Lava Lava - Gundu (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 3,9 тыс.

  • @GloryJohn-nm5wo
    @GloryJohn-nm5wo 6 месяцев назад +88

    Ambayo tup. 2024 hapa tujuane kwa like

  • @nancymwanyae7730
    @nancymwanyae7730 3 года назад +134

    Lava lava uko poa dear, wewe ndio Simba wa kesho🤩🤩 kila la heri 🙏🙏🙏, Wapi likes za Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RahmaVava-lb2ts
    @RahmaVava-lb2ts 9 месяцев назад +132

    Siwezi kosa like zangu za 2024hatakama humkubali mwamba aliupigamwinga

    • @MariaYusuf-ch7fz
      @MariaYusuf-ch7fz 7 месяцев назад +2

      Mimi niko baada yakuambiwa niache kumuita beb tukiwa live TikTok 😢😢😢😢😢😢

    • @SelemaniMkondela
      @SelemaniMkondela 4 месяца назад

      Kayumba​@@MariaYusuf-ch7fz

  • @Nonie-up4wr
    @Nonie-up4wr 9 месяцев назад +88

    Who is here 2024,nimetendwa tena 🥺😭😭am back to listen to my favourite song and am crying uncontrollable 😭😭😭😭aki moyo wangu waumia sana😣😢🥺😭😭😭😭

    • @RumeyRuji
      @RumeyRuji 8 месяцев назад +1

      We're back😢

    • @paulinesimiyu3809
      @paulinesimiyu3809 7 месяцев назад +1

      Hugs dear ❤

    • @PeaceMwantisi
      @PeaceMwantisi 6 месяцев назад +2

      Am here

    • @verahmosomi2024
      @verahmosomi2024 2 месяца назад +2

      Pole mwenzangu😢

    • @Fatushimbegaz
      @Fatushimbegaz 2 месяца назад +1

      Lavalava analia amekosa kipenda roho..vp nawwe mwetu pia ulikosa km mmi na lavalava😢😢😂😂❤

  • @mohaweheliye8852
    @mohaweheliye8852 5 лет назад +113

    Gonga like kubwa kwa lavalava ka we ni fan Wake toka Somalia🇸🇴🇸🇴🇸🇴

    • @abdirahmanmuktar3946
      @abdirahmanmuktar3946 5 лет назад

      Msanii namba moja toka TZ

    • @cabdulahicall5351
      @cabdulahicall5351 4 года назад

      🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇨🇿🇨🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇧🇸🇧🇸🇨🇿🇨🇿🇨🇾🇨🇳🇨🇾🇨🇱🇨🇼🇫🇰🇫🇰🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇲🇼🇵🇸🇸🇹🇸🇻🇸🇭🇹🇱🇹🇳🇸🇽🇸🇾🇸🇩🇸🇲🇼🇸🤔🤩🤩🤩😘😘😘😍😍😍😍😎😎😎😎🤣🤣🤣👄💖🖤❣💌💟💚❤💙💗✌👌🤲👍👍👍👍👭💏💏💑💑

  • @aliceanyango48
    @aliceanyango48 4 года назад +308

    This song really comfort me at this time when I'm heartbroken... Nimegundua ukiwa heartbroken songs huwa inakucomfort... May God bless these Artis... Please I'm just requesting for like ...

  • @janjaneston01
    @janjaneston01 6 лет назад +62

    LavaLava toka kilio mpaka Leo unaliaa bro.....nipo naww kweny majanga hayo ya mapenzi......kila wimbo wako unaniimba mm tuu.....#WenyeGunduInLoveNdoTunaelewaa kamaanisha nn.......🙌🙌🙌🙌 ww fundiii sana

