Mbosso - Nadekezwa (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 7 тыс.

  • @emanueldanstan8904
    @emanueldanstan8904 8 месяцев назад +112

    NANI ANA VIBE NA HII NGOMA HADI MARCH 2024

  • @brobox
    @brobox 6 лет назад +246

    Miaauuuuu.....Kwa niaba ya wakenya toka Nakuru.Hii ni Moto wa koutea huku🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥👌

  • @humblelion3711
    @humblelion3711 10 месяцев назад +11

    Wakati mwingine unayempenda kwa dhati huwa haoni ila anakudharau. Unapokwenda ndio anabaki kujuta na kutamani ungesalia, lakini muda wake huwa umeisha.

  • @archisetholdings2322
    @archisetholdings2322 4 года назад +49

    'nalishwa vitamu vinono na 📢 "biriani ya 🐫 "
    🤗🤗🤗🤗🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺
    @Mbosso umeweza msee
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @divanninxas7980
    @divanninxas7980 6 лет назад +20

    Mbosso huyo video vixen kajitahidi sana ..... Na umechangamka kwenye haka ka video hatari !!!!! #NADEKEZWA

    • @mitchamitcha9404
      @mitchamitcha9404 6 лет назад

      Divann Inxas yes Umeonaa hee amechangamka sana kama boss wake chibu

    • @ruwaidamohd1965
      @ruwaidamohd1965 6 лет назад

      Divann Inxas kaz nzur amefanya

    • @elizafelix1
      @elizafelix1 6 лет назад

      wow u can see It too

  • @mwanahawajumannealipoteaki5570
    @mwanahawajumannealipoteaki5570 6 лет назад +12

    nadekezwaaaaa, dogo we ni kisu unapasua tuuu nyimbo nzuri👊👊👊👊

  • @ramdula6296
    @ramdula6296 6 лет назад +27

    Ndani ya mashamsham mtoto ‘kanikabili (oooh)
    😷😷😷 Kumi na mbili alfajiri
    Na nisha mvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi,
    Kan’jaza kan’chota kan’shika pabaya!
    My best part nmependa mbosso boy WCB all the way up 💯💯💯💪💪💪💪💪

  • @sahilhussein-k6r
    @sahilhussein-k6r 7 месяцев назад

    Simu za usiku punguza, unahatarishaaaaaa

  • @charlesndungu9931
    @charlesndungu9931 6 лет назад +428

    Like ka ushawai temwa na ukapata wa kukudekeza.. Thankyou Mbosso na Khaligraph Jones Leo hii week izi ngoma mbili do my favourite..

  • @charlesndungu9931
    @charlesndungu9931 6 лет назад +239

    Kwa ngoma zako zote hii ndio imefanya niamini hubahatishi bro uko na kipaji

    • @bintimanazil1361
      @bintimanazil1361 6 лет назад +1

      Wah iko powah tu sana

    • @faithsivan4941
      @faithsivan4941 6 лет назад

      charles Ndungu it's really good

    • @ashminaabdullah5626
      @ashminaabdullah5626 6 лет назад

      muongozaji kachagua kitu kizuri

    • @focushamza4871
      @focushamza4871 6 лет назад

      kabisaa uko sahihi boy

    • @pabloke270
      @pabloke270 6 лет назад +2

      charles Ndungu bro kwa kila nyimbo ninayoitazama lazima umewacha comments😂😂😂.. napenda mwenendo wako kaka

  • @shabanmondi9299
    @shabanmondi9299 6 лет назад +21

    nakubali saana kazi zote wasanii Wa tz na nje ya tz ila wcb wanajua zaid thanks mbosso unaendelea kuiwakilisha wcb Wasafi vizur hatujutiii kusajiliwa wcb Wasafi piga kaz mbosso khan upo mahali salama wcb

