PART45:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 115

  • @igurusitv6553
    @igurusitv6553 Год назад +22

    Aisee leo nimethibisha kuzimu ipo, na ulokole au wokovu ni hatari sana ya kuzimu. Nimeamini Jina la Yesu linaogopwa zaidi na kuzimu. Ndio maana watumishi wa mungu wanawindwa sana na majini na mapepo. Mungu awape neema nyote muwe wakristo na muokoke kweli kweli

    • @martoo539
      @martoo539 Год назад

      Walahi ju the same description ya wamayo na the same na ya lwanda magere 😭😭😭ukwelii mtupu huuu banaa😭😭😭

    • @JaneDoe-hf3zy
      @JaneDoe-hf3zy Год назад +1

      Ameen kaka

    • @CastoryKapinga-nb7ht
      @CastoryKapinga-nb7ht Год назад +1

      Hakika hakika mtu wa Yesu Kristo

  • @SalimBuke-tz4fl
    @SalimBuke-tz4fl Год назад +6

    Wangawa naomba tumsaidie huyu davista he is doing a incredible work let support our beloved David thank you

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 Год назад +18

    Dada yenu nimefikamo .... 🔋 Mrs wamayo.. ❤️❤️❤️

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 Год назад +22

    Wa kwanza lke zangu plzzz 😢

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 Год назад +2

      Kaa kwa kutuliaa wenye mji wetu tumeshafikaa nyooooh.. 😂😂😂

    • @AminaLujendo-ci5om
      @AminaLujendo-ci5om Год назад +1

      Congratulation 🥰 my dear

    • @kitutujuma9602
      @kitutujuma9602 Год назад +2

      Nakuonea donge wa kwanza ni mm zuu.
      Like zinajaa kwako.
      Ss ww unipe like zangu kwa ajili ya wote

    • @credo7837
      @credo7837 Год назад

      Uongol

    • @JaneDoe-hf3zy
      @JaneDoe-hf3zy Год назад

      ​@@kitutujuma9602nimekupa like yangu mmoja uwache walumbano twendelee na wamayo aka bakari😅

  • @LoFi_120
    @LoFi_120 Год назад +3

    Ikumbukwe hata kutamani, ni uzininifu, uzinzi wa moyoni, Watu wa Bwana milio na Yesu msijaribu hata kukonyeza.

  • @florences8087
    @florences8087 Год назад +8

    By the way guys I hope tumesoma message ya Mwandishi Davistar hapo kwenye screen. Let's boost him. Pamoja twaweza!

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 Год назад +2

    WAMAYO MSTUKUZE YESU KW kila jambo Mungu anakupnda sana

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 Год назад +3

    Ukweli ni kwamba..mambo ya Zabron.Ruanda magere,Kanyerere na wengineo..yanaambatana kabsaa ..

  • @kitutujuma9602
    @kitutujuma9602 Год назад +2

    Wa Kwanzaa leo

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy Год назад +2

    Wamayo somo lako ni zito mno kimbe walokole wana tafutwa kwa njia hio sio mungu tupe mwisho mwema

  • @beyondsavanna6028
    @beyondsavanna6028 Год назад +2

    First to comment nikachunguliamo

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 Год назад +1

    Unaogopa samaki hahahahahha wakati meno ndio ngazi hahahhahaha

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 Год назад +2

    Allaah Akbar

  • @stejasatv7349
    @stejasatv7349 Год назад +2

    Pamoja Sana wamayo

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 Год назад +1

    Pole.wamayo

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 Год назад +2

    Ziwq tanganyika, na nchi ilikua inaitwa tanganyika, hapo kuna siri kubwa sana!

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 Год назад +11

    Muwage wakwanza hata kusapoti kipindimo sio tu kusema wakwanza wakwanza 😨😨🙄

  • @rebeccajames4412
    @rebeccajames4412 Год назад +1

    Lakini mbona wamayo unanichekesha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @happytemu963
    @happytemu963 Год назад +1

    Wamayo mbona unanifanyia hivyo jamaa angu 🤣🤣🤣🤣🤣,siuliambiwa ni usafiri unakuja upande? 🤣🤣

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Год назад +3

    Maisha ya mwana mpotevu au Dunia itakufunza ndoo ayo sasa

  • @winniemuchai280
    @winniemuchai280 Год назад +2

    😊😊😊

  • @angelnyange975
    @angelnyange975 Год назад +2

    Angalau leo nimesogeapo kidogo maana kila siku nakuwa wa mwisho..

