PART1:SHEKHE SIRAJ ALIEOKOKA KAKA YAKE MAJALIWA ALIEKUWA MGANGA ALIEKUWA AKITOA UTAJIRI WA MAJINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 81

  • @elpidiusezekiel2729
    @elpidiusezekiel2729 День назад +11

    Hii ndiyo inaitajika unaokoka unaleta na ukoo na kijiji kizima Kwa kuwaombea Yesu anawatafuta akipigilia muhuri ulichotamka juu ya Familia tunazotokea.

  • @geofreymulei5695
    @geofreymulei5695 День назад +5

    KAZI njema sifa na utukufu Kwa bwana wetu yesu Kristo 🙏🙏🙏

  • @rerisamba
    @rerisamba День назад +4

    Yani hapa nikama Yesu alikasirika nahilo jini nahio mizimu haleluya Mungu ni mkuu

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai День назад +1

    Ameen,nimefurahi sana kumwona Siraj, usijaribu kurudi nyuma Siraj,Mtetezi wako Yu hai,ni Yesu Kristo wa nasareth.

  • @jeanmjimmy
    @jeanmjimmy День назад +3

    Mungu ni mwema aliyajibu maombi yako. Hakuangalia dini bali wokovu wako. Asifiwe Yesu.

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur День назад +2

    Barikiweni Na JEHOVAH MUNGU Nyote ni kazi njema

  • @annettemalechela7543
    @annettemalechela7543 День назад +3

    Truly Jesus came to set the captive free

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 День назад +2

    Mungu ni mwema kwa Yesu kuna raha leta kijiji mzima

  • @phestostanley4019
    @phestostanley4019 4 часа назад

    Yesu ameonekana oooh halellujah

  • @tonitodd1922
    @tonitodd1922 День назад +1

    Shukran bro

  • @danielmatemu9698
    @danielmatemu9698 10 часов назад

    BWANA YESU awaokoe wote walio gizani, maana wengi wako gizani na hawajui kama wako gizani…. 😢😢 Inaumiza sana

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 20 часов назад

    Yesu ni mwema

  • @abdimohamed3953
    @abdimohamed3953 День назад

    Ahsante MUNGU kwa mema unayonitendea sina lakusema zaidi ya shukurani kwako,,, napata kujua nakujifunza mengi juu ya hizi chanels

  • @minjanavigator8552
    @minjanavigator8552 День назад +1

    ❤❤❤❤

  • @MeckitilidaTushabe-or9hu
    @MeckitilidaTushabe-or9hu День назад

    🎉🎉🙏🙏

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 14 часов назад

    Innalillahi wainnailayhi rajiun 😢

  • @newbornhaule
    @newbornhaule День назад +1

    Kinamuuma shetanix3 hakika Yesu ni mfalme wa wafalme na kila Goti litapigwa mbele zake... KIZURI NINACHOMPENDEA YESU HATA UWE MBAYA KIASI GANI SIKU UKITAKA AKUONGOZE NJIA SAHIHI HATAACHA UPOTEE SAULI KAUA WAKRISTO LAKINI YESU HAKUACHA APOTEE

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 День назад +1

    Safi Mr dm

  • @Bamutumubaya
    @Bamutumubaya День назад +2

    Kweli Kwaya pia mimi nimesikia hivyo la kutoka kuzimu, pia Sindano hizi sindano tunazodungwa hosp Zina uhusiano mkubwa sana na kuzimu, Kuna mahali majaliwa alisema ndugu yake alipodungwa sindano tu akafariki, em Davsta muulize aelezee uhusiano huo upoje

  • @samsonipaul4068
    @samsonipaul4068 День назад +2

    Waislamu walio sikiliza huu ujumbe alafu wasiokoke imekula kwao davista anahubr kwa channel bila yeye kujijua