  • @enontemusic4682
    @enontemusic4682 5 месяцев назад +89

    Nani Ako hapa 2024🇰🇪🇰🇪This song hits harder

    • @mkazilakwamchilloh8158
      @mkazilakwamchilloh8158 4 месяца назад

      Mimi hapa thumb 👍 yangu namba 11

    • @Cabdi-ik7gb
      @Cabdi-ik7gb 3 месяца назад +1

      Iiootr

    • @georgeamra5827
      @georgeamra5827 3 месяца назад +1

      Tuko apaaa 😂

    • @King_Nazu
      @King_Nazu 2 месяца назад

      Tukooo🇸🇴❤️

    • @Resand291
      @Resand291 2 месяца назад

      Aaah you are in love after kufanyiwa ile kitu cndiooo😅😅😅😅

  • @merryshayo9503
    @merryshayo9503 6 лет назад +19

    harari sana pamoja sana mbosso gonga like kama unamkbali mbosso

  • @edsonbjoseph
    @edsonbjoseph 6 лет назад +8

    Nakupenda bure Mbosso hata ukitaka kunioa leo poa tu

  • @yakann2484
    @yakann2484 5 лет назад +35

    I am a Guinean🇬🇳. Living in USA 🇺🇸. I love Tanzanian music 🇹🇿 💗 💕 ❤️ even though I don’t understand a word.

  • @fatumaj.mbaraka9895
    @fatumaj.mbaraka9895 7 месяцев назад

    Femi alikuwa mbichiiiii😊

  • @rodgerzdangote8629
    @rodgerzdangote8629 6 лет назад +45

    Tujuane wasafi jaman cc ni wawakilishi wa nchi..

  • @khamisissa8869
    @khamisissa8869 6 лет назад +25

    Wa kwanza kuwatch new brand ya mbosso kama umeielewa hii video like twende sawa

  • @mufasamufas6023
    @mufasamufas6023 6 лет назад +46

    Kwa mtazamo wangu Hii ngoma ni kali sana kuliko ngoma zake zote za nyuma kama unakubali gonga like twende sawa

  • @mohamedmuhumud4605
    @mohamedmuhumud4605 4 года назад +34

    Salute from Somalia but mbosso is the most underestimated artist in TZ.... Salute mbosso 100% acha na diamond Kweke kando

  • @moblack915
    @moblack915 6 лет назад +26

    MBOSSO KHAN hahahaha!! tunapata raha sana Nimependa mwaya kazi nzuri ...respect WCB

    • @chrisurio7305
      @chrisurio7305 6 лет назад

      Mbosso khan we mkali misauti ka lavalava duuu wcb respect

  • @avitrujweka2113
    @avitrujweka2113 6 лет назад +17

    Mbossooooooo...! Umeua Mzee Baba! Hao ndio Wasafi, always on top! 🔝🎶🎵🔥🔥🔥🌟⭐💪💪

    • @afizumuktaru6640
      @afizumuktaru6640 6 лет назад

      Asante Kwasi kama unamkubali mboso kama mm gonga like apo chin

  • @denniswachira4169
    @denniswachira4169 4 года назад +1443

    Wakenya ndo mashabiki wakubwa kwa nyimbo za Bongo! Tunawapenda sana tupatie likes !

  • @nassmaothman5008
    @nassmaothman5008 2 года назад +10

    Namkubali san mbosso na ww kama una mkubali piga likes

  • @buluush9741
    @buluush9741 6 лет назад +17

    cjachelewa bdo 😂😂niko nafac zamwanzo😂😂😂
    tusiwe wachoyo jamani kiukwel huu wimbo unaweza kuuplay chini ya geti la mvumo waradi ukashushia na diamond karanga at the same time unapulizia chibu pafyumu😂😂😂😂😂😂😂😂
    🔥🔥🔥🔥🔥nimekubal dingo🔥🔥🔥

  • @anifahramzy8091
    @anifahramzy8091 6 лет назад +93

    Mbosoooo...254 tunakutambua na team yote ya wasafi tunawapendaga💕💕💕💕
    💕💕 hii ngoma ni hatareee..kama
    unakubaliana nami pls gonga like
    👇#nadekezwa❤

