Mch Moses Magembe - MISINGI YA UPENTEKOSTE | IBADA YA MWAKA MPYA 2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 105

  • @AbelnegoPhilimon
    @AbelnegoPhilimon 17 дней назад +12

    Ninafurahi jinsi pastor anavyofundisha historia ya kanisa maan wakristo wengi hatujui historia ya upentecoste, Ameni

  • @CharlesMbunda-og5tn
    @CharlesMbunda-og5tn 18 дней назад +8

    Moyo wangu unaungana nawe 100% kuna kitu ndani yako kwaajili ya kuwa mmoja wa wanamatengenezo wa kanisa! Mungu akutie nguvu!!!

  • @rev.musabalalarogersmusabalala
    @rev.musabalalarogersmusabalala 16 дней назад +4

    Mungu ni mwema tumevuka salama
    Heri ya Mwaka mpya

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 17 дней назад +9

    Ee BWANA mbariki mtumishi wako, Mch. Maghembe, Amina.

  • @Barikimgalla-u9i
    @Barikimgalla-u9i 14 дней назад +2

    Tangu MZEE aliniombea 2019 ingawa Niko kanisa tofauti Nina upako natembea kila mahali watu wanabarikiwa ASANTE kwa mafundisho MZEE wa injili.

  • @lusajolamsonmgala6184
    @lusajolamsonmgala6184 9 дней назад

    Good bless you son of God
    Watching From Israel

  • @marundimahugija8168
    @marundimahugija8168 17 дней назад +2

    Huwezi kua mkristo_ mpentekoste km haujajazwa na ROHO, na hawa wapo wengiii....na hawapo kwenye madhehebu yenye jina Upentekoste....na wanatembea na ROHO.... Hallelujah Hallelujah.... INJILI kamili ya YESU KRISTO Leta mamilioni kwa watu....nakupata vzr mnooo ...momm Lee

  • @mk7media2010
    @mk7media2010 17 дней назад +3

    From kisii Kenya I love the way rev magembe preaching

    • @chrismmwendwa7858
      @chrismmwendwa7858 14 дней назад

      From kenya kiambu County, Bwana akubariki mchungaji, uko vizuri

  • @GPASTATIONERY
    @GPASTATIONERY 17 дней назад +2

    Mungu akubariki kwa somo nzuri, kweli ni kiu yetu na shauku yetu kumuaibisha shetani na hatimaye kwenda mbinguni

  • @JacksonWailes
    @JacksonWailes 15 дней назад +1

    Asante kwa mafundisho. Tunaomba mturuhusu kipengele cha Download

  • @RehemaAmasi-o4s
    @RehemaAmasi-o4s 17 дней назад +2

    MUNGU akubariki SANA kwa fundisho la historia ya kanisa nafuatilia ibada nikiwa Mwanza.Mungu akutunze daima baba Mchungaji.

  • @mapendobahati820
    @mapendobahati820 16 дней назад +1

    Mungu akutuze Mtumishi wa Mungu from USA 🇺🇸

  • @ezekiele-m8g
    @ezekiele-m8g 17 дней назад +5

    Jameni wa tanzania hiyi ndio imani ya kweli sio mapokeo ya dini, tafazali tuifate imani hiyo tutafika mbinguni nawapongeza kutoka Congo butembo.

  • @EmanuelNiima-x6p
    @EmanuelNiima-x6p 16 дней назад +2

    Ubarikiwe baba tuko pamoja,tunabarikiwa Toka Babati Mkoa wa manyara naitwa Philemon Sulley

    • @EmanuelNiima-x6p
      @EmanuelNiima-x6p 16 дней назад

      Nataman niwe jenerali kwelikweli wa YESU KRISTO by Philemon Sulley halleluyaaaaaaa

  • @mhelezijoackim-kl9vb
    @mhelezijoackim-kl9vb 14 дней назад +1

    Hakika ilikuwa ibada njema ya kwanza ya mwaka mpya 2025 na ya baraka sana kwa wale wote tuliopata neema ya kuhudhuria siku hiyo Bwana alionekana

  • @AbelnegoPhilimon
    @AbelnegoPhilimon 17 дней назад +21

    Wapendwa mnaosikiliza mafundisho haya kama hujasubscribe tumakuomba ufanye hivyo ili uweze kupata update za mafundisho yote yatakapokuwa yameuploadiwa. AMEN!

