Dhambi mpya Hiihapa : Mch Abiud Misholi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 565

  • @WilsonKasian
    @WilsonKasian 3 месяца назад +4

    Mungu amekupa neema kubwa mch misholi maana wito wako ni wa kipekee sana nakuombea mungu aendelee kukutumia kwa ishara na miujiza

  • @tunugujobu3255
    @tunugujobu3255 4 месяца назад +19

    Nataman sana kukuona Baba unisheke Mkono nikiu yangu ya mda mrefu nataman uniongoze sala ya toba nitembee katka misingi ya Mungu unayopita ww ni kiu yangu Baba

  • @safieltemuofficial5375
    @safieltemuofficial5375 4 месяца назад +7

    Ninaikubali sana injili ya huyu mtumishi wa Kristo hii ndiyo injili niliyoisikia miaka ya 80 hd leo ninampenda Yesu barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @mutashobyamutashobya
    @mutashobyamutashobya 4 месяца назад +4

    Mtumishi wa Mungu aliye hai unanikumbusha injili ishiyo goshiwa ya baba yetu mzee Moses Kulola....peace be with him

  • @DanielMlelwa-p6w
    @DanielMlelwa-p6w 3 месяца назад +2

    Baba yangu wa ubatizo Nakupendaa Sana BWANA MUNGU WETU AWE NAWEEE❤❤❤

  • @jamesloshilunye414
    @jamesloshilunye414 5 месяцев назад +16

    Wana heri kondoo uwalishao kwani wanalelewa na mchungaji wa kweli Mungu akutie nguvu mchungaji 🙏🏿🙏🏿

  • @verdianamwageni796
    @verdianamwageni796 5 месяцев назад +4

    Mchungaji wa pekee sana na wengine wahubiri hivyo.ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.

  • @apostlepetermponzi8690
    @apostlepetermponzi8690 5 месяцев назад +14

    Mchungaji Abiud Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu NAKUOMBEA huduma yako izidi UBARIKIWE sana Baba yangu

    • @mch.abiudmisholi
      @mch.abiudmisholi  5 месяцев назад +1

      Ameen

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 4 месяца назад

      @@mch.abiudmisholi mchungaji niombee mm dhambi Zinanisonga nampenda yesu lkn dhambi Bado zinanizonga , nikfanya dhambi Huwa naumia sana lkn kuacha siwez

  • @ThomasNgovi-g1p
    @ThomasNgovi-g1p 4 месяца назад +7

    Niwa chache mapasta wenye injili yakweli walio Baki mungu akubariki sana .

  • @felistervenance8863
    @felistervenance8863 5 месяцев назад +25

    Ashukuriwe Mungu aliyefanya uzaliwe katika nchi hii;;;
    Wewe ni wa thamani sana pamoja na mama Mungu wa mbinguni awatunze na kuwalinda kila siku...

    • @jonathandulle
      @jonathandulle 5 месяцев назад +4

      Umenena vyema Sana felister ,Mungu awalinde Sana watumishi wetu hawa

  • @dariabirungi7643
    @dariabirungi7643 3 месяца назад +1

    Mungu wa mbinguni akubariki sana na akutunze,maana lipo jambo liliona nilakawaida sana kumbe mbele za Mungu ni chukizo kubwa,Eeeh Mungu anirehemu na kunisaidia nitembee katika njia kamilifu siku zote, Mungu akubariki na aendelee kukutumia kwa viwango vikubwa.

  • @JoyceMtambo-d1l
    @JoyceMtambo-d1l 4 месяца назад +2

    Nimepona kwa kweli maana ilikuwa ndiyo tabia yangu kuanika nguo za ndani nje ahsante Yesu kwa ajili ya mtumishi wako huyu hakika nimeponaaaa

  • @neemakawogo5479
    @neemakawogo5479 5 месяцев назад +7

    Ni zamu yangu kurudishwa nimegundua dhambi yang ambayo nilichukulia vyepes Mungu asante

    • @mch.abiudmisholi
      @mch.abiudmisholi  5 месяцев назад +1

      Neema ya Mungu ikuwezeshe.