  • @fatumatwalbu695
    @fatumatwalbu695 6 лет назад +76

    Ooooh jomon nadekezwa imenigusaaaa kabsaaa asante mbosho

  • @vivianmuchiti1249
    @vivianmuchiti1249 3 года назад +2

    Nakutahadhisha simu za ucku punguza,unahatarisha penzi letu tamu punguza😍😍😍🥰

  • @jafarsalum8656
    @jafarsalum8656 6 лет назад +10

    Wanaopendwa kudekezwa kama mboso gonga hapa

  • @dyphannykerubo2392
    @dyphannykerubo2392 6 лет назад +11

    tamu sana 🔥🔥🔥🔥 likes za mbosso jaman

  • @tambaisaiah2885
    @tambaisaiah2885 4 года назад +184

    Love from Sierra Leone, although I am not getting what he's saying, but I am really loving it.
    Only me here?
    Let me get some love from the East, together as one.

    • @isaacwechuli2105
      @isaacwechuli2105 3 года назад +4

      he's telling his ex (who left her because he was broke) that he has a new girlfiend who loves him

    • @tambaisaiah6640
      @tambaisaiah6640 3 года назад

      @@isaacwechuli2105 Why, thanks!!!

    • @ireneriitho8753
      @ireneriitho8753 3 года назад +1

      more love

    • @alikimera1583
      @alikimera1583 3 года назад +1

      I'm being pampered. Telling off an ex who left him when he was broke that he currently has money and a new lover who loves him so much.

    • @wyrimohcrystallove7067
      @wyrimohcrystallove7067 3 года назад

      I was translating the same to my salone friends here in belgium...they love East African music...salone music swit too

  • @davidsalem6348
    @davidsalem6348 4 года назад

    arusha mjini kituo cha maji sanawari ya juu ,bomba kabisa aise njoo tule

  • @estherakinyj9392
    @estherakinyj9392 6 лет назад +17

    Nadekezwa inakubalika huku🇸🇸🇸🇸🇸🇸

  • @mendempoletv7579
    @mendempoletv7579 6 лет назад +23

    Nyimbo yangu pendwa kabisa katika mwaka huu I like Mbosso

  • @teddclive1506
    @teddclive1506 5 лет назад +23

    Tanzanians you are killing us Kenyans with good songs.., i love you more than our own here

  • @pamanyango8917
    @pamanyango8917 8 дней назад

    Mwandishi mzuri Sanaa kwa kila nyimbo anayoandika, mbosso Good job 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EfiaGina
    @EfiaGina 6 месяцев назад +20

    Listening to this beautiful music over and over from Ghana 🇬🇭 26/04/2024 ❤

  • @matheworigi7017
    @matheworigi7017 6 лет назад +10

    Mpaka +254 twakubali kazi yako mbosso!Willy pozee x Nandy iko mwaaaaa pia.........

  • @libaanduceyste6907
    @libaanduceyste6907 4 года назад +190

    Simu za usiku punguza una hatarisha😂🇸🇴🇰🇪ma likes hapo wako wapi wazingi

  • @mudeyosman8626
    @mudeyosman8626 3 года назад

    Nalishwavitamu vinononajilia biliyaniyangamia penzitwadalikana atasijali 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💝💝💝

  • @humphreyshivamba7929
    @humphreyshivamba7929 4 года назад +198

    I've heard them all from East Africa but this guy has something special man...I call him "the special one of bongo music". The voice of Africa. We love and support you Mbosso the Bosso. One love from Johannesburg South Africa 🇿🇦🇹🇿

    • @sarahruth5109
      @sarahruth5109 4 года назад +2

      Your right brother I'm watching from Uganda

    • @khadijaali6725
      @khadijaali6725 4 года назад +2

      i totally agree wit u

    • @andrewkairu3624
      @andrewkairu3624 4 года назад +2

      I second you

    • @tafari988
      @tafari988 4 года назад +2

      You're right bruh, Mboso is the big thing after the late legendary Bi Kidude 🙏😊

    • @paulmachira7049
      @paulmachira7049 3 года назад

      True, this guy Mbosso is so full of talent and energy

  • @MCLYNN_LIEN
    @MCLYNN_LIEN 3 года назад +162

    This song never fades. I find myself playing it more than 3 times daily. Much love ❤️ from kanairo 🇰🇪

