- Видео 197
- Просмотров 15 791 192
Mch. Abiud Misholi
Танзания
Добавлен 6 фев 2022
Pastor Abiud Misholi is a Tanzanian Gospel Singer,He is touching many people around the World through Songs and preachings. Many Saved and heald through Ministries which Abiud Misholi doing through God's help.
Be blessed through all Songs on this Account.
Contact : +255754045328
Email : abiudmishori500@gmail.com
Be blessed through all Songs on this Account.
Contact : +255754045328
Email : abiudmishori500@gmail.com
JINSI YA KUJUA MAKANISA YENYE IMANI POTOVU NA MCH. ABIUD MISHOL
JINSI YA KUJUA MAKANISA YENYE IMANI POTOVU NA MCH. ABIUD MISHOL
Просмотров: 11 952
Видео
SOMO: HESHIMA YA MUNGU IPO WAPI . MCH. ABIUD MISHOLI
Просмотров 9 тыс.Месяц назад
SOMO: HESHIMA YA MUNGU IPO WAPI . MCH. ABIUD MISHOLI
EPUKA HUKUMU IJAYO UPANGA UNAKUJA NA ABIUD MISHOLI
Просмотров 7 тыс.Месяц назад
EPUKA HUKUMU IJAYO UPANGA UNAKUJA NA ABIUD MISHOLI
JE WAJUA? AINA YA VIBURI VYA UZIMA NA MCHUNGAJI ABIUD
Просмотров 3,9 тыс.Месяц назад
JE WAJUA? AINA YA VIBURI VYA UZIMA NA MCHUNGAJI ABIUD
MCH. ABIUD ATAKUWA MBASHARA USIKOSE KUMFUATILIA
Просмотров 1,6 тыс.Месяц назад
MCH. ABIUD ATAKUWA MBASHARA USIKOSE KUMFUATILIA
KONGAMANO LA MAOMBI MARA DAY 2 MCH ABIUD MISHOLI
Просмотров 3,1 тыс.3 месяца назад
KONGAMANO LA MAOMBI MARA DAY 2 MCH ABIUD MISHOLI
DAY 5 maombi ya familia na mch abiudi Mwanza
Просмотров 1,1 тыс.4 месяца назад
DAY 5 maombi ya familia na mch abiudi Mwanza
DAY 4 MAOMBI YA FAMILIA NA WATOTO MWANZA
Просмотров 1,7 тыс.4 месяца назад
DAY 4 MAOMBI YA FAMILIA NA WATOTO MWANZA
DAY 3 MWANZA SOMO: MAOMBI YA FAMILIA ( KILIO CHA WATOTO KIMEFIKA MBINGUNI )
Просмотров 1,5 тыс.4 месяца назад
DAY 3 MWANZA SOMO: MAOMBI YA FAMILIA ( KILIO CHA WATOTO KIMEFIKA MBINGUNI )
KONGA MANO LA MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU KWA WATOTO WETU DAY 3
Просмотров 1,1 тыс.4 месяца назад
KONGA MANO LA MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU KWA WATOTO WETU DAY 3
KONGAMANO LA WATOTO NA FAMILIA DAY 2 EAGT BLOCK T MBEYA DAY 2
Просмотров 1,1 тыс.4 месяца назад
KONGAMANO LA WATOTO NA FAMILIA DAY 2 EAGT BLOCK T MBEYA DAY 2
MAOMBI YA WATOTO NA FAMILIA DAY 1 EAGT BLOCK T MBEYA 2024
Просмотров 1,8 тыс.4 месяца назад
MAOMBI YA WATOTO NA FAMILIA DAY 1 EAGT BLOCK T MBEYA 2024
KONGA MANO LA MAOMBI ARUSHA DAY 4 MWALIM NA MHUBI RI MCH. ABIUD MISHOLI
Просмотров 3,6 тыс.5 месяцев назад
KONGA MANO LA MAOMBI ARUSHA DAY 4 MWALIM NA MHUBI RI MCH. ABIUD MISHOLI
KONGA MANO LA MAOMBI ARUSHA DAY 2 MWALIM NA MHUBIRI MCH. ABIUD MISHOL
Просмотров 5 тыс.5 месяцев назад
KONGA MANO LA MAOMBI ARUSHA DAY 2 MWALIM NA MHUBIRI MCH. ABIUD MISHOL
KONGA MANO LA MAOMBI ARUSHA DAY 1
Просмотров 3,2 тыс.5 месяцев назад
KONGA MANO LA MAOMBI ARUSHA DAY 1
MCH. ABIUD ANAWALIKA KWENYE MKUTANO WA INJILI UNAO ENDELEA ARUSHA
Просмотров 1,1 тыс.5 месяцев назад
MCH. ABIUD ANAWALIKA KWENYE MKUTANO WA INJILI UNAO ENDELEA ARUSHA
IBAADA YA TAR 07-0 7 -2024 BLOCK T MBEYA MHUBIRI MCH. ABIUD
Просмотров 3,9 тыс.5 месяцев назад
IBAADA YA TAR 07-0 7 -2024 BLOCK T MBEYA MHUBIRI MCH. ABIUD
IBAADA YA TAR 02- 06- 2024 BLOCK T MBEYA MUHUBIRI MCH. ABIUD MISHOLI
Просмотров 3,3 тыс.5 месяцев назад
IBAADA YA TAR 02- 06- 2024 BLOCK T MBEYA MUHUBIRI MCH. ABIUD MISHOLI
Mungu yupo - Mrs. Abiud Misholi (Official Music Audio).
Просмотров 3,2 тыс.5 месяцев назад
Mungu yupo - Mrs. Abiud Misholi (Official Music Audio).
