MZEE KILOMONI AIBUKA, AWAJIBU SIMBA HADHARANI "MNAROPOKA TU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 217

  • @hassnisheshe3625
    @hassnisheshe3625 5 лет назад +23

    mjini hakukosi machizi huyumzee anashida yaubongo kamaunaungana namm gonga like

  • @maulidmango1087
    @maulidmango1087 5 лет назад

    Ushauri kwa mzee Kilomoni,kwanza hongera kwa kuitumikia klabu kwa muda mrefu,
    Lakini uendelee kuwa na heshima ni vyema ukaangalia mkanda wa saa,
    Maana huwezi urudisha nyuma,angalia upepo unapoenda nawe ufuate,
    Ukienda tofauti na mawimbi ya bahari Mara nyingi bahari itakumeza.

  • @georgelupembe7621
    @georgelupembe7621 5 лет назад +1

    ......best interview....Bravo Saleh

  • @josephatolenoah6305
    @josephatolenoah6305 5 лет назад +2

    Umefanya mabadiliko gan ,bhna wew mzee unazeeekaa vibayaa ,,,,,,inawezekanaa unataka kupgaa diliii

  • @mektridamichael4035
    @mektridamichael4035 5 лет назад +2

    mtamtukana hyu mzee lkn anaona mbali kwa nn mwenye %49awe na nguvu kuliko wenye %51na ndo hcho mzee kilomon ataki hat inakaa na mwenye %51sio mwenye49mzee ypo sawa

  • @MenruphKahimba
    @MenruphKahimba 7 месяцев назад

    HUYU MZEE KILOMONI WANASIMBA WALIMTUKANA SANA KUHUSU MUWEKAZAJI LAKINI LEO WANASIMBA TUMPE MZEE KILOMONI MAUWA YAKE TUMUHESHIMU HUYU MZEE ALIONA MBALI SANA ONA LEO SIMBA NA MO DEWIJI WANAVYO VURUNDA

  • @salummkugwa7004
    @salummkugwa7004 5 лет назад +7

    Nimegundua mzee mgumu wakuelewa. Dah

  • @mudysuguru6267
    @mudysuguru6267 5 лет назад +1

    Mzee Nakuelewa sana Kaza hapohapo hao wapuuzi 2

  • @gaykazimoto1419
    @gaykazimoto1419 5 лет назад +3

    Komanao hao mikia walimtumamagoli awadanganye mashabiki sana mzee baba

  • @petermende5153
    @petermende5153 5 лет назад +6

    Duu watani zangu tuache ushabiki huyumzee anazeeka vbaya hajielew kabisa. .polen wanasimba

  • @Chemba67
    @Chemba67 5 лет назад +5

    Dah hawa tongwa wawili ni shida hawampi nafasi mzee. Binafsi naona uwezo wao na umri wao ni mdogo mno kumuhoji mzee kwakua umri wa klabu ilipotokea ni sehemu ya tatizo hivyo hivi vitoto viwili havina ufahamu wala busara ya kujua nini na wapi wasiwasi wa mzee Kilomoni ulipo, hili suala linahitaji watu wenye umri mkubwa kutatua na sio hawa wabongo fleva wawili . Hata kama ningekua mimi nisingeachia ofa ya kiwanja hovyohovyo nikizingatia muda na umbali niliotoka nao na klabu .Kilomoni anahitaji kuhakikishiwa umiliki wa klabu kwa wanachama hajakataa mabadiriko.Mwisho nashauri wazee wenye umri mkubwa walio ktk tasnia ya michezo kama akina Mzee Al-maari , Alhadji Ndoranga, Rage, Kapuya,Mkuchika, na wazee wengine wapenzi wa michezo bila ya kujali ni watu wa Yanga au klabuni zingine kwa kigezo cha umri wao ama nafasi zao serikalini wangesaidia kuweka sawa hili suala kabla ya msimu kuanza ili kumaliza tatizo naamini si tatizo kubwa iwapo litashirikisha watu wazima .

    • @makomtemi5750
      @makomtemi5750 5 лет назад +1

      Saidi Mohamed safi sana, umemuelewa vizur Kilomoni hao waandsh hawana ufahamu mzur.