  • @princenewton
    @princenewton 3 года назад +477

    I am here after I saw ALIKIBA Singing this Song 😂He said the second verse is his favourite & Now I wanna here what's so special about it 😂😂♥️🇰🇪

  • @shiinedoonka2411
    @shiinedoonka2411 8 месяцев назад +1

    From somalia🇸🇴
    I am not understand but
    I liked tanzanaian beat 🎧

  • @leprofesseri3505
    @leprofesseri3505 6 лет назад +8

    Yeere ,,Wa kwanza

  • @ahmedomar2311
    @ahmedomar2311 6 лет назад +16

    Nkaali mbosso umenigusa sana na hii nyimbo... nlingoja kwa hamu hii vedio...uko vzuri bro!😎👍

  • @princemervin8659
    @princemervin8659 6 лет назад +9

    Kitu kitu,...nadekezwa
    ....enjoy music mzur

  • @JAYTUCCIOFFICIAL
    @JAYTUCCIOFFICIAL 3 года назад +4

    Hohohoo hohoo hoho
    Hohohoo hohoo hoho
    Hohohoo hohoo hoho
    Hohohoo hohoo hoho
    Salamu ulizo nitumia ah
    Zimenifikia ah
    Nipo salama hata usijali
    Nalishwa vitamu
    Vinono najilia ah
    Biliyani yangamia
    Penzi twadalikana poo kidali
    Nimekusahau
    Nakumbuka tu lako jina
    Kidogo angalu
    Umengoa mizizi sio kukatashina
    Penzi wakapanda dau ah
    Mjini baba pesa fitina
    Mimi ukanidharau
    Visenti haba mfuko umechina
    Nando uwezo wangu ulipo ishia
    Ningekupa nini tena
    Kula yangu yakupapasia
    (Hukumeza ukaatema)
    Mimi sina gali
    Ningekupa nini tena (ooohoohoo)
    (Hukumeza ukaatema)
    Eeeheeehee
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... Nadeke...
    Ndanimashamu shama mtoto kanikabiri ooh
    Hadi na come come kuminambili arufajiri
    Na nishamvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi
    Kanijaza kanichota kanishika pabayaa
    Nakutadharisha simu zausiku punguza
    Unahatarisha penzi langu moto kuunguza
    Nishakusahau nakumbuka tuu lako jina
    Kidogo angaluu
    Umengoa mizizi sio kukatashina
    Penzi wakapanda dau anh
    Mjini baba pesa fitina
    Mimi ukanidharau
    Visenti haba mfuko umechina
    Nando uwezo wangu ulipo ishia
    Ningekupa nini tena
    Kula yangu yakupapasia {hukumweza ukaatema}
    Mimi sina gali
    Ningekupa nini tena (ooohoohoo)
    {Hukumweza ukaatema}eeeheeehee
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... Nadeke...
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... nadekezwa
    Nadeke... Nadeke...

  • @atukwigizile2131
    @atukwigizile2131 6 лет назад +13

    Bado nnarudi tu, we acha mzeiya!🔥🤗

  • @HappynessSoli
    @HappynessSoli 2 месяца назад +23

    Kama unasikiliza ngoma 2024 gonga like

  • @MILLTREND
    @MILLTREND 6 лет назад +58

    Nadekezwa 🔥🔥🔥 .. Haubahatishi Kaka

  • @mercychris2742
    @mercychris2742 3 года назад +1

    To my baby daddy...Nadekezwa💃💃🥳🥳💃🥳🥳🤩....Anyway asante kwa kutuacha🤣🤣🤣

  • @ibrahimabdulrahman9821
    @ibrahimabdulrahman9821 6 лет назад +94

    namshukru mola kwa vile ulirudia kufanya muziki....ungekosea dunia sana kama hili talanta lingeozea mashambani...mshallah

  • @sivuyisejika1461
    @sivuyisejika1461 5 лет назад +278

    I am a South African Xhosa man, I love this language so much. I am in the process of learning Swahili online. I cant wait to understand the songs that my heart loves.

