PART43:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 122

  • @stejasatv7349
    @stejasatv7349 Год назад +8

    Mpeni wamayo maua yaka😍😍😍😍

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Год назад +13

    Aya mambo uwezi amini kama yapo kwenye hii dunia Akika tuache mambo ya kupenda pesa za bure bure tu Bado Mungu wetu anatupenda sana tutafanikiwa tu

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 Год назад +2

      Wengine ndg sio kupenda pesa wanachukuliwa tuuh wanapelekwa bila kosa lolote
      Siku ya hukum tutaona mengi kwakweli kunamijitu inaishi kama imejiumba

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 Год назад +1

      ​@@kalssambaboo9932 km alivo tekwa zabron

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 Год назад

      @@fatmamucha4419 ndio wengine hawana makosa wanapelekwa tuuh

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 Год назад

      @@fatmamucha4419 zabron kosa lake silikua nadawa yakuona vitu vyao

  • @donathamwangobe2776
    @donathamwangobe2776 Год назад +23

    Nipen like zangu wakwanza

    • @frankkajoba8372
      @frankkajoba8372 Год назад

      Nouma🤣🤣

    • @mafurupailot5083
      @mafurupailot5083 Год назад

      Cyo maua yko

    • @mwami_the_don_
      @mwami_the_don_ Год назад

      Like za nn

    • @mwakazijuma1607
      @mwakazijuma1607 Год назад

      Misamiati ya Wamayo😂
      1.mjomba
      2. Jamaa yangu
      3. Sikuyajaji
      4. Kudumbukiamo
      5. Unaona bana
      6. Mintunge
      7. Kubanikwa.
      8. Safi saana
      Mwenye na msamiati mwengine wa huyu jamaa aangushevkwenye comment. Huyu jamaa ni msimuliaji mahiri. Hongera davista na wamayo.

    • @ZebidahLawrence-fs9sg
      @ZebidahLawrence-fs9sg Год назад

      @@mwakazijuma1607 mintunge🤣 sikuyajaji🤣

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 Год назад +5

    Wamayo unaingia deep zaidi kuhusu Gamboshi. Kila mmoja anaelezea sehemu yake ila wote mko Sawa kuhusu treni ya ajabu ile iendayo huko Gamboshi. Hakuna reli lakini bado treni inapita

  • @Patience.67
    @Patience.67 Год назад +1

    Wamayo mungu anakupenda uko na bahati uliona kuzimu na matendo ya maovu ya shetani

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 Год назад +4

    Yaani angetengeneza True story movie! Najua kuna uchawi lakini maajabu kama haya yanatisha!!!

  • @rebeccajames4412
    @rebeccajames4412 Год назад +4

    Nimerudimo kutoka kenya..wamayo tunakupendamo pia sisi

  • @rosellaabraham13
    @rosellaabraham13 Год назад +3

    Davistar leo umetukosha...😊😊

  • @marianchamba3898
    @marianchamba3898 Год назад +1

    Wamayo Mungu alikua na wewe sehemu zote ulizo pitia mtumikie kwa nguvu zako zote

  • @deadliestjourney5962
    @deadliestjourney5962 Год назад +8

    davista angalau kwa siku uwe unatupa walau episode 3 au wadau mnasemaje

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  Год назад +7

      Ngoja nafikiri hili kidogo 😎😎😎

    • @HollyvsNolly
      @HollyvsNolly Год назад +1

      ​@@DavistarMataMediaDM, 19:20 kabisa itafaa walau tatu per day

    • @azuwaniriziwani2695
      @azuwaniriziwani2695 Год назад +1

      @@DavistarMataMediaDM Tupiamo huku kuna umbu, ungepiga mwano unasontasonta

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen Год назад +5

    Beb wamayo ako wapi ndo huyu Beb wako amekuja

  • @MwanyaloHudson
    @MwanyaloHudson Год назад

    Am from Kenya Nairobi, my friend I do follow up your story keenly you need to publish a story book.

