❤ mtumishi wa mungu balikiwa sana ndungu ,neno unalo liubili ndilo mimi napenda ,nimekuwa mwanafunzi wako kwa hii mtandao sana uwa unanibaliki sana balikiwa❤
Nilikupenda tangu wakati unaimba nyimbo zile zenyeupako hadi leo hazichuji, nafurahi mno ninapoona tena unahubiri injili ya kweli yakulisafisha Kanisa la Mungu nakuwahimiza wengine waingie katika Safina , watumishi wanaohubiri kweli ya Mungu ya namna hii kwa dunia ya sasa wamebak wachache, watumishi wa namna hii tuendelee kuwaombea lakini pia Mungu aendelee kuinua wengine waimalizie kazi hii katikati ya ukengeufu huu wakizazi hiki cha wimbi Kubwa la Mitume na mnabii wengi wauongo waliozagaa kila Kona katika nchi yetu Tz na dunia zima kwaujumla
Mungu apewe sifa ,,milele na milele Amina ,,mch ubarikiwe
Mungu akubaliki mutumishi wamungu
Amen Bwana Yesu nifungue nikujue wewe pekeyako
Barikiwa mtumishi wa Mungu
❤ mtumishi wa mungu balikiwa sana ndungu ,neno unalo liubili ndilo mimi napenda ,nimekuwa mwanafunzi wako kwa hii mtandao sana uwa unanibaliki sana balikiwa❤
Asante sana mtumishi
Amina.baba yangu wa kiroho
Baba asantii sana kwa neno nzuri
Nilikupenda tangu wakati unaimba nyimbo zile zenyeupako hadi leo hazichuji, nafurahi mno ninapoona tena unahubiri injili ya kweli yakulisafisha Kanisa la Mungu nakuwahimiza wengine waingie katika Safina , watumishi wanaohubiri kweli ya Mungu ya namna hii kwa dunia ya sasa wamebak wachache, watumishi wa namna hii tuendelee kuwaombea lakini pia Mungu aendelee kuinua wengine waimalizie kazi hii katikati ya ukengeufu huu wakizazi hiki cha wimbi Kubwa la Mitume na mnabii wengi wauongo waliozagaa kila Kona katika nchi yetu Tz na dunia zima kwaujumla
Mungu akubariki baba kwa neno zuri
Mungu ani saidie
mungu akubariki babayangu
Yesu tulehemu Baba.
🤣🤣🤣ame amee🎉🎉🎉🎉🎉waaooo hiiio❤
MUNGU wa mbinguni azidi Sana kukutetea baba yangu.
Asante sana baba mchungaji
Ubarikiwe baba
AMINA
Uyu muumba MBINGU ana nguvu kama nini barikiwa sana mtumishi wa MUNGU🇰🇪
Hakika Yesu Kristo ni NURU YA ULIMWENGU, kila ajaye kwake hatakwenda gizani kamwe.
Amen 🙏
Mchungaji mimi niko kenya nimemteleza mke wangu nimeumia sana maana hataki kuniona kabisa nashindwa kumkaribia
Amen
Amina
Baba mchungaji mm ni mkenya na pia Niko Kenya nawezapataje maogezi na wewe?
Muandikie WhatsApp kwa +254754054328
Amen .
Amen