    • @thomaskasubi3126
      @thomaskasubi3126 3 месяца назад +1

      ​@@mch.abiudmisholibaba Yesu akutunze kwaajili ya kizazi chetu

  • @JosephateOsalo
    @JosephateOsalo 4 месяца назад +1

    Preys lord Jesus Christ hakika neno la kiristo ni tamu na ni upanga kwa wale waovu.hakika naendelea kubadilishwa kila kuchapo mungu akutie nguvu mtumishi kwa jina la yesu kiristo

  • @IssacNtacho
    @IssacNtacho 4 месяца назад +1

    Nakupenda sana mchungaji tangu utotowangu nilikuwa nikipenda nyimbo zako ,,nasasa nishakuwa mtu mzima

  • @jamesloshilunye414
    @jamesloshilunye414 5 месяцев назад +20

    Injili ya kristo ni tamu sana ikihubiriwa na walio pewa na Mungu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @AnnaPastory-r2c
    @AnnaPastory-r2c 2 месяца назад

    Asante YESU KRISTO maana bado unatupenda unatunoa kilasiku iitwapo leo. MUNGU akubariki baba kwakunena kweli ya MUNGU nyakati hizi niwachache sana wanao kemea dhambi kaza buti uufikie mwisho mwema baba.

  • @ChangalaweSamwel
    @ChangalaweSamwel 4 месяца назад +1

    MUNGU akubaliki, akulinde, kiuhalisia mmebakia wachache sana kama wewe (God bless you.

  • @BarakaMathew-zv1yy
    @BarakaMathew-zv1yy 5 месяцев назад +12

    Mungu akupe mwisho mwema baba wa watu wengi

  • @festofrank-z3m
    @festofrank-z3m 4 месяца назад +1

    Amen ubarikiwe mtumishi wa mungu sana wew ni mtumishi wa kweli kabisa.

  • @catherinemutindi5031
    @catherinemutindi5031 5 месяцев назад +2

    Ni kweli watu Wameuvua mwenendo Wa kale Na kuishi kisasa .Ohio yesu tusaidie.barikiwa mtumishi

  • @jamesdimosso2601
    @jamesdimosso2601 4 месяца назад +1

    Mungu akutunze sana mtumishi, huduma yako ni yenye hekima ya Mungu.

  • @VeronicaEdesiusBernard
    @VeronicaEdesiusBernard 5 месяцев назад +11

    Ee Bwana Yesu nisaidie peke yangu siwezi

  • @THEODORATHEONEST
    @THEODORATHEONEST 4 месяца назад +1

    Amina baba, Mungu anipe moyo wa Toba na zaidi kuhisikia sauti yake na kuifata.

  • @ElisafiMndeme-jd5wb
    @ElisafiMndeme-jd5wb 3 месяца назад +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, sema iliyokweli usimwogope yeyote

  • @LucyLucy-q2e
    @LucyLucy-q2e 4 месяца назад +1

    Mungu anisaindiye niweze kukaa kwa njia zake asanti kwa mafundisho amen

  • @mnyakyusambunifu143
    @mnyakyusambunifu143 4 месяца назад +1

    Duuuu Mnyakyusa Mbunifu Nakuelewa Saana Mtumishi Mungu Aendelee Kukutunza Tuendelee Kujifunza Vitu Vingi Kwako

  • @frolawiliam2549
    @frolawiliam2549 2 месяца назад

    Baba Mungu aendelee kukupa Afya Njema ili utufundishe nakukubali sana mpendwa wangu

  • @kichwachafamilia
    @kichwachafamilia 5 месяцев назад +51

    Mungu nipe kaz tofaut na upakarangi ili nishi katika uwep wako

  • @FabiolaAntony-up7ih
    @FabiolaAntony-up7ih 5 месяцев назад +3

    Mtumishi wa
    Mungu paza sauti tupone, Asante
    Mungu kutupa maonyo

  • @MOSHIMOSHI-d9y
    @MOSHIMOSHI-d9y 4 месяца назад +1

    Mungu akubaliki sana mtumishi wa mungu azid kukupa ufunuo wa wakat tunaoishi na ahadi zilizotia ktk kizaz hiki ame

  • @TrezaPeris
    @TrezaPeris 5 месяцев назад +7

    Thank you for preaching the true gospel

  • @isaacjosephjoseph2733
    @isaacjosephjoseph2733 5 месяцев назад +4

    Natamani sana hushiliki chakula hiki Cha uzima nikizuri mno mimi nakitafuta sikipati dunia imejaa manabii wauongo tupu hakuna NENO tena.