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen Год назад +4

    Aaaiii😢😢😢😢wa mwisho tena😢

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 Год назад +3

    Wa kwanza like zangu

  • @khadijamwenda1851
    @khadijamwenda1851 Год назад +1

    Davista mpe mchongo atunge kitabu auze jaman mbona atakuwa tajir huyu hii simulizi ni Kali mnoo

  • @dieudonneyuha9763
    @dieudonneyuha9763 Год назад +1

    Yaani hiyi story sijaielewa kabisa, Yaani iko kinyume sana

  • @laoiyadi1176
    @laoiyadi1176 Год назад +3

    Oyooooooooo 😂🎉🎉🎉🎉 no moja

  • @winniemuchai280
    @winniemuchai280 Год назад +3

    Can't miss this😊😊

  • @nyaresoosebe5914
    @nyaresoosebe5914 Год назад +3

    Kaingoja sana

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 Год назад

    Haya mambo mtu akisimulia unaweza sema ni hadidhi, Ila kunabinadamu wenzetu wanateseka sana ........... Na haya maisha Sijui tutawakomboaje. Jaman tutubu tumludie Mungu unasha ngaa mtu duniani anakufa kabla ya umr ulioruhusiwa na Mungu wa kuishi kweli binadam wakufa chini ya umr wa miaka 80 alafu tunakimbilia kusema kafa kwa mapenz ya mungu, NATAMAN MUNGU ANIPE UWEZO NIKAWAKOMBOE GAMBOSH IMAGINE MTU ANAMUUA BINADAM MWENZAKE HUKU ANAJIONA😢😢😢😢

  • @Johansenbwakya-uq5zu
    @Johansenbwakya-uq5zu Год назад +3

    Mr DM naomba namba ya wamayo tumchangie

  • @rashidyasser9423
    @rashidyasser9423 Год назад +2

    Yaani huko ni bora kufa tu sio kwa mateso hayo.. Mungu wakati umefika ingilia kati tunateseka sana 😢 watuwako Muangamize huyu muovu Shetani anatutesa nakutumiza . Eeh Mungu utulinde

  • @odatysharon8267
    @odatysharon8267 Год назад

    wamayo una simulia vzr

  • @maulidimopen1273
    @maulidimopen1273 Год назад

    Hao wenzako ni wale kwao walienda kuzikwa wakidhaniwa wamefariki kumbe watu wao wamezika Gogo,
    Ni misukule hao hawajielewi,
    Lakini wewe ulienda mwenyewe na shida zako zakutaka kupona,
    Wewe ni tofauti na hao.

  • @isayahlesurwa307
    @isayahlesurwa307 Год назад +5

    Nilikuwa nasubiri kwa hamu kubwa sana.

    • @williammariwa
      @williammariwa Год назад

      Usipige mihayo kwenye mic kunywa maji mara kwa mara

  • @nancolower_8032
    @nancolower_8032 Год назад

    Nimechelewamo kdg

  • @debrightystartz4139
    @debrightystartz4139 Год назад +3

    Wamayo mtu makini 😂😂😂😂😂

  • @lucymeck-ev2zh
    @lucymeck-ev2zh Год назад

    Mambo haya joman Mungu tusaidie

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 Год назад +5

    Hivi huko Gambushi hakuonenkani kwa macho ya kawaida mbona watu wanateseka sana huko 😭😭😭Mungu hurumia hao watu wanao onewa na Wachawi 😭😭

    • @khadijamwenda1851
      @khadijamwenda1851 Год назад +2

      Yaan 😢😢kikubwa tuwe karibu na Mungu muda mwingine tunazika ndugu zetu kumbe tumezik magogo

