Huyu ndie mwanamziki katika wasafi..wengine ni wasanii...wimbo umevutia bila watu wenye uchi , vifua vitupu na mavazi ya mararuraru wala hata densi Kali ila sauti , melody na utunzi pamoja na ujumbe bora tu.I love your talent Lava
Oooi Ali..nina bonge la ishu nawe mwanangu..naomba tuvibe vile..sijui nikupe sifuri za kwangu kam hutomind vile ...mchongo kuhusu kufanya kazi pamoja vile....nina ladha flani naomba kuongezea kwa michongo zako..tafadhali kama hutomind nijuze
Tanzanian music is really good...even though we don't understand swahili, we always vibe with the rhythm..I recently came across Lavalava and I love his music so much....keep it up.
2.28 "Ah, najiamini niko peke yangu, ndio maana natamba Sina shaka hofu kwa raha zangu, hata mkinichamba Wenye roho za kwanini, nitajijua zangu niko naye sambamba Mi' napenda yake anapenda yangu, kuilamba lamba"
Huyu kiumbe wamemtusi sana sasa kakasirika, Haya ni majibu ya kina mwijaku ambao kila siku wanamuweka midomoni kuwa kafulia. Huyu jamaaa anaandika sana mondi hakai na mtu asiekuwa na kitu huoni queen hatumuoni.
Quelle douceur de ce Mec ..... j'ai l'impression qu'il rentre dans nos cœur ❤ pour chanter et exprimer nos émotions et nos sentiments. Chanson magnifique. 🇰🇲🇰🇲🇰🇲
Kenya loves your songs!!! wapi likes za wakenya in the house😍😍
ruclips.net/video/2YT-KSeHdoc/видео.html 🙏🙏
Yhin. ruclips.net/video/XaEySPegizY/видео.html
Best songs
😂😂😂😂
Tupo kwa wingi
Lavalava acha ungare tu ndo mwaka wako huu walisema mengi...✔️✔️✔️ gonga like kwa MASHAIRI MATAMU🔥
Yah walichonga
0
0
nice nice
Lava Lava 🥰🥰 my all time 😍😍😍
I'm leaving this comment if someone like it or comment on it . It will be reminding of this song...I rewatch it again. I love this song so Much
Huyu ndie mwanamziki katika wasafi..wengine ni wasanii...wimbo umevutia bila watu wenye uchi , vifua vitupu na mavazi ya mararuraru wala hata densi Kali ila sauti , melody na utunzi pamoja na ujumbe bora tu.I love your talent Lava
Hapo umeongea ukweli wenye tabia hiyo nawakome wanaosha nini hao wenyewe 😏😏😏😏😏
Nice song
Kweli kabisa
Hujyakoseya🧦
Mmmmh
The Love Bite I Know🔥🔥Tupande Trending Sasa 254 nimewawakilisha Vizuri💕😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dogo !
ruclips.net/video/PnqvDB8Vx1Y/видео.html
ruclips.net/video/tMKKq4fa4to/видео.html
ruclips.net/video/QKrh2Ilpdns/видео.html
Nice dogo
Jamani mpeni lava lava haki yake ya likes na Subscribes kwa kazi nzuri anayoifanya....♡♡♡♡♡♡
The most humble artist..no clout...no scandals....
Up up up love byte🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ruclips.net/video/2YT-KSeHdoc/видео.html🙏🙏
😂 😂 😂 😂 Apa umedanganya umesahau ya diva❤️💯
@@mwinyinzaka8691 hiyo haikua clout😂😂..ilikuwa real...
ameanza kuelewa somo la teacher simba baadae amtukane
Aah.....wee...eti no clout huyu ndio mwenyewe wa clout ndio atoe song 😂😂😂😆
NAJIAMINI NIKI PEKE YANGU NDIO MAANA NATAMBA😍😍😍♥️
NIKO
Oya lavalava umetisha mbaya
Kwa nyimbo za mapenzi wewe namba moja east Africa
ruclips.net/video/2YT-KSeHdoc/видео.html 🙏🙏
Mbosso?