Yesu Nakupenda - Mrs. Abiud Misholi (Official Music Audio).
Просмотров 4,5 тыс.5 месяцев назад
Yesu Nakupenda - Mrs. Abiud Misholi (Official Music Audio).
MKUTANO WA INJILIULIO FANYIKA ARUSHA 2024: SOMO YESU NI NURU MUHUR MCH. ABIUD
Просмотров 6 тыс.6 месяцев назад
MKUTANO WA INJILIULIO FANYIKA ARUSHA 2024: SOMO YESU NI NURU MUHUR MCH. ABIUD
Dhambi mpya Hiihapa : Mch Abiud Misholi
Просмотров 113 тыс.6 месяцев назад
Dhambi mpya Hiihapa : Mch Abiud Misholi
Ibaada ya Tar 26 5 2024 EAGT BLOCK T Mbeya Muhubiri MCH: Abiud Misholi
Просмотров 8 тыс.6 месяцев назад
Ibaada ya Tar 26 5 2024 EAGT BLOCK T Mbeya Muhubiri MCH: Abiud Misholi
SINDANO YA MOTO KWA WAFANYABIASHARA
Просмотров 23 тыс.6 месяцев назад
SINDANO YA MOTO KWA WAFANYABIASHARA
Nataka nikujue Yesu - Mrs. Abiud Misholi (Official Music Audio).
Просмотров 3,9 тыс.7 месяцев назад
Nataka nikujue Yesu - Mrs. Abiud Misholi (Official Music Audio).
IBAADA YA KUSIFU NA KUABUDU TAR 3 3 2024 EAGT BLOCK T MBEYA
Просмотров 1,6 тыс.7 месяцев назад
IBAADA YA KUSIFU NA KUABUDU TAR 3 3 2024 EAGT BLOCK T MBEYA
SOMO: NINI MAANA YA UNYAKUO BY MCH ABIUD MISHOLI
Просмотров 19 тыс.7 месяцев назад
SOMO: NINI MAANA YA UNYAKUO BY MCH ABIUD MISHOLI
Mtumish Mimi Grace kihwili mungu akuweke miaka mia na 40tunakupenda sana kutoka songea'
2025bado unanibariki naitwa Grace kihwili
Nani yupo Leo 2025❤❤❤❤❤
Mungu akubarik mtumish
Ameeeeen
Yesu tuangazie Dunia mzima tukujue wewe❤❤
Mungu wangu pita kwangu 2025😢🙏
2025 my God don't let the year to pass without my miracle
May God hold our hand.
Mungu awabarki watumish wangu hamlali kwaajil yetu mnatuombea usku na mchan mungu awatie nguv
Mungu nitendee na mim ni muhitaj na familia yangu🙏🙏🙏
Ni wimbo mzuri sana MUNGU ni mwema katika tupitiayo 🙏
😭😭😭😭🙌🙌🙌oooo God guide my steps stay with me holy spirit 🙏
Mimi ni mkristo tuache ushabiki wa kidini Mchungaji Abiud anaongea ukweli wapo wakristo wamepona kama huyu mama alivyopona hata waislamu ukiamini na kukiri lazima upone swala ni kwamba amini kwamba Mungu anaponya
Amen sana. Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
BWANA YESU ASIFIWE SANA MCHUNGAJI nakuelewa sana naomba uhubiri na swala la watu kutumia biblia za kwenye simu naona hata uyo kiongozi hapo juu unasema fungua kitabu furani yeye anachukua simu na kislide tu hata biblia hana mkemee na yeye na watu kama hao hata madhabahu hawaiheshimu mtu wa MUNGU.
❤❤
Barikiwa sana na Mungu wa mbinguni
Simama kwenye maisha yetu mung
Bwana mungu nakupenda saana,mwaka bila kutenda muujiza baba
AMINA
Pasteur ABIUD Je vous remercie beaucoup pour ce son et votre prière. Vous avez raison de chanter Le Nom de JÉSUS CHRIST. C'est Le Nom de JÉSUS qui nous bénis et nous sauve.
Amen
Mungu asimame na wewe unayepitia wakati Mgumu hivi Sasa.
Wimbo wangu bora , Mungu simama mwenyewe 😢
Amen mchungaji neno sahaihi kabisa kwetu wazazi
Yes miujiza itendeke katika jina la YESU KRISTO
Ee baba ahsante Kwa kunisimamia maana bila kusimama ww mm nisingefika hapa nilipo, baba endelea kusimama mwenyewe katika maisha yangu na watoto wangu
😭2025🙏
Amen 🙏🏼
😭😭2025🙏
Amina mtu wa kristo yesu nakuelewa sana
Hakika kumtegemea mwenyezi ndio kila kitu kumtoa mawnae mpendwa yesu kristo ili kuweza kutuokoa na zambi zetu wanadamu
Asante Mungu wangu
Nigeukie na mm yesu nimedharaulika san
Tenda Mungu kwangu Mwaka huu wa 2025
2025 MUNGU nakuomba upite kwangu🙌😭ukawe mwaka wa ushuhuda kwangu
Naiman MUNGU utatenda muujiza mwaka huu 3/1/2025🙇🙇
Amen
Uongezewe tu myaka ili tupone❤❤❤❤
Tenda mjiza mungu wangu mwaka huu2025🎉
Ukweli mm nilikataa kushikwa kichwa na mwanamke nikambiwa mshamba
Mungu asiache Saa ipite bila kunitendea muujiza mu kazi Niko ndani hii le03/01/2025 namusihi Mungu saana
Damu ifunike 2025
2025 wangapi tuko hapa
Mimi ni muislamu ila napenda nyimbo zako
Mungu azidi kukupa maarifa ya kutufungua baba
❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤😂