лет назад +23

    big thumbs from uganda
    it so touching song It brings bak mi past in love when I was still down in tabata wth a swt muchaga gal

    • @charlesmccool2758
      @charlesmccool2758 7 лет назад

      broda u cant love a chagga girl ..u live with them under contract

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 7 лет назад

      #sweetmtimamanenoz 😎

    • @nalisahib6127
      @nalisahib6127 7 лет назад

      Zziwa Hamidu Kazai damn you sexy my african king

  • @aishaaziz2414
    @aishaaziz2414 7 лет назад +40

    The 2k wenye hawajatambua this song... I think you are just jealous people who don't appreciate music and the meaning of songs or maybe you totally don't understand the language. I LOVE THIS SONG. LOTSA LOVE FROM +254

  • @lauramuhati4234
    @lauramuhati4234 3 года назад

    Wooow salute lavalava l love your song, hizo ndio Huwa naskiza na my hubby tukiwa free

  • @yourcountrysidebae3270
    @yourcountrysidebae3270 7 лет назад +67

    I am from Zimbabwe but I have fallen in love with Tanzanian music, beautiful music guys keep up the good work 😍

  • @emmanuelshashi9805
    @emmanuelshashi9805 7 лет назад +12

    kilicho baki n collabo na CEO chibu hatare sana wasafi tukutane wasafidotcom

  • @rahmamavura406
    @rahmamavura406 7 лет назад +140

    unaimba kipekeee sikufananishi na msanii yeyote hapa.bigup sana.sichoki usikiliza

  • @hassannoorabdullahi2065
    @hassannoorabdullahi2065 2 года назад +3

    Mtawachana tu Hassan from Nairobi hapa

  • @rayakothy3793
    @rayakothy3793 7 лет назад +17

    is better being alone than being with someone who makes u feel lonely

  • @aliceanyango48
    @aliceanyango48 4 года назад +9

    Who else is deeply in love with this so like I do... Likes za this song

    • @omanj1ace597
      @omanj1ace597 3 года назад

      Ya nini mishikeke natafuta bda yangu nijinafac niipande peke angu

  • @wildmemeshuzni8526
    @wildmemeshuzni8526 6 лет назад +25

    mbele ya Umati tuachane hawakuwezi bro angusha Moja kitaarabu

  • @limajblessed7132
    @limajblessed7132 3 года назад

    Am back baada kurudiana na babe wangu😁😁😁😂hatuachani lava lava

  • @tygashow-sea7992
    @tygashow-sea7992 7 лет назад +34

    salute broo,,, hiyo voice nimeikubali sanaa

  • @stellahpattu2621
    @stellahpattu2621 2 года назад +130

    Here I'm 2022 repeating this song over and over 💕💕 🇰🇪

  • @LadhayamtaaTV
    @LadhayamtaaTV 7 лет назад +432

    great work lavalava we love you soo much here in Kenya.

  • @alicewomba7036
    @alicewomba7036 3 года назад +1

    Kama umeshindwa kunirudia inside taabu. Usinganganie @@@

  • @abdulymakamba8959
    @abdulymakamba8959 7 лет назад +14

    Daaaah unajua ndugu mpka raha ila swala muimu ndugu

  • @TushfaChizy-sw5oz
    @TushfaChizy-sw5oz 10 месяцев назад +7

    Still 2024 rocking this song😂😂😂😅😅😅nkiachwa narudi

  • @sarahrespikius4025
    @sarahrespikius4025 7 лет назад +51

    nimeipenda sana unanikumbusha Mbali mungu akusaidie hakupe umri mwingi bro kazi nzuri sana

  • @hackerxploitkenya1389
    @hackerxploitkenya1389 Месяц назад

    A lady from Bongo willing to break lava lava's heart again tupatane nyuma ya tent. We need him to compose new bangers like this 🔥🔥🔥🔥

  • @elizabethvictor3057
    @elizabethvictor3057 5 лет назад +30

    Mwili umebaki kongoro nyama sina ni mifup december 8 2019

  • @producermikmer
    @producermikmer 7 лет назад +21

    jamaa we ni mkali sana umetisha sana #iamlavalava

  • @scholarsticahchacha7382
    @scholarsticahchacha7382 5 лет назад +17

    Love this song ....who is still here October 2019....love from +254

  • @nattybeemwenyewe5360
    @nattybeemwenyewe5360 3 года назад +1

    Kweli kabisa bro mapezl inatesa

  • @theresiandasuya1849
    @theresiandasuya1849 6 лет назад +73

    Duuuu! Ila Mungu kamwaga baraka za vipaji vya kuimba Tanzania,,,, ila tuache utani Lavalava una kipaji OG kifanyie kazi utafika mbali na Mungu akusaidie

  • @donaldjuma5328
    @donaldjuma5328 3 года назад +5

    Badoo nasikilizia huu wimbo kenya wapi like

  • @charitymnyazi5401
    @charitymnyazi5401 7 лет назад +8

    Nilifikiri donda limepata mponyaji........umeniongezea homa mwili wote watetema....penda sana ii song...naburudika nkiwa Bahrain....but am from Kenya...wapi wale wa (+254)

  • @SadickHamza-f4d
    @SadickHamza-f4d 8 дней назад +1

    Mtaalam huyu bwana lava lava

  • @feiruzmajid1057
    @feiruzmajid1057 6 лет назад +8

    this song kills me,no need to stay in relationship if you're hurting,bora muachane...lavalava is GREAT!!!!