  • @kingcolloofficial9344
    @kingcolloofficial9344 5 месяцев назад +26

    Who is here in 2024 😢 after heartbreak 💔 kama mimi mie hapa na Adundo wangu😢

    • @Eliabthmwambeke
      @Eliabthmwambeke 2 месяца назад

      😢😢pole

    • @Fatushimbegaz
      @Fatushimbegaz 2 месяца назад

      Am here..bonge 1 heart break 😢😢😢

    • @kingcolloofficial9344
      @kingcolloofficial9344 2 месяца назад

      Adi nilitoa ngoma moja ya hrtbrk iko hapa you tube -Mazoea by Kingcollo🥲💔💔

  • @runsdn8949
    @runsdn8949 2 года назад +52

    nazipenda nyimbo za lavaLAVA sana kamauko said yangu dunga like😍😍😍✌✌✌

  • @bernywachira2417
    @bernywachira2417 Год назад +14

    Mwenye mapenzi atokee anitetee. One of the best songs from Lava Lava still here in 2023 it never fades. Raises my spirit whenever am falling apart.

  • @castoljmwalyego3778
    @castoljmwalyego3778 5 лет назад +76

    Kaliiii....
    Swahili to the world....
    East africa to the world.....
    🇹🇿🇰🇪🇺🇬,,,LIKE ZANGU PLEASE....

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 4 года назад +3

    No body cant ' imagine far'away WE are iwapo tunaona hawa ma stars wetu wa . Tanzania vile wanaendelea n'a music yao mizuri Sana machaallah , thé little comédiens. Mai, n'a wenzake wôte, au teseme, . Diamond. Mbosso. Ali kiba or lava lava mashaallah angaliyeni n'a wale wadogo wanaochomza sasa like yule aloimba nyimbo ya harmonize Pia nae afike mbali kwani anakipaji best of luck wapenzi ndugu zetu'
    We lôving you all

  • @theolemmenyane6779
    @theolemmenyane6779 2 года назад +31

    M from Botswana and I listen to Tanzanian music daily I deserve an award for that. Tanzanian music is so nice

    • @iddykisome3126
      @iddykisome3126 Год назад

      Karibu sana

    • @saudasaid
      @saudasaid Год назад

      ruclips.net/video/8CmLep_2Pug/видео.html

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 Год назад

      Asante sana ,Wewe ni mtanzania kuanzia sasa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😙

    • @neigepiranha9320
      @neigepiranha9320 Год назад

      Did u know kiswahili

  • @gshdhshhshs3362
    @gshdhshhshs3362 6 лет назад +59

    Kaka unaimba sauti mungu kakubariki nakupenda😍😍😍❤❤❤🔥🔥🔥❤❤❤😘😘😘😘😘😍nyimbo nzuri

  • @patriciawanjiru-df5ne
    @patriciawanjiru-df5ne Месяц назад

    Mungu ametulinda mpaka sasa 2024 yaisha wengine ambao tuliupenda wimboo huu pamoja hawamo Tena...God has been merciful to us...

  • @strongnana2226
    @strongnana2226 6 лет назад +10

    Wakenya amjafika jameni..fire fire so swit..video dope..nimeifell hii.iko sawa lava lava hongera sana

    • @iamfriedrich
      @iamfriedrich 3 года назад

      Tunatafuta meaning ya gundu still

    • @CatherineNzeki
      @CatherineNzeki 5 месяцев назад

      ​@becomingfred 😂😂😂😂 sai ulipata meaning yake

  • @depampam1898
    @depampam1898 3 года назад +2

    Nakupenda mke wng japo tulitengana zaid ya mwaka lkn kwa Sasa tumekua mke na mume najiona gundu limeniisha ❤️❤️no one like u my wife sanaiya #mama fahad

  • @barryleger8733
    @barryleger8733 5 лет назад +2

    Kulia nmelia nkamaliza leso....napenda sana huu wimbo...wapi likes zangu .....