  • @maernov4257
    @maernov4257 5 месяцев назад +1

    Asante YESU kwajili ya mafundisho naomba roho mtakatifu anisaidie kuelewa neno la MUNGU

  • @VuyoVezi-g8t
    @VuyoVezi-g8t 4 месяца назад +1

    Barikiwe sana mtumishi MUNGU akuongezey zaidi

  • @augenmagabila3081
    @augenmagabila3081 5 месяцев назад +14

    Haya ndiyo mafundisho yenye uhai na wokovu wetu wa kweli unadhirika hapo. Jina la YESU KRISTO Lihimidiwe. AMINA.

    • @GroliaKamugisha
      @GroliaKamugisha 5 месяцев назад

      Mafundisho ya Yesu kristo yapo kwenye vitabu fine vya injili ok?

    • @augenmagabila3081
      @augenmagabila3081 5 месяцев назад

      @@GroliaKamugisha NDIYO, MCH, ANAPOSEMA HAIKUANDIKWA, IMEANDIKWA NA ALIYEBUNI HIYO DHAMBI ALISOMA vitabu yaani Biblia inapotaja TAMAA YA MWILI.

    • @joykapaya1970
      @joykapaya1970 3 месяца назад +1

      Aminaa.

  • @jakoboamon9402
    @jakoboamon9402 4 месяца назад +1

    Baba abiud Mungu akulinde kilcho ndn yako ni msaada Kwa kanisa LA leo

  • @joycejosephat
    @joycejosephat 2 месяца назад +1

    Inahudhunisha saaaana,Eeh mwenyezi Mungu uturehemu

  • @FranciWami
    @FranciWami 2 месяца назад +1

    Amina pastor Mungu Akubariki saana .

  • @Mwakyambikifuraha
    @Mwakyambikifuraha 5 месяцев назад +3

    Mchungaji mungu Akupe maisha marefu wewe unamahubili ya yesu huo ni wokovu wa kweli

  • @Charisma1994
    @Charisma1994 5 месяцев назад +1

    Mungu wa mbinguni akubariki sana Baba kwa kuihubiri injili ya kweli. Ulindwe siku zote, na mataifa yapate kusikia mafundisho haya wapate kumrudia Muumba wao kwa toba ya kweli. Amina 🙏

  • @kevinMwiva
    @kevinMwiva 5 месяцев назад +3

    That's the spirit of Jezebel.God bless you Man of GOD

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 5 месяцев назад +2

    Na Mungu atuponye tuache kutetea dhambi maana ulimwengu wa Sasa mtihani Sana watu wanachukua baadhi ya vitu na kuvipa alali kama sio dhambi ila njia Ile ni nyembamba iyendayo uzimani ndo utajua kwann ni nyembamba.

  • @jonahyator1864
    @jonahyator1864 Месяц назад

    Thanks pastor Abuid to teaching the church the truth about sin

  • @Sahimu-v3c
    @Sahimu-v3c 2 месяца назад +1

    Asante mtumishi wa mungu umenisaidia nimejifunza

  • @samuelthiga4776
    @samuelthiga4776 5 месяцев назад

    Mafunuo na mafundisho mazuri ambayo Mungu amekupa,utukufu wote kwake.Mungu akuzidishie Neema.From 🇰🇪

  • @martinmligo302
    @martinmligo302 5 месяцев назад +2

    Mungu turehemu watoto wako...Amina.🙏🏻

  • @JöelWasolu
    @JöelWasolu 5 месяцев назад +1

    Asante sana baba mchungaji umeni jenga sana kwa injili ilio hai uwinuliwe mtumishi wa Bwana Mungu

  • @MsotoMsoto-y9x
    @MsotoMsoto-y9x 3 месяца назад +1

    Amina mungu akutie nguvu uzidi kunyoosha kanisa lake

  • @ElishaBenson
    @ElishaBenson 5 месяцев назад +2

    Amina baba unge kuwa baba yangu ninge kuwa mbali zaidi ya hapa nilipo

  • @PaulNdonga-ns1vd
    @PaulNdonga-ns1vd 5 месяцев назад +2

    CONGRATULATIONS CONGRATULATIONS FOR PREACHING THE TRUE GOSPEL
    HII DIO INJILI KWA SASA
    ×××× ...SIO KUHUBILI PESA NA UTWALIZI ...
    ONGEZEA NA TOMBA NA UTAKATIFU
    ALAFU UWAABIE YESU ANARUDI
    IVI KALIBUNI .

