PART42:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 121

  • @VitusSamwelMatongo
    @VitusSamwelMatongo Год назад +16

    Wakwanza ,my likes

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 Год назад +8

    Tumebarikiwa sisi tunasikiya ushuuda uyu !Don't take it for granted !Mungu anatuita tuwe INTERCESSORS !pole sana Wamayo ❤Bwana Yesu alitaka utujulishe mambo inafanywa gizani ..❤Davista you are a great evangelist in our generation ❤nakupendamo😂, aksanti sana na kazi ,you are the sent one in this generation ,Mungu akuwezeshwe kwa yote utafanya !Ushuuda iyi must be translate in english , in french ! Wasemaswahili mumebarikiwa ! I insist don't take it for granted ! As christians WE MUST REPENT ! And Pray like never before watu wamujuwe Christo😢

    • @happsamwita7381
      @happsamwita7381 Год назад +2

      Yani Mimi nimejifunza kitu kikubwa sana Gizan malipo yake ni makubwa mno jmn kateseka snaa kisa pesa..na nimejifunza kua na kias kaua mpka mama uyu lkn wapi tumtegemeae zaidi Mungu

    • @yvettekyalika907
      @yvettekyalika907 Год назад +3

      ​@@happsamwita7381 🤔kuna kitu kingine nafikiria kwa iyi shuuda🤔inaonesha kwamba wa Christu tunasinzia sana ,tungekuwa moto sana kwa maombi wachawi awezi fanya kazi ile ndani ya vile vijiji kwenye Wamayo alikwa napita ! WAKE UP CHURCH ! WE MUST REPENT realy 😢

  • @evalineMollel-kn7ex
    @evalineMollel-kn7ex Год назад +5

    😂😢 nimechelewamo leo wamayo umefika kuzimu nakurud mshukuru mungu

  • @ashasaid9056
    @ashasaid9056 Год назад +4

    Duniani kuna mambo makubwa jamni wakati cc tunaishi vzr na watoto wetu kumbe Kuna watoto wengine wanatumika kuwa dawa we mungu tusaidie inauma sana

  • @humphreykennedy6249
    @humphreykennedy6249 Год назад +2

    Mungu ni mwema alikutetea

  • @Barakatv
    @Barakatv Год назад +13

    Ni mimi nimetokea kenya...kenya kama kenya🇰🇪🇰🇪 ivi...nimependezwa... Naaa weeewe...ndio maana nimo humu nakufwatilia....unanielewa vizuri braza

  • @GoldenDave01
    @GoldenDave01 Год назад +1

    Wamayo Anafanana na mti mkavu

  • @SalimBuke-tz4fl
    @SalimBuke-tz4fl Год назад +5

    Davista si urushe full video jombaaa hii story mbona tamu😢

  • @YustoKaponda
    @YustoKaponda Год назад +3

    Hilo Jiji au ndo alikoenda Zumaridi akadhani ni Mbinguni

  • @lucymeck-ev2zh
    @lucymeck-ev2zh Год назад +1

    Ohoo Ndo Jiji Alilopelekwa zumaridii😮

  • @sophiajohn8707
    @sophiajohn8707 Год назад +1

    Andika kitabu wamayo uta change life ya watu wengi sanaaaaa

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 Год назад +1

    Story kali
    1.Zabron Mwita
    2.Edwin Jambazi Sugu
    3.Mbavu wa Dar
    4.Mussa Chesa
    5.Wamayo
    6.Bakora za Kimkakati

  • @rajabhamis7595
    @rajabhamis7595 Год назад +3

    HIZI NDOSIMULIZI 6 KALI ZAIDI NA ZAKUTISHA
    1.WAMAYO
    2.ZABRON C MWITA
    3.YULE JAMAA ALIFUATA UTAJIR ZIWA TANGANYIKA
    4.J4
    5.MAKOFIA
    6.MBAVU WA DAR