    • @otienootieno8879
      @otienootieno8879 4 года назад +2

      sivuyise Jika it’s a beautiful language

    • @ciruwainaina
      @ciruwainaina 3 года назад +2

      Xhosa is bantu, and swahili is derived from Arab and bantu languages.
      Should be easy for you

    • @merryperry8887
      @merryperry8887 3 года назад +7

      @@ciruwainaina Bantu speakers have the advantage of learning fast coz some words are similar..

    • @faidafatuma1838
      @faidafatuma1838 3 года назад

      U will learn it bcz is an easy language and most beautiful on planet

    • @enockntoka
      @enockntoka 2 года назад

      @@ciruwainaina its a great song indeed

  • @isabellamwemba6409
    @isabellamwemba6409 Месяц назад +16

    Here 1/10/2024 nipeni likes zangu😂😂

  • @mamaafricankenya2501
    @mamaafricankenya2501 3 года назад +2

    Mnaikumbua hii ama mko kwa, Kondeboy ❤️🎼🎤🎵👈👆🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤣⁉️

  • @maurinemawia5777
    @maurinemawia5777 6 лет назад +37

    Mimi mtoto wa kikenya nimetii sana huu wimbo.. Aiseh kuacha mtu kisa hana pesa atadekezwa na mwingine ushangae yaani

  • @salminshukuru1652
    @salminshukuru1652 5 лет назад +9

    Nakumbuka niliachwa Kisa ckuwa na kitu.. Niliumia Sana ktk moyo Wang lkn Nashukuru sahv nishasahau... Nikicklza nyimbo hii Nakumbuka mbal Sana..

    • @saidihamisi1501
      @saidihamisi1501 5 лет назад

      Ata Mimi haya yalinikuta Lila kitu nimapitito

  • @valentine5439
    @valentine5439 3 года назад +107

    That song that makes me feel like calling my ex just to see the type of blessing she allowed to come into my life... I'm deeply in love with my current lady 🖤🖤🖤

  • @BongoVibesTV
    @BongoVibesTV 5 месяцев назад +3

    Ilinichukua muda sana ku move on kwa mtu niliempenda sana akanisalilti, baada ya kupata ubavu wangu imebidi nirudi 2024 kuutafuta huu wimbo, kwa kweli Mbosso alitunga aisee hana mpinzani kwenye uandishi... Nadekezwa mie na penzi jipya😁😁

  • @semivola2136
    @semivola2136 5 лет назад +229

    Im American/Fijian.....My ancestors came from Tanzania....Tanzania songs really make me fall in love again😂😂😂😂....of my people in Tanzania. Been travelling around the world. My next stop will be Tanzania. Love the music. Definitely will love the place and my people the great Tanzanian people.

    • @zalendo
      @zalendo 5 лет назад

      Welcome. I have fijian friends as well. Check me for best safari experience around Tanzania.

    • @aminahiddy5619
      @aminahiddy5619 5 лет назад

      Iko pouwa

    • @shoshobuju9862
      @shoshobuju9862 4 года назад +1

      love thiz song

    • @aidetuoray626
      @aidetuoray626 3 года назад

      X xxbf

    • @Frank-hk9ed
      @Frank-hk9ed 2 года назад

      @@shoshobuju9862 b

  • @quincymillion7468
    @quincymillion7468 Год назад +12

    I'm a Zambian lady but I really wish I could understand Swahili language even though the song is so emotionally it's entering my bones mbosso you are the best ever stay blessed.💓💗

  • @annwairimu4824
    @annwairimu4824 Год назад +25

    Oooh my my ,4 year's down the line, and this song is still a vibe ,, My all tyme favourite musician ..💋💋🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jumabakari8776
    @jumabakari8776 День назад +1

    Nomaaaa

  • @rosemarymaina4388
    @rosemarymaina4388 6 лет назад +77

    I love this song..Nimekusahau nakumbuka tu lako jina... 254 nadekezwa tu..