  • @ElizabethMafie-m1g
    @ElizabethMafie-m1g 4 месяца назад +1

    Yaaan nakuombea maisha marefu uendelee kutufunulia mambo mengi hatujui

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 5 месяцев назад +2

    Mch Abiud nakupenda Hadi mwanzo ,kuanzia nyimbo zako hadi mafundisho yako hujawahi tetea uovu

    • @mch.abiudmisholi
      @mch.abiudmisholi  5 месяцев назад

      Ameen

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe 4 месяца назад

      ​@@mch.abiudmisholi niliwai kupata muhijiza kupitia wimbo wako wa tenda muhijiza mimba ilikuwa imepitilizza baada ya siku mbili Nika jifunguaa baada yakupitiliza wiki 3😢😢😢nakumbuka ilikuwa 210

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe 4 месяца назад

      ​@@mch.abiudmisholiwiki mbili

  • @michaelwanyanga
    @michaelwanyanga 5 месяцев назад +3

    Abiud Misholi, you are one among the chosen one. Be blessed and continue with the real gospel of Jesus Christ. I'm blessed for you❤❤❤

  • @eunicesemere5555
    @eunicesemere5555 5 месяцев назад

    Barikiwa sana mtumishi umehibiri mambo makuu na ukweli dhahiri sio wachungaji wengi wanao hubiri ijili hii ni neema kubwa iko ndani yako tusaidie tujue kweli ituweke huru much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️

  • @chrizostomangelo8140
    @chrizostomangelo8140 3 месяца назад +1

    Dar nimeelewa sana baba Mungu akutunze zaidi

  • @thehenrych
    @thehenrych 5 месяцев назад

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu, Neno la Mungu ni Hakika Ndio na Kweli na Taa Mwangaza katika Maisha yetu. Neno la Leo na Mungu atu Rehemu.🙏

  • @amanipaul8741
    @amanipaul8741 2 месяца назад

    Ubalikiwe sana mtumishi!! Kweli umetumwa kwa wakatu wa watu wanao mwoyo migumu alakini kwa Kweli nakubaliana na mafunisho haa !!

  • @ClaireMakotswi
    @ClaireMakotswi 2 месяца назад

    Amen Amen and Ameeen 🤚🏿 preach and speak 🗣️ loudly the man of God

  • @MaryLoko-y2o
    @MaryLoko-y2o 5 месяцев назад +2

    Ukweli usemwe tuweze kuhurithi ufalme wa MUNGU, barikiwa sana mtumishi🇰🇪

  • @HappinessLucas-n3c
    @HappinessLucas-n3c 4 месяца назад +2

    Amen mtumishi hakika Mungu atuhurumie

  • @RehemaEmmanuel-z7g
    @RehemaEmmanuel-z7g 4 месяца назад +1

    Ameeen Baba Mungu akutunze

  • @geofreymwasaka2602
    @geofreymwasaka2602 5 месяцев назад

    Mungu akutunze pastor Abiud naomba siku moja Mungu nami anikumbuke

  • @Dorriekamu
    @Dorriekamu 4 месяца назад +1

    Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa mahubiri mazurii

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 5 месяцев назад

    Asante Mungu kwa kuzidi kufunulia watumishi wako siri za kuzimu, big up man of God.
    Hakika sisi wanaume tunaenda må salons naamini kwa injili hii tumepona.
    Nimepona kweli.

  • @gggghhhbh5755
    @gggghhhbh5755 5 месяцев назад +2

    Funzo lilo bora na ni ukweli kabisa mungu akubariki pasta Abuiid

  • @LindaJohn-fy1in
    @LindaJohn-fy1in 5 месяцев назад +9

    Ee mungu nirehemu sikuyajua haya yote nilijua nikosawa kiroho kumbe kuanika nguo za ndan ni dhambi asante mungu kwaajili ya mtumish wako abiudi umenitoa kwenye kusuka na surual hadi hapa ni neema wachungaji semeni yote ili tupone