  • @fredjohntz6732
    @fredjohntz6732 4 года назад +278

    Kulia nimelia nikiomba like zenu 🇹🇿🇺🇬🇧🇮 jaman gundu wangap wameipitia hii ngoma 2020

  • @briemaiashie8384
    @briemaiashie8384 6 лет назад +18

    Tanzania has so much talent luv u my fellow Africans ...much luv frm Zimbabwe

    • @tafaramakwara5669
      @tafaramakwara5669 4 года назад

      true zvinorwadza kuti l dnt understand knackered one thing but still l love thm

  • @cliffordmutuma1426
    @cliffordmutuma1426 Год назад +98

    2023 still listening to lavalava.
    Whoever broke his heart, there are no words.

    • @EmmaMwesh-mp3go
      @EmmaMwesh-mp3go Год назад +1

      Still listening to this song 💔💔😭

    • @sharonkathini9419
      @sharonkathini9419 Год назад +2

      Still here crying this heart break 💔💔💔,may God remember me permanently Juu weuh 🙈🫣

    • @eunitahnjoroge626
      @eunitahnjoroge626 Год назад

      For me ata si heart break.....
      But inanisaidia kufocus na life

    • @bintsaid7696
      @bintsaid7696 Год назад

      😂😂😂😂😂​@@sharonkathini9419

    • @naomikageha560
      @naomikageha560 11 месяцев назад

      True ukweli sana heartbreak 😢

  • @abdisamadmohamedhirsiabdis3609
    @abdisamadmohamedhirsiabdis3609 5 лет назад +73

    Without Somalis this song wouldn't be known Shoutout to all my somali Kenyans Somali Tanzanians and world wide 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴

  • @dottoabdul4183
    @dottoabdul4183 6 лет назад +7

    Lava lava alie toa wazo la hii video ametisha sana inasisimua mwili ukimuona mtyu unaempenda yupo na mwengne kwel unais uchz

  • @aliyah847
    @aliyah847 3 года назад +1

    Me Sina bahati ,,,kulia nimelia mpaka Sina machozi Tena moyo uliwacha kupenda ,,,jini lililonivaa limeharibu maisha yangu

  • @shadiidinyo1657
    @shadiidinyo1657 11 месяцев назад +4

    Sikia kwa watu Kuhusu gundu Ila usiombe uwe na gundu, 2024 here we are ✌🏽

  • @FreddyAjali
    @FreddyAjali 3 года назад +4

    Anyone who hurts Lavalava is Godly sent.. Wanafanya anaonyesha talanta sana

  • @CollinsKamone
    @CollinsKamone 5 месяцев назад +1

    Hii nyimbo yanikumbusha mbali kaka much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @melvinniceanyango2919
    @melvinniceanyango2919 2 года назад +3

    Nilimpenda sana mwimbaji huyu niliupenda wimbo wake mno!!

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 лет назад +17

    kulia nimelia 😭😭😭nimekosa kipenda roho... penzi limenichachia gundu, ama sina bahati jini kan kanivaa,, naisi nalal na bundi.... mweny mapenzi atokeee anitetee,, liniepuke gundu....

  • @sacidabdinasirxared3845
    @sacidabdinasirxared3845 4 года назад +2

    Mwenye mpenzi atoke nimetoka,,,, I really like thys songs,,,,, Waze tumpee malikes bana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @joysonsamuel690
    @joysonsamuel690 6 лет назад +70

    254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tupooo ila sisi hatuumizwi na gundu😂😂😂twaumizwa na mercury kwa sukari😂😂😂😂😂kazi nzuri our brother

  • @hshn0301
    @hshn0301 3 года назад +16

    Thank u for making good songs Lava Lava even if i don't understand. Much love from the Caribbean. African diaspora from Haiti 🇭🇹 to St-Martin 🇸🇽

  • @Faithdolls
    @Faithdolls 2 года назад +1

    I feel umenifinza ajabu......this song imenitouch sana na imguza sana life gundu ukweli naipokea

  • @victorrogath6273
    @victorrogath6273 6 месяцев назад +210

    Tuliorud kuitazama hii mwaka huu 2024 tujuane kwa likes

  • @Hijaby_Gal
    @Hijaby_Gal Год назад +5

    2023 nimekuja hapa kulia😢😢yani mapenzi ushuzi kabisa 💔💔

    • @mosesmatula8788
      @mosesmatula8788 Год назад +1

      Your so beautiful yu deserves true love😢

  • @halimamangi641
    @halimamangi641 4 года назад

    Pole lover wangu 😘😘😘😘 wenye mioyo yetu mwepesi tunatesekaga kweli! Acha tujikaze. Mtume njiwa akuletee..........

  • @saadmgendi8537
    @saadmgendi8537 6 лет назад +18

    Mbona Lava lava anafanana na mapenzi 💞🔥🔥🔥

  • @yaaishbaybe7477
    @yaaishbaybe7477 6 лет назад +32

    mwnye mapenzi atokee..jamani 😢😢😢😢😢penzi linanichachia Gundu tena nkiwa Dubai hahahaeee from 💃Kenyaa goma lanimalizaaa hili yaani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👍✌👌👌👌👌👏✍

  • @michlins7524
    @michlins7524 3 года назад +1

    I love this guy waah.....wayachagua maneno poa sana mtaani wangu wanguvu......nakupenda

    • @michlins7524
      @michlins7524 3 года назад +1

      Iam heart broken......imenifariji oooh napenda santiii wako broo

  • @Toribee15
    @Toribee15 23 дня назад +20

    Nani mwingine amewatch december 2024

  • @diackmane6550
    @diackmane6550 2 года назад +38

    from Sénégal, i love uganda and Tanzania music. nakupenda 💪💪🇸🇳🇸🇳

    • @zaitunjumakeji4120
      @zaitunjumakeji4120 2 года назад +1

      Thank you brother. We have a lots of people from Senegal living in Uganda 🇺🇬

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 Год назад

      Thank you 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😎

    • @Sabestianthetraveller
      @Sabestianthetraveller 4 месяца назад

      Naka yaye cool

  • @samwelnjuguna-gz9eb
    @samwelnjuguna-gz9eb Год назад +1

    Penzi Linakuchachia Na nuksi inakushikia ... Yote Sasa hauko mwaminifu Kwa mpenzi wako au huwa haumwelelezi mipango unayo katika uhusiano wenu wa kimapenzi ❤️🇰🇪🌍✌️Msanii Hawezi faulu pekee yake 🦉Anahitaji mashabiki na Sio tu ... Wadhamini tu ... Kwa kumdhamini Na Hela anapo rekodi studioni✍️

  • @moviezupdates170
    @moviezupdates170 6 лет назад +6

    255 Tanzania gonga like hapa kuonyesha tupo wengi kuliko 254 Kenya

  • @sish7012
    @sish7012 6 лет назад +23

    Yani hinyimbo umenimbia mm kabisa asakile kipande chako richa ya ufundi wangu

  • @sellahmulembo5100
    @sellahmulembo5100 3 года назад +1

    Sema kutulizwa roho!!!!!! Team kuvunjwa nyoyo mpoooooo!!!???

  • @lillypendo4137
    @lillypendo4137 2 года назад +7

    This guy is equally to Diamond...Tena ni mkali kushinda Simba❣❣I am proud to be a Tanzanian🔥🔥🔥🔥🔥

  • @barnettayo8249
    @barnettayo8249 3 года назад +44

    Lava lava is the GOAT! This guy never disappoints always bringing his A game to the music scene. Simply he's a top notch musician

  • @florencekolie4328
    @florencekolie4328 4 года назад

    Mmmmh,,,,I see now your situation is mine too,,,tumwombe Mungu atuletee vipenda roho,,,wawe waaminifu kwetu na wawe na mapenzi ya kweli kwetu,,,tuzidi kuombeana kaka Lava Lava

  • @jasminebaibe7355
    @jasminebaibe7355 6 лет назад +94

    Nampenda sana lavalava,😍😘ana sauti tamu then nyimbo zake hazina fujo unaskiza hadi raha big up broo +254