  • @salisali3738
    @salisali3738 День назад +1

    Mmmmm uongo mwengine

  • @AllyPawaga
    @AllyPawaga 7 часов назад

    Sikia kitimoto zinavyo piga kelele hapo 😂😂

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai День назад +1

    Kuua unayofanya ni kumkabidhi shetani nafsi zao,wanaweza kuwa hai kimwili lakini kiroho walikwisha kufa.inamaanisha wakifa ni kuzimu wanaelekea.😢

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u 2 часа назад

    Ubalikiwe mpedwa krb kwa yesu umeshaipata aman

  • @florencerose859
    @florencerose859 День назад +1

    Hapa upande ya kwaya tunaitaji mafunzo zaidi

  • @omaryally3489
    @omaryally3489 День назад +2

    Malaika anaongea na mganga😅...tunasubur ao dada zake pia waje kuongea mengine....kuwa wametokewa na yule mzungu😊😊

    • @ProphetJofreyKaigarula
      @ProphetJofreyKaigarula День назад

      Malaika anaweza kuongea na kila mtu

    • @Esthermordecai
      @Esthermordecai День назад

      Kama hauna zuri la kuambia watu,nyamaza kimya.

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 День назад

      Hata wewe anauwezo wakuongea nawe Wala Hana mipaka ilimradi Mungu amekusudia jambo nawewe na itakua hivyo

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana День назад

      Mungu akufungue ufaham ujue ukweli ulio jificha

  • @RaynaWillium
    @RaynaWillium День назад

    Lkn Mr Davister Kuna mambo mengi alisema ataelezea badae ko Bado tunasubili

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 2 часа назад

    Sauti Ya Kiutuuzima Sura..Za Kitoto Mbona Au Macho Yangu Tu....?😢

  • @ElizabethMuia-ro9yh
    @ElizabethMuia-ro9yh День назад +1

    Wateja mlio udumiwa na kaka yetu hapa si mko mendi na muokoke,mkupwa wenu aliokoka.

  • @ElizabethMuia-ro9yh
    @ElizabethMuia-ro9yh День назад

    BROTHERS, ebu tueleze kwa nini wanganga or ulumwengu wagizi wanapesa sana kutumia mbuzi,Kondoo na kuku????????

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 8 часов назад

    Waislamu hapo vipi, mbona kimya?

  • @rerisamba
    @rerisamba 17 часов назад

    🤣🤣🤣 Ati hata kaburini hauna pakuwekwa waa Yesu una maneno makali kweli

  • @rerisamba
    @rerisamba 18 часов назад

    Hapo kwa kusali ulikua unasali kweli mpaka una alama nyeusi

  • @dolyjinemongare8787
    @dolyjinemongare8787 День назад +1

    Ni Uohana 1:1....

  • @saidgawawa
    @saidgawawa День назад +1

    Wewe davista mavi ni mchoxhezi

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 11 часов назад +1

      Amechochea nini hapo wakati unamuona mtoa mada ndio kasema ukweli tena kuthibitisha alikua muislam muangalie hilo Tochi la kuzimu hapo kwenye paji la Uso hilo wanakuaga nalo waislam.

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma День назад

    Allah awaongozeni kwaujumla 😂😂😂 ulivo pendeza na sijida ss unanuru ya kumsujudia Allah kbs

  • @twalibmakau8380
    @twalibmakau8380 День назад +1

    Jamaa anaoneka bado anasali na kusujudu

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 День назад

      Sijda iliokaa muda mrefu unaweza kaa nayo Zaid hata ya miezi sita mpaka kuja kuondoka ilhali umeacha kusujudu

  • @ElizabethMuia-ro9yh
    @ElizabethMuia-ro9yh День назад

    Na hizi choir, siko kwa wingi makanisani like CATHOLIC AND SDA CHOIR KUBWA, KUBWA.