Big up broo
Mbosso is #1 kwa nyimbo za mapenzi but this song is #1, can't stop listening
No 2...Mbosso comes first👌👌😍😍 I totally love the song though
"Najiamini niko pekee yangu ndio maana natamba" this verse make me fall in love with this song
Same here
@@berthatz 😍😍
💖💖💖💖
💋
me too
Aki Lavalava ni kama aliniroga na huu wimbo yaani kila siku hunionekania mpya najihisi kuusikliza mara kwa mara, congratulations to this
Tupo kaburi kimoja nawe💪🔥
Waliosema nyota imefifia, huu ndo wakati wao wasome Dua,, all the way from 🇰🇪🇰🇪 love Iko mingi mingi, nipewe likes za lava lava 🌞🥳🔥
So beautiful song lava on top
🤣🤣🤣
😀😀😀😀😀
Najiamin nko na mpenzi ♥️ nampenda xan jmn km unayeanaykupenda usije mwacha
Iko Cambridge
The najiamini niko pekee yangu ndio maana natamba part👌👌👌 really killed it. Zifikisheni salamu kwa yule kidudu mtu😍😍😍❤❤😍😍❤❤😍😍
❤️❤️
Walio rudiya hapa 2024 tujuwane kwa likes ❤
Poleni wanoko noko...penzi linameta meta✨....jamani aki mapenzi wewe💖🌹my favourite person lavalava❤️
Really Bby
Sijui vizuri kiswahili ila jamaa anajua sana from china🇨🇳🇨🇳
Huyy jamaa anajuwa kutubeba bwana
Hii ya kufunga mwaka much love from+254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 napenda hii makes me more in love.
ruclips.net/video/2YT-KSeHdoc/видео.html
Umetisha brother..🔥🔥🔥
Huku MOMBASA Mambo ni Ng'aring'ari #UMETISHAA
Kiukwel uyu mtu anajua lakini alipokuwepo WCB Kuna watu sio mchezo ....daaaah
Mr. Love byte to the world 🌍 watu wa nguvu wanaielewa hii 🔥🔥🔥
I have been waiting for this 😍
Oooi Ali..nina bonge la ishu nawe mwanangu..naomba tuvibe vile..sijui nikupe sifuri za kwangu kam hutomind vile ...mchongo kuhusu kufanya kazi pamoja vile....nina ladha flani naomba kuongezea kwa michongo zako..tafadhali kama hutomind nijuze
Kabisaaa
Why don't you host him in ur show presenter Ali??
✨👉🏿 ruclips.net/video/yZvXLreOLak/видео.html
Tanzanian music is really good...even though we don't understand swahili, we always vibe with the rhythm..I recently came across Lavalava and I love his music so much....keep it up.
Damn right!!! I do not understand a word but i am loving it.
@@curtisalex456 music is universal language and it can touch you emotionally without you understanding the lyrics 🎶
Where do u from?
@@sadicksamuel2005 Ghana 🇬🇭
Bro leo ndo nmeikalia hii ngoma...
Cheki umeipiga brazameni..keep winning all the way from kenya
This guy is very underrated 😭😭😭😭Tanzania mtunzeni Sana lava lava Huku Kenya wasanii hakuna kabisa
Umeniua🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣😂
SMH!! 😂😂🤦🤦💔💔You're just hilarious 😂😂
Just the truth Kenya hakuna wasanii😂😂😂😂
Af ww bhana🤣🤣🤣😀
Much love, I am the only one who thinks lavalava should be producing more melody like this.