    • @heritier5119
      @heritier5119 Год назад

      Mungu karuhusu iwe hivyo

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Год назад +3

    Wamayo bwana utasema nijana katoka uko😂

  • @saidiilyamika-qs8vb
    @saidiilyamika-qs8vb Год назад +2

    Hatali sana wamayo

  • @barakabahati6600
    @barakabahati6600 Год назад +2

    Mwezi mzima story za wamayo tuu 😂

  • @loycesaid2352
    @loycesaid2352 Год назад

    Wamayo umetukosea wayahudi 😂ulisema hutaji 😂😂

  • @allymadenge4603
    @allymadenge4603 Год назад +3

    MTANGAZAJI. UNAPIGA. MIAYO. SANA. UWE. UNAKULA. KWANZA. KABLA. YA. KUFANYA. MAHOJIANO. UNATIA. AIBU. BANA

    • @veronicaatieno6160
      @veronicaatieno6160 Год назад +3

      Mtangazaji binadamu kama wewe aibu gani mtu hujikuna ajpatapo bana

    • @rahimomary7663
      @rahimomary7663 Год назад

      🤣🤣🤣🤣🤣 tuliaaaaa basi

  • @ndelexanderson3379
    @ndelexanderson3379 Год назад +3

    Watu wana roho mbaya hatarii hadi inatisha story kama muvie lakini haya mambo yapo kwa kweli inasikitisha mno

  • @ruthcosmas5019
    @ruthcosmas5019 Год назад +1

    Mweee nimechelewa kidogo

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 Год назад +2

    ❤️❤️❤️🔋

  • @thomaskengwa6646
    @thomaskengwa6646 Год назад +1

    Oya davi huyu jamaa ni mwana wa MUNGU yaani mwili wake hajazulika tangu alivo Acha shule

  • @victorphocus5931
    @victorphocus5931 Год назад +1

    tuongezepo ka episode kengine hatuja toshekamo in wamayo's voice

    • @rahiyayousaf3093
      @rahiyayousaf3093 Год назад +1

      😂😂😂toshekamoo..voo😂😂

    • @victorphocus5931
      @victorphocus5931 Год назад +2

      @@rahiyayousaf3093 vime shindika namo bana.. atuwekeemo kipande kingine cha kulaliamo😂

  • @cartv5085
    @cartv5085 Год назад +1

    wakwanza mm leo gonga like kwa wamayo

  • @kashuradiocles1068
    @kashuradiocles1068 Год назад

    Dahhh nimechelewaa

  • @Patience.67
    @Patience.67 Год назад

    Hii story nikama ni refu sana landa itafika prt 100

  • @puritynkirote5097
    @puritynkirote5097 Год назад

    Ni heri kwa bwana yesu kristo

  • @eddypops8195
    @eddypops8195 Год назад

    Hi Davista you do great bro but something need to sort out sound track unayotumia kwenye vipindi ipo very hight sometimes huskii chochote in this program ok lakini kwa Shebi Alawi program yake mpya Uchawi wa Babu his sound track volume is so high very disturbing can’t hear the story even my wife complain about it -Doing great bro gud luck

  • @EsromJohn
    @EsromJohn Год назад

    Kwa hali kama hiz tunazi simuliwa kwann uchaw usihalalishwe tu

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 Год назад +1

    suffer not a witch to live exodus 22:18

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt Год назад

    Yaani nimimi ni 94😅😅😅😅😅

  • @jameskahamba4023
    @jameskahamba4023 Год назад

    bila shaka huu ni Ufunuo wa Yohana part 2

  • @jonasynyasika6391
    @jonasynyasika6391 Год назад

    Ngozi za wenyewe = Ngozi zao

  • @mysskibe
    @mysskibe Год назад +2

    3:25 na Davistar ulisema wataka kuenda kufanya interview humo usiende! 😂😂

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 Год назад

    Wamayo 🔥

  • @joivon3038
    @joivon3038 Год назад +2

    Watu wanasikia hii story na bado kunawatakao taka kwenda kwa hao waganga na huko gamboshi