  • @stephenmwangi605
    @stephenmwangi605 3 года назад +180

    People talk a lot about Diamond kuwa Simba but Lava Lava is equally a hero. This guys knows how to write and sing. Well done Lava Lava

  • @shakilajumanne2479
    @shakilajumanne2479 5 лет назад

    Mi nkasubiria huenda akaja kesho nilipododosa kote ngoma drooo,, congratulate lavalava

  • @michaelntambi816
    @michaelntambi816 2 года назад +5

    Uganda 🇺🇬 approves the mighty East Africa. Big up TZ……we miss #Magufuli

  • @MINDTVtz
    @MINDTVtz 6 лет назад +6

    kama ngoma hii ime kugusa basi acha like hapa kenya ozaa

  • @energeticmbn4596
    @energeticmbn4596 5 месяцев назад

    Avic town nyumbani kwa mabingwa Young African 2024

  • @ayushayush5141
    @ayushayush5141 6 лет назад +24

    Lavalava mbona mapenzi yanakutesa, nipende Mimi😃😋😋😋😋😋 sitakuheartbreak💕😂

  • @DEGESTAR
    @DEGESTAR 6 лет назад +205

    Duhh nimechelewa ku weka comment hapa dah. Hivi kweli coment yangu muna hiona??😀😀😀gonga like kama wa mkubali lava lava

  • @RehemaGeorge-c9b
    @RehemaGeorge-c9b 9 месяцев назад

    Wimbo wako unakosha haswaaa ukiwa kwa situation kama hyoo umeachwaaa umeachika umeachiwa na kuachiliwa duuuh! Unajua kufariji kaka mkubwa solute to you an be blessed for sure so talented❤

  • @makumbigouchie1036
    @makumbigouchie1036 2 года назад +6

    A socialite makumbi Nicholas from ug I don't clearly understand swahili but this jam is wowww I love the beats n voice ohhh my God 🙏 Hindu 💃💃💃💃💃

  • @michaeljeremiah634
    @michaeljeremiah634 6 лет назад +110

    Nimechelewa kinoma...waliochelewa kama mimi gonga like ya nguvu kwa lavalava..gundu

    • @godfreypatrick9447
      @godfreypatrick9447 6 лет назад

      Omb mung akpunguzie gund

    • @alysaleh3930
      @alysaleh3930 5 лет назад

      Nafsi inakupeleka siko acha mziki tumeletwa duniani kumuabudu allah sio kufanya mambo yasio eleweka.sw

  • @alistarboy5706
    @alistarboy5706 2 года назад

    Hi nyimbo aki yaani bado rewatch coz kikweli ilikilua kazi safi big up lava lava

  • @janekamau807
    @janekamau807 6 лет назад +7

    I was wait 4 this long time,am so happy to see this, i love u lavalava all the from 254 welcome Kenya my love.

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 6 лет назад +21

    Fanya mambo kaka achana na wavivu wanaokimbia kazi WCB

  • @habibakirungikirungihabiba9407
    @habibakirungikirungihabiba9407 4 года назад

    Nakukubali sana lava boy nyimbo zako nazipenda sana ila nitafurahi mno ukiimba na mbosso k nahisi itakuwa Kali sana jitaidi kaka hapo moja

  • @onowuizuchukwu7257
    @onowuizuchukwu7257 6 лет назад +21

    All the way from Lagos Nigeria, i say keep it up bro. am one of your biggest Fan here in Nigeria. Music is Life. salam Dada.

  • @odhiamboamayo1436
    @odhiamboamayo1436 5 лет назад +12

    Nahisi Mababu,
    Mizimu Yao Imechachamaa.
    Au Sina Thawabu,
    Mola Nionyeshe Nyota Ya Jaa.