    • @richone6900
      @richone6900 6 лет назад

      Rosemary Maina miminiliacha kisa. Pesa. Vikaja. Visakibao. Mara. Mm. Mlezi. Aise. Mapenzi. Yaachetu

  • @bingwamkenya5493
    @bingwamkenya5493 6 лет назад +171

    Tz mmenimaliza tena kwa sana. Ninge penda mniongelee na Magufuli nipewe uraia wa Tz. Napenda WCB, BONGO, SWAHILI na watoto wa Tz

    • @majaliwamichael1687
      @majaliwamichael1687 6 лет назад +3

      Bingwa Mkenya welkum we are realdy here ,tulishaga fika

    • @josenyeri8783
      @josenyeri8783 6 лет назад +2

      Bingwa Mkenya

    • @Malyun-ff5mc
      @Malyun-ff5mc 6 лет назад +10

      Bingwa Mkenya wacha kiherehere tulia kwako kenya ...tuface this economic crisis together

    • @alishika8667
      @alishika8667 6 лет назад +1

      Bingwa ckuelewi unless ww so bingwa ma bingwa wote hujikaza. Hhhha

    • @mrbashka422
      @mrbashka422 6 лет назад +6

      @@alishika8667 haha anaenda wapi mshow arudi huku tulipe Deni ya China wote

  • @asomahevans
    @asomahevans 3 года назад +63

    Tanzania is the land of craft music love sweet Melodies in Africa
    The only sub Saharan country I’d love to relocate to my beautiful Ghana 🇬🇭
    I love 🇹🇿 😍😍😍

  • @nicolettanjeri3021
    @nicolettanjeri3021 3 года назад +7

    Kama uko hapa Na unaona hii wimbo mala tatu Kwa siku pita Na like hapa

  • @peternzeki
    @peternzeki 6 лет назад +131

    MBOSSO mziki wako umenijenga kwa sana.mziki umekomaa na mtulivu..RUclips ingekuwa na eneo la kutag ningetag EX wangu..Tunasupport Kazi yako Nzuri kutoka KENYA.

    • @uhuru23
      @uhuru23 6 лет назад +1

      mziki safi

    • @amlyne9996
      @amlyne9996 6 лет назад

      Peter NzekiTv ü

    • @husnabeiby9365
      @husnabeiby9365 6 лет назад

      Peter NzekiTv Hahaha

    • @malaqanisaidi1321
      @malaqanisaidi1321 6 лет назад

      Mm wimbo huu kila nikiusikiliza nahis machozi kwayale yalio nikuta mungu ambariki nahsi kuzaliwa upya

    • @hadijayassin5810
      @hadijayassin5810 6 лет назад

      @@malaqanisaidi1321 kweli kabisa ndio maisha

  • @jennifernduka720
    @jennifernduka720 6 лет назад +13

    Walah unanikera sasa Mboso nini hii kumzidi boss wako 😍😍 but still like u dmond u are the my model of everything God bless you 🤗🤗🤗🤗

  • @yohanaambazi1918
    @yohanaambazi1918 6 лет назад +37

    Produce wa hiii ngoma ni fire. Hiii ngoma mboso ameonesha waz ana uwezo zaid ya slay

  • @johnakama841
    @johnakama841 2 года назад

    Napenda ngoma za mbosso sana 🥰🥰msamiati safi

  • @benedettanduku2215
    @benedettanduku2215 6 лет назад +794

    Hii nyimbo huku Kenya imetumalza kabsa wapy likes ya # mbosso

  • @vincentmasiga4159
    @vincentmasiga4159 6 лет назад +49

    Kali hii,, feeling proud am here before 500 likes,, all the way from +254

  • @therealizacky96
    @therealizacky96 6 лет назад +7

    @mbosso kaka una2konga nyoyo zetu mungu akusimamie Bro haipiti siku kam sijaskiliza #Nadekezwaa 🙌🙌🔥🔥🔥

  • @collinswalker996
    @collinswalker996 Год назад +1

    Niko Uganda nilipenda sana music wako, ilinisaidia kufunza
    kiswahili

  • @isaacsunguman.7635
    @isaacsunguman.7635 2 года назад +23

    This guy's so talented,,no single day can pass without listening to his songs,,🇰🇪🇰🇪 wakenya twakupenda.

