SOMO: HESHIMA YA MUNGU IPO WAPI . MCH. ABIUD MISHOLI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 58

  • @ObadiahKihwelo
    @ObadiahKihwelo Месяц назад +6

    Amen Baba, Yesu anirehemu

  • @isaacjosephjoseph2733
    @isaacjosephjoseph2733 Месяц назад +5

    Mchungaji nipo mwanza nakufatilia sana. NENO unalofundisha hakika linauhai sana ndani yake🇹🇿

  • @BarakaMathew-zv1yy
    @BarakaMathew-zv1yy Месяц назад +2

    Amen Baba Mungu akutunze sana uishi sana nisije nikapotea njia

  • @roseandala6281
    @roseandala6281 Месяц назад +4

    Amina, kweli neno la Mungu ni upanga ukatao kuwili,naomba kubadilika zaidi kupitia channel hii, injili inachoma, hakika imenichoma,barikiwa Mtumishi wa Mungu

  • @bititiforeman612
    @bititiforeman612 8 дней назад

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.

  • @safimkjohn1312
    @safimkjohn1312 22 дня назад

    AMENA kubwa MUNGU ani samehe sana 🙌🏾

  • @IsayaMastergogozi
    @IsayaMastergogozi Месяц назад

    Asante sana nakuombea maisha maarefu mchungaji nataman I nije niokoke kanisani kwako lakini nipo mbali kwa dunia ya Leo sijaona mchungaji mwaminifu mbele za kama wewe🙏🙏🙏

  • @neemakameka3631
    @neemakameka3631 Месяц назад

    Tunashukuru Mungu kwa ajili yako, ubarikiwe sana.

  • @JaneBarnaba-v2f
    @JaneBarnaba-v2f 28 дней назад

    Amen mtumish MUNGU akupe neema ya kutuambia ukweli ili tupone nakufika mbinguni tukisikia

  • @jeannettekeza6434
    @jeannettekeza6434 Месяц назад +2

    Mungu azidi kukuinuwa mtumishi wa Mungu ❤❤

  • @JENIPHAIBRAHIM
    @JENIPHAIBRAHIM Месяц назад +8

    Ni nani atasimama mahali palipobomoka ktk nyakat hiz,,, Mungu azidi kuwainua watumishi kama Hawa ,,,nimepokea kbs Mungu anisafishe kbs,,, Mungu akutumie zaidi baba yangu

    • @erickjuma2562
      @erickjuma2562 Месяц назад +2

      Usiulize ni nani atasimama ww simama kwa nafasi yako na ukatende haki ya Mungu wa mbinguni mda sikitambo tutavutwa machozi na Bwana Yesu Kristo na tuingie rahani mwake na kutawala pamoja naye milele 🙏🙏🙏

    • @bensonahona2119
      @bensonahona2119 Месяц назад

      Amen

  • @AmaniKalengo-j7v
    @AmaniKalengo-j7v Месяц назад +1

    May the lord God almighty keep you continues in his pavilions place
    I really love you and your revelation

  • @devismwanganya1209
    @devismwanganya1209 Месяц назад +2

    barikiwa sana mtumishi🙏🙏🙏

  • @LaurahWasike
    @LaurahWasike Месяц назад +1

    Amen pastor ubarikiwe sana mi niko kenya nakufuatilia sana🙏🙏🙏🙏🙏

  • @FadhiliNzogela-j6b
    @FadhiliNzogela-j6b 14 дней назад

    Amina mchungaji wangu ubarikiwe.

  • @MaryjoyceTarimo
    @MaryjoyceTarimo Месяц назад

    Mtumishi napokea sana mahubiri na ninabarikiwa mno. Baba naomba maombi kwa ajili ya mume wangu, hamtaki Mungu wa wokovu ana moyo mgumu mno na pombe anakunywa

  • @AngelinaMshindani
    @AngelinaMshindani Месяц назад +1

    Ubarikiwe sana Baba 🙏

  • @JacksonKalasenga
    @JacksonKalasenga Месяц назад +1

    Amina Sana Mimi ni Tomas Nina pata neno la mungu kutoka Nairobi Kenya

  • @faithtimothy6396
    @faithtimothy6396 Месяц назад +1

    Yesu anihurumie mimi mdhambi😭

  • @happydonald227
    @happydonald227 Месяц назад

    Bwana Yesu asifiwe baba mimi Happy Donald Mbukwa nakufuatilia mafundisho yako kwasasa niko Dubai baba barikiwa sana

  • @NuruNsemwa
    @NuruNsemwa Месяц назад

    Mungu nirehemu Mimi ni mwenye dhambi nahitaji Toba

  • @FelistaKisinga
    @FelistaKisinga Месяц назад

    Amen, Mungu azidi kukutumia kwa wingi wa nguvu zake. Mafundisho haya yanatujenga sana, Mungu aliye hai azidi kukuficha.