  • @neemalwakatare6354
    @neemalwakatare6354 18 дней назад +3

    Ubarikiwe baba maana tushaanza kwenda nje ya maadili ya wokovu.Tunarekebisha makosa Sasa. Amen

  • @johnny.j.nyondo
    @johnny.j.nyondo 16 дней назад +2

    It’s bring happiness kumsikiliza.

  • @pastormatthewamabamba9902
    @pastormatthewamabamba9902 16 дней назад

    Mungu akutunze my pastor Moses Magembe.❤

  • @AJUWAYEZANAELY
    @AJUWAYEZANAELY 15 дней назад

    Tuko pamoja mtumishi wangu Mungu

  • @liberatusmathias211
    @liberatusmathias211 18 дней назад +4

    ❤Tumevuka pamoja na Bwana Yesu

  • @EGSiyaga1
    @EGSiyaga1 16 дней назад

    Mungu mkuu ahusike sana tatizo la kukatikakatika likiisha itakuwa vema sana
    Mungu awe nanyi

  • @jovitaaugustine3753
    @jovitaaugustine3753 16 дней назад +1

    Amina, Hallelujah 🙌

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 17 дней назад +2

    Oo baba mungu amekusimamisha kwa kusudi la kuwajenga watakatifu amina

  • @JanethKeiser
    @JanethKeiser 17 дней назад +1

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu Mungu akutie nguvu Baba.

  • @IsraelAmayo
    @IsraelAmayo 12 дней назад

    Na mimi nataka nishiriki nikiwa kenya kwa imani

  • @stephanopetro-zi4sx
    @stephanopetro-zi4sx 16 дней назад

    Amina, napenda sana injili iliyo hai🙌🙌

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 17 дней назад +1

    Ndiyo ndiyo, hapana hapana, safari ni kwenda mbinguni. Hakuna agenda. Safi sana

  • @justusbuleli
    @justusbuleli 17 дней назад +1

    Yu baba ni mwanaume mimi nipo mwanza atuambie lini anakuja mwanza tujiandae maana anamtetea yesu sana mungu ambaliki

  • @bishoptvalbert4112
    @bishoptvalbert4112 17 дней назад +3

    MBARIKIWE NA BWANA WOTE MNAOFUATILIA ONLINE TUKUMBUKE KUTOA SADAKA NZURI ILI KUKAMILISHA UJENZI WA KANISA LA MUNGU.
    KWA UAMINIFU WOTE MBARIKIWE NA BWANA.AMENI

  • @subgr4d3
    @subgr4d3 16 дней назад

    Mzee yuko vizuri sana tumuombee katika huduma yake

  • @KennedyClaveryPetro
    @KennedyClaveryPetro 15 дней назад

    Jamani fungueni tawi jipya la kanisa ata bukoba tumesubiri kwa shauku kuu

  • @shukuruesther7724
    @shukuruesther7724 18 дней назад +2

    Bwana Yesu asifiwe sana. Napenda kuwauliza kama haya mahubili yanaweza kuwekwa kwa English translation.

    • @peterpaul-mq5qn
      @peterpaul-mq5qn 17 дней назад

      Mungu atafanya njia tutaanza kupata mahubiri haya kwa lugha 2

  • @meshackkhamisi6081
    @meshackkhamisi6081 18 дней назад +3

    Heri kung'ang'ania wokovu 👏👏👏👏

  • @pascaljames7901
    @pascaljames7901 17 дней назад

    Mungu mwanzilishi wa imani alitunze Kanisa lake hata ule mwisho.

  • @CharlesMbunda-og5tn
    @CharlesMbunda-og5tn 17 дней назад +5

    POINT KUU NILIYOIPOKEA: HATUWEZI KULETA UAMSHO BILA KUBAINISHA MAKOSA, NA WAKOSAJI WAKAYAKIRI. KUTOKEA HAPO NDIPO MABADILIKO YAJE - KWA MFANO WA MARTIN LUTHER! NIMEIPENDA SANA. SEMA BABA TUPONE!!!!

