PART51:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 79

  • @fatmakipingu1310
    @fatmakipingu1310 Год назад +20

    Kuna Watu Mungu anawapa Uwezo wa kujua Mamlaka ya Mungu na Mamlaka ya Shetan, ndio anawaleta kwetu ili tumjue Shetan na Mateso yake, na tumtukuze Mungu kwa Ukuu wake

    • @MartinyMaryogo-nt6xg
      @MartinyMaryogo-nt6xg Год назад +1

      hakika yan mtu kama huyu akingiw na roho ya kumtumikia mungu hakika hakuna kitu mtu mtamdanganya juu ya ulimwengu wa gza

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 Год назад +9

    Kumbe ndo zao waganga wa kienyeji kutoa kafara wagonjwa😢na majini kumbe hana jema hayakupi kitu kwa bure 😢

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Год назад +26

    Kama ndoto nipen zangu mm leo wakwanza 🎉🎉

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 Год назад +3

    Wamayo kama kawaida tupo pamoja Sana

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Год назад +5

    Nimeisubriii sana nusu nikupigye simu mbona una tu chelewesheya?? 😂😂😂

  • @RosemaryPius-cs5lh
    @RosemaryPius-cs5lh Год назад +1

    Pole sana kwa wanaitegemea mali za shetanii maana lazima wataenda kulipa afu kwa mateso makali na hapo bado kwa MUNGU sijui wataenda kujibu nn daa kweli kwa YESU kuna rahaa sana

  • @isayahlesurwa307
    @isayahlesurwa307 Год назад +5

    Pole sana .wamayo umepitia mengi .

  • @veronikakibika
    @veronikakibika Год назад

    Daah hii yawatoto wachanga imeniuma mungu wangu hawa viumbe 😭😭maombi kwa unapokuwa mjamzito niyamuhimu.

  • @salomemwankenja8824
    @salomemwankenja8824 Год назад +2

    Pole sana wamayo, unatutishamo mapito mazito

  • @winniemuchai280
    @winniemuchai280 Год назад +3

    Woiye wamayo you need deliverance

  • @victorakyoo9518
    @victorakyoo9518 Год назад +2

    Kubali sana davista Mungu akubarik

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 Год назад +6

    Wamayo rafiki wako wamafuta au ndio ulimpotezea tena

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 Год назад +2

    Wa 7 ku view

  • @sikukuusaid-ki1yn
    @sikukuusaid-ki1yn Год назад +3

    waaa wamayo umepita kazi kweli pole san bro lakini wafaa umuombia sana mungu akusamehe

  • @marianchamba3898
    @marianchamba3898 Год назад +5

    Wamayo matukio yote hayo Mungu azidi kukurehemu

  • @ahmedsamir9814
    @ahmedsamir9814 Год назад +5

    Leo nmefurahimo Simba wametolewamo😂😂😂😂

  • @NasserNasser-qd2tf
    @NasserNasser-qd2tf Год назад +2

    Wa nusu leo 😅😅

  • @AminaLujendo-ci5om
    @AminaLujendo-ci5om Год назад +4

    I'm the first

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 Год назад +2

    Wamayo 🔥

  • @jamalimeja3151
    @jamalimeja3151 Год назад +2

    Davista muulize hiko kipindi cha hayo maisha alikua na umri gan

  • @debrightystartz4139
    @debrightystartz4139 Год назад +1

    Kumbe Mwanangu Wamayo umefika adi Mtwara home 😂😂😂😂😂

  • @khadijamwenda1851
    @khadijamwenda1851 Год назад +2

    Wamayo hajui kutamka basii😅😅😅ety Asiiiiiiiii

  • @lucymeck-ev2zh
    @lucymeck-ev2zh Год назад +2

    Wamayoo wamayoo

  • @EsromJohn
    @EsromJohn Год назад

    Angapi mm leo

  • @kitutujuma9602
    @kitutujuma9602 Год назад +2

    #2

  • @AminaLujendo-ci5om
    @AminaLujendo-ci5om Год назад +2

    🥳👏👏👍

  • @mrkaijukishebe2272
    @mrkaijukishebe2272 Год назад

    yaaan kama masihara mwamba kayapitia mengi

  • @rehemaamida365
    @rehemaamida365 Год назад +1

    Sehemu hiyo inaitwa labour room/ward

  • @sikukuusaid-ki1yn
    @sikukuusaid-ki1yn Год назад +1

    heri Leo ni vizuri kukuona davistar kwa mara ya kwanza mm Huwa nakusikia sauti tu

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 Год назад +1

    💚💚💚💚

  • @rerisamba
    @rerisamba Год назад +2

    Jamani mbona unanifanya nawaza hivi coz niko na mtoto ananisumbua kweli na mwenye kunizalisha alikua ni mama wa mganga

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Год назад +4

    Sawa tuko pamoja sana na vipi yule rafiki yako wa mafuta

    • @ephraimsebastian7673
      @ephraimsebastian7673 Год назад

      Yule aliuwawa kule wanapokata ulimi

    • @zulekhasaud483
      @zulekhasaud483 Год назад

      Yule wa mafuta atwambie alipo rudi gamboshi Ali mtafuta mana alibaki na mapesa hahaha na yule alishia kwa babu wamayo alipanda trean pekeake kuelekea gamboshi .Best yake alie taka kununua mafuta cjui ilikuwa vipi atwambie nasisi tiza alikuwa na mapesa hahahahah

  • @samjosh12
    @samjosh12 Год назад

    Leo nimekuwa wa mwishimo

  • @catherinejames6714
    @catherinejames6714 Год назад

    Part 52 please

  • @ezekiaasheli7572
    @ezekiaasheli7572 Год назад

    💥🔥

  • @thomaskengwa6646
    @thomaskengwa6646 Год назад

    Davi mwenyewe huyo mwamba huyu hapa

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 Год назад +1

    Heb muulize hyo familia ya watu sita walikuwa na kosa gan?
    2)Huyo mwanasiasa alikosea kitu gani?
    3) Naje huko kuzimu haiwezekani kukupa nguvu mojakwamoja mpaka utimize mashart yao .
    EM TUSAIDIE DAVSTER KUMUULIZA HAYO MASWALI,MAANA KILA ANAYEPEWA HAYO MASHART LAZIMA AVUNJE AU KUNA NAMNA WANAFANYA

    • @khadijamwenda1851
      @khadijamwenda1851 Год назад +2

      Shetan mjanja sana yeye mwenyewe ndo anafanya ukosee Ili akuadhibu

  • @ngomenyikani8475
    @ngomenyikani8475 Год назад

    Tupe details za hiyo ajali ilikuwa na utata mpaka leo..

  • @ndelexanderson3379
    @ndelexanderson3379 Год назад

    Wa kwaza leo

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад

    👊✌️🙏.

  • @AminaLujendo-ci5om
    @AminaLujendo-ci5om Год назад +1

    Wakwanza

  • @Rose-w8z7j
    @Rose-w8z7j Год назад

    Wamayooo

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Год назад

    Jamani wamayo anaendeleamo

  • @happsamwita7381
    @happsamwita7381 Год назад

    No no nooo😅😅😅

  • @elizabethleonce1089
    @elizabethleonce1089 Год назад

    Haki dunia inamengi

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 Год назад +2

    Me naumia binadam wanavo uliwa wengine hawana hata atia jamani

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 Год назад

    Mimi natamani kujua huyu jamaa pindi anaishi haya maisha ilikuwa nimwaka gani sababu sitor yake ndefu sana na imasisimua na kama kijana nimejifunza kitu kikubwa sana

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Год назад +1

    Wakwanza leo 😂😂😂😂😂

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen Год назад +3

    Leo nimewahimo😂😢

  • @ruthcosmas5019
    @ruthcosmas5019 Год назад +5

    Like please sijachelewamo sana 😊

  • @mayanmlingwa4250
    @mayanmlingwa4250 Год назад

    MAREHEMU BOBU CHACHA WANGWE.

  • @ShillahShillah-rp5oo
    @ShillahShillah-rp5oo Год назад

    BAKARI WAMAYO MARULA

  • @esterlove9035
    @esterlove9035 Год назад

    Wamawo kulikuwa ni binafsi saana

  • @rerisamba
    @rerisamba Год назад

    Hebu muulize hao watu 6 walifanya nini mpaka wakauliwa

  • @jacobjackson6792
    @jacobjackson6792 Год назад

    Kilete chuma wamayo

  • @BrendaNabutola
    @BrendaNabutola Год назад

    Likes zangu wamayo

  • @abdallahcharif8252
    @abdallahcharif8252 Год назад +2

    Malizamo story sasa bwana

  • @bushbabytz
    @bushbabytz Год назад

    Wamayo anaboa hamalizi tu stori 😂😂

  • @salomemwankenja8824
    @salomemwankenja8824 Год назад

    Pole sana wamayo, unatutishamo mapito mazito

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 Год назад +2

    Mimi natamani kujua huyu jamaa pindi anaishi haya maisha ilikuwa nimwaka gani sababu sitor yake ndefu sana na imasisimua na kama kijana nimejifunza kitu kikubwa sana

    • @bearthamassawe
      @bearthamassawe Год назад

      Alianza kutafuta hela akiwa mdogo sn hakuwah kusoma so hii story ndo ilikiwa ni maisha yake ya kila siku ndo maan unaona story ni ndefu sana @Boanz Ambokile

  • @sonsonsam4936
    @sonsonsam4936 Год назад +1

    Wakwanza