  • @majaliwamajaliwa5547
    @majaliwamajaliwa5547 5 лет назад

    Mwalimu wa huyu Dingi alikuwa na kazi sana kumuelewesha

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 5 лет назад +4

    Hiko kipengele cha 49% kipo na anatakiwa asiwe peke yake. Na hiko ndicho kitu kilichomshinda Manji kuidhamini Yanga.

  • @kassammwishehe4482
    @kassammwishehe4482 2 года назад

    Bado ajajibu swali achague swali moja sio maerezo yake ya maisha ya ke.ya mpila jibu ana yazamani.ayana tija ana.jibu Bari ni kuzuga tu

  • @chazroochazroo657
    @chazroochazroo657 5 лет назад +12

    Mtu yeyote asie taka maendereo huyo nisawa namchawi

  • @isakamahenge4236
    @isakamahenge4236 5 лет назад +2

    mzee anataka kuwa mzamini wa simba milele😂😂😂😂, na hela hana.

    • @frankjonas1094
      @frankjonas1094 5 лет назад

      Hahahahahaaa yaan namuangalia ata simmalizi duuuuuuh!!

  • @nuratwaziri8436
    @nuratwaziri8436 5 лет назад

    mzeeee mjinga sana

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 5 лет назад +4

    Waandishi maswali yenu ni ya msingi. Mzee mmhh umezeeka maana hata hujielewi.

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 5 лет назад

    Kuwekeza kwenye tim na kununua tim ni vtu tofauti
    Ka alitaka kununua tim dau lingekua tofauti

  • @makomtemi5750
    @makomtemi5750 5 лет назад

    Mzee umeeleweka

  • @godiasjohn2915
    @godiasjohn2915 5 лет назад

    Ile wew mzeyyy unazingua sanaaaa bhn.... sifa ya kiongozi bora ni kuwa na uvumilivu pale unapoona mwenendo mzuri wa club ata kama ushabaini kuna hali haiko sawa kwa maslahi yako binafsi..... wanasimba hatuna haja na ubingwa wa tpl tu bali tunataka timu ifanye vizuri kimataifa

  • @fatmaathuman8849
    @fatmaathuman8849 5 лет назад

    Nyie n wapuuz sana

  • @abdullyabasiabasi2375
    @abdullyabasiabasi2375 5 лет назад +2

    Jifunze Kupitia Kwakiongoz ,wataifahili Angekuwa Kama ww angekufia Madalakan Mwenyewe unaona Sifa Kumbe Unalolote

  • @alexsamaluku4104
    @alexsamaluku4104 5 лет назад +3

    Acha utoto we mzee kilomoni simba ni timu ya wanachama sio ya kwako waache viongozi wapige huna pesa ya kuiendesha simba ww

  • @nelsonnyaluz4327
    @nelsonnyaluz4327 5 лет назад +1

    Mzee mjinga sana ww simba sio ya babako ni ya wanachama waache waamue wenyewe unataka kuvuruga simba

  • @penielmacha2435
    @penielmacha2435 5 лет назад

    Ww ni sawa Na Mchawi

  • @barakamfugale1049
    @barakamfugale1049 5 лет назад +8

    Et mwanzilish
    Nyerere angekuwa na akil kama zako bas angefia madarakani

  • @hashimuismail5587
    @hashimuismail5587 5 лет назад

    Wanyooshe mzee

  • @changarawemichael9795
    @changarawemichael9795 5 лет назад +6

    bilionea kilomoni😂😂😂

  • @anthonymsemakweli9250
    @anthonymsemakweli9250 5 лет назад +1

    Duh mpira wa Tanzania kukua ni kazi aisee

  • @AndrewSwai-hn1ru
    @AndrewSwai-hn1ru 8 месяцев назад

    Sauti ya muziki ni kubwa kuliko maongezi

  • @edwardmakonge3371
    @edwardmakonge3371 5 лет назад

    mzee hajui mambo ya hisa.mtakesha.

