PART2:SHEKHE SIRAJ ALIEOKOKA KAKA YAKE MAJALIWA ALIEKUWA MGANGA ALIEKUWA AKITOA UTAJIRI WA MAJINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 15

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 День назад +4

    wakaka wazur walikuwa wanatumika kwa shetan..kwel YESU ni rafik wa wengi😘😘😘😘😘

    • @ElizabethMuia-ro9yh
      @ElizabethMuia-ro9yh День назад

      Alafu ni wadogo kwa umri, kwa kweli shitani anataka kumaliza kizasi.

    • @femidayahaya9293
      @femidayahaya9293 День назад

      @ElizabethMuia-ro9yh YESU WANG awashindie na watainuka na kuangaza katika jina la YESU..inahuzunisha sana

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 12 часов назад

    Kazi safi mr dm asante kaka kwa kumfuata Yesu

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 День назад +1

    nmeona huruma kwa huyu kaka jmn kapitia mengi hasa kulala polin na kukaa njaa😢😢😢😢

  • @saleemsuleiman2220
    @saleemsuleiman2220 День назад +1

    Mungu ni mwema ameokoa anazidi kuokoa ukoo wa kishirikina

  • @petroludovick
    @petroludovick День назад

    Nilichogundua mambo ya Imani ni magumu sana kama huamini Yesu anatosha

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 День назад +1

    Safi

  • @elpidiusezekiel2729
    @elpidiusezekiel2729 День назад

    Uyu Yesu jamani

  • @benedictalexanderngonyani3029
    @benedictalexanderngonyani3029 День назад +1

    Jamaa mpaka sigida anayo

    • @femidayahaya9293
      @femidayahaya9293 День назад

      hiyo c kitu mbele za MUNGU..bible inasema MUNGU awajua walio wake

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 12 часов назад

    Mhiii Mdogo ake alisema alirudi nguo zikiwa zimechakaa zimechanika au alizishona🤔🤔🤔

  • @ElizabethMuia-ro9yh
    @ElizabethMuia-ro9yh День назад

    BONA YEYOTE AKISUMULIA HIZI STORI ZA KUZIMU,NIKAMA MTU ANATEUWA TEWA HIVI SOMETHING LIKE THAT EBU MUULIZE BONA ???