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 3 года назад +1

    Dah😭😭 mwenye mapenzi atokeyeeee💔💔💔

  • @joetulele9812
    @joetulele9812 6 лет назад +12

    Massive love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍 hii video iko🔥🔥🔥💯💯

  • @aminadaudi4680
    @aminadaudi4680 6 лет назад +30

    Uku yani nampenda sana iyo sauti yake tuu aina makelele imetulia tuliii unasikiliza wimbo ata auchoki

  • @aliceayua338
    @aliceayua338 2 года назад

    True ukiwa heartbroken ngoma ndio ukufanya unasahau alafu pia ukidance kila kitu unasahau God bless all the artists in the world

  • @enosjaji1619
    @enosjaji1619 4 года назад +28

    Lava lava Umepotelea wapi,, we miss this type of music maan

  • @rosekadzo8397
    @rosekadzo8397 4 года назад +195

    Mwenye mapenz atoke anitetee, napenda unavo kimbia 2020 mko wap tupia like tumtetee huyu jamaa

  • @millicentmwanisah4210
    @millicentmwanisah4210 19 дней назад +1

    My late grandma loved the `gundu` part...your daughter misses you soo much

  • @sheriff1237
    @sheriff1237 4 года назад +4

    King Lavalava walai I can't lie I always listen to ur music Nyimbo zako zikona Message am proud of u .. U know how to sing .. One day INSHAALLAH you will make it buff respect to you

  • @ruethebossladyruethebossla9799
    @ruethebossladyruethebossla9799 6 лет назад +14

    Im a Zimbabwean i dont understand swahili but this song is so touching

  • @hassanyussuph4407
    @hassanyussuph4407 4 года назад +3

    Hii ndo nyimbo nayo ipenda kwa lavalava uliimba hongera sana

  • @suthnr3igns992
    @suthnr3igns992 6 лет назад +49

    Team Kenya.
    I'm the 50St viewer.
    +254 hit like kama unamkubal lava lava

  • @lydiahmwangi5216
    @lydiahmwangi5216 6 лет назад +8

    Who broke your heart babe??? listening to your music has become a habit! Cant get enough of it.

  • @carolynegatere5785
    @carolynegatere5785 3 года назад

    Hii ngoma ikichezwa ndani ya RUKANGINA 2YRS AGO nkiishi kanairo kadi napitishwa stage yangu maziwa nafika west mwanzo ngoma iishe ntarudi nkishuka.....jamani likes juu ya kupitishwa stage wadau

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 6 лет назад +251

    Wakenya mpo🇰🇪🇰🇪wapi likes za lava lava...wcb💪

  • @wamichdoc
    @wamichdoc 3 года назад +84

    This guy is so underrated and writes the perfect break up song

  • @madimpoz9874
    @madimpoz9874 2 года назад

    Nikiamka mm hutaka tuh nisikilize lavalava ndio nianze siku yangu nampenda sanaa haswa ngoma zake 😘

  • @ambrosesergi7119
    @ambrosesergi7119 5 лет назад +4

    hakuna mapenzi ya kweli.....good lesson in a hard way #big.ups bro

  • @skyvee4270
    @skyvee4270 6 лет назад +37

    Here before 1million views yiiiiey its big😍😍😍wasafi represented nipewe likes😂

  • @ruthmoraa876
    @ruthmoraa876 4 года назад

    Mwenye mapenzi atokee anitetee I love the song very much keep up bro

  • @amosnasiali7206
    @amosnasiali7206 6 лет назад +15

    for once am here before 1000 views...ebu mnichapie congrats na like..

