Hatumtafuti Mungu kwasababu tunashida " Ezra 8 : 21 - 23 ". Rev. Abiud Misholi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2024

Комментарии • 159

  • @jacquelinemakau6644
    @jacquelinemakau6644 8 дней назад

    The grace which is upon this man of God is too much. I started listening to his songs a while ago and they are powerful worship songs. He uplifts the spirit of God in me. God bless you man of God.

  • @ClaraUrio
    @ClaraUrio Месяц назад +2

    Asante kwa somo zuri Mt wa Mungu Nina swali baba,je kama huyo ninaemwita babangu wa kiroho anabia ya uzinzi nikae hapo kanisani tuu au niondoke maana biblia inasema tuikimbie zinaa

  • @davidgitau1162
    @davidgitau1162 3 месяца назад +7

    Nikitambo nilikuona, nyimbo zako zilinibariki sanaaaa, siku zile ulikuwa mwembamba bila kipara. Ubarikiwe sanaaa Mtumishi misholi.

  • @teenafricaorganization4117
    @teenafricaorganization4117 16 дней назад

    Vile tuuu Mungu anavyo kutumia..Namfurahia Bwanaaa

  • @emertonmwakina8593
    @emertonmwakina8593 4 месяца назад +2

    Amen mtumishi nimebarikiwa sana na mahubiri yako mungu anipe neema kupitia madhabahu haya.
    Naomba uniambie Ile song nimekukimbilia ewe Bwana ili nisihaibike.Asante Re.Abiudi.

  • @user-fd2oc2nk3k
    @user-fd2oc2nk3k 4 месяца назад +3

    Mungu akupiganie akupe miaka mingisana ya kutumika uzidi kuinena kweli ya Mungu amen!

  • @marymwabi7870
    @marymwabi7870 3 месяца назад +3

    Najua hili neno n wengi walitoka hiyo siku kama wamekwazika Mungu amekufunulia ufunuo wa kweli atakaye kubali na kusikia huo ujembe atabarikiwa atakaye kata damu yake haitadaiwa kwako Amen

  • @MarkoAxweso
    @MarkoAxweso 5 дней назад

    Mungu aendelee kukutunza ucku na mchana

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 2 месяца назад +1

    Amina Mtumishi...yang'oke tu mahereni mapete na mawigi..udunia.❤

  • @user-kt1cf9yp3e
    @user-kt1cf9yp3e 4 месяца назад +2

    Nmewamis watu wa arusha kwa baba yang Mwizarubi,hongereni kwa semina ya pst Misholi

  • @anchilankobelelwa9735
    @anchilankobelelwa9735 3 месяца назад +1

    MUNGU Akubariki Mchungaji Abiud kazi Yako ni njema nakupata nikiwa Marekani Unakumbuka Wimbo wako mke wako akiwa mazito Acheni MUNGU aitwe MUNGU analiangalia neno lake alitimize Umemtimikia Kwa Uaminifu MUNGU aendelee kukuinua Wengine wajifunze kutoka kwako Unabariki watu wengi Amina🙏🙏🙏🙏

  • @user-dz4jh6ec5j
    @user-dz4jh6ec5j 3 месяца назад +1

    Ubalikiwe mtumishi wa MUNGU nimejifunza sana Mungu akubariki Zaid glory to God

  • @mugishobahaya6473
    @mugishobahaya6473 2 месяца назад

    Mungu aku bariki mchungaji muzuri wa Mungu,nakufata toka RD CONGO BUKAVU 🇨🇩🇨🇩n'a nime barikiwa saana Hata n'a kwa nyimbo zako 🙏

  • @AntoinekalungaTony
    @AntoinekalungaTony 2 месяца назад

    Pole sana kwa mafundisho hii nimejengwa ki imani nakufata toka D.R Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Lubumbashi

  • @DastanKitojo-bo1cc
    @DastanKitojo-bo1cc 3 месяца назад +1

    Wapendwa watu wa mungu, mungu amejifunua kupitia mtumishi abiud abarikiwe san

  • @edentvnamangaarusha4408
    @edentvnamangaarusha4408 Месяц назад

    MCH Abihudi Misholi..., Nikifikiri Maisha yangu Album ❤❤❤❤❤❤

  • @JeannetteKatungu-br1pj
    @JeannetteKatungu-br1pj 4 месяца назад +1

    Achsanti baba ubarakiwe n'a mungu akuzidishiye nimebarikiwa sana kuusu nywele kuusu kujipamba achsanti baba

  • @user-nw1uk1vr2q
    @user-nw1uk1vr2q 3 месяца назад +1

    Hakika injili ni uweza wa MUNGU uletao wokovu KWa mwanadamu!! NAPENDA sana injili ya kwel hii co ya kubembelezana . BARIKIWA sana Mtumishi!!!