  • @Amish130
    @Amish130 2 года назад +11

    Iam south African Xhosa man.I love this language so much .iam in. The process of learning Swahili online.I can wait to understand the song that my heart love

  • @karanjamurumba5772
    @karanjamurumba5772 3 года назад +79

    Such a masterpiece, This song never ages. 🇰🇪

  • @siyaadomar662
    @siyaadomar662 3 года назад +1

    Mboso no 1.

  • @newforcejv9721
    @newforcejv9721 6 лет назад +9

    Ninacho kkubal kwa mboxo yupo. Kwenye mbuga kuukuu ila anawinda kivyake bnafsi nadekezwa gonga like yako hapa kama nawe unadekezwa

  • @Heart2Heart132
    @Heart2Heart132 5 лет назад +50

    Huu wimbo umwendee Ex wangu mchawi kupindukia. Nadekezwa!!!!

  • @aronsimbeye6423
    @aronsimbeye6423 2 года назад +26

    Am a Zambian but my family are in Tanzania so I love Tanzanian music especially this guy

  • @benOfficial36
    @benOfficial36 2 месяца назад

    Kila nikiwaza sana life, nauukumbuka wimbo

  • @yusufmzito3931
    @yusufmzito3931 5 лет назад +25

    Waaaaahhhhhh.... Aki hyo part ya me sina gari aki inauma wooow big up mboso.....

  • @bethnjenga5516
    @bethnjenga5516 6 лет назад +35

    Sauti iko juu,peda sana huu wimbo.nausikia nikiwa Iraq Baghdad..on lit

    • @rajabmartojr3302
      @rajabmartojr3302 5 лет назад

      Beth Njenga rip watu wa kenya via the Ethiopia 🇪🇹 aircraft

  • @realcharlyg
    @realcharlyg 3 года назад +60

    Being a Tanzania citizen is the biggest flex ever 🥺💯🇹🇿

  • @EdwinNgatia-fl6eo
    @EdwinNgatia-fl6eo Год назад +1

    Pia Mimi nadekezwa!!

  • @thesocialintrovertchronicles
    @thesocialintrovertchronicles 5 лет назад +34

    Tanzanians sauti mlipewa. Mistari nayo yatudekeza jamani 🔥🔥🔥

  • @hassanomar4543
    @hassanomar4543 5 лет назад +255

    TRANSLATION
    Hohohoo hohoo hoho … Hohohoo hohoo hoho
    [Verse 1]
    Salamu ulizo nitumia ah
    (THE GREETINGS YOU SENT ME)
    Zimenifikia ah
    (HAVE REACHED ME)
    Nipo salama hata usijali
    (AM OK, DON'T EVEN WORRY)
    Nalishwa vitamu
    (AM BEING FED WITH SWEET THINGS (DESSERTS))
    Vinono najilia
    (SERVED WITH DELICACIES)
    Biriani ya ngamia
    (CAMELS MEAT BIRIANI)
    Penzi twadalikana poo kidali
    (WE GIVE EACH OTHER LOVE WITH LOTS OF GIVING)*
    Nimekusahau
    (I HAVE FORGOTTEN YOU)
    Nakumbuka tuu lako jina
    (I ONLY REMEMBER YOUR NAME)
    Kidogo angalau
    (A LITTLE AT LEAST)
    Ungeng'oa mizizi sio kukata shina
    (YOU SHOULD HAVE UPROOTED IT INSTEAD OF PRUNING IT)
    Penzi wakapanda dau ah
    (LOVE SAILED AWAY)
    Mjini baba pesa fitina
    (IN THE CITY,MONEY IS DECEIVING)
    Mimi ukanidharau
    (I WAS WORTHLESS TO YOU)
    Visenti haba mfuko umechina
    (FEW COINS IN AN EMPTY POCKET)
    Nando uwezo wangu ulipo ishia
    (AND THAT IS WHERE I DREW THE LINE)
    Ningekupa nini tena
    (WHAT ELSE COULD I HAVE GIVEN YOU)
    Kula yangu yakupapasia
    (A MEAL FOR ME IS UNCERTAIN)
    hukumeza ukatema
    (YOU DID NOT SWALLOW IT INSTEAD YOU SPIT IT OUT)
    Mimi sina gari
    (I DONT HAVE A CAR)
    Ningekupa nini tena
    (WHAT ELSE COULD I HAVE GIVEN YOU)
    (ooohoohoo)
    (hukumeza ukatema)
    (YOU DID NOT SWALLOW IT INSTEAD YOU SPIT IT OUT)
    Eeeheeehee
    [CHORUS]
    Nadeke… nadekezwa
    (NOW AM BEING SPOILED)
    Nadeke… nadekezwa
    (NOW AM BEING SPOILED)
    Nadeke… nadekezwa
    (NOW AM BEING SPOILED)
    Nadeke… nadekezwa
    (NOW AM BEING SPOILED)
    Nadeke… nadekezwa
    (NOW AM BEING SPOILED)
    Nadeke… nadekezwa
    (NOW AM BEING SPOILED)
    Nadeke… nadekezwa
    (NOW AM BEING SPOILED)
    Nadeke… nadekezwa
    (NOW AM BEING SPOILED)
    Nadeke… Nadeke…
    [Verse 2]
    Yanimashamu shamu mtoto kanikabili ooh
    (SMOOTHLY AND SOFTLY MY BABY WITHSTANDS ME)
    Hadi na come come kumi na mbili alfajiri
    (TILL I ALWAYS COME TO HER AT SIX EARLY IN THE MORNING)
    Na nishamvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi
    (AND I HAVE CROWNED(awarded) HER WITH STARS (insignia)BECAUSE SHE RANKS HIGH ON MY LOVE)
    Kanijaza kanichota
    (SHE FILLS ME UP AND POUR ME)
    kanishika pabayaa
    (TOUCHES ME WHERE ITS MOST SENSITIVE)
    Nakutahadharisha
    (I WARNED YOU)
    simu za usiku punguza
    (AVOID LATE NIGHT PHONES(chats,texts,calls))
    Unahatarisha
    (YOU'RE RISKING)
    penzi langu moto kuunguza,
    (BURNING MY LOVE WITH FIRE)