    • @JofreyMsigwa
      @JofreyMsigwa 5 месяцев назад

      Ubarikiwe sana

    • @dastankalinga442
      @dastankalinga442 5 месяцев назад

      Barikiwa kwa kujali

    • @dastankalinga442
      @dastankalinga442 5 месяцев назад

      Waebrania 2:3 (KJV) sisi je! Tutapataje kupona, tusipojali wokovu mkuu namna hii? Ambao kwanza ulinenwa na Bwana, kisha ukathibitika kwetu na wale waliosikia;

    • @RachelRachel-zx6dx
      @RachelRachel-zx6dx 5 месяцев назад

      Ameeni kwauponyaji

    • @ireneauxley8802
      @ireneauxley8802 5 месяцев назад

      Amina

  • @anchilankobelelwa9735
    @anchilankobelelwa9735 4 месяца назад +1

    MUNGU Akubariki sana Mchungaji kutii sauti ya MUNGU hata Mimi nimekua Sikuona nguo ya ndani ya mama au ya Baba nimejifunza kutoka kwako Mtoto awezi kuomba nguo yangu ya ndani MUNGU Akubariki sana tena sana

  • @agripinagasper-ts1yx
    @agripinagasper-ts1yx 4 месяца назад

    Ahsante MUNGU akubariki Sana mch. Nimekusikia nimekuelewa nitaacha Baba

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 5 месяцев назад +1

    Mchungaji yuko sahihi kabisaaaaaaaaaaaaaaa kabisa dhambi hiiii itapeleka wengi jehanamu mnooooooooo

  • @loveandrew9694
    @loveandrew9694 5 месяцев назад +1

    Mungu aendelee kukupa unyenyevu ili uendelee kukemea dhambi na habari za Yesu kurudi....maana tumebaki na wahubiri wachache sana.

  • @verroallex9144
    @verroallex9144 4 месяца назад

    Somo kubwa na muhimu sana. Bwana Yesu azidi kukutumia kwaajili ya kanisa lake 🙏

  • @SinaidaKiswaga
    @SinaidaKiswaga 5 месяцев назад

    Ubarikiwe pastor nakuombea siku Moja uwe mchungaji wa waadventista wasabato

  • @Inkubutembo7779
    @Inkubutembo7779 5 месяцев назад +16

    Mchungaji, waambie wanawake wafunike vichwa vyao wanapoenda mbele za Bwana. Ni maagizo ya Mungu hayo.

    • @PrityKinitha
      @PrityKinitha 5 месяцев назад +1

      Na pia vifua 😨😨

    • @janengaga2928
      @janengaga2928 5 месяцев назад

      Amina

    • @OmanUsers-n5f
      @OmanUsers-n5f 4 месяца назад

      ❤❤❤❤❤❤ndio ni kweli kbc

    • @EneaIbrahim-z4j
      @EneaIbrahim-z4j 4 месяца назад +1

      Ni kweli tupu katika kitabu Cha wakorintho kinaagiza hivo

  • @rebecapanga5207
    @rebecapanga5207 3 месяца назад

    Mungu atusaidie na kuturehemu hizi ni nyakati za mwisho

  • @yohanachenge82
    @yohanachenge82 4 месяца назад

    Asante Bwana Yesu kwa kuyafunua haya kupitia mtumishi wako

  • @dominicmuoki
    @dominicmuoki 5 месяцев назад

    Mungu akubariki sana mtumishi kwa kwa kuubiri true Gospel of Jesus Christ keep it up...waambie ukweli ndio wakaweze kuwekwa huru❤

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb 5 месяцев назад

    Ahsante Yesu kwa maonyo yako kupitia Mtumishi wako. Ila huku Ulaya watu wanahitaji haya mahubiri, maana watu wamepotoka sana! Kuonyesha miili yao kwa watoto wao ilishakua ni sehemu ya maisha ya @ siku licha ya kuvaa nusu uchi huko mitaani! Nguo zao za ndani zinatupwa tupwa hovyo hadi watoto wanazichezea!! Mungu aturehemu kwakweli!

  • @RbbeatsRobbieRobbison
    @RbbeatsRobbieRobbison Месяц назад

    This is what is need ,preach my pastor

  • @RehemaElias-el3jg
    @RehemaElias-el3jg 4 месяца назад +1

    Ubarikiwe kaka user kutoka Kenya naona sana comment zako kila sehem mungu ajibu haja yako

  • @RehemaElias-el3jg
    @RehemaElias-el3jg 4 месяца назад +1

    Eee mungu zidi kutufunulia zaidi ili tupone na tuwe imara

  • @barakajohn
    @barakajohn 5 месяцев назад +2

    Barikiwa sana Bishop nami nilikuwa napenda kunyoa kwenye berbar shop hizo lakini niliacha hiyo nimeipenda nzuri, maana nikaona kabisa utukufu wa Mungu unaondoka.