  • @mwachamwacha5538
    @mwachamwacha5538 5 лет назад

    hivi vizee vinajua timu ikikaa kwenye program maalum .vitakosa kula maana vimefanya hizi timu miradi ya familia zao ..kwenda kule wezee maneno hayaliwi na zama zako zimepita kaa kushoto huko ukalee wajukuu

  • @saidmatey1300
    @saidmatey1300 5 лет назад

    Mwenyewe anajichanganya anasema club ni yawatu co mtu lakin zaidi ya mara moja amenukuliwa akisema cmba ni mali yake sasa tuelewe nin hapo

  • @novanyiratu605
    @novanyiratu605 5 лет назад

    Hati imeandikwa Simba S. C, sio mzee Kilomoni. Hivyo kukaa na hati hakumfanyi yy kuwa mmiliki. Hata ukiripoti kwa mamlaka husika Kilomoni hata kuwa na hoja. Hati ni mali ya club

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 3 года назад

    LEO NIMERUDI HAPAAA BAADA YA KUONA HAJI ANATAMANI ASHITAKI MALALA MIKO YAKE KWA WANACHAMA WAKATI HATI MILIKI YA TIMU NI YA MTU MMOJA

  • @pauloalfayo1868
    @pauloalfayo1868 2 года назад

    Naomba nkwambie Mzee nyie ndio mnasababisha migogoro Kila wakati na ndio maana tz mpira wetu Simba ,yanga wakidika hatua Fulani wanakwama

  • @wolfugangtesha5724
    @wolfugangtesha5724 5 лет назад +1

    Mnampa platform ya nn huyu mzee, mnawapa promo watu wa hovyo sana

  • @tonyelshabbaz
    @tonyelshabbaz 5 лет назад

    Timu za mpila zina wanachama , mashabiki , viongozi , wachezaji na wamiliki kabla ya kuropoka jiulizeni nyie ni nani? Nyie ni mashabiki tu hata kadi za wanachama hamna halafu maneno meeengi! Simba ina Mo Award, ile ni club yake? Kwanini isiwe Simba Award?? Mnauza timu kimya kimya , Mzee anaongea kisheria vijana tunaropoka! Ndani ya 49 watu wasiwe pungufu 3 je hicho kimefuatwa ? Tumpe Mzee nafasi ya kuzungumza ili tujue ni wapi tunakwama! Simba bila Mkataba makini haitanufaika hao wahindi ni JanjaJanja mnawaona weeema!

  • @lornashumandabagoye7411
    @lornashumandabagoye7411 5 лет назад +1

    Mzeee upo sawa hawa wanazingua

  • @bonymlowezi1819
    @bonymlowezi1819 5 лет назад +1

    Mzee anaongelea ownership halafu hajui maana yake

  • @goodluckminja9101
    @goodluckminja9101 5 лет назад

    Huyu mzee anashida ya uelewa,, ana hitaji Msaada

  • @dadhaule7083
    @dadhaule7083 5 лет назад +2

    sasa mzee kama kweli una mapenzi na simba si uwe nao pamoja ili tuijenge simba moja

  • @burengwamisri5116
    @burengwamisri5116 5 лет назад

    Mzee achiatim ww mnafiki tu

  • @ayoubjuma7932
    @ayoubjuma7932 5 лет назад

    Huyu mzee anaakili sana, mwanzo nilijua anazingua kumbe analogic ya anachosimamia. Mwarabu hataki hasara na mzee kilomoni kamwambia baki na faida zako tiachie simba yetu hahahaha
    Kama kweli mwarabu ana nia ya dhati na simba watimize kwanza walichoahidi ndio mambo mengine yaendelee

    • @frankjonas1094
      @frankjonas1094 5 лет назад

      Wewe Kwa sasa Huyo Mzee ataweza kutuletea wachezaji wa kimataifa au wewe hauna akili mmh!!.......Khaaaaa yaan wee

  • @felixmwakyembe213
    @felixmwakyembe213 5 лет назад

    Huyu mzee ana shida mahali, wadhamini wanabadilik, walishakuwepo wengine huko nyuma kabla yake

  • @yohanapetro4937
    @yohanapetro4937 5 лет назад +1

    Kwenda ushaona ulaji utapungua nasiyo kupungua 2 yani ivo ulivo taka kufanya vulugu lzm 2kufungie viyooooo

  • @nasmakilua4205
    @nasmakilua4205 5 лет назад

    Ndugu zangu watanzania wakati mwingine tuwe wasikivu na uwelewa mpana sio matusi mda ote mkumbuke mikataba ya kukurupuka ndio inayoleta hasara kwa taifa hil kwahiyo ushaul wangu tutafakari maneno ya wazee.hawa

  • @clausemsemwa3704
    @clausemsemwa3704 5 лет назад

    Yachanganyeeeee yachanganyikiwe!