  • @christinekanana9591
    @christinekanana9591 6 лет назад +37

    Mbosso much respect.. Moto kama Pasi ya makaa 😊+254 tumekubali... I looove...😍😍

  • @ThatGuyTimee
    @ThatGuyTimee Год назад +6

    As an African American, I particularly like this music, even thought I don’t understand any other language than American English and A little Australian I still think this song stands out!

  • @muminmohamedahmed2453
    @muminmohamedahmed2453 5 лет назад +707

    It's really hurts,when you give someone all your heart and you value more than anything in this world,then all over suddenly isolate you with no reason or just because you a poor!!!?like if you went through the same.

  • @KakaJack-k5k
    @KakaJack-k5k 27 дней назад +18

    2024 anyone..?

  • @fallydufanda3924
    @fallydufanda3924 6 лет назад +33

    We have to Hustle to the fullest to make money... Cause Money is everything... Wanaume may this song teach you something... So touching Mboso

    • @kamaakamaa1795
      @kamaakamaa1795 4 года назад

      Fally Dufanda arafu c ungie kwa channel yangu u subscriber

  • @SabinaMagambi
    @SabinaMagambi 8 месяцев назад

    Nakumbuka nkiwa kisauni mombasa nkaibiwa simu nlikuwa npeda hiyo nyimbo sana

  • @asmarofficial2986
    @asmarofficial2986 5 лет назад +24

    🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴dhirane Somaliyed hada thy dadkan iga so barejeeeh 😘😘🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴Somalia hanolatoooo hanolatoo💗

  • @raymondlimo3601
    @raymondlimo3601 5 лет назад +34

    Mbosso is the best artist wasafi crew and east Africa wise, Mr consistency Harmonize, on point Rayvanny, the future lavalava and the boss, the mastermind the history maker D. Platinumz

  • @moussodecodecoration6301
    @moussodecodecoration6301 5 лет назад +13

    Thé only sénégalaise there one love mbosso nakupenda sana❤

  • @ufsland
    @ufsland 3 года назад +5

    O Tanzania I love you so much I was born Iringa. Raised in Dar now live in UK however nothing compares to life in TZ am moving back soon. We have some social and infrastracture developments as well as many thing other things but will get their soon.