  • @martinmuthii1900
    @martinmuthii1900 Год назад +2

    Nimekuwahimo 🤳✍️

  • @ZamZam-mk4xu
    @ZamZam-mk4xu Год назад +4

    Wamayo anasitahili tunzo jamani ya hii story yake

  • @happyness-bs3tr
    @happyness-bs3tr Год назад

    Nimekukumbuka Sana anko kasauti mwanee, nakuonbea napo na mie na pitia changamoto zangu. Nikuombeana tuu

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 Год назад +3

    😢😢💔💔💔 Nimeumia sana kuhusu hao watoto wachawi mfe kwa jina la Yesu kristo hamfai kuishi 😢😢

  • @salukisendi9333
    @salukisendi9333 Год назад +3

    WAMOYO WW MUNGU ANAKUPENDA SANA. UMESHAFIKA HADI KUZIMU.UKIWA HAI. HALAFU BADO UPO DUNIANI JAPO BADO UNA KAZI YA ZIADA MAANA MAMA YAKO ULIMUUA KWA PANGA

  • @stejasatv7349
    @stejasatv7349 Год назад +2

    Mzee wamayo Mungu akupenda sana❤❤

  • @rebeccajames4412
    @rebeccajames4412 Год назад +2

    Nakufuatiliamo wamayoooo hadi mwisho😅😅😅

  • @salma-fc4xc
    @salma-fc4xc Год назад +3

    Duh ila wachawi 😢 wana muudhi sana MUNGU

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 Год назад +2

      Yani ukikaa huku dunian kama hayajakukuta hiwezi amani ila uchawi upo sana nahawakumbuki kua kunakufa

    • @salma-fc4xc
      @salma-fc4xc Год назад +1

      @@kalssambaboo9932 adhabu za MUNGU nikubwa mno kuliko zao shauri yao.

    • @heritier5119
      @heritier5119 Год назад

      Mungu kawaruhusu

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 Год назад +1

    🤕🤕🤕 yaaan mim leo nashika namba ya mkian... 🥺 Sijapendaa kabisaa me ni dada yenu tafadhal muwe na nidhamu.... Sweetie wamayo Asante .. ❤️❤️❤️🔋

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 Год назад +2

    Wamayo kumbe umefikamo mpaka kwa kina Zumaridi! duuh hapo imebakiamo kumuonamo mungu wa Mfalme Zumaridi 😂😂😂😂

  • @bonnycostacosta7339
    @bonnycostacosta7339 Год назад +1

    Gamboshiiii😮😮😮

  • @Aliceurio
    @Aliceurio Год назад +2

    Nimeanzamo mie wa mwisho.

  • @MigerLibertas-yz3vy
    @MigerLibertas-yz3vy Год назад +2

    Kumbe imeanzamo😮

  • @RegnaRegna4
    @RegnaRegna4 Год назад +1

    Story tamu hii

  • @kazinzangonda230
    @kazinzangonda230 Год назад +1

    Hatariiiiii

  • @habibumbawala1173
    @habibumbawala1173 Год назад +4

    Nimechelewamo kukusikilizamo nilikuwapo kazinimo, tukopo pamojamo

  • @AnthonyVitalis-r3s
    @AnthonyVitalis-r3s Год назад +1

    Umeona hiyo? Mungu ni mwema

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 Год назад +4

    Nilikuwa nachunguliamo 😁😁😁🔥🔥

  • @SolomoniRingia
    @SolomoniRingia Год назад

    Mnunuliemooo chakulamooo alemooo kidogomoo bhanaa

  • @KiprotichKalya-d5d
    @KiprotichKalya-d5d 4 дня назад

    Ukatokamo aje 😊

  • @ibrahimngokoe2102
    @ibrahimngokoe2102 Год назад +2

    😳😳🔥🔥🔥

  • @SilahPaul
    @SilahPaul Год назад +2

    tuko apaaa chap kwa haraka

  • @rosegwido
    @rosegwido Год назад +1

    Hongera Kwa ushujaaa wamayo

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 Год назад +1

    Mr DM

  • @neemadamian7989
    @neemadamian7989 Год назад +2

    Nimeipatamo hahahahaha

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen Год назад +4

    Jamani watu wanampenda wamayo mumchangiemo basi

  • @puritymunyoki1007
    @puritymunyoki1007 Год назад +2

    Tuma number ya wamayo tumchangie❤

  • @NyansikaWaitara-hg4px
    @NyansikaWaitara-hg4px Год назад

    Mpaka nmeamua kwenda kanisani kabisaa,maana yawezekana nkapitiwa na hawa majamaa, aaah yawezekana moto wa jehenamu ukawa haya mateso ya shetani mungu ataacha watu wateswe hivi, twendeni kanisan jaman tumtii mungu nami nmeokoka from this minute

  • @SalomeDaniel-wd7pq
    @SalomeDaniel-wd7pq Год назад +1

    Kumb uliend mpka gamboxhi unatxha xan 😅😅😅😅😅😅

  • @laoiyadi1176
    @laoiyadi1176 Год назад +1

    Wakwanzaaaaaas😂😂😂😂🎉

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 Год назад

    Asante kwa usimlizi

  • @KijaEmmanuel-rh3gx
    @KijaEmmanuel-rh3gx Год назад +1

    Asiiiiiii kushitukizia nimomo

  • @jumakategilesunni6813
    @jumakategilesunni6813 Год назад

    yaani ni jiji!

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 Год назад +1

    Wamayo alienda gamboshi,,,maana kila cku tunaambiwa gamboshi ucku ni mji nzuri kama ulaya,,magorofa treen barabara nzuri vyote vipo huko

  • @dominicashilenje6295
    @dominicashilenje6295 Год назад +2

    Tumengojeamo mno saana❤❤❤❤

  • @donaldchemei9025
    @donaldchemei9025 Год назад +1

    Jamaa yangu wamayo tuko pamoja

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 Год назад +2

    Wamayo ndg yetu umepata chagamoto

  • @Johansenbwakya-uq5zu
    @Johansenbwakya-uq5zu Год назад +1

    Naomba namba ya wamayo

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад

    🙏👊.

  • @emmanuelmachibya2034
    @emmanuelmachibya2034 Год назад +1

    UMEONA HIYO! 😂😂😂😂😂

  • @JustinSteven-be4cs
    @JustinSteven-be4cs Год назад +1

    Likaniangaliaaaa.. likaniangaliaa... likaniangakiaaaaa.🤣🤣🤣🤣

  • @vitusjumah
    @vitusjumah Год назад +1

    Sema angekuchapamo kamoja ungetusimuliamo

  • @deadliestjourney5962
    @deadliestjourney5962 Год назад

    mwendelezoo please

  • @RegnaRegna4
    @RegnaRegna4 Год назад +1

    Tupomo pamojamo wamayo

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 Год назад +2

    Wamayo tayari hata Mimi umeshanipeleka Gambushi yaan nimeona matukio yooote nimeona lile jiji la Gambushi yaan kila kitu nimeona 🔥🔥🔥

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 Год назад

      Ni msimuliaji mzuri sana, haachi detail

    • @joivon3038
      @joivon3038 Год назад

      Ulienda kufanyaj jmn

    • @womanofsteel1402
      @womanofsteel1402 Год назад

      @@joivon3038 yaan story tu nimeshafika Gambushi😂😂😂😂

  • @patrickpazza4764
    @patrickpazza4764 Год назад

    Alimuona alikua anakaa mji gan mbona humuulizi jmn

  • @AceneyPoal-ql1wc
    @AceneyPoal-ql1wc Год назад +1

    Kama laiza😂😂😂 twendeleee

  • @munaahkiogakioga7330
    @munaahkiogakioga7330 Год назад +2

    Davista jamani mbona ya jini najira na shemsa kimyaaaa😢😢😢

  • @catherinejames6714
    @catherinejames6714 Год назад +1

    Part 43 pls tunaomba

  • @AbubakariDaudi-zs6wp
    @AbubakariDaudi-zs6wp Год назад

    😂kumbe zumaridi uko ndo kwao ni jiji kuna maghorofa majumba makubwa😅😅😅 ila wamayo pole sana kaka hakina najifunza kitu kutoka kwako inshallah allah akuongoze😢🙏

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Год назад

    Nihatarimo

  • @abbass_zungu
    @abbass_zungu Год назад +1

    Wa nne 😂

  • @debrightystartz4139
    @debrightystartz4139 Год назад

    Tupe 43 Davistar

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 Год назад

    Gamboshi nakumbuka zabron dah sante😂wamayo gamboshi kama gamboshi

  • @jacobjackson6792
    @jacobjackson6792 Год назад +1

    Topia chuma kingine cha wamayo

  • @mohamedngoshani2067
    @mohamedngoshani2067 Год назад +1

    Kama laizaa 🤣

  • @killmanofficial1415
    @killmanofficial1415 Год назад +1

    watatu

  • @mensiyamacha961
    @mensiyamacha961 Год назад +1

    Wamayo

  • @marianchamba3898
    @marianchamba3898 Год назад +1

    Wamayo hadi gamboshi we kiboko

  • @allymadenge4603
    @allymadenge4603 Год назад +1

    WAMAYO. NJOO. KWETU. SHINYANGA. NIKUOZESHE. DADAANGU. NIMEKUKUBALI. SANA. WAMAYO

  • @imaliolive9453
    @imaliolive9453 Год назад

    What if that place the prisoners were headed was hell?

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 Год назад +1

    Huko gamboshi Siwezi kuleta watalii wangu kutoka Germany jaman nipige pesa wanapenda kutalii kuona vitu kama hvyo

  • @leahlucas479
    @leahlucas479 Год назад +2

    Jmn habari natafuta rafiki anaye ishi ujerumani 😂 bitte 🙏

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 Год назад

      Mie mwenyewe natafuta hata jirani sijawahi pata😂😂

    • @leahlucas479
      @leahlucas479 Год назад

      @@cheiknamouna2058 🤣🤣

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 Год назад +5

    Haya Leo wakwanza like zenu

  • @shimokajoseph1502
    @shimokajoseph1502 Год назад

    Wakwanzaaaa 😂😂😂😂

  • @paullwangili2235
    @paullwangili2235 Год назад

    Hii story nayo ni kama Isidingo

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад

    Hilo Jiji ni Gamboshi Pana ghorofa 140,Pana treni toka Gamboshi hadi Bermuda triangle

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Год назад +1

    Uko ni gamboshi sasa niseemu atari sana kama ikifika uki kuludi utiani

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 Год назад +1

    No je suis vraiment choqué 😮j suis en retard 😢ça fait longtemps que j’attends mon épisode 😢

  • @hono1232
    @hono1232 Год назад

    Nilicho gundua wachawi wana strong administration, hawana urasimu , na kupindisha mambo

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 Год назад

    Lakini nauliza hii sayansi ya wachawi si nikali mno..isipokuwa tu inaukatili wa kishetani ..lakini inatisha

  • @khadijamwenda1851
    @khadijamwenda1851 Год назад +1

    Ukute ndo makata huyo

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад

    Mafuta ya upako ya mitume na manabii ndo hayo

  • @ezekiaandrew3336
    @ezekiaandrew3336 Год назад +1

    😂😂😂😂

  • @MwanyaloHudson
    @MwanyaloHudson 11 месяцев назад

    I really like tz kiswahili but I don't understand words like kupiga mwano,aliachama, anasiginwa , msukule etc but bro you need to publish a book for generations to read.Government should not ignore or waste people like you