    • @eunicemayieko434
      @eunicemayieko434 2 года назад

      This is real true ,no need of being in a relationship ,hata nmejifunza kuanza kuomba bongo walae will look for this man to join😔😔😔

  • @oscartvonline2382
    @oscartvonline2382 7 лет назад +90

    Ni dhahiri, kisima kimekauka maji,
    Ndo maana naona, hata sina maana tena.
    Nilifikiri...mi gonjwa langu limepata mponyaji,
    Umeniongezea homa, mwili wote wantetema...
    Mi naona baaasi, labda siridhiki yangu,
    Kama hunitaaaki, acha tu niende zangu,
    Ya nini mishikaki...katafuta boda yangu,
    Nijinafaasi, niipande peke yangu... #tuachane

    • @giocheca399
      @giocheca399 7 лет назад +2

      Ero kamano inya. Hawa watu watatumaliza ni hizi nyimbo zao. Noma sana.

    • @oscartvonline2382
      @oscartvonline2382 7 лет назад +2

      gacw19 this song is so hoooot. The guy is definitely on fire. Karibu sana

    • @faizaomar6702
      @faizaomar6702 7 лет назад +1

      Hi

    • @faizaomar6702
      @faizaomar6702 7 лет назад

      gacw19 2

    • @algwiji
      @algwiji 7 лет назад +2

      oscar oduor ungetoa full lyrics brathe

  • @abdulmkumba5952
    @abdulmkumba5952 7 лет назад +5

    kaza buti lavalava.. I love you wasafi

  • @ibrahjoel7283
    @ibrahjoel7283 11 месяцев назад

    "Oohhh liwalo na liwe na namba zako nafuta ama unasemaje liwalo na liwe penzi lishwekwa nukta Acha Tu niache". huu mstali sijui kwann walifuta 😢anyway 2024 🎉🎉

  • @yarisowsomalianyare0019
    @yarisowsomalianyare0019 3 года назад +5

    waaryadaaa somaliyeed like isaaraa somalia hanolatoo iyo mishaaa jugteed so qoor

  • @felistarmuguima965
    @felistarmuguima965 3 года назад +11

    Don't ask as if we're still listening,we never left🥺,we are here to cry our hearts out after those heartbreaks

  • @aliceanyango48
    @aliceanyango48 4 года назад +7

    For real heartbreak can make you to remember back.... Love your songs. Hata kama inauma " Bora tuachane...."

  • @abdullahimuhsin9603
    @abdullahimuhsin9603 2 года назад +1

    ""Nitatafuta boda yangu""....i like dat reaction....awesome!

  • @abeeyhassan5163
    @abeeyhassan5163 7 лет назад +14

    Wat a song.........Diamond Ali kiba R.I.P a star has been born welcome broda enjoyed ur track to de fullest🙌🙌👍👌

  • @josphatmwania5800
    @josphatmwania5800 7 лет назад +44

    254 Tuonyeshye upendo kwa like! Bonge la hit!

  • @halimaomar6070
    @halimaomar6070 7 лет назад +90

    bac mafans wako wakicoment iwe unawajibu usiwe kama hao wengine sisi ndio kila kituuu welove u tutasapotiii mpaka kieleweke

  • @nancymwanyae7730
    @nancymwanyae7730 3 года назад +2

    Bora tuachane🤦🤦🤦,wapi likes za Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 7 лет назад +5

    #Lavalava aisee wee jamaa nyoko sana umeuwa mwanangu kichupa ataree

    • @jut1161
      @jut1161 7 лет назад +1

      Hassanova junior umeonah eehh

  • @somalisillest6849
    @somalisillest6849 5 лет назад +80

    Hy Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👉🏻🇪🇹 I lm Ethiopian I like Tanzania music nii qalii

  • @agnesadrian6886
    @agnesadrian6886 7 лет назад +224

    mwili umebaki kongoro...nyama sina ni mifupa..nani anaipenda io sehemu

  • @mtawalaram4990
    @mtawalaram4990 3 года назад +1

    Daaah kweli nilisha pokonywa tonge mdomon

  • @abdimalik8989
    @abdimalik8989 5 лет назад +134

    Bado naskiza hii ngoma 2019 kma ukna na Mimi nipee like

  • @annamwakalasya2973
    @annamwakalasya2973 4 года назад +22

    Wale tunao sikiliza nyimbo hii wakati tumeumizwa like zetu hapa

  • @lindasophia2971
    @lindasophia2971 7 лет назад +26

    I'm died napenda sana jamaaniii😄💗big up WCB

    • @samsamyoo3689
      @samsamyoo3689 7 лет назад +2

      Kwa Nini unaipenda

    • @furahaamida4428
      @furahaamida4428 7 лет назад +4

      pendeza sana jamani i 💘 love this song so much hooo my god nicely 😭😭😔😒😂😂😂✌📦

    • @amberj95
      @amberj95 7 лет назад +2

      Linda Sophia *Dead, sorry

  • @happyjacline988
    @happyjacline988 3 года назад

    mimi niko nasikiliza 2021 tena night nimechoka na mapenzi bora tuachene