  • @mariahyera3737
    @mariahyera3737 4 месяца назад +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu. Unahubiri kweli ya Mwenyezi Mungu. Mungu aendelee kukutumia viwango hadi viwango.

  • @hegikibaby1120
    @hegikibaby1120 2 месяца назад

    Ubarikiwe mchungaji, nimepata kuyafahamu baadhi ya mambo ambayo sikuwa nayafahamu. Mungu anisaidie

  • @user-fv7kn1bb4l
    @user-fv7kn1bb4l 3 месяца назад +1

    Ubarikiwe sana mtu mtumishi wa Mungu ume nijenga

  • @ednaabyudi8465
    @ednaabyudi8465 3 месяца назад

    ❤❤❤ kwa jina la yesu kristo wa watakatifu wa nami naomba nifunguliwe

  • @user-wr4rs6ul3r
    @user-wr4rs6ul3r 2 месяца назад +1

    Papa ubarikiwe Sana mimi ni mwanafuzi wako uku Congo katanga ku kolwezi

  • @user-kz9ye6gl3t
    @user-kz9ye6gl3t 3 месяца назад +1

    Mungu akubariki sana aendelee kukutunza uendelee zaidi na zaidi Amina
    1:01:11

  • @davidtvonline6020
    @davidtvonline6020 4 месяца назад +1

    I'm proud to be Here..Praise The LORD❤❤❤

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 14 дней назад

    AMEN

  • @user-tw2uw8zx5g
    @user-tw2uw8zx5g 2 месяца назад

    Neno la Mungu ni upanga linakata, Mtumishi wa Mungu ukweli Mungu amekuita 🙏🙏

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 14 дней назад

    Amen

  • @MwlZachariahSeperetv
    @MwlZachariahSeperetv 2 месяца назад

    Kumbe akina Moses Kolola wanaishi, MUNGU akubariki sana, umeni inspired sana

  • @elijahnyamwange3520
    @elijahnyamwange3520 2 месяца назад

    Great great Man of God thanks for your spiritual message

  • @marrykisege1501
    @marrykisege1501 2 месяца назад

    Neno la Mungu no moto ubarikiwe mtumishi

  • @PhilbertDanieliNsemwa
    @PhilbertDanieliNsemwa 2 месяца назад

    Nabalikiwa sana mtumishi wa Bwana Yesu akutunze sana

  • @eliabaraka440
    @eliabaraka440 3 месяца назад +1

    Hakika una roho wa Mungu ...Ubarikiwe

  • @queenmwanzia3283
    @queenmwanzia3283 3 месяца назад

    Barikiwa sana mtumishi,kupitia haya maombi yangu eeeh mungu kutana na maitaji yangu masaaa haya

  • @DastanKitojo-bo1cc
    @DastanKitojo-bo1cc 3 месяца назад

    Mchngaji ubarikiwe nabarikiwa sana mungu anatenda kazi ndani yako sifa na utukufu ni kwa mungu

  • @jakoboamon9402
    @jakoboamon9402 2 месяца назад

    Abiud Mungu akubariki sana Kwa injili ya uzma

  • @emanueldaffi
    @emanueldaffi 4 месяца назад

    Mungu akubariki abiud nakumbuka ulkujaga bbt kuhubr nilbarikiwa San! Mungu atuepushie na dhiki kuu

  • @LesikariLukumay
    @LesikariLukumay 2 месяца назад

    Amen Glory to God be blessed Man of God

  • @smartmwakipesile3842
    @smartmwakipesile3842 3 месяца назад +1

    Amina baba Mungu akubariki sana

  • @user-ni2zp5dc8k
    @user-ni2zp5dc8k 3 месяца назад

    Tes cantiques m inspirent vraiment. Que Dieu te bénisse.

  • @NsengiyumvaEmile-xu3ir
    @NsengiyumvaEmile-xu3ir 2 месяца назад +1

    Mimi murundi nampenda Sana abiud namufatiliya Sana.

  • @HendryLema
    @HendryLema 2 месяца назад

    Amen Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @nicolasnkembo4997
    @nicolasnkembo4997 Месяц назад

    Mchungaji Abiudi Mungu akuzidishe

  • @rhodarichard7114
    @rhodarichard7114 3 месяца назад

    ❤❤🎉 ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @user-cz9vm8tq3m
    @user-cz9vm8tq3m 3 месяца назад

    Asante Yesu Kwa neno .Nimefunguka

  • @godsonkaaya595
    @godsonkaaya595 Месяц назад

    Amina kubwa kwa somo zuri la kujenga kanisa.

  • @NsengiyumvaEmile-xu3ir
    @NsengiyumvaEmile-xu3ir 2 месяца назад +1

    Mungu akup mwisho muzuri

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely2928 2 месяца назад

    Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @user-rh9sc6fi8h
    @user-rh9sc6fi8h 4 месяца назад

    Ubarikiwe sana MUNGU akubariki sana

  • @RubenZephania
    @RubenZephania Месяц назад

    Ameen,hakika nimebarikiwa nahili somo

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 4 месяца назад

    Amina sana baba Mungu akubaliki

  • @clianusalfred1400
    @clianusalfred1400 4 месяца назад

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu

  • @user-uy2xm1lj1s
    @user-uy2xm1lj1s 4 месяца назад

    Mungu akupe maisha marefu ili useme matendo makuu ya mungu

  • @apostletom8401
    @apostletom8401 2 месяца назад

    This sermon is really a blessings

  • @user-jj1no2hc4f
    @user-jj1no2hc4f 4 месяца назад

    god blessed prophet

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 4 месяца назад

    Ubarikiwe Sana mtumishi 🙏🙏

  • @RafikiMpolee
    @RafikiMpolee 4 месяца назад

    Abiudi nabarikiwa sana sana yani toka nyimbo zako

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 4 месяца назад +2

    Umependeza mtumishi

  • @marthabenard3723
    @marthabenard3723 4 месяца назад

    MUNGU akubariki baba mchungaji

  • @davidmembedalamethepsalmis2885
    @davidmembedalamethepsalmis2885 3 месяца назад

    Powerful massage to the church

  • @JudithElias-ig5nb
    @JudithElias-ig5nb Месяц назад

    Ubarikiwe naMUNGU akutunze

  • @mordecaiokumu4855
    @mordecaiokumu4855 2 месяца назад

    Be blessed man of God for the wise word of wisdom.

  • @YALLASMASANJA-br7tx
    @YALLASMASANJA-br7tx 4 месяца назад

    Mtumishi wa mungu haya unayoyaongea ni kweli kabisa leo hii kanisa na wana dunia huwezi kuwatofautisha . Wana wa mungu wengi wamemezwa na dunia na shetani amewafunika, Hivyo tunahitaji kuwapata watumishi wangu wenye ufunuo wa
    Mungu ndani yao.
    .

  • @user-ok4xx9pq6k
    @user-ok4xx9pq6k 4 месяца назад

    Asante sana kwakuwa mtoto wako aliotishwa ndoto ukamsikiliza

  • @user-sk7gw8zz9c
    @user-sk7gw8zz9c 4 месяца назад

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @FURAHATWINZI
    @FURAHATWINZI 3 месяца назад

    MUNGU akubariki Mtumishi

  • @user-kv4ub1mr3s
    @user-kv4ub1mr3s 3 месяца назад +1

    Mchungaji wetu yeye anaombea bule wewe amini tu kuwa Mungu anaponya utapona tu balikiwa mtumishi Abyudi Mishori

  • @user-jt2en7vu5f
    @user-jt2en7vu5f 3 месяца назад

    Mungu akubariki kwa huduma

  • @dennismasira8992
    @dennismasira8992 3 месяца назад +1

    Mbona unajiita jina la Mungu zaburi 111:9

  • @queenmwanzia3283
    @queenmwanzia3283 3 месяца назад

    Nabarikiwa kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @alphonsemanirakiza3998
    @alphonsemanirakiza3998 3 месяца назад

