when vanny boy said ''wengi wakipendwa wanasahau kuna kutendwa''.........i felt that shit unajisifu umempata kunbe alimwacha anamfwata........naogopa naicheza daily
Rayvanny napenda muziki wako na kazi zako , nimecheza wimbo huu, nafikiri inakaribia mara 50 , toka jana na leo , Nafurahia mashairi yako na vina viko vizuri, Mungu aendelee kukubariki kwa kazi nzuri...unaiwakilisha Tanzania vizuri
Mashabiki wengi wa Rayvanny wanatoka Kenya comments zinaonyesha... Mimi pia Kenya nawakilisha,. Tz wanapiga kazi Safi sana ata ukitaka kusema usiskize ngoma zao eti sababu hawasikilizi zetu ni ngumu. Kazi imepangwa ikapakuliwa. Big up Rayvanny
Yani nalia tu listening to this song today i understand the lyrics..... Yani sitamani sitamani torchi ya mapenzi inimulike tena sitaki tena nime surrender duh........ Today im crying a river
Lyrics Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unabomoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unabomoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopaaah Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopaaah Tena tochi ya mapenzi isinimulike Nimeyaona bayana Ndo maana sitaki kumbuka ya jana Alivyonidanganya Moyo wangu ukapiga danadana Nimeyaona bayana Ndo maana sitaki kumbuka ya jana Alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana Kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi Tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki Umemteka kwa mali na cheki Kumbe vyombo anakula muuza magazeti Unayemwita bebi anaweza bebwa kama begi Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji Unayemwita bebi anaweza akabebwa kama begi Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopaaah Kwenye safari ya mapenzi mi nisihusike Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopaaah Tena tochi ya mapenzi isinimulike
But The problem with this musicians wanajua kuimba vizuri tu Sana but shida ni wanajoin cult were by they were been given evrthing but they can't be allowed to have the happiness of the their life wala kua na bibi same same to Diamond anwy praying for them mungu awabadilishe tu
This was me since sep but i thank God for His grace n mercy...i almost went into depression.God help anyone going through heartbreak,may Your grace n mercy b sufficient.Thankyou Lord
@@MASELF873 thankyou dear.I made the worst mistake of loving hm with my life n showing it...wat he told n dd to me afterwads,only God cn heal the pain😭
Mwenzenu naomba pole na like za vany plz maana naona naumia tu kila cku ninapo ckiliza huu wimbo kila nikitaka kucomment nashindwa juu ya mapenzi mwenzenu yataniuwa 😢😢😢. Leo mungu amenipa nguvu yakucomment. Plz kama nawe uliguswa na wimbo wa vanny plz usisahau kulike
Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unadondoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unadondoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Tena tochi ya mapenzi isinimulike Nimeyaona bayana Ndo maana sitaki kukumbuka ya jana Alivyonidanganya Moyo wangu ukapiga danadana nimeyaona bayana ndo maana sitaki kukumbuka ya jana alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana Kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi Tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki Umemteka kwa mali na cheki Kumbe vyombo anakula muuza magazeti Unayemwita bebi anaweza bebwa kama beki Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji Unayemwita bebi anaweza akabebwa kama beki Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Tena tochi ya mapenzi isinimulike
I love the song its so emotional but am sure Fay has her own sad story no woman in her right mind can walk away from this man without a reason.... Fay don't let anyone define your relationship for u come back and fight for the father of your son people make mistake mama soften your heart and give it a try
I was in such situation sometime back ,it really hurt .It's funny when I met my loving husband I never believed in love anymore.He changed my mindset and I now believe in love.He is the best thing that ever happened to me.May anyone going through heartbreak find love and be loved back in Jesus Mighty name.
😢😢😢😢☹️☹️ Soo touchy,, kindly fayvany wherever you maybe this moment!! Just come back home sweetheart na mwombiane mshamaha please....... it's break my heart to see you guy's apart n you're my best couple ever!! He still loves you so much.