  • @erickjuma2562
    @erickjuma2562 Месяц назад

    Roho yangu nakusihi umisikilize Mungu wa mbinguni akutemgeneze ili uimgiane sawa sawa na tabia na maisha ya walioko mbinguni kwa maana bila tabia na maisha hayo unafundishwa mbinguni ni mchucho kubali tabia hii na maisha haya kwa lazima kwa jina la Yesu Kristo 🙏🙏🙏

  • @moyojubeki6330
    @moyojubeki6330 26 дней назад

    Asante mungu umenifundisha

  • @rizikibahati8364
    @rizikibahati8364 Месяц назад

    Amen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu ukweli siku zote umiza sema kweli baba kuna wale watasikia

  • @veronicangasa5377
    @veronicangasa5377 Месяц назад

    Amen neno lenye nguvu, barikiwa mtumishi

  • @HelenaChaula-n2i
    @HelenaChaula-n2i Месяц назад

    Mungu akubariki sana

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 Месяц назад

    Mungu wetu uturehemu BABA

  • @RaymondNakangaMechack
    @RaymondNakangaMechack Месяц назад

    Ubarikiwe mutumishi

  • @JosephinaAyoub
    @JosephinaAyoub Месяц назад

    Ubariwa mtumishi wa Mungu

  • @denisbongore3098
    @denisbongore3098 Месяц назад

    Mungu atusamee

  • @tarsisiamwalongo6819
    @tarsisiamwalongo6819 Месяц назад

    Ubarikiwe mno Baba ,Huduma yako iendelee duniani kote

    • @Joyceisaka
      @Joyceisaka Месяц назад

      Ananibariki sana katikati ya Watumishii ninaemfatilia mtandao ni huyu aisee ameugusa moyo wangu

  • @JoyceMlelwa
    @JoyceMlelwa Месяц назад

    Mungu unirehemu

  • @AdamMtumishi
    @AdamMtumishi Месяц назад

    Nabarikiwa na Neno hili na linanifinyanga

  • @stephanopetro-zi4sx
    @stephanopetro-zi4sx Месяц назад +1

    Amina,

  • @FridaMtitu-d1y
    @FridaMtitu-d1y Месяц назад

    Amina mungu akutunze

  • @emmanuelmwakasagule
    @emmanuelmwakasagule Месяц назад

    The really Gospel ❤🙏

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 Месяц назад +1

    Mchungaji waumin wengi wa Sasa wanapenda starehe na kuvaa maguo ya aibu kanisan na hawamheshim mungu kabisa

  • @OswardDaisoni-vl8pc
    @OswardDaisoni-vl8pc Месяц назад

    Mungu nitie nguvu... nisiwe na kibuli cha kusema ndatubu .. na hali nyakati ni za atali MUNGU ni saidie

  • @AyubuHeshima
    @AyubuHeshima Месяц назад

    Amina ubalikiwe

  • @JoyceMlelwa
    @JoyceMlelwa Месяц назад

    YESU UNISAMEHE

  • @leokadiafuko4010
    @leokadiafuko4010 Месяц назад

    🙏🏾🙏🏾🙌🏾

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Месяц назад

    ❤❤❤❤❤Ameeen

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 Месяц назад

    Aminaaaaaa🎉🎉

  • @ngoosha2556
    @ngoosha2556 Месяц назад

    Yesu yupo hapa 1:20:35

  • @cyrusmaina6441
    @cyrusmaina6441 Месяц назад

    Mimi nakufuatilianga nikiwa Kenya wanibariki zaidi Baba wakiroho

  • @Faustinapascal
    @Faustinapascal Месяц назад

    Nakufuatilia mtumishi nikiwa omani injili inatufikia

  • @MaryjoyceTarimo
    @MaryjoyceTarimo Месяц назад

    Mimi nipo😂 Dar masaki baba naomba maombi kwa ajili ya ndoa yetu

  • @Ericz786
    @Ericz786 Месяц назад

    Naeza pata huo wimbo aje ni wa Nani na unaitwaje 🙏🏾🙏🏾

  • @blandinamwai3032
    @blandinamwai3032 Месяц назад

    Laiti angekuwa Arusha huyu mchungaji

  • @MashauliMtagawa
    @MashauliMtagawa Месяц назад

    Mchungaji mahubiri yako yanayoingia moyoni

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 Месяц назад +1

    Mchungaji waumin wengi wa Sasa wanapenda starehe na kuvaa maguo ya aibu kanisan na hawamheshim mungu kabisa