    Mungu akupe maisha malef

  • @user-bw1mq4en7h
    @user-bw1mq4en7h 3 месяца назад +1

    Hili ndio neno la kupeleka mtu kwe nye uzima wa milele kweli kweli

  • @JuliusChiponda
    @JuliusChiponda 4 месяца назад +1

    Amen 🙏🙏🙏 mtumishi Mungu Akubariki Sana

  • @Pastorgumbo
    @Pastorgumbo 4 месяца назад

    Amina Mtumishi wa Mungu

  • @marymwabi7870
    @marymwabi7870 3 месяца назад

    Amina mchungaji n ukweli mtupu

  • @kevinowenga5201
    @kevinowenga5201 3 месяца назад

    Mtumishi wa mungu barikiwa sana

  • @francoismalenge1373
    @francoismalenge1373 3 месяца назад

    Amen Amen Amen 👏👏👏👏

  • @user-xs4vf3vu1c
    @user-xs4vf3vu1c 2 месяца назад

    Mungu akubariki sanaaa

  • @jembelayesumakimbiliotempl4168
    @jembelayesumakimbiliotempl4168 3 месяца назад

    Hongera sana Mkuu

  • @anneokaka8213
    @anneokaka8213 3 месяца назад

    Hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙌🙌

  • @MeshackAngel-kc2gc
    @MeshackAngel-kc2gc 4 месяца назад

    Yesu azid kukutumia

  • @rizikidada9790
    @rizikidada9790 Месяц назад

    Yani napona jamani tupate wapi mtu kama huyu ambaye Mungu anaka ndani yake mchungaji unahubiri kweli ya Mungu bila kupindisha tupate wapi watu kama wewe barikiwa sana

  • @kellsraphael7289
    @kellsraphael7289 2 месяца назад

    Ubarikiwe sana baba

  • @yunistanley3354
    @yunistanley3354 Месяц назад

    Barikiwa baba🙏

  • @EmmanuelSanga-ts8fk
    @EmmanuelSanga-ts8fk 4 месяца назад

    Mchungaji upo Rohoni asante kwa Mungu kwa kuwa na watu kama hawa bado duniani maana sasa tupo zama za mwisho nimeona uzima moyoni mwangu baada ya kukusikia

  • @johnsonbarasa9869
    @johnsonbarasa9869 2 месяца назад

    Nafuatilia kutoka Kenya 🇰🇪 Mungu akulinde mtumishi Mishioli.

  • @BerindaKimaro
    @BerindaKimaro 2 месяца назад

    Kuhusu mapambo ni kweli sio mazuri sku 1 nilionyeshwa mtu kafumua lasta wadudu wanatoka nikaogopa sana Mungu atusaidie balikiwa sana baba somo zuri sana.

    • @rosemarynyabenda3131
      @rosemarynyabenda3131 2 месяца назад

      twabwite Muchungaji MUNGU AKUBALIKI SANA na akupenguvu uendereehivo

  • @samwelmassawe3833
    @samwelmassawe3833 4 месяца назад

    Mungu wa mbingu na inchi tusaidio

  • @user-tm6zp7ge4i
    @user-tm6zp7ge4i 3 месяца назад

    Mungu awenawe kwakazi zake

  • @DelphinNgoy-tf2zz
    @DelphinNgoy-tf2zz 3 месяца назад

    🎉❤mungu anipe ekima

  • @jacklinekimaro302
    @jacklinekimaro302 4 месяца назад

    Mungu nisaidie niyajue mapenzi yako

  • @ClaraUrio
    @ClaraUrio Месяц назад

    Barikiwa Mt

  • @niyiesther6571
    @niyiesther6571 4 месяца назад

    Ameeen. Huo ni ukweli bana

  • @user-dr8kg5ry7h
    @user-dr8kg5ry7h 3 месяца назад

    Nasimama kupitia nyimbo zako ubarikiwe milele

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 4 месяца назад

    Nasikiliza nikiwa nairobi am blessed

  • @MeshackAngel-kc2gc
    @MeshackAngel-kc2gc 4 месяца назад

    Asante yesu

  • @user-pf8ek2kj8n
    @user-pf8ek2kj8n 4 месяца назад

    Mtumich Wa mungu unaongea ukweri kapisa mungu akusaitie upikie wengi naomba unisaidie na maombi

  • @user-ck1eu9wv9u
    @user-ck1eu9wv9u 4 месяца назад

    Amen mtumishi

  • @user-pf8ek2kj8n
    @user-pf8ek2kj8n 4 месяца назад

    Mtumich Wa mungu unaongea ukweri kapisa mungu akusaitie upikie wengi

  • @user-ms1rq1uz5w
    @user-ms1rq1uz5w 2 месяца назад

    Mungu atupe majo tuone mafijo ya shetani