@@mercyhakim1091 he made me cry too dear,, I really don't know what fyma wants tena na hiyo maisha mazuri amekua akipewa yote🤔🤔 wengi wetu tunatamani tu ila hatuna uwezo bt tuna shukuru tu mola🙏
Wa Uganda 🇺🇬 hatukuage saaana kwanyi music ya Tanzania 🇹🇿 kwasababu kunawengin wanupenda their song alakini they don’t understand the language so please show some love to Uganda 🇺🇬 please Kenya 🇰🇪 and Tanzania 🇹🇿 I mean every African show some love ❤️
Diamond was once in this situation, he used to sing such emotional songs, sometimes it's good for such a thing to happen, take a look at his songs, he has been brimming with love. This has let him know both sides of the coin, imagine such a beautiful song, sometimes people must pass though pain to become something else, diamond used to cry for wema sepetu, compare the two now, Vany this is a simple thing and hope you will be through soon with this little stress, hope soon pia wewe tutakuchorea laini kati yako na yeye, they dont understand that their time is little and they depend on us to grow, umemsaidia ya kutosha, muache aende, SIKU IZI DIAMOND ANAKANYAGA MA X, PIA WEWE NADHANI UTATUPEA VITU KAA HIZO UKIPATA AKUPENDAYE KWELI
IN 2020 I ALMOST LOST MY MIND. I WAS REALLY IN MY LOWEST POINT IN LIFE. THE BETRAYAL,THE HEARTBREAK;MY WORLD WAS TURNING UPSIDE DOWN 💔 WHOEVER READING THIS AND IS FIGHTING SILENT BATTLES MAY GOD GRANT YOU THE SERENITY TO ACCEPT WHAT YOU CAN'T CHANGE AND MAY PEACE COME YOUR WAY, SENDING LOVE ♥️
Kila nikiusikiliza na kuangalia wimbo huu naogopa inaniuma sana,laiti angekuwepo huku mbeya aliyekuumiza ningemfuata,maana katuumiza wanambeya,from forest mpya here.
Ni kweli...😭Yanachenga sana,unapenda kumbe daaah
Sana uchungu sana
Walio rudiya hapa 2024 tujuwane kwa likes tafazali ❤
Aiseee acha tu 😭😭
Inaumiza sn😢😢😢
Hadi sasa naliya sn😭😭😭 mapenzi uchizi kweli siwezi tena
Pole
❤❤
2024 tujuane kwa like 👍
Nipe Like's Zenu Tafadhali Kwenye Account Yangu Ya RUclips Mimi Nimu Sani Kidogo Toka Drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 One Love Kwawa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Wenzetu
@MorningboyCatb❤❤❤❤❤❤❤❤rfj649
On last day of 2024 31st dec😢
2023 na bado unaskiza hii wimbo likes tano tu pekee nipewe
Oooh ngosh this song huwa inaniguza tu xana..i know the pain n the feeling😘😘mapenzi pia naogopa.....kama umepitia anayoyasema rayvany npe like....
Kweli kabisaaa 🤝
naogopa
Wacha tu
Enyewe
Kweli kabisa
Kwa diamond nlinyimwa likes, jameni nisinyimwe kwenye vannyboy pia🤭🤭🤭🤭
Emotionally brother no way yatapitaa
Martha Njesh hahahahaaa
Vanny boyyy
Naogopa pia.. Yanibeba kwa Sana
Martha Njesh
Leo arusha boy mzm nimelia😭😭😭 kwa kumuona rayvanny akilia duh gonga like Kama unaamini Mungu atasaidia Fayhma na Rayvanny warudiane💖
Free money here ruclips.net/video/GfKiAxlARbg/видео.html
Ino de boy tz oy
😭😭😭😭😭
hello
Finally walirudiana
Wangapi wameutazama wimbo huu 2024 gonga like yako hapa kama shabiki sugu nampenzi wa nyimbo za rayvanny
Tuko baada ya kuachika😅😅
Yaah
when vanny boy said ''wengi wakipendwa wanasahau kuna kutendwa''.........i felt that shit
unajisifu umempata kunbe alimwacha anamfwata........naogopa naicheza daily
Kutendwa sio kutengwa
Wow,
hii verse ni ya William Ruto, alitutesa term ya kwanza
Gey
John bro
Najua kama msomali sipati likes.wnasema wasomali ni wahalifu.mmi nawapenda💔💔
No discrimination bro likes lazima upate napenda Somali sana
We don't hate Muslims....not all them are terrorist
Nimeongezea bro
@@badiir thnk u bro.u ar an african blood we share the roots
@@DavidGithaiga-lx2ic thnks bro
Daaah.. Muuza gazeti anakula vyombo.. Hatari.. Who's with me here 🇰🇪
Jambo
Ndugu
Wenye kilio Cha mapenz Kama rayvanny naomba tujuane kwa like😭😭
Benson Silivery mimi
ruclips.net/video/_BYmNOi1XRk/видео.html
Na mimi machozi anatililika kama vanny kipenzi chetu
Benson Silivery kweli 😔
very true nko hapa
Nani amesema cushites hawasikizi ngoma Za bongo show me some love♥️💯💪🏻💪🏻
Bro hakuna mwenye amesema hivyo, 😂
ABDIRASHID hassan
Ngoma nzur 😂
i love bongo n leyla frm marsabt
@@e.mnyagaproduction3618 jjc
This song is reflecting to the everybody Kama umeguswa na wimbo huu gonga like from Tz
Yah imnixhaka xna
Me too
Naipenda sana
I love this song
Spq
Rayvanny napenda muziki wako na kazi zako , nimecheza wimbo huu, nafikiri inakaribia mara 50 , toka jana na leo , Nafurahia mashairi yako na vina viko vizuri, Mungu aendelee kukubariki kwa kazi nzuri...unaiwakilisha Tanzania vizuri
Sun chirss
Mashabiki wengi wa Rayvanny wanatoka Kenya comments zinaonyesha... Mimi pia Kenya nawakilisha,. Tz wanapiga kazi Safi sana ata ukitaka kusema usiskize ngoma zao eti sababu hawasikilizi zetu ni ngumu. Kazi imepangwa ikapakuliwa. Big up Rayvanny
Ni kweli kabisa sijaona comments nyingi za Tz
☄✊🏾🙌🏾👏🏾🚀📌🔨🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪
💯💯🔥
Sio kweli, hatuhutji comments, kuwa fans wake , wengine tunaangalia video hizi na kutafakari mashairi yake, na hiyo ndio, kitu yuko tofauti na wengine
Rayvanny -Naogopa English version.
ruclips.net/video/gKlvHn04GAY/видео.html
“Unajisifu ushampata kumbe aliomacha anamfuata” who has listened to this part....👍👍. 🔥🔥🔥 big heart vannyboy
I feel for him so much,heart break is real,ata Rayvanny ni binadamu na ana moyo wa kupenda
Do you mnavotufanya amjawai lizika nyinyi
It hurts
Sio kila mtu martin,ata kuna wanaume huwa wanatuhurt pia
Kaka wetu rayvanny nani huyo amekuumiza nimpige dondi much love from kenya 🇰🇪
Like za Rayvanny maana ngoma tamu sanaa❤❤❤
@
Yp ntam lkn inamaumiz makar sn ndan yake
@Ahmed inaumizaa sana yaan
Yani nalia tu listening to this song today i understand the lyrics..... Yani sitamani sitamani torchi ya mapenzi inimulike tena sitaki tena nime surrender duh........ Today im crying a river
Listen to story ya mapenzi-by "Chris B Vin"more painful than this.
Pole
Nani ywamhurumia hadi machozi jameni... . . . .Mapenzi yaumiza kweli...
😭😭😭😭😭😭😭Naogopa
Usiogope
easy money ruclips.net/video/SiRqf0C2-Gw/видео.html
Hii wimbo huwa inanikumbusha mbali
Ooh my he sang from the heart..from kenya mapenzi Chenga kweli
Oh yeah.
Please check out my acoustic cover and subscribe to my channel.
ruclips.net/video/_tvJURe2mFs/видео.html
@@SamSikoa 😘😘😘😘😘 jmn
😭😭😭😭😭The part dat has made me cry ni nilimpa moyo wangu ila kaniona mshenzi 💔💔💔💔
mamake Brian what does it mean
@@cjmadina I gave you my heart but you saw me stupid
😥😥🔪
Ida Aman 😭😭😭😭
2024 likes 10 tu zinatosha
"Wapi mkandarasi wa moyo ukuta wa mapenzi unabomoka "
GONGA LIKE KWA RAYVAN
what
ruclips.net/channel/UCcW-idfVUa195amDiN1oEeA?view_as=subscriber?sub_confirmation=1
universal tv ila moyo hauna mkandarasi..sad
Npoo
universal tv
Yaan ukuta wa moyo umebomoka,,unaemuita baby unaweza kumuita shemeji,,mm nimetoa chozi kwakweli
😭😭😭😭kama umeguswa gonga like maan nice song 🔥🔥🔥❤❤
Free money here ruclips.net/video/GfKiAxlARbg/видео.html
Dah!vyombo anakul muuza gazet
Sorry rayvanny but am asking my self whay did I wosh this I was crying 😢 😥😂😂😥😂😥😂
Lyrics
Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa
Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa
Wapi mkandarasi wa moyo
Wa ukuta wa mapenzi unabomoka
Kinacho ponza wengi ni moyo
Wakikalia kuti kavu wanadondoka
Wapi mkandarasi wa moyo
Wa ukuta wa mapenzi unabomoka
Kinacho ponza wengi ni moyo
Wakikalia kuti kavu wanadondoka
Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopaaah
Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopaaah
Tena tochi ya mapenzi isinimulike
Nimeyaona bayana
Ndo maana sitaki kumbuka ya jana
Alivyonidanganya
Moyo wangu ukapiga danadana
Nimeyaona bayana
Ndo maana sitaki kumbuka ya jana
Alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana
Kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi
Tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi
Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki
Umemteka kwa mali na cheki
Kumbe vyombo anakula muuza magazeti
Unayemwita bebi anaweza bebwa kama begi
Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
Unayemwita bebi anaweza akabebwa kama begi
Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopaaah
Kwenye safari ya mapenzi mi nisihusike
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopaaah
Tena tochi ya mapenzi isinimulike
💞💞
Neat
Du! Mapenzi aisee!!
Let the torch of love NOT shine on me again .....the translation looses that....
Nice
Wale wa 2024 🥳mpo...pita na like😊😊
It hurts so much, but those who hurt others while knowing God will repay for it unknowingly, let pray for those who experienced such situation
Kaunda Nyankongo amen
Tusio jua kingeleza kazi ipo
It's painfull
😂😂😂
Kama unaamini kuwa mapenzi ni sumu kali kwa maendeleo ya mtu basi gonga like.
Exactly
Sumu Kali sanaa
Mapenzi si sumu ila binadamu mwenyewe🤨
Atari sana mapenzi
But The problem with this musicians wanajua kuimba vizuri tu Sana but shida ni wanajoin cult were by they were been given evrthing but they can't be allowed to have the happiness of the their life wala kua na bibi same same to Diamond anwy praying for them mungu awabadilishe tu
Jamani like za Ray ziko wapi🇰🇪🇰🇪🇰🇪.....Wakenya
pamoj san kak
Tuko kwa biside hii
Hii wimbo ni ya riser stadia
I like this song from vocalist vanny boy
Mercy Koskei safi
Niko apa tena 2024 after kuumizwa maombeni likes jamani
2:25 📌 “Tena nilimuweka moyoni ila akaniona mshenzii🤦🏻♀️”
I LOVE THIS SONG😍
Martha Igogo mapnz haya jmn mpk vann boy analia😿😿😿😿😿😿😿
ruclips.net/video/_tvJURe2mFs/видео.html
Mm naipenda xana
Mm naipenda xana
Kama unamuogopa Mungu weka like 👍
Naogopa pia
gud boy
Ngoma kari sana
🙏🥺
Naelewa Kaka uko vzr
Walio uelewa huu wimbo weka like tujuane😍😍😍
Hawara hana talaka 😂😂jiendee salama dada fa.....
Hatare
😍😍😍
Hahahahaha
Hongela sana vany boy ww nifundi
Wakenya mpo🇰🇪🇰🇪
Chama cha naogopa weka like 👍🏻💪🏻
I fear lv when am listening this song ,, Kuna girl ariacha juu sikua napesa akanidanganya akanitupa but God akuniacha I love you Allah 🙏
Tafuta pesa Acha kutia huruma
@@drisackkalindi3846 0azqkskmkkSksakskazk\ aaLaakskkskmssmassmsmsmdm.
oqjksksmsssn
wslslalslsksmsms\ kQk0passskmsa. k*1kkkaskzmmz,
,mm, ,,amzQ
Wah
I feel your pain broo
Maulana atupenda ndugu, kumbuka hayo.
This was me since sep but i thank God for His grace n mercy...i almost went into depression.God help anyone going through heartbreak,may Your grace n mercy b sufficient.Thankyou Lord
Congrats for coming through it
@ Cate mueni, my dear, never ever love with your heart but with your brain, hearts are delicate and we thank God that you are now okay.
Oh dear! We glad yo fine
same here wooiii the problem is nikimuona bado huwa nakumbuka kuna vile strange feeling huwa yanipata
@@MASELF873 thankyou dear.I made the worst mistake of loving hm with my life n showing it...wat he told n dd to me afterwads,only God cn heal the pain😭
Who is here in 2025👋🏻👋🏻👋🏻
Unae soma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏❤️
Ramaa nakupendaga sana na duwa yako,mungu akupe maisha marefu🌹🌹🌹 from 🇹🇿
@@sarapaulo4718 inshallah 🙏
Ieivani wakomeshe
@@fadilzawad5317 🙏🙏🙏🙏
Amen
Leo Naombeni Angalau Like 10 Tu Na Nitashukuru sana ''Rayvanny my Favourite Artist''
Unazipelekaga wapi
Mi 2
Please check out my cover..
ruclips.net/video/_tvJURe2mFs/видео.html
Subscribe like share. 🙏🎶
@@khadijamalifedha6008 🤣🤣🤣
Nitumie kadhaa kwa channel yangu please.
ruclips.net/video/_tvJURe2mFs/видео.html
Same
mapenzi chenga yakikupiga unasarenda🙌 kama umeusikia huu mstari gonga like tulie wote😣
Noma sana
innovator jamanii usilie vvyn
Torch ya mapenzi isinimurike😭😭😭😭😭
daaah yn
Jamani duuh kweli ww noma sana
Kijana wimbo nzuri sana hapa diamond alioga keep it up ukiona Mzee ameacha zilizo pendwa ameupenda huu wimbo sio mchezo
.."unajisifu umempata..kumbe alomwacha anamfata..anacho taka anakipata.....penda this,,,.......from kenya
Mashairi murua kabisa
Hii noma sana
Wewe
So painful
Tr
Daaaaaah jaman sijawai kuiona like hata moja ya you tube jaman ii😂😂😂em piten ata naapa kwangu leo jaman🙏🙏🙏
Bab ntakup
Mwenzenu naomba pole na like za vany plz maana naona naumia tu kila cku ninapo ckiliza huu wimbo kila nikitaka kucomment nashindwa juu ya mapenzi mwenzenu yataniuwa 😢😢😢. Leo mungu amenipa nguvu yakucomment. Plz kama nawe uliguswa na wimbo wa vanny plz usisahau kulike
thanks me too. you touched my hear
Pole, tuko wengi
pole sana
Pole tupo wengi😭😭
Tupo wengi
Wimbo huu unanikumbusha juu ya Friand wangu wa zamani aliyenijali
Lakini tulipata vita hivyo hakutaka kuwa marafiki tena
Jamani machozi hayo ya menikumbusha mbali😭 Likes tujuane from American.
Maisha yako hivo
My situation😭😭😭😭
Uwiiii even me siwez kuja kusahau
Bosco Nehemiah 😫😫😫😫
Dah machozi yamenitoka pole rayvanny
Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa
Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa
Wapi mkandarasi wa moyo
Wa ukuta wa mapenzi unadondoka
Kinacho ponza wengi ni moyo
Wakikalia kuti kavu wanadondoka
Wapi mkandarasi wa moyo
Wa ukuta wa mapenzi unadondoka
Kinacho ponza wengi ni moyo
Wakikalia kuti kavu wanadondoka
Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Tena tochi ya mapenzi isinimulike
Nimeyaona bayana
Ndo maana sitaki kukumbuka ya jana
Alivyonidanganya
Moyo wangu ukapiga danadana
nimeyaona bayana
ndo maana sitaki kukumbuka ya jana
alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana
Kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi
Tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi
Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki
Umemteka kwa mali na cheki
Kumbe vyombo anakula muuza magazeti
Unayemwita bebi anaweza bebwa kama beki
Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
Unayemwita bebi anaweza akabebwa kama beki
Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Tena tochi ya mapenzi isinimulike
True
sii ndiyo
Mm mkenya kama una mukubali huyu jamaa roa like
Fty bro,,,
Someone send me this video
If you listening to the song while scrolling down the comments big love♥️
🙌😁
Me too
Lol
Here we are
And mostly Kenyans we here
Wenye wangali wanapenda iyi nyimbo 2024 wanipen like 🥹
Team 🇹z
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Anaekubar vany boee jembe gonga like
Ray i lov yr voice from uganda
Free money ruclips.net/video/_BYmNOi1XRk/видео.html
Martha Akello I like him too attractive boe
My idol namkubali sanaa
mwuzi huyo
Ngai mpaka analia 😪 ata mimi amefanya nilie 😭😭😭 from 🇰🇪 we love you.