  • @sarahgichuru4982
    @sarahgichuru4982 3 года назад +6

    Daaaawmn how i never got to listen to this amazing vocals and lyrics....hes surelly underated

  • @bouhaboubaker6217
    @bouhaboubaker6217 3 года назад +2

    Who still listening this beautiful song 🙏
    Lava lava fan from djibouti 🇩🇯

  • @physalphicane4296
    @physalphicane4296 6 лет назад +4

    Lava lava nakubali master wenye wanakubali dunga likes hpo

  • @tausmohammed3531
    @tausmohammed3531 5 лет назад +7

    Inanigusa sana hii nyimbo😢😢😢😢😣😣😣😣😣🙆🙆🙆🙆🙆🙆penzi limenichachia mm😣😣😣😣🙆🙆🙆🙆🙆🙆

  • @dicksonananda5244
    @dicksonananda5244 3 года назад

    Mwenye mapenzi atokee,aniteteee🥺😢
    Ninaye mtaka simpati,vioja tu na karaha☺️🎧✊🏿

  • @mariamgauch3781
    @mariamgauch3781 3 года назад +4

    Your songs are for the soul much love from Ghana

  • @vanbraiysee2858
    @vanbraiysee2858 6 лет назад +14

    Mwendo wa gundu Leo Hahaahha twende kazi wadau

  • @lightnesssiriwa5093
    @lightnesssiriwa5093 3 года назад +2

    Nakukubali lava ngoma zako zinanipa hisia sana😍

  • @mohammedkhamis4453
    @mohammedkhamis4453 5 лет назад +4

    Feeling heartbroken 💔😥, consoling myself with this song....yani ni nuksi kucha kinoma.in qatar representing Kenya

    • @lucaskulwa4140
      @lucaskulwa4140 3 года назад

      Lavalava unanikosha nyimbo zako na sautiiiiiiiii!!!!! Duuuuuh!! Penda sanaaa kama mpenda na nyie wekeenii like zakee

  • @esthermutali7270
    @esthermutali7270 6 лет назад +630

    Naona Maajabu,
    Kinanizonga Kizaazaa.
    Kila Mahesabu,
    Ninayopiga Yanakataa.
    Nahisi Mababu,
    Mizimu Yao Imechachamaa.
    Au Sina Thawabu,
    Mola Nionyeshe Nyota Ya Jaa.
    Kulia Nimelia
    Nikamaliza Leso
    Nimekosa Kipenda Roho.
    Mi Nikasubiria
    Huwenda Akaja Kesho
    Nilipodososa Kote Ngoma Droo.
    [Chorus]
    Mwenye Mapenzi Atokee (Anitetee)
    Joto Pepeee (Anipepee)
    Niwe mtoto tete (ohh tete)
    Anidekee (Dekeedekee)
    Eeeeh
    Mi Niepuke Gundu (Oooh Gundu)
    Penzi Linanichachia Gundu (Oooh Gundu)
    Nuksi Imenishukia Gundu (Oooh Gundu)
    Penzii Chachiaa Gundu (Oooh Gundu)
    Nuksi Imenishukia Gundu.
    [Verse 2]
    Ama Sina Bahati
    Jini Gani Kanivaa
    Asio Na Jema Kwangu.
    Ninaemtaka Simpati
    Vioja Tu Na Karaha
    Yani Vanguvanguu.
    Nahisi Nalala Na Bundi
    Najisonyasonya.
    Penzi Sasa Bila Hudi
    Ni Malonyalonya.
    Nishapangwa kwa Makundi
    Nikabonywabonywa.
    Licha Ya Wangu Ufundi
    Nikapokonywa
    (me nataka)

  • @fatumaabdi4290
    @fatumaabdi4290 2 года назад +1

    I love this ❤️ song really 💖 imenigusa sana Mimi mwenyewe nimetendwa

  • @martinmurray8252
    @martinmurray8252 2 года назад +30

    Almost the end of 2022 and I still can't get enough of this song. Brilliant music !!!

  • @mariamgauch3781
    @mariamgauch3781 3 года назад +4

    Well done Lavalava you really do well with your songs.l don’t understand swahilii but will consider learning it.

  • @robertogugu6278
    @robertogugu6278 3 года назад +2

    One of the all time best video. Nyimbo pia iko sawa

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 года назад +3

    Wimbo huu pia nakupenda 💪😘