  • @ramadhanmahongore7277
    @ramadhanmahongore7277 5 лет назад

    simba siyo yakwako mzee simba ni ya watanzania

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 5 лет назад

    Neno la mtoto,BUSARA neno zur km una akil kuwa mwepes kuelewa,km una akil achana na mambo ya Simba,nenda kalime Kilomon acha njaa baba timu na washabk wamekukataa

  • @vakwawesanga733
    @vakwawesanga733 5 лет назад

    Aende zake huko huyu mzee veep

  • @azammaganga9101
    @azammaganga9101 5 лет назад +1

    Halafu huyo mzee mwambien akasome katiba ya simba ibara ya 38 na ibara ya 39 atajua yy hana chake hapo asituletee kelele hapa

  • @emmanuelkusekwa758
    @emmanuelkusekwa758 5 лет назад

    Huyu mzee ana matatizo

  • @blasiusmwanandenje9068
    @blasiusmwanandenje9068 5 лет назад

    Hii mizee mingine bhana!! sisi tunahitaji maendeleo ya club yetu mzee acha kuzingua

  • @erastomakala2364
    @erastomakala2364 5 лет назад

    Watangazaji ndio chanzo cha migogoro ya klabu, wanapenda kuentertain migogoro ya club kwa lengo la kupata attention, sion dalili ya timu zetu kufika mbali kwa staili yao ila naamini chanzo kikubwa ni kukosekana kwa ubunifu na maono , Kuna haja ya hawa waandishi kupata orientation course hata admission zao za kwenda kusomea uandishi waziupgrade, vinginevyo watazidi kuzalishwa kila siku na kuzidi kuongeza migogoro kwenye jamii

  • @harunaomy1807
    @harunaomy1807 5 лет назад

    Mzee mbona simuelewa

  • @peteraugustino8281
    @peteraugustino8281 5 лет назад

    Nishida.sana

  • @muhajinyoni903
    @muhajinyoni903 5 лет назад +4

    Acha uongo mzee unamsahauje mtu uliefanyanae kazi kwa miaka mingi tena office moja?

  • @barakamfugale1049
    @barakamfugale1049 5 лет назад +8

    Hiv vchawi ndo vinarudisha soka la Tz nyuma Lipa mishara kama una Tim puuz kubwaa wewee

    • @dentalrx172
      @dentalrx172 5 лет назад

      Baraka Mfugale

    • @omarygobele7782
      @omarygobele7782 5 лет назад

      Mzeee kilomon umefanya mabadiliko hata bei ya kiwanja huijui bana

  • @MenruphKahimba
    @MenruphKahimba 7 месяцев назад

    TUAMBIENI WANASIMBA WAKATI HUO MO DEWIJI ALIKUWEPO ? TREY AGENI ALIKUWEPO , MANGUNGU ALIKUWEPO ICHO KIPINDI ? KISUGUSGU PUMBAVU ALIKUWEPO ? MZEE KILOMONI AHESHIMIWE MARA MIA

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 5 лет назад +1

    Kura zimekukataa..baba hiyo klab ni ya watu wengi,na hawakutaki wew njaa zako peleka huko,hebu ita kikao km hutapigwa km Mbwa koko

  • @shafimadaudka5254
    @shafimadaudka5254 5 лет назад

    We mzee huna hoja, hovyo kabisa!

  • @victorianbenardnachenga6839
    @victorianbenardnachenga6839 5 лет назад +6

    Daaah mpe mtu nafasi ya kuzungumza ndiyo utajua kiwango cha upumbavu alichonacho...!!!