  • @DatiusAnacreth-tf5ce
    @DatiusAnacreth-tf5ce 15 дней назад

    Amen!

  • @godywiseman4982
    @godywiseman4982 18 дней назад +3

    Nashukuru kwa somo hili,, asante mchungaji

  • @jacksonmagola1824
    @jacksonmagola1824 18 дней назад +2

    I will come to join you soon my dady Magembeee...

  • @ZauloMalolage-tv7vb
    @ZauloMalolage-tv7vb 17 дней назад +1

    I love you my pastor

  • @masellemaziku1096
    @masellemaziku1096 17 дней назад +1

    Luka 24: 49

  • @barakahezron647
    @barakahezron647 18 дней назад +2

    Mungu akubariki baba, tuko pamoja katika kazi ya Bwana

  • @AbelnegoPhilimon
    @AbelnegoPhilimon 17 дней назад +4

    TUNAOMBA MAHUBIRI YAFINYIWE TRANSLATIONS YA KIINGEREZA ILI WATU WOTE WAPONE

    • @SARAKAMBARAGE
      @SARAKAMBARAGE 17 дней назад

      Eb tupone tunaoongea kiswahili kwanza. Tukiva hizo nguvu tutavamia ndan yamda mfup jamii zote za dunia.

  • @krispinmalekela7848
    @krispinmalekela7848 17 дней назад +1

    Ratiba ya mikutano ya kitaifa alisema ataitoa mwez huu. Tunamsubiri mkoan Songwe

  • @pastormagnusnjovu8130
    @pastormagnusnjovu8130 18 дней назад +2

    Tunakuombea umri mrefu baba

  • @imaniedward-dm5uw
    @imaniedward-dm5uw 17 дней назад +3

    Naamini nimepona

  • @KM-hx8zy
    @KM-hx8zy 17 дней назад +1

    Mchungaji Moses, zile numbers zote hakuna za Airtel AO M-pesa!

  • @jacksonmagola1824
    @jacksonmagola1824 18 дней назад +6

    Nahitaji niwe mmoja wa Jenerali wa mbinguni

  • @dibrojoseph686
    @dibrojoseph686 15 дней назад

    Hakika hiki ni Chuo cha Theology....

  • @YohanaMoshi-g4y
    @YohanaMoshi-g4y 17 дней назад +2

    MISINGI IPO VIZURI SANA KAMA NENO LISEMAVYO LAKINI VIPI KUHUSU UBATIZO WA MAJI TELE?

  • @furahakimaro3932
    @furahakimaro3932 15 дней назад

    Huyu mchungaji ni mtu wa rohoni anayatambua mambo ya rohoni inapendeza hata katika kizazi chetu kunawatumishi wanao yatambua mambo ya rohoni1 WAKORINTHO 2:15 Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.

  • @AlexHalinga-m9e
    @AlexHalinga-m9e 17 дней назад +2

    Balikiwe sana mtu wa Mungu

  • @jastinemwambi2307
    @jastinemwambi2307 17 дней назад

    Ni ukweli Baba

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 17 дней назад

    Kuna siku moja nimeuziwa masibu nliyatupa😂

  • @romanuskayanda4613
    @romanuskayanda4613 17 дней назад +2

    Kanisa hili lipo maeneo gani Dar ?

  • @JacobMsambus-zh5zl
    @JacobMsambus-zh5zl 17 дней назад

    Ameeeeen!!

  • @PascalClement-q9m
    @PascalClement-q9m 16 дней назад

    Kanisa linapatikana maeneo ya karibu kinyerezi darajani kama unaelekea Magufuli stand

  • @MagangaMwagala
    @MagangaMwagala 17 дней назад +1

    Ubatizo je sio msingi?

  • @bishoptvalbert4112
    @bishoptvalbert4112 17 дней назад

    Ameni Baba

  • @shadracknyandwi3062
    @shadracknyandwi3062 17 дней назад +1

    ASANTE SANA MZEE KWA MAFUNDISHO BORA KABISA NA YA KIROHO. NINGEPENDA KUPATA KITABU HICHO SIJUI KAMA INAWEZEKANA JE?