    • @mch.abiudmisholi
      @mch.abiudmisholi  5 месяцев назад

      Ubarikiwe sana

    • @mesamale
      @mesamale 5 месяцев назад

      ​@@mch.abiudmisholi
      Baba Nina jambo naomba nikufuate inbox

  • @AidaRaphael
    @AidaRaphael 5 месяцев назад

    ❤ Asante YESU kwa ujasri uliompa mtumishi wa wako, YESU Tuponye.❤

  • @faithe4063
    @faithe4063 5 месяцев назад +2

    Awawesi itika Amen kwa maana awapendi kuambiwa ukweli ila ubarikiwe wewe mtumishi wa Mungu watu waache dhambi Yesu kristo Yu karibu kuja lasima ukweli usemwe

  • @JENIPHAIBRAHIM
    @JENIPHAIBRAHIM 5 месяцев назад +2

    Mungu akutumie zaidi kutuambia ukwel baba

  • @Bisintatv
    @Bisintatv 4 месяца назад +1

    Mtumishi Mwenyezi Amekuonyesha dhambi zilizojoficha ktk huduma ongeza na baadhi ya madaktari wakiume Kwa wanawake na wakike Kwa wanaume .

  • @KeflinSingogo
    @KeflinSingogo 5 месяцев назад

    mungu akubarik sana mchungaj wetu kik nikisikiliz mahubir yako nakuwa na amani najifunz mengi, nikikusikiliza mahubir yako hadi vinyweleo vinasisimka unaguna maish yang

  • @AnethSam
    @AnethSam 5 месяцев назад

    Barikiwa baba nimeanza kuipenda huduma yako nilikuwa sikuelewi kabisa lakini mungu alivyo anza kusema namimi hakika naelewa mafundisho yako barikiwa

  • @lukasemmanuel4614
    @lukasemmanuel4614 5 месяцев назад +2

    Uko sawa mchungaji wangu

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 5 месяцев назад

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu, ni kweli baba siku izi mambo yamebadilika sana🙌

  • @reginapeter1467
    @reginapeter1467 4 месяца назад +1

    Amen Mungu atusaidie

  • @OmbenOmary
    @OmbenOmary 4 месяца назад +1

    Barikiwa Dana Mtumishi was MUNGU songs mbele usiogope

  • @MumeloBrian
    @MumeloBrian 5 месяцев назад +1

    You are right pastor,,,,continue telling them the true

  • @jothammakenzi934
    @jothammakenzi934 5 месяцев назад

    Amen Amen Amen Servant of God. May the Lord our God Protect you. Thanks for this powerful encouragement word of God

  • @Meshack777-TANZANIA
    @Meshack777-TANZANIA 3 месяца назад +1

    Asante baba tunapona wengi sanaaaa

  • @SikujuaEmmanuel-fj4mg
    @SikujuaEmmanuel-fj4mg 5 месяцев назад

    Mungu akubariki baba ,injiri iletayo wokovu kwa mataifa yote,,tupone kabsa

  • @SamwelEnock-i2s
    @SamwelEnock-i2s 5 месяцев назад

    MUNGU wa mbingini azidi kukutunza sana Sana mtumishi wa Mungu alie hai, Mungu anisamehe sana Mimi tena Sana, watoto wangu wameona zangu, pia ata mimi nimeona za babangu maana namuuguza anaumwa alikua hajiwezi kabisa.

  • @SamwelMchungaj
    @SamwelMchungaj 5 месяцев назад

    Ubarikiwe Sana Baba mchunga
    Mungu wambinguni aipiganie utumishi wako

  • @DouglasKirimi-s9e
    @DouglasKirimi-s9e 5 месяцев назад +1

    Papa alisema yesu hata Rudi hivi karibuni.mungu saidia watu wako

  • @StivinWambuto-zy5ft
    @StivinWambuto-zy5ft 5 месяцев назад +2

    Waliobaki kuihubiri KWELI ya injili kama hii ni wachache, MUNGU akubariki mtumishi.