Lava Lava - Dede (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 2,2 тыс.

  • @JaycostaKevin
    @JaycostaKevin 2 дня назад +4

    2025 tuko n nani jaamani . Mziki dawa

  • @FrankjumaNdakama
    @FrankjumaNdakama 10 месяцев назад +79

    2024 inazidi kubamba kichwani kwangu lava lava pamoja na fans wake mungu azidi kutubariki🙏🙏💞💕💯

    • @WilliamMdala-e4e
      @WilliamMdala-e4e 10 месяцев назад +1

      Wasafi for life

    • @mussafrank
      @mussafrank 6 месяцев назад +1

      Kina Frank wamekutania hum I like this I'm here always

  • @ramaahke512
    @ramaahke512 3 года назад +235

    Unae soma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️😍

  • @felexsimon8072
    @felexsimon8072 28 дней назад +14

    nani tupo nae 2025

  • @batuli8665
    @batuli8665 Год назад +14

    We kaka unajua bn mna skiliza I nyimbo 23 gonga like

  • @Shilasaitoti
    @Shilasaitoti Год назад +21

    He's very underrated lavalava na vile mkali jamani...❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪Tunamtumbua na kumkubali sana

  • @dhahabucharo-os2rr
    @dhahabucharo-os2rr 9 месяцев назад +34

    Nlikuw mdogo ikitoka lkin nasukuru leo nmekuw nanmebuy 4n yngu hta nawatch Mungu ni mwema🙏🏿🥰🥰💞

  • @BeesDees
    @BeesDees 25 дней назад +4

    Tarehe 31/12/2024 nipo hapa nafunga mwaka na hili goma.

  • @cheychey7621
    @cheychey7621 6 лет назад +121

    Kama Bado unaangalia huu wimbo na unaona Bado upo kwenye chat gonga like twende sawa

  • @amedeuslyimo2315
    @amedeuslyimo2315 6 лет назад +23

    Natamani makosa yasingekwepo tusikosanee ohh babyy ooh..
    Na samahani ingekuwa kama kichekeshoo tuchekeshaneee ooh bilaa choyoo..!!!
    Daahh lavalava unajua sana mistri imetulia sana ujawai kuniangusha ngoma Kali sana. Kama na ww umekubali huu mstari like pliizz

  • @zeonlytv3704
    @zeonlytv3704 7 лет назад +26

    Jaman mm mnyaturu ktoka SINGAPORE kiswahili sjui lakn kmamake hii ngoma Kali ka unakbaliana na mm gongs like twende sawa

  • @abelmgalla5796
    @abelmgalla5796 2 года назад +127

    Dede❤️❤️🔥🔥🔥2022 kama unaisikiliza mara kwa mara kama mimi gonga like na kucomment

  • @amisisteven8339
    @amisisteven8339 7 лет назад +338

    Duhh nilizani nitakuwa wa kwanza ku comment or like kumbe watu awa lali kwenye RUclips so show love basi hapa...m❤❤❤❤😂😂😂

    • @salmaakida3485
      @salmaakida3485 7 лет назад +2

      amisi Steven we km miiiii😅😅😅😅

    • @amisisteven8339
      @amisisteven8339 7 лет назад +7

      Duhh watu wana kesha RUclips basi piga like wananguu

    • @Aish1001
      @Aish1001 7 лет назад +5

      amisi Steven 😂😂😂😂😂😂😂😂watu wanakesha huku maeee

    • @amisisteven8339
      @amisisteven8339 7 лет назад +5

      Nawakubali sana kwa support yao duhh fvrt song too my ..... Dede simama wakuhone ... U are my # one😂😂😂

    • @rizikilulu3012
      @rizikilulu3012 7 лет назад +1

      +amisi Steven hhahhaahaha watu awalali chezeya ww

  • @sabragamdad1553
    @sabragamdad1553 2 года назад +1

    Nipewe number zakaaaaas. Lavalava

  • @sukarikidogo001
    @sukarikidogo001 3 года назад +14

    Mmm 🥰🥰to whoever baby...Dede Dede sitaki mwingine you are my number one ❤️💋 like yako👍

  • @martinmutugi8884
    @martinmutugi8884 Год назад +3

    Who else is here in 2023 belive me the song is still a vibe nuff respect from 🇰🇪🇨🇦