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Год назад

    Nyie watu noma leo 😂😂

  • @donathamwangobe2776
    @donathamwangobe2776 Год назад +2

    Wakwanza

  • @Barakatv
    @Barakatv Год назад +4

    Nimerudimo toka kenya 🇰🇪 yaani kama kenya....nami naitaji ayo mafuta....yatatusaidia muno katika shuguli zetu za maandamano... yaani ili nasi tukijipaka tuweze potea machoni mwa polisi 😂😂😂 tafadhali pea ombi langu kipau mbele

  • @franktibwita228
    @franktibwita228 Год назад

    Fire

  • @johnmkama8902
    @johnmkama8902 Год назад

    Huu ushuhuda umemtukuza shetani asimia miamoja hakuna palipomtaja YESU KRISTO BWANA aliokokaje sasa maana wachawi hawaokoa hapo gamboshi

  • @kimandoro7432
    @kimandoro7432 Год назад +2

    mambo mazito

  • @thomaskengwa6646
    @thomaskengwa6646 Год назад

    Hii sitory mpaka inaogopesha

  • @zakariyamkhandi5713
    @zakariyamkhandi5713 Год назад +1

    Yaan hii story naifuatilia sn kila kipande kikitupiwa ninachooo

  • @emmanuelmachibya2034
    @emmanuelmachibya2034 Год назад

    Kushitukizia Davista akawekamo😂😂😂😂😂

  • @WimaeliasMsodoki-ih4ev
    @WimaeliasMsodoki-ih4ev Год назад

    Kwa minajili.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад

    🙏✌.

  • @joivon3038
    @joivon3038 Год назад +1

    Wanayo hapo anawaza angerudi tu abak na hali yake kuliko kwenda uko umbea ulikuisha ila pole Mungu alikua n kusudi naye

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад

    Dunia ina pande mbili ulimwengu usioonekana na unaoonekana

  • @Kukuvillagepoultrysolutions
    @Kukuvillagepoultrysolutions Год назад

    Wamayo kapigwa banzi😂😂

  • @benjaminthomas4372
    @benjaminthomas4372 Год назад +1

    Wamayo hatari

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen Год назад

    Davistar usitucheleweshe 😅

  • @jamalimeja3151
    @jamalimeja3151 Год назад

    Like zanguuu

  • @jacobjackson6792
    @jacobjackson6792 Год назад

    Tuletee wamayo mwendolezo

  • @salngas902
    @salngas902 Год назад

    Watu hawana utu,, innocent kids denied their rights to live

  • @Rose-w8z7j
    @Rose-w8z7j Год назад +1

    Wamayoo

  • @kitutujuma9602
    @kitutujuma9602 Год назад +1

    Kila cku nasubiria niwe wa kwanza naferi ninyi wa kwa munafanyaje mpaka munakuwa wa kwanza?

  • @rashidyasser9423
    @rashidyasser9423 Год назад

    Wamayo bora yule jamaayako alibakiamo maana asinge toboa jamaayangu ...sio kwa balaa hilo ulilokutananalo

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Год назад

    Maajabu na mateso🤔😠

  • @jamalimeja3151
    @jamalimeja3151 Год назад

    🥺

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 Год назад

    Naombeni like zenu na mm

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 Год назад

    Davistar umeanza

  • @rashidyasser9423
    @rashidyasser9423 Год назад

    imeanzamo !!!

  • @paulkazi6274
    @paulkazi6274 Год назад

    Hizi story za Wamayo nizakweli jamani? Mbona zina uhalisia mgumu sana

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 Год назад +1

      Inawezekana ni kwel sbb nishaskia stor nyingi sana kupitia hapa

  • @joivon3038
    @joivon3038 Год назад

    We ulikua unakula nn

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 Год назад

    Naombeni like zenu na nn

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 Год назад

    Tuadisiemo matukio yote wamoyo uxiachamo atatukio moja

  • @barakabahati6600
    @barakabahati6600 Год назад

    Story mbona haina mwisho 😅😅😅😅😂😂😂 too much of every thing is always bad

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 Год назад

    Tuadisiemo matukio yote wamoyo uxiachamo atatukio moja