  • @paschalmayunga749
    @paschalmayunga749 Год назад +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @michaelak8082
    @michaelak8082 Год назад +2

    Wa pili leo

  • @zamberimturi5593
    @zamberimturi5593 Год назад +2

    Hili li jamaa story yake ni nzuri mo

    • @JaneDoe-hf3zy
      @JaneDoe-hf3zy Год назад

      Yani burudani sana hatuna haja ya movie zao sisi wamayo ndio kusema

  • @يوسف-ح1ل9ن
    @يوسف-ح1ل9ن Год назад +1

    Wao stori ❤

  • @catherinejames6714
    @catherinejames6714 Год назад +1

    Kaka davista tunaomba part 46

  • @SolomoniRingia
    @SolomoniRingia 3 месяца назад

    Hayaaa sasa wafuga majini ya Maka mmesikiamoo majini yenu ya kiarabu hayoo...😂😂😂😂 Mkiambiwa mnabishaga sasa kazi kwenuu 😂😂😂

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 Год назад +2

    Bakari wamayo malula 27:43

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen Год назад +6

    Nimekua wa kwanza leo kila siku nakuaga wa mwisho na baby wamayo 😢

    • @zakariyamkhandi5713
      @zakariyamkhandi5713 Год назад

      Irene acha kujibebisha utalogwa jibebishe kwangu

    • @Irenes_Kitchen
      @Irenes_Kitchen Год назад

      @@zakariyamkhandi5713 ninamungu yesu ako ndani yangu

    • @credo7837
      @credo7837 Год назад

      Mmmh

    • @credo7837
      @credo7837 Год назад

      @@Irenes_Kitchen yesu ndionan

    • @credo7837
      @credo7837 Год назад

      @@Irenes_Kitchen kwaiyo yuko humu ni msanii au

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 Год назад +1

    Ukiokoka okoka kikweli ukiingia kwenye 18 za shetani umekwisha 😢 daah Mungu tuhurumie

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 Год назад +2

    Jaman leo wamwisho naombeni like zenu

  • @bonnycostacosta7339
    @bonnycostacosta7339 Год назад +1

    Kweli kuzimu kupo

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy Год назад +2

    Karibu bwana bakari wamayoo umefika penyewe

  • @Johansenbwakya-uq5zu
    @Johansenbwakya-uq5zu Год назад +3

    Tunaomba namba za wamayo ...

  • @Patience.67
    @Patience.67 Год назад +1

    Mnakumbuka kanyerere pia alimezwa na huyu samaki Hadi kuzimu

  • @asifkhanalifkhan6358
    @asifkhanalifkhan6358 Год назад

    Mone❤

  • @mshammazengo6272
    @mshammazengo6272 Год назад

    Hahahaa wabayo bhna et marashi yanang'ang'aa

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад

    Hii Dunia Ina mengi ambayo Mungu kayaficha tusiyaone.
    Profesa Ike Uzoma mchawi wa PhD alishawahi kwenda hadi sayari zingine zenye watu😊

  • @habibumbawala1173
    @habibumbawala1173 Год назад +1

    Watu mko fasta kinomaaa, kila nikijitahid nije kuwa wa kwanza nafeli tu🙄

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 Год назад +1

    Wamayo we ni ahujaa umepitia mengi nina story lakini yangu ni ya mtoto kwangu ni kama

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 Год назад +1

    Waarabu tupeno tano maana sio mara ya kwanza tunaonekana mara ya kwanza kusikia hayo hy

  • @evalineMollel-kn7ex
    @evalineMollel-kn7ex Год назад

    Hakik wamay umetishamoooooh

  • @ruthcosmas5019
    @ruthcosmas5019 Год назад

    Dah nilijua nitakuwa wa mwanzo mwanzo

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад

    majini macho Yao Huwa hayatulii

  • @erickpatrikwx1778
    @erickpatrikwx1778 Год назад +1

    Nikatumbukiamoooooh

  • @salukisendi9333
    @salukisendi9333 Год назад +1

    Mbona haina sauti sasa

  • @erickpatrikwx1778
    @erickpatrikwx1778 Год назад +1

    Nikatupiamoooh

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад

    Mayai ndio ufunguo wa kuingilia kuzimu

  • @B-nayiva
    @B-nayiva Год назад +1

    Kipande kingine mwaka kaka watu tuendelee na. Story

  • @mariethalupila7999
    @mariethalupila7999 Год назад

    Yani hii ni bonge la movie

  • @SprayLeefx
    @SprayLeefx Год назад

    samaki mkubwa kama meli.. a

  • @maimunahamisi6081
    @maimunahamisi6081 Год назад

    Kama hakunaaelekezo!! Kwani Mara ya kwanza hukuelekezwa

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 Год назад +1

    Muendelezo plzzz ksho ntaamkia mapema sana kusubir niliwah kutaka kujua majini wapoje ndo ntaka nielewe sasa ✌️

