Masanja bora hao wanakuja na vimini na jinsi makanisani wanajulikana kuliko wanaokuja wamevaa nguo ndefu kumbe ni malaya adabu hawana wezi na dhambi zote hapa duniani zao. Hivi Yesu akija hapo kanisani atawahukumu hao wenye jinsi, wale wakuu wa makanisa na makanzu yao Yesu aliwaumbua maana walikuwa wanawahukumu watu sana mmoja wao akasema amefuata amri za Mungu tangu utoto, Yesu akamwambia bado moja hujafanya uza ulivyonavyo ukawape maskini yule kuhani roho ilimuuma sana, Yesu akamwambia ni rahisi kwa ngamia kupita ktk Tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi uzima wa milele, kuhani alijiona ni mtakatifu na amefuata sheria zote kumbe hatupo chini ya sheria tena na bali chini ya Neema.
Amen Mungu akushike mkono wake ukushike nakuomba usome Isiya 41:1 InatoshaYesu alisemwa itakuwa sisi sisi? Mungu ana wewe Pastor Masanja. Tunakuombea mpaka shetani ashindwe.
Kaka masanja uzidi kubarikiwa jamani nawish kuudhuria kwenye madhabau yako hakika u watofauti sana Mungu azidi kukutia nguvu na akuongezee BARAKA kila iitwayo leo
Haleluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Masanja , nimemuona Mungu aliye hai ndani yako!!!!! Baba, Baba, Babaaaaaa! Wewe ni Jembe la Yesu! Yaani Mungu amekukusudia! Yaani kwa wewe Mungu anasaga saga na kuponda ponda maadui. Masanja, kwa kuvuka huo mtego aliouandaa shetani, Umeongezewa nyota ,na cheo Mbinguni kwa Jina la Yesuuuuuu!
Nakuelewa Ng'wana wane. Wengi ni wanafiki wanavaa suti na kujifanya watakatifu lakini ndani ni mbwa koko. Uko poa masanja uko wazi hii inadhihirisha usafi ulio ndani yako.
Nliwahi kusema kuna wewe ni Mtumishi mzuri ila kwa MTU Mwenye dini bila ufunuo WA roho mt hawezi jua,baada ya kuisikiliza hii tu nmetiwa moyo kumbe ni MUNGU alikua anasema ndani Yangu,tatizo ulokole wamapokeo sio wokovu WA kristo halisi,chaps Kazi,Na ni vzr kumsikiliza Mungu.
🤣🤣🤣🤣🤣 kabisa masanja ni mtumishi wa mungu ila anatuigizia sana move, ila ni sisi tuyafate yale neno la mungu linasema basi. hayo mengine tumwachie apitae majina yote 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mmmmh....! Huyo Yesu akirudi duniani sijuwi atafikia ktk madhehebu gani na siku ya hukmu/siku ya Kiama mbele ya Mungu Mola Muumba sijuwi atasimama na kundi la madhehebu/Kanisa gani?! "Mpanzi alikwishapanda mbegu njema lakini adui akaongeza kupanda magugu ktk mashina ya ngano alokeisha panda mpanzi, tusubiri siku ya mavuno....." Magugu hayooo... MWENYE MASIKIO ME ASIKIEE...
Kabisa!!.Wao wanafikiri wabaya sio wa kwao. Pastor Emma kusanya wabaya wote uwaombee. Siku ya mwisho wataulizwa sijui watajibu nini? Kazi ya Yesu iliyomleta dunia kwani ni ipi? Watujibu hao wachungaji.
Nashkuru kwa kunielewa kaka , huyu mtumishi bado hajamuelewa Mungu vizur ipasavyo , Sasa IPO siku Mungu atamfunulia live , hatoamini macho yake ,maana Mungu achezewi ,ataniwi, na pia Mungu huwa apendi mzaa , Sasa haya yanayofanyika kanisani mwake nin ? Kama sio mzaa ? Basi Ipo siku Mungu atanena nae , na ataongea kwa hasira na hasira yake Mungu ukitoka salama Basi hutabakia Kama ulivyo , ipo siku tuu ,tupo hapa Mungu atamjibu tuu ,
Napendaga majibu yako,mchungaji anatumia maneno ya Mungu ili mtu aone mwenyewe kubadilika na siyo kama kukamata watu kwa mateke kuwabadilisha,nakukubali.
Amen nimebarikiwa songa mbele ingeku Mimi ningekua na shaka lakini ukiona kunakupigwa mawe una kitu kikubwa sana Mungu akuinue kwa viwango vya juu walitamani uwe Kama wao lakini wewe SI Kama wao songa mbele katika zamu yako
Yes F Karimi ila tumia herufi kubwa kuandika Yesu.... Barikiwa mnoooo... Tz tunamshangilia Mungu kwa Watumishi kama Massanja... Ataeleweka tuuuu. Amina...
Masanja the problem, people takes God's work and they apply to regular ,l wish they could let God do his work( judge). Tell them dressing will never take anybody anywhere. To make matter worse the people saying that are born again people. So l wonder where are we going? Keep up the good work Masanja
Ubarikiwe sana maan yapo makanisa ni kusemana tu et kaavaje wanazani kanisan waje walio Safi tu wakat kanisan ni kama gereji kila aina ya gar bovu lije ili litoke limepona co mm huwa nakuelewa sana
UBARIKIWE MTUMISHI WATU WAJUE KANISA NI KARAKANA INA KILA AINA YA CHOMBO KUNGEKUWA KUNAENDA WATAKATIFU KUSINGE KUWA NA SAABU YA KUABUDU MUHIMU KUISHI KWA MISINGI YA KI MUNGU
Postor mungu akuinue saana mafundisho yako ni ya kristo kwel kalibu bukoba tena
Masanja bora hao wanakuja na vimini na jinsi makanisani wanajulikana kuliko wanaokuja wamevaa nguo ndefu kumbe ni malaya adabu hawana wezi na dhambi zote hapa duniani zao. Hivi Yesu akija hapo kanisani atawahukumu hao wenye jinsi, wale wakuu wa makanisa na makanzu yao Yesu aliwaumbua maana walikuwa wanawahukumu watu sana mmoja wao akasema amefuata amri za Mungu tangu utoto, Yesu akamwambia bado moja hujafanya uza ulivyonavyo ukawape maskini yule kuhani roho ilimuuma sana, Yesu akamwambia ni rahisi kwa ngamia kupita ktk Tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi uzima wa milele, kuhani alijiona ni mtakatifu na amefuata sheria zote kumbe hatupo chini ya sheria tena na bali chini ya Neema.
Mchungaji asante kwa mafundisho mazuri,naomba kinanda kipunguzwe au kuzimwa kabisa kwani neno ni la muhimu zaidi tusikie kwa utulivu.
Ni kweli waondoe kinanda
Da uimara huu Kama kwel unatoka kwa mungu wa Ibrahim, the man is very strong.!! Namwachia mungu.
Mtumish yesu aliulizwa maswali hakujibu hubiri neno na MUNGU wa Mbinguni atakuinua
Ameeeen mchungaji, pia tunaomba unapohubiri mpiga kinanda apunguze sauti tuskie vizuri bila kuskilizia
Mungu akubariki Sana wewe unaelewa Mungu ni nani sio wanaohukumu watu.
Amen mtumishi, kweli tuna kungojeya Congo ujebaba
Mungu alikuja kwa wenye dhambi
Amen Mungu akushike mkono wake ukushike nakuomba usome Isiya 41:1 InatoshaYesu alisemwa itakuwa sisi sisi? Mungu ana wewe Pastor Masanja. Tunakuombea mpaka shetani ashindwe.
ubarikiwe mchungaji tumrudie Mungu in Jesus name
Kaka masanja uzidi kubarikiwa jamani nawish kuudhuria kwenye madhabau yako hakika u watofauti sana Mungu azidi kukutia nguvu na akuongezee BARAKA kila iitwayo leo
aminaa sana MWANA WA MUNGU, yupo mbabe wa wababe na MFALME WA WAFALME
Wape vidonge vyao, Tumshukuru Mungu kwa vyote alivyotupa Amen.🙏
Haleluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Masanja , nimemuona Mungu aliye hai ndani yako!!!!!
Baba, Baba, Babaaaaaa!
Wewe ni Jembe la Yesu!
Yaani Mungu amekukusudia!
Yaani kwa wewe Mungu anasaga saga na kuponda ponda maadui.
Masanja, kwa kuvuka huo mtego aliouandaa shetani,
Umeongezewa nyota ,na cheo Mbinguni kwa Jina la Yesuuuuuu!
Ubarikiwe sanaaa
Masanja jaribu kujifunza zaidi usijiamini sana hutashaurika jua unamtumikia Mungu katikati ya wanadamu.
Nakuelewa Ng'wana wane.
Wengi ni wanafiki wanavaa suti na kujifanya watakatifu lakini ndani ni mbwa koko.
Uko poa masanja uko wazi hii inadhihirisha usafi ulio ndani yako.
Nimekuelewa Sana miaka 2 uko church ndo ukaokoka, kweli majira sio kulazimisha AMEN
Nimeamini biashara matangazo hakika. Uyu mdada mahipsi uyu atapelea waumini wengi sana kanisan kwa masanja.
Ndio ulichokiona ibada nzima?
Pasteur ubarikiwe na bwana wetu yesu kristo kwa mafundisho
Amen
Nliwahi kusema kuna wewe ni Mtumishi mzuri ila kwa MTU Mwenye dini bila ufunuo WA roho mt hawezi jua,baada ya kuisikiliza hii tu nmetiwa moyo kumbe ni MUNGU alikua anasema ndani Yangu,tatizo ulokole wamapokeo sio wokovu WA kristo halisi,chaps Kazi,Na ni vzr kumsikiliza Mungu.
Mungu aseme nawe Jambo Kuna kitu hujaelewa kuhusu Mungu 🙏
🤣🤣🤣🤣🤣 kabisa masanja ni mtumishi wa mungu ila anatuigizia sana move, ila ni sisi tuyafate yale neno la mungu linasema basi. hayo mengine tumwachie apitae majina yote 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mmmmh....!
Huyo Yesu akirudi duniani sijuwi atafikia ktk madhehebu gani na siku ya hukmu/siku ya Kiama mbele ya Mungu Mola Muumba sijuwi atasimama na kundi la madhehebu/Kanisa gani?!
"Mpanzi alikwishapanda mbegu njema lakini adui akaongeza kupanda magugu ktk mashina ya ngano alokeisha panda mpanzi, tusubiri siku ya mavuno....."
Magugu hayooo...
MWENYE MASIKIO ME ASIKIEE...
Okoka acha stori Kanisa Ni Moja Tu!!
Mungu mmoja,Yesu mmoja na Roho Mtakakatifu
Kama tumitwa kutafta utukufu waetu sawa ila kama ni wa Mungu acha kujitafutia haki ya kibinadam tafuta Mungu sana na ukubari kukosolewa
Mungu akutunze Mtumishi
That's my pastor,l wellcome you all to our church.
Kabisa!!.Wao wanafikiri wabaya sio wa kwao. Pastor Emma kusanya wabaya wote uwaombee. Siku ya mwisho wataulizwa sijui watajibu nini? Kazi ya Yesu iliyomleta dunia kwani ni ipi? Watujibu hao wachungaji.
Aisee nimekuelewa sana, Mungu anisamehe nilikuwa mmojawapo kati ya hao, nikubali tu, Mungu anisamehe, now i support you brother
Nashkuru kwa kunielewa kaka , huyu mtumishi bado hajamuelewa Mungu vizur ipasavyo , Sasa IPO siku Mungu atamfunulia live , hatoamini macho yake ,maana Mungu achezewi ,ataniwi, na pia Mungu huwa apendi mzaa , Sasa haya yanayofanyika kanisani mwake nin ? Kama sio mzaa ? Basi Ipo siku Mungu atanena nae , na ataongea kwa hasira na hasira yake Mungu ukitoka salama Basi hutabakia Kama ulivyo , ipo siku tuu ,tupo hapa Mungu atamjibu tuu ,
Ubarikiwe kaka mana umetambua
Mungu akusimamie katika yote uyafanyayo nimeona Mambo ya ajabu sana mungu kakuinua Sana katika kuinua injili amen
Mungu akutumie pastor
Acha Yesu akutetee kaka usipoteze muda wa kujibu mwanadamu.
Amina ubarikiwe mchungaji Mungu azidi kukuinua
Nadhani tunahitaji wachungaji wengi sana kama pastor masanja. Yesu alikuja kwa wenye dhambi. Amina sana pastor
Msaka tonge huyo .Mungu ni mtakatifu Mungu hawezi kufata kama sisi tunavyo taka .Mungu anatutaka tuishi tufate kama yeye anavyotaka.
Maandiko yanasema kua tukijiita watakatifu tunamfanya Mungu kua ni muongo
Dunia iko spidi saanaa 😅 Mungu atufunulie yanayompendeza👏
umenikumbusha na kunielimisha zaidi mtumishi. barikiwa.
Amina mtumishi wadog zake Roho mtakatif ni weng San
Chapakazi, Kama Mungu anakuelewa inatosha hata Kama wao wasipokuelewa 👍👍👍🎤🎤🎤
"Master DTEM" anasema, kazi ya Mungu ni ya Mungu na si Wanadamu. Mungu azidi kukusimamia.
Ameeeeeeen
Nakubari Mtumishi nakuelewa saana Mungu akutie nguvu simama kwenye with wako
Ni kweli mtumishi
MUNGU atuongoze kwenye haki yake,kweli na utakatifu maana ndiye atakayemhukumu kila mtu kwa kipimo chake
Badilika kama kweli umeitwa na MUNGU wa kweli
Ameeeeeeen mtumishi wa Mungu nimekuelewa Sana tu
Songa mbele ndugu
Umenenaaa Mtumishi wa Mungu, Kuna Mahal umenitoaaa
Napendaga majibu yako,mchungaji anatumia maneno ya Mungu ili mtu aone mwenyewe kubadilika na siyo kama kukamata watu kwa mateke kuwabadilisha,nakukubali.
Amen nimebarikiwa songa mbele ingeku Mimi ningekua na shaka lakini ukiona kunakupigwa mawe una kitu kikubwa sana Mungu akuinue kwa viwango vya juu walitamani uwe Kama wao lakini wewe SI Kama wao songa mbele katika zamu yako
Masanja bhana! Hya!
🇰🇪Nikiwa Kenya huwa nafuatilia mafundisho yako,God bless you vessel of God,😀😂 Amen yesu ametutengeneza kwa Neema
Yes F Karimi ila tumia herufi kubwa kuandika Yesu.... Barikiwa mnoooo... Tz tunamshangilia Mungu kwa Watumishi kama Massanja... Ataeleweka tuuuu. Amina...
Mungu akubatoki zaidi
Kabisa kwa swala ls kutobagua watu nasimams na wewe mwanawane uko sshihi . YESU HSKUJA KUFIA WATAKATIFU SLITUFIA WAZAMBI.
Kinanda kipo juu sana kuliko saut ya mtumishi
Neno liko juu zaid
MAKANISA LAZIMA YAWE MENGI KULIKO MABAA.YESU AINULIWE
Piga kazi kaka, kwa Mungu mbali sn sio km binadamu wanavyodhani
Umeitwa na wazungu sio mungu wakweri
Wakweli Amemuita wakweri hajamuita!!!
Amen Amen 🤲🙏🙏🙏hili ndilo neno hallelujah
Kweli ujaitwa kama walivyoitwa maana walioitwa hawajawai kutupa neema kama utoazo ww unaubili lililokweli
Ubarikiwe KAZI ya injili ni kumbadilisha mtu
Tunakupenda kaka mch chapa kazi ya Bwana
Barikiwa sana mchungaji tunapokea kwajina ra YESU KIRISTO
amina sanaa MWANA WA MUNGU
Masanja the problem, people takes God's work and they apply to regular ,l wish they could let God do his work( judge). Tell them dressing will never take anybody anywhere. To make matter worse the people saying that are born again people. So l wonder where are we going? Keep up the good work Masanja
Nimekuelewa Sana mtumishi wa MUNGU
Huyo wa kinanda anapiga kelele sanaaaaaaa
True kinanda apunguze
Nipe tano mwanangu🤣🤣🤣
Mpiga kinanda apunguze sauti ilituwe tunasikiliza vzr maneno ya MUNGU
Kelele zimekuwa nyingi za kinanda ushauri Muda wa neno asipige labda pale penye point hiyo itakuwa nzuri zaidi
Ubarikiwe sana maan yapo makanisa ni kusemana tu et kaavaje wanazani kanisan waje walio Safi tu wakat kanisan ni kama gereji kila aina ya gar bovu lije ili litoke limepona co mm huwa nakuelewa sana
Amina sana nimebarikiwa sana na mahubiri yako mtumishi wa mungu na nimejifunza pia
Asante mungu
Nakuelewa sanaaa sanaaaa
Nakukubari Sana Mchungaji Masanja
Wekeni link jaman ili tusambaze hujumbe kwa ulimwengu umjue Mungu
Mm,siangalii,mavaz,ilimladi tu usiwe uchi wanyama,napenda sana watu wanavyohubiliwe,yesu anaanzia ndani anatoka nje
Acha awapotoshe siwamekubali au
Soma Warumi 8:6-9 usipelekwepelekwe tu kama gari bovu mchungaji mwenyewe kashazoea usanii analeta mpaka kanisani
Mungu akubariki
Ubarikiwe pastor kitambo sana npo azania secondary nakuona jangwani na mito ya baraka
MUNGU akubariki sana mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana kwa Neno unalo hubir
nimekwelewa mchungaji masanja. mungu azidi kukutumia. mimi nime badilika kupitia maubili yako.
Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi. Acha wazinzi, wachawi waje ili wapate neno ili waokoke,
Mungu akupe uzima
DAaah aseee safi saana nimeupenda ujumbe wako mtumishi
UBARIKIWE MTUMISHI WATU WAJUE KANISA NI KARAKANA INA KILA AINA YA CHOMBO KUNGEKUWA KUNAENDA WATAKATIFU KUSINGE KUWA NA SAABU YA KUABUDU MUHIMU KUISHI KWA MISINGI YA KI MUNGU
Pastor huwanakuelewaga Sana kuliko wengine uko muwaaazi na hii ni ukweli
Jumapili ijayo utakuwepo nije kusali baba askofu msela,Naqubali sana mahubiri yako
Ameeeeeeeeeeeeen baba. MUNGU akubariki sanaaaaaaaaaa kwa neno lenye uzima
Neno la uzima?
Barikiwa saana,...
Na bado awajasema usiogope
Minakuelaga tu mwanawane wape dawa Kuna watu Wana hisi mungu ni wa kanisa lao tu
Good,,,,
Ila kinanda apunguze kdg
Kwakwel pastor nimekuelwa sana unazungumza vitu vya kiroho kabisa. wasio na Roho mtakatifu hawawez kukuelewa
Uko vizur pastor
Bora uwe mkweli na kristo alikuja kwaajili ya wale waliopotea
Napenda sana yesu anavyotajwatajwa,sipendi wanavyotajwatajwa,wasanii wabongo freva
Karibu Sana mkesha wa vijana hapa Emus center ubungo,,, Katoliki church...njoo tukae pamoja na Yesu mpaka saa 10 alfajiri
Semaaa watu WATUBU acha mengi ubirini utakatifu
Pastor Masanja piga kazi wanadamu hutawaweza wanamaneno mengi.
Timiza wito wako aliyekuita ni Mkuu Sana
MPiga kinanda plz, we need to listen da word of GOD
Nakukubali Sana
Barikiwa sanaa
Mtushi Wa Mungu huwa nakuelewa
Ameeeen mtumishi
God bless you pastor
Waambie mtumishi maana kuna wanajifanya wameokoka kuliko wenzao
Asante wajina pastor wafbue macho we are free in Jesus name
Amina pst 👏👏👏
Ubarikiwe.sana.mungu.akutunze.karibu.majimoto
@@tumainshaban5772 asante
Upo sawa mtumishi
You're right pastor, ninakukubali sana