  • @oliverbagada4683
    @oliverbagada4683 2 года назад +10

    The only bongo musician i listen too bro you are a super star ⭐⭐⭐

  • @amisisteven8339
    @amisisteven8339 7 лет назад +175

    Natamani makosa yasingee kuwepo tusikosanee ohh baby 😂😂"DEDE " simama wakuhone u are my number one ohh... Sitaki mwengine u are my only one 😂😂🙏🙏🙏❤❤❤ ung.........❤ like hapa

  • @zuwenaally6403
    @zuwenaally6403 2 года назад +1

    Kabisa lava lava💯💯💃💯💃💯👌👌👌👌👌👌❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💃💃💃💃💃💃👌👌👌👌👌👌👌💝💝💝💝💝💝💝💝💝❤️❤️❤️❤️

  • @rahemamicael9688
    @rahemamicael9688 2 года назад +1

    Wooow kawimbo katamu mnooo

  • @Thegr8burarito
    @Thegr8burarito 7 лет назад +9

    Simama wakuone u r my no one......lava lava uko juu kwa nyimbo za inspiration songs.......need more efforts bro......Kenya tuna mark register...... Lalava lava on top

  • @priscamukubwa991
    @priscamukubwa991 2 года назад +3

    Dede Dede simama wakuone your my number one ,🔥🔥🔥🔥🔥🔥gonga like tukienda

  • @gracenjeri8451
    @gracenjeri8451 Год назад +15

    My man dedicated this song to Me I can't stop listening to it. It's do emotional 😍❤️

  • @firdausbakari7341
    @firdausbakari7341 Год назад +3

    The way I love this song🥰🥰🥰🥰and here in 2023 July

  • @emmanuelelvis6474
    @emmanuelelvis6474 4 года назад +63

    Kama unaikubali sauti ya staa huyu wa Bongo gonga like 👇👇🔥

  • @janetwilson6367
    @janetwilson6367 6 лет назад +56

    Dede dede simama wakuone.....from Kenya with love💞

  • @stinemzalla6711
    @stinemzalla6711 7 лет назад +303

    nahisi huu wimbo haupewi heshima yake,bonge LA wimbo daaah lava lava unajua,siku ikifika pazia lilowaficha watu wasione mziki huu likipasuka ndo watajua we ni nani...keep Tz good music alive

  • @dhahabucharo-os2rr
    @dhahabucharo-os2rr 9 месяцев назад +15

    2024tukutne kwa like

  • @mjobegameplay2410
    @mjobegameplay2410 2 года назад +2

    Ddah hii nyimbo n noma jmn leo narud kuisiliza 2023

  • @jayjay-yc8kb
    @jayjay-yc8kb 6 лет назад

    Mkuna nazi, wali kwa matandu ehh bana imeweza sana 👌🏾👌🏾👌🏾

  • @amisisteven8339
    @amisisteven8339 7 лет назад +32

    Duhh Dede simama wakuhone wamie😂❤ung hhhhh Iyee like hapa

  • @pillofilms2740
    @pillofilms2740 7 лет назад +12

    we chunga kauli zinaponza zitafanya tuwe maadui ,Daaah lavalava am speechless kaka ,mimi huwa mvivu sana commenting on youtube but kwa heshima ya kazi yako kubwa uliyofanya salute kaka Dede ndio my Treding song right now na ndio itakuwa ringtone yangu

  • @demoramilangasi1275
    @demoramilangasi1275 7 лет назад +33

    WCB nawakubali kinyama no 1 TZ kama unawapenda like hapa

  • @Aboodjan4-
    @Aboodjan4- Год назад +1

    Lavalava rudi kuimba ngoma za aina hii plz😢😢

  • @danielkasoia4215
    @danielkasoia4215 2 года назад +1

    kumbe n hit ivo alah,,,,,

  • @salmaakida3485
    @salmaakida3485 7 лет назад +65

    WCB tiiim mimi cjuitiii kwa kweliii naipenda had naumwa kaaah mpo vzur lavlav naomba nikuite lovelove uuuuuuu😙😙😙😙😙😙

  • @ashakalimba1189
    @ashakalimba1189 7 лет назад +24

    Kachumbari uzandu uzandu eti kwako bwerere..........Much lov kwa LAVALAVA,,,,,,,,,,,,,,,, Kweli WCB si wa mchezo mchezo

  • @katanajulius3696
    @katanajulius3696 Год назад +15

    It is five years Now since it's First release, but it's 🔥Always repeated in My Mind. 👍A sample of a Transforming And a Romantic💛 Song... I Just love it the Way it is...❣️ A True Relevation of a True Añd pure talent... 👋Congrats Senior.👌

  • @AichiMpole-dn5lv
    @AichiMpole-dn5lv Год назад +1

    Mbaya tabia hatuja fuzwa wote tu like

  • @shabanitohtv7395
    @shabanitohtv7395 6 лет назад +1

    Asante Mr Lava byte kazi kubwa iyo clean 100%

  • @evansckipchirchir506
    @evansckipchirchir506 5 лет назад +31

    Natamani makosa yasingekuwepo tusikosane na samahani ingekuwa kama kichekesho tuchekeshane bila choyo...😇😜imeweza sana

    • @rahamaahmedmohamedrahamash9994
      @rahamaahmedmohamedrahamash9994 4 года назад

      Kiliyo pole may lova sport lava lava kademo yako ni beautiful Masha Allah girl hats were ni had soma choyo nimbaya Sana cheki Bila nimrembo Sana dem ninaona paso hakona yimbo kama hoyu boy lava lava hats imemlaik kichana hoyu anajowa yimbo nani kama hoyu kichana hakona ni rayvanny na lava lava na mine
      Bay bay gus

    • @rainboyplanetfitness8079
      @rainboyplanetfitness8079 3 года назад

      Sana

  • @WanjeIsaac
    @WanjeIsaac 3 года назад +39

    Lava lava is not a poet, he's the Poetry itself

  • @annnyoks7008
    @annnyoks7008 3 года назад +82

    2021 duuup still my favorite artist kama bado unamkubali lavalava Gonga like hapa👇👇👇tukisonga

  • @missiali7936
    @missiali7936 6 лет назад +2

    Km unaamin mapenz ndio kila kt katika maisha yk gonga like hp

  • @bboyone1
    @bboyone1 Год назад +2

    Uwa sichoki kusikiliza hii🎉🎉🎉

  • @kelvinakaliche7064
    @kelvinakaliche7064 7 лет назад +24

    Moto moto moto...Hata usipompenda mwimbaji,upende wimbo...strong words..

  • @juoanjuo
    @juoanjuo 7 лет назад +19

    254 mko wapi😊kimbelembele ikam..

  • @momadentambo8955
    @momadentambo8955 4 года назад +3

    Dede Dede simamawakuone my nr 1 Kama unangalia hi weka like hapa

  • @miiracarekenya433
    @miiracarekenya433 2 года назад +1

    Kama umeskiza Mara kadhaa chapa likes

  • @bahatimayala5252
    @bahatimayala5252 Год назад

    Nakubali bro hii Kaz umetulia

  • @mohamedadan3110
    @mohamedadan3110 3 года назад +4

    Lava lava hii nyimbo naikubali sana aiseee walahy this deserves 100 million views...kwani Mr bite anakwama wapi

  • @ilishiramzah4488
    @ilishiramzah4488 7 лет назад +29

    una mistari lavalava weee mkali wao👌...keep it up bro🔥🔥🔥

  • @toastysn
    @toastysn 4 года назад +3

    Nani amerudi hapa 2020 kama mimi kujiuliza Jamaa kapeleka wapi haya mashairi 😥

  • @beniusedmund8141
    @beniusedmund8141 3 года назад +1

    nimeikubal sana

  • @jonasmziray2809
    @jonasmziray2809 3 года назад +1

    Nmerud mwaka 2021....we lavalava nomah....

  • @edgarngali7944
    @edgarngali7944 7 лет назад +6

    Team Wasafi nipeni likes za lava lava kwa hii

  • @reenlis7665
    @reenlis7665 5 лет назад +40

    Time has pass still in love with his song..anyone 2019???

  • @emrickomario541
    @emrickomario541 3 года назад +3

    Congratulations lavalava kufikisha 1million keep it bro

  • @maimunajuma5264
    @maimunajuma5264 2 года назад +2

    My brother ilike

  • @amaxmedia9382
    @amaxmedia9382 2 года назад +1

    Kama umefika hapa baada ya kushikiza interview ya Director Kenny piga like 👍

  • @babyaisha8192
    @babyaisha8192 7 лет назад +176

    wadahuu was Mombasa namark register hapa like alfu sema Mombasa pad...gani🏄🏄

    • @abdifatahhussny858
      @abdifatahhussny858 7 лет назад +6

      Baby Aisha mikindani ngoma issa hit 👌👌

    • @victorkorir18
      @victorkorir18 7 лет назад +4

      Anga za Tudor. Wewe uko api?

    • @mammyfaiz1726
      @mammyfaiz1726 7 лет назад +2

      bamburi

    • @victorkorir18
      @victorkorir18 7 лет назад +2

      cool. Your contacts pls ? if you don't mind

    • @salmazena1932
      @salmazena1932 7 лет назад +4

      Baby Aisha inanibambia nikiwa Saudi Arabia but niwakutoka mshomoroni

  • @omarymsenguzi9001
    @omarymsenguzi9001 7 лет назад +123

    haya sasa wale wakujiita wachina wasiojua kiswahili lakin wameielewa hii nyimbo kinoma nom gonga like hapa na wale wa dubai piaaaaaaa

  • @edisoncharles187
    @edisoncharles187 7 лет назад +19

    kama umeierewa hii ngoma like hapa

  • @kanyi8567
    @kanyi8567 4 года назад +1

    Lava lava mob love aki,,,the song is lit🔥,,@makena mwenyewe

  • @evaerasto8189
    @evaerasto8189 6 лет назад

    Duh..nomer sana unajua bro...big up

  • @wyclifekalama4397
    @wyclifekalama4397 7 лет назад +70

    Nani mwingine ana miss Home , twende tukaji vinjari na songs kama hiyo tuki toa stress za majuu na kujumuika na familia pia ♨️♨️🕺🕺🕺🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪

  • @gracesebastian114
    @gracesebastian114 7 лет назад +21

    My favorite WCB artist of all time. his voiceeeeeeeee oh gosh in love in love 😍😍😍

  • @z.alihassan5629
    @z.alihassan5629 7 лет назад +31

    Nice lavalava ❤❤ niamin sina mwengine na sikufunzwa mbaya tabia UMENIKUNAAÀ apoo 👌👌👌

  • @daudsakila9459
    @daudsakila9459 6 лет назад

    Marekani tunakupata vizur sana

  • @rosebikeri3545
    @rosebikeri3545 3 года назад

    Juu wimbo mambo poa,kwanza hapo lavalava Ameva white en orange .halafu ameketi kwa hicho kiti very handsome 💕

  • @sebastianelisante4942
    @sebastianelisante4942 7 лет назад +33

    WcB Hatari sana keep it

  • @myshylysh3554
    @myshylysh3554 7 лет назад +31

    Njooni kabla wachina wafike😂😂😂team gulf mpo!

  • @josephataondo2885
    @josephataondo2885 6 лет назад +290

    Verse 1]
    Niamini eeh mimi mwingine sina darling
    Na sikufunzwa mbaya tabia
    Mahaba niue mimi kwako chali chali
    Ndani donda funza nishaga jifia
    Bora kukueleza imenishinda siri
    We ndo umeniweka Kiganjani
    Na nikiteleza unikoshe na mwili
    Chonde usije nieka visangani
    [Bridge]
    Nawe chunga kauli zinaponza
    Zitafanya tuwe maadui maadui
    Kinywa tia kufuri na macho fumba
    Usije kutamani mabedui
    Mabeduii iii
    [Chorus]
    Dede dede
    Simama wakuone you are my number one
    Dede dede
    Sitaki mwingine you are my only one
    Dede dede
    Simama wakuone you are my number one
    Dede dede
    Mi Sitaki mwingine you are my only one
    [Verse 2]
    Natamani makosa yasingekuwepo
    Tusikoseane Ooh babe yoyo
    Na samahani ingekuwa kama kichekesho
    Tuchekeshane eeeh
    Oh bila choyo
    Naweka wazi shahidi moyo wangu
    We ndo fundi wa raha zangu
    Kachumbari uzandu uzandu kwako bwelele
    Mkuna nazi mwali kwa matandu
    Mi pweza na ngurupandu
    Unavyo mix na chachandu sinaga kwere
    [Bridge]
    Basi chunga kauli zinaponza
    Zitafanya tuwe maadui maadui
    Kinywa tia kufuri na macho fumba
    Usije kutamani mabedui
    Mabeduii iii
    [Chorus]
    Dede dede
    Simama wakuone you are my number one
    Dede dede
    Sitaki mwingine you are my only one
    Dede dede
    Simama wakuone you are my number one
    Dede dede
    Mi Sitaki mwingine you are my only one
    Dede dede
    Simama wakuone you are my number one
    Dede dede
    Sitaki mwingine you are my only one
    Dede dede
    Simama wakuone you are my number one
    Dede dede
    Mi Sitaki mwingine you are my only one (eeh)

  • @momadentambo8955
    @momadentambo8955 3 года назад +1

    Ndugu aliuwa sana nziki um wa dede like zake apa naomba

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад

    Ndo maana kwenye oroza ya wasanii wanaovaa vizur na lava lava walisema yumo

  • @kathinimilkah8695
    @kathinimilkah8695 4 года назад +4

    3yrs and the song still fresh 🔥🔥🔥+254 if you still listening to it gonga like hapa please

  • @immaculatehudson4495
    @immaculatehudson4495 4 года назад +16

    Who is still enjoying this song as i do though i dont know what he is singing but i love the song ohh my God😎😎😍 Too much love frm uganda

    • @bernie.21
      @bernie.21 3 года назад

      2021 still a hit

  • @hotnewschannel2738
    @hotnewschannel2738 7 лет назад +55

    dah watu wa youtube kwa huu mwendo wenu itabidi nitafte namba za wasanii na mm niwahi ata siku moja.... WCB 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MahdiMakuer
    @MahdiMakuer 8 месяцев назад +1

    I love you from sudan

  • @JofreyOguta
    @JofreyOguta Год назад +1

    Tuko pamoja❤

  • @amisisteven8339
    @amisisteven8339 7 лет назад +170

    Hii dude ni kali sana muko wapi wadahuu wangu kjn wetu lvlv kahachiyaa kitu 🔫👆👆😂😂 like hapa basi

  • @yusraibrahim8218
    @yusraibrahim8218 5 лет назад +4

    💋❤❤❤❤👍✌mzur wimbo wako😍😍😍😍

  • @leonardkiprono7551
    @leonardkiprono7551 4 года назад +67

    Kama bado 2020 gonga like tukienda

  • @godfreykasheka9127
    @godfreykasheka9127 21 день назад

    Ngoma yangu pendwa ya wakati wte 2025 tupo pamoja

  • @hassanjuma70
    @hassanjuma70 7 лет назад

    lavalava penda nyimbo zako sanaaaa but ushaur wang vsivae heren

  • @ramadhanindaro6866
    @ramadhanindaro6866 4 года назад +3

    Dah huu wimbo niliuwekea repet one masaa 24 niliupenda sana nani anausikiliza 2020

  • @gladysamudavi4478
    @gladysamudavi4478 5 лет назад +5

    Love ur songs lavalava👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾

  • @bobmnazareti
    @bobmnazareti 3 года назад +4

    LAVA LAVA you are one of the BEST VOCALIST in Africa Walai.. Pitch perfect voice 💯💯..

  • @tonnytv7678
    @tonnytv7678 4 года назад

    Toa Tena Kama hii

  • @adrianaram3999
    @adrianaram3999 2 месяца назад +1

    2017, when I was a student at bandari marine college Mombasa, before my graduation party 😊,old good memories, club danka Mombasa. 🎉

  • @eliuthamangula1791
    @eliuthamangula1791 7 лет назад +45

    This song keeps singing in my head and i had to arrive here..now it's my 98th or 9 listening to it straight!!.. Na sijui kwanini.

  • @annexmuchemi260
    @annexmuchemi260 3 года назад +3

    I'm in luv with this in 2021...anyone else with me?

  • @halobahi9421
    @halobahi9421 7 лет назад +6

    Nawe chunga kaulii zinaponza oyooo 👍👍❤ nyc song

  • @ibrahimmbatta9229
    @ibrahimmbatta9229 Год назад +1

    Who is watching at 2023

  • @yusufnuur2525
    @yusufnuur2525 7 лет назад

    Si taki mngini you only one
    Lava Lava i support you very much

  • @mohamedmkopoka8780
    @mohamedmkopoka8780 7 лет назад +171

    hawa WCB wako vzuri wote, kama na ww unakubaliana na mm like

  • @AnnoyingGamero
    @AnnoyingGamero 7 лет назад +12

    gonga like kwa ajili ya lava lava

  • @gaudenciaojin3823
    @gaudenciaojin3823 7 лет назад +11

    Namark kenya Register if u are present just like

  • @mwenjemwenje1580
    @mwenjemwenje1580 6 лет назад +1

    Ningekua kama kichekesho tuchekeshane ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️mob love from us kenyans

  • @lumo9999
    @lumo9999 2 года назад

    Wangap wamekuja kutazama baada ya kujua wimbo huu ndo wa kwanza director kenny kudirect❤❤❤🙌☝️