2.28 "Ah, najiamini niko peke yangu, ndio maana natamba
Sina shaka hofu kwa raha zangu, hata mkinichamba
Wenye roho za kwanini, nitajijua zangu niko naye sambamba
Mi' napenda yake anapenda yangu, kuilamba lamba"
much love frm ethiopia 🇪🇹 love tanz 🇹🇿 lava lava 🤴
Wow
polen navita
ruclips.net/video/TKfhD-CiLEU/видео.html
Love you too
Much love from guinea Conakry
mzee wa kuwakera uko vizuri kakaah
Lava lava ulosema uko single ukatufanya na sisi hadi leo tunateseka na usingle wetu🥺🥺
Kwakweli humu Lavalava umeua sana
lava bites always makes vitamin music…one love from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
ruclips.net/video/KJ8wEYFq_I4/видео.html
Nakukubali sana lavalava
Mimi na familia yng tuliamuaga kuwa wewe ndo top list yetu kutwa nzima, alsante sana
Najiamini niko pekee yangu ....ndio maana natamba ...❤
kipaji unayo toka wasafi uwache kutumika you are on your league
Show ya lavalava eldoret mnichukue Kwa lazima... huyu ni mnomaaa
Much love from Kenya💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
YEAHHHHHHHHHHHH
Missp
Miss p colabo moja na lavalava 👏💙💙💙am sure it will be lit and trending for 2weeks
❣️❣️❣️
Pitia Kwangu tafadhali
Nakupenda Bure my favorite
Nikishapare simu na CAR-KIT..huwa inajiplay automatically
Bundle of Love from this side
His name is a phenomenon his voice ain't like no other and for this his own Kenyans heart's 🇰🇪🇰🇪💗💗
True
Support Kenyan music saitan
@@funnyclipskenya 😂😂Kenyans should be ashamed😂😂💔🇰🇪
ruclips.net/video/KJ8wEYFq_I4/видео.html
Huyu kiumbe wamemtusi sana sasa kakasirika,
Haya ni majibu ya kina mwijaku ambao kila siku wanamuweka midomoni kuwa kafulia.
Huyu jamaaa anaandika sana mondi hakai na mtu asiekuwa na kitu huoni queen hatumuoni.
love
Taam sana from S.africa namiss Bongo saana hope hao watu wa Africans wangeelewa kiswahili tunge enjoy wote big up lava lava
Huwezi mlinganisha jamaa na rayvanny, haya mashairi yamebalehe 👼
Lava Lava makes me fall in love with Swahili.. It sounds good
Much love from ur brothers in Uganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Sijui nicommenti kwa kiingereza au kiswahili,...Napenda huu wimbo @NRB @Kenya
Hapa kwetu Kenya twakubali kwa pamoja kwa bongo... you are the star 🌟
Daa nyimbo huwa inanipa faraja hii kila siku lazma niangalie youtube
Ningependa nikuone lava lava ju uyumuziki kusiku nawusikiya kila sa🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏
Lava lava yuakielewa Sana Kiswahili. Napenda jinsi anavyopanga maneno na kupitisha ujumbe.the G.O.A.T(great of all time)🔥🔥
Sijui kiswahili ila hii nyimbo unaweza kutumia umeme ukikatika na ukapata usingizi vizuri tu, all the way from bonyokwa..
Lava lava asha wazimu sitaki kumwambia simba kama wewe ni muzee wa mangoma heeeeeer boy i gonna promt you for ever you good boy
The voice 💯
The lyrics 💯
Hit after hit 💯😌
Lover Lover indeed shows love 😍
🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 Appreciates
Your boss will forgive us for this... Why lie? Your song outshine Unachezaje
Asha kulela watu but your the best lavalava wazee wanavufa hii songs inaua mwambie platsnum diamonds mwenyewe anitafute nitamwambia
I'm really in love with Tanzania, may i can visit that beautiful african country 🥰
Thanks and you’re very welcome
@@anisawahyi2940 thank you so much
Karibu Tanzania 🇹🇿
The land of Mount Kilimanjaro, Serengeti abd Zanzibar
Ur welcome To🇹🇿🇹🇿🇹🇿
This is the time to lovebite show, how is big artist in tz... 🙌Ng'ara tu, haina jinsi, maana unasemwaga kwa mabaya tu, no wakati waaako sasa 🙏🙏💝
Hii nayo Ulikalia ukaunda ikaundika, ukafunga mwaka vizuri
We nifundi sana auko na masifa unaimba sana 💥💥💣🇱🇷🇱🇷
Ukisikiza Hi ngoma atakama huna manzi unajihisi kama upo katika huba zito
This a poetry not a song .......Mr lava lava unaenda kiwango kingine kaka just keep the fire burning
Nyimbo Kaali Sanaa Mr Lovebite Umejitahidi 🔥🔥🚀
ruclips.net/video/KJ8wEYFq_I4/видео.html
I think People should Stop being mean and give this song the views it DESERVES.KEEP SHARING GUYS.❤️🇰🇪❤️
Kwa nyimbo za mapenzi wewe number one sana imeweza hii nyimbo igweeeeee imenigusa sana Hadi natamani kuwa Kwa mapenzi tena doh wewe juu brooo
Video✔
Message✔
Audio✔
Lyrics✔
Its a mad vibe track💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakubar
Pitia Kwangu tafadhali.
my challange..ruclips.net/video/cpN7-HGF1S0/видео.html
Maryline
ruclips.net/video/q3eS75rQQzs/видео.html
I love lavalava because he knows how to display both love and heartbreak,he is just simply a genius!