  • @EliaKwandaja
    @EliaKwandaja 18 дней назад +1

    amina

  • @MichaelKamsini
    @MichaelKamsini 18 дней назад +1

    Amen

  • @AysaAysa-qs7be
    @AysaAysa-qs7be 18 дней назад +5

    MM NAWASALIMU WOTE KWA JINA LA YESU KRISTO NAONGEA NA WAMAMA CHENI KUSUKA MARASITA MALAINI NA KIJA FINIKENI VICHWA WAMAMA

    • @joshuanjiuka2870
      @joshuanjiuka2870 18 дней назад

      Kwani rasta wanazosuka akinamama zinashida gani? Unathibitishaje kwamba hawatakiwi kusuka, tupe maandiko basi.

    • @AysaAysa-qs7be
      @AysaAysa-qs7be 18 дней назад +1

      @joshuanjiuka2870 Kama WW umeokoa HUWEZI uliza swali kama hili kama WW unaisoma maandiko HUWEZI uliza swali hili mzee ajifundisha usikize vizuri soma maandiko sawa

    • @JohnBenedict123
      @JohnBenedict123 18 дней назад +2

      ​@@AysaAysa-qs7beKabisa mtumishi. Siku hizi walokole wengi sana na wachungaji wengi sana ni mamluki. Na ni kweli kabisa ukiona mtu anasema ameokoka na anauliza swali kama hili, unabaki na mashaka sana juu yake

    • @AysaAysa-qs7be
      @AysaAysa-qs7be 18 дней назад

      @@JohnBenedict123 MM na shangaa na walokole wa asoma Bibilia ipi ikiwa hilo andiko hawajalipitia Kwa bibilia zao na uamusho a nao funza huyu mzee nikubadilika inje ndani lakini wamama WENGI tunapo jiita walokole andiko hili tumelikataa

    • @AysaAysa-qs7be
      @AysaAysa-qs7be 18 дней назад

      @@JohnBenedict123 A ndiko lakijisitiri limeshikwa Sana na muisilamu HUWEZI muona an Asuka HUWEZI muona anapigagoti bila kujifinika kichwa HUWEZI muona naomba na vipuli HUWEZI muona anasali na mekapu HUWEZI lakini andiko hili imekua ngumu Sana Kwa mama wakilokole Tuombe Ana tuyaelewe maandiko Mungu atupe Neema ya kusoma bibilia na tuwe na muda wa kutafakari maandiko naongea na wamama wenzangu tusi harau maandiko

  • @shilohgideon_wisdom
    @shilohgideon_wisdom 17 дней назад

    Kanisa liko wapi

  • @MerciDembele-pu1lj
    @MerciDembele-pu1lj 17 дней назад +1

    Jambo MUTUMISHI wa MUNGU ninafataneno ni Congo bukavu natakakuokokakikamilifu i

  • @JoesMike-i3e
    @JoesMike-i3e 17 дней назад

    Niko Arusha nataka. Kitabu cha uamsho na ma tengeneza ya kanisa. NITAKIPATAJE?

  • @smartgeoffrey9550
    @smartgeoffrey9550 18 дней назад

    Amina

  • @edakilibika5935
    @edakilibika5935 17 дней назад

    Kizazi hiki Mungu atajivunia wewe

  • @magrethmkemwa9287
    @magrethmkemwa9287 16 дней назад

    Matengenezo ya kanisa,mtu asipo kubali,anashida

  • @JosephMhagama-b1y
    @JosephMhagama-b1y 17 дней назад

    Tunakufuatilia

  • @tentofretorationchacministry
    @tentofretorationchacministry 17 дней назад

    AMINA MUNU NI MWEMA TUPO PAMOJA

  • @simonjnrmabula3785
    @simonjnrmabula3785 17 дней назад +3

    Amen

  • @leticiamakoye4871
    @leticiamakoye4871 15 дней назад

    Amina

  • @munguanaishitv
    @munguanaishitv 17 дней назад

    Amen

  • @bujabestonlinetv
    @bujabestonlinetv 17 дней назад

    Amen

  • @amoss.tz1
    @amoss.tz1 14 дней назад

    Amen