  • @zulekhasaud483
    @zulekhasaud483 Год назад

    Story wamayo ni zuri tatizo lako wamayo neno moja warudia hata mara 4 wafanya Story kuwa ndefu sanaaaa

    • @martoo539
      @martoo539 Год назад +3

      Anaelezea taratibu vizurii,,,,cjaona mahal hanakariri

  • @rashidyasser9423
    @rashidyasser9423 Год назад +2

    Wamayo umehangaika sana kwa waganga bila ya mafanikio sasa umeamua kungiamo jikoni kabisa

    • @heritier5119
      @heritier5119 Год назад

      Wakishindwa waganga unaenda kwa boss wao mwenyewe

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад

    Hao ndio matajiri wa kichawi wakifa Dunia adhabu Yao Huwa hivyo kuzimu

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 Год назад +1

    Ulipo nipo wamayo mpaka upone

  • @ArbetMangwea-if6ih
    @ArbetMangwea-if6ih Год назад

    Uliogopa samaki mzee

  • @sikukuusaid-ki1yn
    @sikukuusaid-ki1yn Год назад

    wamayo ww ulikuwa mtu wajabu sana ungekuwa hii duniya ya ss sijuwi yengekuwaje wapi kwa kweli

  • @يوسف-ح1ل9ن
    @يوسف-ح1ل9ن Год назад

    Nalalamo sasa mpunguzege tusauti tudogotudogo tudogo sana

  • @jacobjackson6792
    @jacobjackson6792 Год назад

    Tuletee chuma cha wamayo

  • @emojongtv3995
    @emojongtv3995 Год назад +2

    Nilikua namfuatilia pastor Ezekiel kumbe mkomo huku tayari na hamniambii

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 Год назад

      😂😂😂 we ungeendeleamo kumsikilizapo Ezekieli, huku ungetukutapo tunapatamo mavitu yakutishamo na burudanimo😂😂😂

    • @florences8087
      @florences8087 Год назад

      Hata mimi nimetokako kukaribisha Ezekieli Mavueni na pia kusotiko Davistar na Mpesa now I want to get something for our good friend &story teller Wamayo 🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 Год назад

    Shetani hupenda to act vile ni bingwa sana ..bure kabisa..those who know Christ have refuge

  • @beyondsavanna6028
    @beyondsavanna6028 Год назад +2

    Nikacommentamo wakwanzamo

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 Год назад

    776😂😂

  • @kulthumsaif2856
    @kulthumsaif2856 Год назад

    😂😂😂😂

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 Год назад

    Hivi kuna siri gani majini yana asili ya kiarabu? lakini hakuna jini mweusi?

    • @wazomyakinifu2301
      @wazomyakinifu2301 Год назад

      Ni swali zuri. Pia majini hupenda kuvaa kanzu na waarabu nao kanzu ni daima. Lakini pia majini huupenda Uislamu na si Ukristo. Huenda majini na waarabu kuna ukaribu fulani

    • @rehemaabinelynyagawa2878
      @rehemaabinelynyagawa2878 Год назад

      @@wazomyakinifu2301uko sahihi kuna siri iliyo jificha!

  • @frankkisusange9446
    @frankkisusange9446 Год назад

    Hii story ya ziwa Tanganyika Luanda magere ,kanyerere na huyu mwamba mambo yanafana so hicho kitu kipo kweli huko Tanganyika haiwezekani wa3 waseme kitu kimoja

    • @martoo539
      @martoo539 Год назад

      Walahi the same description 😭which means ni reality ,,ukweli huliopo

    • @jacobignas5352
      @jacobignas5352 Год назад

      Mimi nashauri kisa hiki kinatakiwa kiwekwe kwenye kitabu Kwa kiswahili na kiingereza. Hiki ni kisa Cha ukweli na Cha ajabu sana. Naamini mtapata pesa ya kutosha.

    • @wazomyakinifu2301
      @wazomyakinifu2301 Год назад

      Upo sahihi. Hii kitu ipo. Maana huyu ni shahidi mwingine aelezea juu ya samaki meli na maisha chini ya ziwa Tanganyika. Lazima kuna ukweli hapo

    • @marianchamba3898
      @marianchamba3898 Год назад

      @@jacobignas5352 upo sahihi kabisa