    • @rerisamba
      @rerisamba 18 часов назад

      Hizo choir nyingi hua zina uzinifu kweli pengine ndio maana zikaitwa freemason

  • @mnyama8
    @mnyama8 18 часов назад +1

    Hivi hawa wanaodai kutokewa na kiumbe ,kwanza wanakuwa hawana uhakika ni kiumbe gan ,mara ataje malaika wengi mara Yesu , kwann wasiviulize hivo viumbe ni nan ?na vimetokea wap ?kwasababu hainiingii akilini kabisa mimi ,nikiambie kiumbe kuwa nna mwamin mohamed na Mungu nna amin,badala ya iko kiumbe kitumie maandiko kunielewesha ,matokeo yake kinani command NJIA PEKEE NI KUMWAMIN YESU TU 😢😢😢?ningekuwa ni mim ningekismbia kama hautanielewesha kwa maandiko sitafuata unachoniambia, uyu kwanza nnawasi wasi nae ,keshasma amewahi kufanya kaz na majini , halaf anasema alikuwa anaswali ,sawa ila anaonekana pia alikuwa hasomi vizur na kuelewa anachokiabudu ,dunia ya sasa tunaandeshwa na elimu za vitabuni ,sio kiumbe kianze kuniongoza kutoka ndoton

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 11 часов назад

      Ndugu Muhammad alisilimisha Majini yakawa waislam na mnaabudu nayo Misikitini na mnayatumia kupata utajiri kuwatibu mkidai Majini mazuri bado hayo hayo mnatumia kudhuru watu mnasomea Albadiri sasa unamshangaa kitu gani na ni vitabu vyenu vimeandika?

    • @mnyama8
      @mnyama8 11 часов назад

      @charlesmapunda-g5l ktk uislam kuswali na majini sio tatizo, mnaeza mkaabudu na majini lakin hairuhusiwi kuonana wala kuchangamana na majini ,it is strictly prohibited ,majini na wanadamu kuonana ,dalili ya jini mbaya ni yule anayetoka kwenye dunia yao kuja dunia yetu ,pia imekatazwa kushirikiana nayo kwa ajili ya shida za kibinadamu ,mfano kuomba utajir ,kuomba ulinzi ,yeyote anayefanya hivi hayuko pamoja na mungu na ni mshirkina , USHIRIKINA ni kitendo cha kuomba mahitaji yako kwa kiumbe kingine na si Mungu ,that is why wakristo pia sehem ya ushirikina,kwasaababu maombi yao mengi yanaelekezwa kwa Yesu ambae sio Mungu ,halaf unatakiwa uelewe kuna viumbe vimeumbwa na kupewa Uhuru Wa kuchagua au kukataaa kumwabudu Mungu ,mfano binadamu ,majini ,,
      Sio majini wote ni wabaya kama mnavyodanganyana uko ,Mimi nikikuuliza swali tu ,wapi kwenye biblia imeandikwa majini ni wabaya ?hakuna hata sehem moja ,ila ni story za vijiweni Ndo mmezishikilia
      HATA KAMA STORY HIZO UNAZOSEMA UMEZISIKIA KWA ANAYEJIITA SHEHE ,source kubwa ya ukwel kuhusu uislam inatoka kwenye Quran ,sio MTU ,that is why hata kwenye ukristo kuna manabii kibao wanajitokeza na matamko ya ajabu ajabu ,lakin mkiulizwa kuwa je lile linalotamkwa Ndo ukristio ?huwa mnakataaa na kusema ni wapotoshaji, tunawaelewa ,sasa na sisi tukiwaambia matamko ya baadhi ya mashehe kuhusu binadamu na majini sio sahihi ,ni upotoshaji,muwenaelewa ,otherwise labda kama unatka kuleta ubishani tu

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 11 часов назад

      Muhammad alitokewa na kiumbe Mapangoni kikamkaba mpaka Muhammad akachanganyikia kikimuamrisha asome ekra wakati hajui kusoma wala kuandika kilipo muachia Muhammad ukarudi kwa mkewe akiwa anatetemeka na Homa kali na hakujua kile kilikua ni kiumbe gani. Muhammad akatamka nahofia mwili wake kuchezewa na Shetani ila mkewe Bikhadija anamwambia, hapana huwezi kuchezewa na Shetani huyo atakuwa Malaika Gabriel na alimwambia ndio ushapata Utume hivyo. Sasa mkewe hakuwepo Mapangoni alijuaje Yule kiumbe ni Malaika Gabriel? Au hiyo ndio njia ya Muhammad kupata utume? Yule alikua Shetani hakuna Malaika wa Mungu aliejitokeza kwa watu wa Mungu akamkaba iwe ndotoni au live lazima atafikisha ujumbe tena kwa adabu na kuondoka uwe ujumbe mbaya au mzuri.