Mungu awe nawe daima unajuwa kuimba kbx maan nyimbo zako hazina matusi kbx
Am leaving this comments here
Incase someone likes it i can listen to this music again☺️
Yani ww umetisha sana kwa hiii nyimbo kali sana bb
Yu are my role model bro .....at the top alway hope one day ntafanya kazii na wewe
Wimbo mtam😘😘😘 utunzi wake yaani unanimalizaaaa !!! Keep up the good work brother!
Quelle douceur de ce Mec ..... j'ai l'impression qu'il rentre dans nos cœur ❤ pour chanter et exprimer nos émotions et nos sentiments.
Chanson magnifique. 🇰🇲🇰🇲🇰🇲
Merci
Nice one 👌👌
Que drapeau?
@@Truenegro-q7r les îles comores 🇰🇲🇰🇲
Absolument💯
This gonna be my official marriage song.. Mimi nachochea moto... **Kujeni na tarambuta...
Ahsante Sana tena Sana Kaka NGOMA Kali Kinouuuuuuuma
I do Like this in 💯%
🇹🇿🇹🇿💞.
Huna baya king lava
Kusema ukweli Lava lava nyimbo zake zina content .
Aende akanishitaki mahakamani polisi kama Kuna kitu ananidai💯🔥🔥Mistari nayo tulikubali💯
From 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love your music and appreciate it much love bro
Lava vraiment.......Ningependa one day ukadutembelee Burundi vraiment !!!! this love from @257🇧🇮 super fan🙏🙏🙏
The artistic sense in this jam is on A level...Imeweza,ngoma imetulia na inatuliza roho
Kweli broo imetulia lava lav
Much love from Gambia 🇬🇲🇬🇲
🎉🎉🎉 ihi ni movie 🍿 nasubir pabla
Huu wimbo unanifanya nijione nipo kwenye mahusiano 😂😍
ruclips.net/video/2YT-KSeHdoc/видео.html 🙏🙏
Hhhh
Wanangu wa KENYA...
Hatijawahi angushana...
HATUPANGWINGWI HAPA.
ruclips.net/video/2YT-KSeHdoc/видео.html 🙏🙏
Nami namkubali huyu mkuu, wanaosema bongo hamna muziki ni waliopotea, kama Mkenya 🇰🇪nakubali WCB
Nani amekuja hapa kwasababu ya tiktok…. Gonga likes
Wenye tumerudia hii song 2024
Lava lava huyu usijesea kabisa yani kaaali sana yow respect kaka yangu
The only artist i like in Tz big up lavalava the inspiration in this song its on high level much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Lyrics master 🔥🔥 Wasafi has never failed 🇰🇪🇰🇪This song can make one to weep....cry for better days😎😎
Hapa tuzungumze lugha inayoeleweka
Kwa nyimbo za mapenzi umefuzu in east africa, congratulation!!!
This song is a gift 🎁 for the Christmas day 💞💞. Thank you TANZANIA, Thanks for the singer. 🇹🇿💕🇨🇩
Kwan niko Nchi Ingine💞🥰such a vibe oooh
Ur the best wewe unituliza sana kwa nyimbo sko congratulations
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,, good song with emotional melodies 🚶🤦💯,,, likes za lavalava zikam through.....
Jamani nani anajienjoi hapakama mimi like tujiane hingoma noma
nkiskiza ii wimbo inanikumbusha mbali big uo lava lava
This is awesome to be honest,, keep going Lava Lava I really like your songs although I don't understand swahili,, much love from Namibia 🇳🇦🇳🇦🇳🇦
Much love from Kenya🇰🇪
Mfalme wa madavidavi👑..Natumui tarehe 14..utaungana na Zuchu MILIMANI CITY,,#Mahaba ndindindi
The poetry in this song is on another level.
ruclips.net/video/KJ8wEYFq_I4/видео.html
ruclips.net/video/gS8zVJl01W4/видео.html
🔥🔥
ruclips.net/video/bRi0akqKhgw/видео.html GIMMIE cover
Mr lovebite for youuu💥💥🚀