HALELUYA sifa na Utukufu ni kwa MUNGU alie juu .. YESU NI BWANA WA MABWANA Msofe yeye tuu Ufunuo 4 11 Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa. Haleluya amen
Pastor Katekela, Kwa nini haukuombea ukombozi wa nafsi ya msukule badala ya kumuua kwa vile inaonesha msukule alikuwa anaomba msaada? Au uligundua alikuja kukudhuru?
Mungu akutie nguvu hata nami nakuombea. Wambie watu wa mungu ukweli huooo mungu akutie nguvu Kwa jina la yesu
Tume barikiwa sana, na UBARIKIWE wewe mtumishi wa mungu
Amen 🙏
Ubarikiwe wewe no macho ya mungu duniani, nazidi kufuatilalia maubiri yako
Amen
Ameeen. .baba. yet. Umbarekwe. Sana
HALELUYA sifa na Utukufu ni kwa MUNGU alie juu .. YESU NI BWANA WA MABWANA Msofe yeye tuu
Ufunuo 4
11 Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa.
Haleluya amen
Ss
Mchungaji samahan naomba mawasiliano yako
Pastor Katekela,
Kwa nini haukuombea ukombozi wa nafsi ya msukule badala ya kumuua kwa vile inaonesha msukule alikuwa anaomba msaada? Au uligundua alikuja kukudhuru?
I HOPE HIO KANISA NI NEW LIFE CHURCH MAVUENI MOMBASA, HAPO MOTO. WA YESU UNA WAKA KWELI KWELI
Wewe hapo sio mavueni huko ni TZ
Goritha, aliubeba msalaba akaelekea gorigotha
Amen