I love the song its so emotional but am sure Fay has her own sad story no woman in her right mind can walk away from this man without a reason.... Fay don't let anyone define your relationship for u come back and fight for the father of your son people make mistake mama soften your heart and give it a try
Wale tumerudia mara ishirini kila siku weka like tukidinga❤
"" Nilizama pendoni akaniona mshenzi" naogopa kupenda, kama unaogopa kupenda kama mm hapa gonga like ya maana hapa
Wapi mkandarasi wa moyo
😭😭😭😭
Goooood
😭😭😭😭naogopa mie
Walai 🙆🙆
I was in such situation sometime back ,it really hurt .It's funny when I met my loving husband I never believed in love anymore.He changed my mindset and I now believe in love.He is the best thing that ever happened to me.May anyone going through heartbreak find love and be loved back in Jesus Mighty name.
Amen!!!!!🙏
Ameen 🙏
AMEN
Ameeen🙏
amen darling your message has given me strength.......i still belive in true love
Nani alisema mkenya 🇰🇪haizi pata like za watanzania 🇹🇿please show some love
@kamiss kami afu usitufanye boya😀😀😀😀yaani like zote hizo bado unahitaji tu tuongeze😀😀😀😀😀
NATANIA tu boss
Wapi kadarasi ya moyo....ukuta wa mapenzi wabomoka😪😪😪
filbert nashon 😂😂😂😂nashukuru kw zote izi
@@kamisskamimamaketoto8987 tuko pamoja ndg habar za Kenya hapo asee
margaret thuguri inauma jamani 💔💔
Unajisifu umempata kumbe alomwacha anamfuata - This hits hard 😭...mapenzi yana machozi tele. Mapenzi si safari ya kila mtu.
😢😢😢😢☹️☹️ Soo touchy,, kindly fayvany wherever you maybe this moment!! Just come back home sweetheart na mwombiane mshamaha please....... it's break my heart to see you guy's apart n you're my best couple ever!! He still loves you so much.
Free money ruclips.net/video/_BYmNOi1XRk/видео.html
Rayvanny made me cry u can feel d song
@@mercyhakim1091 he made me cry too dear,, I really don't know what fyma wants tena na hiyo maisha mazuri amekua akipewa yote🤔🤔 wengi wetu tunatamani tu ila hatuna uwezo bt tuna shukuru tu mola🙏
Naogopa, Tena torchi 🔦 ya mapenzi isinimulike👌🏾🏃🏾♀️🏃🏾♀️ team Diaspora locked 🔒...