    • @mnyama8
      @mnyama8 11 часов назад

      @@charlesmapunda-g5l kaka hii story INA % fulan ya ukwel ,pia % fulan umechomekea maneno yako ,sikia , Mohammed sio mtume kisa mkeww Ndo alimthibitisha ,kanuni iliotumika kujua Mohammed ni mtume Wa Mungu toka dunia inaumbwa ,pia ilitumika kwa Ibrahim ,na manabii wengine adi Yesu pia ,
      Kanuni namba moja kujua mtume Wa Mungu tunaangalia ujumbe anaoutangaza ,endapo umebeba agano LA Mungu na wanadamu ,WATU WATUBU DHAMBI ZAO ,NA WAMWABUDU MUNGU PEKEEE , huu Ndo ujumbe ambao kila nabii au mjumbe amayetumwa na mungu lazima usemwe ili kuwakumbusha wanadamu kuhusu agano lao na Mungu ,
      Pili. : kujua mtume au mjumbe Wa Mungu inaangaliwa kitabu alicho nacho kama hakipingani na manabii waliomtangulia ,plus kitabu alichokileta kimebeba unafuu gani Wa maisha ya wanadamu ktk kizaz husika
      Hizi ndio njia kuu mbili za kujua mtume Wa kwwl na Wa Uongo, na sio KUMSIKILIZA MKE WA MOHAMMED ALISEMA NN ,
      Nakushaur chukua muda soma kitabu kikichobwa na Mohammed, kimequalify hoja zote hapo juu mbili

  • @abukhamisi5039
    @abukhamisi5039 День назад

    ALLAH akuongozeni unaona ulivyo pendeza na sijda ila kama unaendelea na hizo imani potofu basi imekula kwenu wewe hukuwa ustaz hata mora moja muhuni tu wamjini

    • @jeanmjimmy
      @jeanmjimmy 20 часов назад

      @@abukhamisi5039
      okoka mkubali Bwana Yesu.

  • @chrispinkulanga3233
    @chrispinkulanga3233 День назад

    Wanaamini hewa utaaminije kitabu ambacho hujawahi kusoma...

  • @KarimMselem-g5f
    @KarimMselem-g5f День назад

    Sasa Uyo ndio Shekhe mbona mnaturetea vichekesho huyo ni maamuma

  • @reginanduku3746
    @reginanduku3746 День назад

    Davista nina swali,inakuwaje nusu jini anaokoka??

    • @ElizabethMuia-ro9yh
      @ElizabethMuia-ro9yh День назад

      Bona wanaokoka sanaa, sheitani hana kitu ni mwizi ni kubadirisha roho anabadirishiaga mtu.

  • @HamadMbark
    @HamadMbark День назад

    Mwapenda kiki kutumia usilamu wasilamu hakuna suna ya siku arubaini kwaza hapo niurongo.tumezoea msemo wa kuota nikatokea na yesu ww umebadilisha tu umeongea na makaika

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 День назад

    Huyu mwingine bado kanisa hata kwa uso wake unasoma vingine

  • @ElizabethMuia-ro9yh
    @ElizabethMuia-ro9yh День назад

    KWANI KUKU AKONA NGUVU NGANI KWA UNGANGA, COZ KILA TAMBIKO UNASIKIA KUKU ILIUZIKA.