  • @azammaganga9101
    @azammaganga9101 5 лет назад +1

    Aibuka au mmemuibua nyie mzee mwenyewe hata hoja ya maana hana ni bora angetulia tu ili asiendelee kujishushia kaheshima kadogo alikobaki nako

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 5 лет назад

    Mchawi hela anajuwa mpila wa sshv na uwekezaji huu anajuwa watapewa mamilioni imeshakula kwako ingekuwa hivo waliogombania uhuru wangeing'ang'ania nchi wewe mzee umetolewa kisheria fanya mambo yako mengine

  • @franshyera8970
    @franshyera8970 5 лет назад

    Mzee mziki wa Simba hauuwezi wewe.Achana na Simba

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 7 месяцев назад

    Kipengere hicho cha wawekezaji watatu kipo.

  • @bonymlowezi1819
    @bonymlowezi1819 5 лет назад

    Kitu nilichogundua ni kwamba huyu Mzee haelewi kama hiyo hati akiitoa haiendi kwa mo isipokuwa inabaki kuwa chini ya simba kampuni

  • @samsondecoman983
    @samsondecoman983 5 лет назад

    Kwani Mzee umebakiza mdagani ufeee?

  • @elikanapeter1831
    @elikanapeter1831 5 лет назад

    tuondokee apo atukuitaji kwanza umri umeshaenda tena kama unampango simba iludi nyuma umefell

  • @wisekingtony6370
    @wisekingtony6370 5 лет назад

    Tatizo sio kwamba ulicheza Simba ukiwa na umri gani? Simba sio Mali ya ukoo kwamba ulipewa na wazee, tatizo ni ubinafsi unataka uhusishwe na kila kitu, lazima ukubali kubadilika...Simba mpya inasonga mbele....kafuate Sunderland yako achana na Simba, Ikiwa kila mtu atadai kila alichokichangia Simba itakuwa wapi??? Simba ni taasisi wanapita tu maisha yanaendelea.

  • @theotimvalerian455
    @theotimvalerian455 5 лет назад +1

    Unajishusha hali we ni mweledi mbona ujanihoji mimi huyo si kama mimi kwa nafasi ya uwanachama

  • @ahmadimohamede8792
    @ahmadimohamede8792 5 лет назад

    Wewe uliyafanya hayo ukiwa kiongozi na sasa hivi kuna viongozi wengine waache wafanye kazi zao

  • @shabaninamkambe4473
    @shabaninamkambe4473 5 лет назад

    Katiba gan hyo Mzee unatuchanganya we ukae milele ulizaliwa nayo

  • @deogratiashaule5224
    @deogratiashaule5224 5 лет назад +2

    mzee anajidhalilisha , ameshaambiwa zikipendwa haelewi, mpaka afukuzwe kwa aibu.wamezoe nigogoro ili wapate kula. acha mabadiliko yachukue nafasi yake.kwa ajili ya simba bora ya leo na .kesho.

  • @sephjuma4294
    @sephjuma4294 5 лет назад

    Mzee anapuyanga

  • @benedictamaganga614
    @benedictamaganga614 5 лет назад +1

    Vijana wa siku hizi wanachotaka pesa tu. Hawathamini mchango wa Wazee walitoa timu from Zero. Huyo MO aipandishe Singida United yake.

  • @jumamohamed7720
    @jumamohamed7720 5 лет назад

    Sasa mbona hati unazing'ang'ania kumbe co zako we mzee vp

  • @zenashaban9934
    @zenashaban9934 5 лет назад

    Si aachane na tim yetu. hana mapenz na simba uyo akaye benchi

  • @sambuomichael2881
    @sambuomichael2881 5 лет назад

    Uyo mzee ana akili mnatuletea wafu kwenye mahojino

  • @deusmwasalanga1495
    @deusmwasalanga1495 5 лет назад

    Mzee una njaa wewe hv huoni km unajidhalilisha utu uzima huo Bado hujajipanga kimaisha