Free money here ruclips.net/video/GfKiAxlARbg/видео.html
Ndio sisi
Mambo
@@amosnyakundi9115 kabisa
@@nestorylutambi3359 Safi
Kama umerudia kuwatch 7 times nipe like tafadhali,,, from Kenya
Sawa
ahaaaa mi nme kuna kukuna bro ahaaaa woi
Frank Warioba Nzur atr
Kwa nini msomali nimbaya mimi ni somali chukua like 😂
FAHYMA AMELETA heartbroken kwa sisi sote😢😢😢😢😢😢
yahyow farah naliaaaaaaaa I wish God anipe Mme kama rayvanny ila sio diamond
milley carey kwanini sio diamond
Wote tuliodondosha machoz naomben lyk zenu😭😭😭
Leha Ally Jmn😭
😭😭😭😭😭
Hadi machoz yamenitoka
Suzan Pambano inauma
kweli mwaya it hurts😥😥😥
Everytime I am sad I search for Rayvanny...he understands our thoughts and writes them
Ilove you hunny rayvanny
Audrey
He didn’t write the song but I get what you’re saying
Who be the writer?@@KelemKelem
Kama umerudia hii goma zaidi Kama mm gonga like
Free money here ruclips.net/video/GfKiAxlARbg/видео.html
yan kama mara ngapi cjui
Enjoy behind the screen
ruclips.net/video/E2A0KSC--Mw/видео.html
Caroline Raphael Huyu jamaa kweli ni msanii sio mwanamziki, Anajua anachokifanya
Snaiper De Sairoo Nmeicheki na kuisikiliza zaidi ya 70+
Pole sana this song made me cry 😢 especially the parts he were crying 😭😭
That’s how life is so be strong 💪
Yani this breaks my heart 💔💔💔
Don't worry she will be back to you#vannyboy
Wanawake mnatusumbua sana dunia hii
Free money here ruclips.net/video/GfKiAxlARbg/видео.html
Wa Uganda 🇺🇬 hatukuage saaana kwanyi music ya Tanzania 🇹🇿 kwasababu kunawengin wanupenda their song alakini they don’t understand the language so please show some love to Uganda 🇺🇬 please Kenya 🇰🇪 and Tanzania 🇹🇿 I mean every African show some love ❤️
Hellow gift
O
M🔱🔱⛲
M
.. xx. X. X. Xx..... x. X. Zz. Mmm
😄
Lusekelo Mwandenga hello how are you doing
Martin Mhanaya 😜
Kiukweli naogopa 😔😔😔 tena tochi ya mapenzi isinimulike again pls God I pray for that 🙏🙏🙏
Diamond was once in this situation, he used to sing such emotional songs, sometimes it's good for such a thing to happen, take a look at his songs, he has been brimming with love. This has let him know both sides of the coin, imagine such a beautiful song, sometimes people must pass though pain to become something else, diamond used to cry for wema sepetu, compare the two now, Vany this is a simple thing and hope you will be through soon with this little stress, hope soon pia wewe tutakuchorea laini kati yako na yeye, they dont understand that their time is little and they depend on us to grow, umemsaidia ya kutosha, muache aende, SIKU IZI DIAMOND ANAKANYAGA MA X, PIA WEWE NADHANI UTATUPEA VITU KAA HIZO UKIPATA AKUPENDAYE KWELI
Kizazi saaaaaana
Like the vvanyboy likes za 🇦🇷🇧🇴
imagine it has happened again with the same
Team VANNY tupa likes zako hapo kama tuko pamoja 😭😭😭😭😭
Karibu niingie kwa mpenzi this 2020 then the song hit my head like a thunder ⚡
😂😂😂 Ingia tu
also me bro
🤣🤣🤣💦
kwanza izi vitu za mtaachana tu huuuuudhi tena sana
walai
IN 2020 I ALMOST LOST MY MIND. I WAS REALLY IN MY LOWEST POINT IN LIFE. THE BETRAYAL,THE HEARTBREAK;MY WORLD WAS TURNING UPSIDE DOWN 💔
WHOEVER READING THIS AND IS FIGHTING SILENT BATTLES MAY GOD GRANT YOU THE SERENITY TO ACCEPT WHAT YOU CAN'T CHANGE AND MAY PEACE COME YOUR WAY, SENDING LOVE ♥️
😭😭😭😭
Thank you
@@sherlynemwendwa9535 I'M TRYING BUT THE HEART WANTS WHAT IT WANTS 💔
I pray that you got peace of mind and heart. Love can do someone dirty.
Amen😢😢 that's me right now😭😭😭
Hope I will overcome all these😭💔💔
This is really sad..this aong is deep...and when he cries it breaks my heart
Me to 😭😭😭
WON!!! WON!!! ruclips.net/video/_BYmNOi1XRk/видео.html
Me to
sharleen nasimiyu same as me
Sure,,, so emotional actually
Hata mimi Naogopa😥...Hio Torchi isinimulike😢
usiogope
ruclips.net/video/zDf-ehbo6QU/видео.html
Hutakiwi kuogopa mpendwa
Tuko wengi
@@perispesh8768 tuko wengi
NAOGAOPA
Kuna yoyote bado anasikiliza hii 2024 🥺
Kama umerudia zaid ya Mara mbili kama mm, naomba like yako ya nguvu 🙏
P1
😭😭😭😭😭
Mwizi huyu
easy money ruclips.net/video/SiRqf0C2-Gw/видео.html
Kwel
waseh rayvanny ako tu sawa apewe likes ka zote walai nikiskia hii song huwa naifeel.