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma День назад

    😂😂😂Sasa km uliambiwa ganga ndo shidah ndo uliambiwa umetoka kwenye dini uyo ni tapeli tu mnajiwa na mashetani usingizini😂😂😂Eti kwaya ndo kuabudu we cheza miziki tu Eti nikuabudu

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 12 часов назад

      Hata mohamad mnayemwamini ni mtume wakati anapata utume aliamini katokewa na shetani kule pangoni sababu yeye ndie alishuhudia ila mkewe na warak ambao hawakuwepo eneo la tukio wakamwambia ni malaika na mpk leo mnaamini, sasa chagua mwenyewe😂.

  • @omaryally3489
    @omaryally3489 День назад +1

    Chanel hii mwanzo ilikuwa mzur tunajifnza .......ila sasa ya kikristo..Amna jipya

    • @samsonipaul4068
      @samsonipaul4068 День назад

      Bahati nzur mtu Anatoa ushuhuda hajapangwa Wala hawez wapanga maana atawapanga wangap ili iweje maana yeye hana kanisa la kiwavuta.Hao watoa ushuhuda wanafahamika hawawez danganya waislam wange waua kama walivyotaka

    • @Esthermordecai
      @Esthermordecai День назад

      Kama una ushuhuda wako,uko huru kutoa tutakusikiza vizuri.

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 День назад

      Mapya nimengi yapo kikubwa ulikua unataka usikilize story ubaki na Imani Yako isiona ukombozi kwa Mungu lakini saiz unapata story na unabadilishwa au kujengwa kiimani

  • @saleemsuleiman2220
    @saleemsuleiman2220 День назад +2

    UCHAWI HAUHUSIANI NA DINI YA KIISLAM.... UNAWEZA KUWA MKRISTO NA BADO UKAWA UNALOGA TU NA BADO UKAWA MUISLAMU NA UKAWA UNALOGA TU HIYO IKO WAZI

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 День назад

      Ni kweli,mimi ni Mkristo,Luna wskristo wengi ni wachawi.Haimanishi kuwa Mkristo hawalogi,Mtu wa Mungu ni yule Mwislamu au Mkristo asiye mchawi.

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 День назад

      @yukundapeter8200 Unae Akili sana asante kwa kuliweka wazi Mungu Akuongeze maarifa ZAIDI

    • @valentinanduku8718
      @valentinanduku8718 День назад +1

      Ee ni kweli

  • @mussamnndewa1783
    @mussamnndewa1783 День назад

    Huwe unasoma ata haya moja ya qur'an maana ata rafudhi yako si watu wa diini

  • @fahmialbahri3954
    @fahmialbahri3954 День назад

    Huyu jama hakuwa hata mwislam muogo tu

    • @ElizabethMuia-ro9yh
      @ElizabethMuia-ro9yh День назад +2

      Kwa yesu kuna raha ,wewe edelea kukana hapo ,na kudumisha ndini utajua mbinguni hakuna ndini watu wote ni kitu kimoja,nawenye wataeda mbingu ,ni wale walio mpokea yesu usipo mpokea yesu jeanamu inakuhusu.

    • @paulinapeter5817
      @paulinapeter5817 День назад +1

      Angalia paji la uso wake ana alama uson alikua ana swali sana

    • @Esthermordecai
      @Esthermordecai День назад

      Iyo ni ushuhuda wake,kama uko na yako uko huru kutoa tutakusikiza.

    • @AlexElias-u1m
      @AlexElias-u1m День назад

      Kwan hua mnakubali nyny 😂😂😂

  • @fahmialbahri3954
    @fahmialbahri3954 День назад

    Malaika gani amtokeze yeye kumuona malaika mchezo muogo tu huyu jama

    • @chriscao9828
      @chriscao9828 День назад +2

      Nyinyi waislamu mnapenda Sanaa ushirikina na majini

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 12 часов назад

      Mbona mohamad mnayemwamini ni mtume wakati anapata utume aliamini katokewa na shetani kule pangoni sababu yeye ndie alishuhudia ila mkewe na warak ambao hawakuwepo eneo la tukio wakamwambia ni malaika na mpk leo mnaamini, sasa chagua mwenyewe😂.