Mch Moses Magembe - ISHARA ZA KURUDI KWA YESU | IBADA YA JUMAPILI MCHANA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 27

  • @mhelezijoackim-kl9vb
    @mhelezijoackim-kl9vb Месяц назад +15

    Kanisa la Mungu kuanzia Gcc majumba6 na kanisa lote kiujumla tumepata neema ya kuwa na mtumishi anayechimbua na kufundisha bibblia, ktk nyakat hizi mbaya za maovu meng wahubiri wengi hawafundishi haya tuyashike haya isifikie wakati tukayazoea maneno ya Mungu, Bwana Yesu tujalie kuyaelewa na kuyaishi Amen🙏🙏

  • @MushagalusaLeonard-zw8rr
    @MushagalusaLeonard-zw8rr Месяц назад +4

    Amina Mungu iko kazini

  • @GERALDHAMBAGELE
    @GERALDHAMBAGELE Месяц назад +2

    Daa mambo magumu Sana ,
    Mungu atusaidie

  • @issujar.j.francis3220
    @issujar.j.francis3220 Месяц назад +2

    Asante asante kwa kutupa ukweli huu!

  • @Felister-e5b
    @Felister-e5b Месяц назад +2

    Amen Baba, nipo Kilimanjaro ninapenda sana mahubiri yako, Mungu aliye hai azidi kuiinua huduma yako.

  • @BraitonCharo-er4pp
    @BraitonCharo-er4pp Месяц назад +1

    Ubarikiwe sana baba mchungaji, nataka hicho kitabu cha uamsho na matengenezo,nko Kenya in Mombasa county.

  • @DorcasHussein
    @DorcasHussein Месяц назад +1

    Amen baba Asante kwaku tujuza nyakati za mwisho lazima wakristo tuwe tayari kwa unyakuo

  • @PauloGerald-fx2ev
    @PauloGerald-fx2ev Месяц назад +1

    Ubarikiwe saana Baba Mchungaji

  • @MaryTemba-z2l
    @MaryTemba-z2l Месяц назад +2

    Glory be to God

  • @IsayaSchone-kt7uq
    @IsayaSchone-kt7uq Месяц назад +2

    Nakuelewa vizurii saanaa Mchungaji

  • @pastormajaliwawissa8461
    @pastormajaliwawissa8461 Месяц назад +2

    Mungu akubariki sana mwalimu wangu lakini tunaomba mfungulie kudawnroad

  • @stevenkayuni767
    @stevenkayuni767 Месяц назад +1

    Aminaaa Baba. YESU akutunze sana

  • @SalmoniCharles
    @SalmoniCharles Месяц назад +2

    Amina baba ubarikiwe sana nakufuatilia sana na ninajifunza mambo mengi kwako

  • @IkupaTimothy
    @IkupaTimothy Месяц назад +1

    Amina mtumishi .mungu akubariki sana

  • @johnsebastian-bx6qn
    @johnsebastian-bx6qn Месяц назад +2

    Amina baba

  • @Felister-e5b
    @Felister-e5b Месяц назад +1

    Mmetufungia kwenye download

  • @NgassaRaulian
    @NgassaRaulian Месяц назад +2

    Ameeni

  • @AloyceJames-e3g
    @AloyceJames-e3g Месяц назад +1

    Amen

  • @memorymakweta8253
    @memorymakweta8253 Месяц назад +1

    ......anakuja na mawingu

  • @seiyajose
    @seiyajose Месяц назад +1

    Ameeeeen hallelujah,,lakini bona mm nimechindwaa kudownload hii video why

  • @AnatoliEvarist-kf7wc
    @AnatoliEvarist-kf7wc Месяц назад +1

    Nawezaje kupata vitabu vyako? Niko arusha

  • @judithmartin9442
    @judithmartin9442 Месяц назад +1

    Achia kudowlod nije niwawekee watoto wasikilize

  • @frankluoga9651
    @frankluoga9651 Месяц назад +1

    Nakitaka kitabu Cha uamsho na matengenezo, unisaidie ntakipataje?

  • @zacharykirenga3271
    @zacharykirenga3271 Месяц назад +1

    Mutufungulie Ku Download plz ndio tuendelee Kusikia neno

    • @seiyajose
      @seiyajose Месяц назад

      Aki bona wanatufungia mimi nadhani yangu ndio iko na chida waaa kumbe iko ivo kote😢😢😢😢