Wangapi wamemuona ray akilia kam mimi gonga like hap 2juwane 😭😭😭😭
Poleen
HahaahaHah
Matinga Twaha Leo ax
@@ajeytahhn135 nini umeona
Moyo cyo chuma aseee "vyombo anakula muuza magazeti" kweli una haki ya kuogopa asee
wapendwaa yamenikutaa 💔💔💔💔👆❤️ kumbee huu wimboo ni mtamuu hivii 💔
😅😅
😅😅
Kama unamkubali vany boy gonga like apa ! Team Dar ❤️❤️❤️
Jamani kwa maumivu ya mapenzi navo yajua no comment 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
sitaki kukumbuka
Tulia bro wife atarudi
Iyo kweli kabisa
Kama umelielewa hili goma gonga like twende sawa🇹🇿
@@VostieChei namkubali, rayvanny, big, up, sana, ukojuu, sana,2sana, brooh, kila, lakheri, endeleza, kipaji
io paura molto molto amare la Donna allura mi piace qwando rayvany ballare bene bervenuti tutti tanzania
Naogopa sihusiki hulimi
Good job
Dah!
This goes out to those going through a heartbreak. May God give you peace. Every wound heals no matter how long. Hugs❤❤❤
Healing from💔💔💔💔
❤
Am currently going through a tough heartbreak....... I really wanted to hear this... Av cried my heart out.... Jameni ❤️
Pole kelitu
Sorry gal....Kausha moyo mama
irenemusembi kanini am really sorry my sister but with time evrything wil be okay
Same here it really hurts
Pole dear
Duh umenigusa sana I think kam umeniimbia badala yangu nakukubali sana kam imekigusa gonga like APA jaman mwenzenu nmestaafu mapenz
Mimi mwenyewe kama wewe sina ham
Niko kwa hii stress ya mapenzi +254 lkin navumilia mengi na mazuri yajayo nalia nafuta machozi
Hb
L|¥__
“Naogopa kwenye safari ya mapenzi sihusiki” . I love that part
Sweet star
Ok
amuelewa sana jamaa huy
rayvanny is the beast
This song is so real almost to everybody...Kama wakubaliana nami angusha likes hapa...vanny this song is more 🔥🔥🔥
mambo
Ok I
See
See
Wakumbaliana uko kitui ama? Enyewe naogopa
Team kenya gonga like hapa kama unaogopa na wew say hurray guys
Namkubali sana dogo
Michael Magash naogopa
Please check out my acoustic cover and subscribe to my channel too 🎶😊
ruclips.net/video/_tvJURe2mFs/видео.html
WAP tuliotendwaa
Naogopa
Big Up Rayvanny nyimbo nzuri sana 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏❤❤❤❤❤💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪 Strong massages respect to the Strong Artist Rayvanny 👏👏👏👏👏👏👏😊😊😊😊
Who is hear broken 💔💔💔😭😭😭 in 2024 tukipendwa tunasahau kuna kutendwa
Wapi likes za Ray..take heart everything gonna be fyn🇰🇪
So sad Rejeanen mlee mtt wenu
Free money will be there tomorrow ruclips.net/video/_BYmNOi1XRk/видео.html
Anaweza R
Daah kwel kabs bro m mwenyw nimefanywa mbay ase
Nan karudia zaidi ya mara mbili ginga like tusingeew
Mimi hapa, hati na feel kumbembeleza jamani
Naogopa
Naogopa mie
Hello
ЅᎯᏦᎯ BᎾy
Gonga hapa, Rayvanny wenimkali 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Bro inaumiza sana,hasa ninavyoona mnyaki mwenzangu unaumia kisa mtanga huyo,achana nae we we kaza kiume songa mbele.vaa uhalisia wako wakujiamini bro rayvan,we are together
Kila nikiusikiliza na kuangalia wimbo huu naogopa inaniuma sana,laiti angekuwepo huku mbeya aliyekuumiza ningemfuata,maana katuumiza wanambeya,from forest mpya here.
Duuuh umetulza weng
Abisai Muvunga yeah ni wakali wao
Jameni naendelea kuogopa mim
Hii wimbo i cant get enough of it 😍😍😍dio mimi huimba nikienda karaoke😍😘