  • @fredrickipembe6277
    @fredrickipembe6277 5 лет назад +1

    Huyu mzee kakosa hekima tu katika jambo hili inafaa awachie wengine hiyo hati

  • @barakamfugale1049
    @barakamfugale1049 5 лет назад

    Nalichukia hil zee

  • @kassammwishehe4482
    @kassammwishehe4482 2 года назад

    So watu wakowapi mbona.asilimia.51.akuna anaejitokeza mzee.ana.jipya uyo Mzee ana.jipya maisha ya sasa watu Awana moyo wa kutoa.bari anatuletea uzamani kwani timu iyo ya Baba yake mzamini gani uyo.ana.pesa Mzee anazingua mpila pesa ivi sasa.mwache mo achukue Tim zima.sisi wapezi tunaitaji fulaa atutaki brabra 8 yeye anaweza kudumia Tim ana busara achane na Tim anaongopa yeye alikua mdogo kiwanja kanunua wapi?????.anazingua

  • @muhajinyoni903
    @muhajinyoni903 5 лет назад +1

    Yaan hajielew hizo zama zimepita mzee

  • @nicholouswaryoba1474
    @nicholouswaryoba1474 5 лет назад

    Hiyo background musikj unaboa

  • @rashiddundo9822
    @rashiddundo9822 5 лет назад

    Nyie waandishi muacheni uyo fisadi wa Maendeleo Mo chapa kazi kilomoni aende zake

  • @damasndomi937
    @damasndomi937 5 лет назад

    Mzee kizazi hiki akitaki majungu iache Simba ichukue ubingwa wa aflika.tutolee mambo yako.

  • @ombenijonathan1041
    @ombenijonathan1041 5 лет назад

    Wape wafanye mabadiliko ili wapotee katika ramani ya mpira.

  • @adrianamoce6052
    @adrianamoce6052 5 лет назад +2

    .mzee aliwapiga yanga goli tano. Hamsa dadeki

    • @abdulomary1830
      @abdulomary1830 5 лет назад

      Aliefungaga hat trik na yanga ni kibaden peke yake

    • @franksebastian3909
      @franksebastian3909 5 лет назад

      @@abdulomary1830 kwa kumbukumbu zako kwenye hiyo mechi yeye alicheza namba ngapi

  • @gaykazimoto1419
    @gaykazimoto1419 5 лет назад

    Jeshi la mtu mmoja wanyooshemikia hao

  • @rockyzacharia6947
    @rockyzacharia6947 5 лет назад +1

    ila mpk sahz mwenye 49 ananguvu na sauti kuliko hao wenywe 51 mzee hapo Upo sawa

    • @bokimmwamba2322
      @bokimmwamba2322 5 лет назад

      51 ni wengi na 49 ni mtu mmoja asa panatofauti uyo mwenye 49 atakuwa na nguvu tuu na anakunguvu pia kulingana na nafasi aliyonayo kwenye timu yeye ni mwenyekiti Wa bodi ya wawekezaji simba inamaana his a ztapoanza kuuzwa yeye ndo kwenye hisa nyingi na ndo mwenye sautii

    • @isaackitogo5043
      @isaackitogo5043 5 лет назад

      Mwenyekiti wa Bodi alitakiwa atoke upande wenye his nyingi.
      Pili, Simba imefanya makosa kutoa his nyingi kwa mtu mmoja, badala yake ingeweka ukomo wa hisa zinaweza kumilikiwa na mtu mmoja.

  • @davidkatunge2835
    @davidkatunge2835 5 лет назад

    Huyo faramwacheni aendelee kuropoka

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 5 лет назад

    Huyu mzee kazeeka aise duuh

  • @barakamfugale1049
    @barakamfugale1049 5 лет назад

    Gai kazmoto akil zako hazina tofauti na hicho kizee

  • @frankjonas1094
    @frankjonas1094 5 лет назад

    Basi njoo ufanye usajili maana sisi hatutaki maneno maneno!!....Hatutaki upuuzi eti uzaman wako sisi hatuujui

  • @richardjulius767
    @richardjulius767 5 лет назад

    Haelewi hata club ni nini duuuuuh

  • @streetkidonline4777
    @streetkidonline4777 5 лет назад

    Kwani huyu mzee anataka nini hasa!? Mbona ana mambo ya ajabu kiasi hiki!? Analazimisha vitu kwann!?🤔

  • @elinazamarisa7164
    @elinazamarisa7164 5 лет назад

    We mzee una take upewe pesa tuu una jipia