Tusafishe kwa damu ya YESU Chakula kabla ya kula Tusikorofishe korofishe watu ovyo Tuachane na madharau yasiyo ya maana Tuachane na Tamaa za dunia pesa na wanawake Tushike Mungu sawasawa na tusali vzr sio Juu juu JAMAA AMEMALIZA STORY LAKINI WALE WATU WA MWISHO MWISHO KUUWAWA NAWAONEA HURUMA...jamaa akimind kdg uhai wa mtu umeenda..Mungu ametulinda na watu wa namna hii wengi tu wamejaa mitaani dunia ingekuwa na watu laki badala ya billion kwa mitindo hii ya ibilisi ila ni JEHOVAH tu huruma kwetu
mwisho wa stori hii ndo mwanzo wa stori nyingine nzuri zaidii karibu sana na msiwe mnakata ayo matangazo yanayo displey kwenye video sababu ndizo znazofanya jamaa apate moyo wa kuendelea na kutuelimishaa ..
Mapepo/majini yanayofanya kazi Africa ni tofauti na yale ya wenzetu ktk bara za Amerika (USA, Canada), Ulaya, Asia (ya China, Japan). Wao yanawapa akili na hekima ya kuvumbua na kugundua vitu. Ni mapepo ya the so called modern technology; kugundua mashine na teknolojia mbalimbali ya kuwasaidia wanadamu kurahisisha na kufurahia maisha ya hapa duniani. Mfano, Bill Gates, Isaack Newton, and the like. Tofauti kabisa na Afrika ya watu weusi. Sasa sikiliza simulizi la huyu kijana. Inasikitisha. Ni kupata Utajiri ili ufanye anasa tu tena zisizo na tija. Nimemsikia pamoja na aina ya lugha anazoongea. Lugha za kihuni; za mitaani. Sasa, iwapo simulizi hii ni ya kweli, Namshauri AOKOKE haraka sana kabla Bwana Yesu Kristo hajamwacha. Ataumia. Shetani-ibilisi hana huruma na wanadamu; yeye ni muongo na baba wa huo, ni mwizi, muuaji, na anachinja. Kijana uovu uliotenda ni mwingi, lakini Bwana Yesu Kristo anasamehe bure. OKOKA. Nenda kwenye dhehebu lolote la Kipentekoste, preferably TAG ukaongozwe sala ya toba ili uanze kumtumikia Bwana Yesu Kristo bila kuchelewa. NIMENAWA sintodaiwa damu yako na Bwana Yesu Kristo. Ubarikiwe.
Muwe mnatuwekea na picha mlizopiga kipindi hiko au video za bata mlinzi kuwa mnakula maana inavyoonekana haya matukio yote yalikuwa yanapitika miaka ya hivi karibuni ambapo technologia ni pana kama whatsap, instgramm na kadhalka . Story ni nzuri .
@@aiyamhassan1321 Kuna nabii mmoja hadi hapa alimleta anaitwa aposto Maziwa kumbe alikuw anapiga hela kijanja akiwaambia wale alio wafungua kuwa wamtaje kisha ukihitaji huduma et hadi utoe sadata wa njee wanatozwa laki 5 sasa hiyo ikafanya Davistar kupokea lawama watu wanamlaumu amewapelekakwa mpiga fedha
Hadithi ndefukweli.... Nimeifwatizia wiki moja mzima hadimwisho. Nimejifunza mengi, Hadi nikalinganisha labda hata kesi ya shakahola huku kwetu kenya lazima ilikua hizi upuzi za kishirina tuuu!!!!!
Tamaa ndo zilikuponza ona umemaliza ndugu kwa ujinga wa kupita duniani vp ungejifunza fan mpka leo 2020 ungekuwa umeshajenga nyumb kibao na ungekuwa mkopaji mzuri wa benk ndo siri kubwa ya matajiri wengi ww ulikurupukaga ungetafta njia nzuri z kufanikiwa ndagu sio nzuri wakongo wnadawa za kuharibu tyu na zenye mashart mgum unafanikiwa ila utayajutia mfanikio yako
Hapo pa kuingia ndn alafu mtu hakuoni, ila me ningekua ww kwa namna malkia alivokua amenifksha Hali mbaya ningemuita akaja nikamkaba hapohapo liwalo naliwe ila jamaa alipona kimungumungu tuache masihala
Nilichonga dah bro 😂😂😂😂 ww ni mtoto wa town kweli nimeipenda misemo yako mingi mzee wa kimkakati
Tusafishe kwa damu ya YESU Chakula kabla ya kula
Tusikorofishe korofishe watu ovyo
Tuachane na madharau yasiyo ya maana
Tuachane na Tamaa za dunia pesa na wanawake
Tushike Mungu sawasawa na tusali vzr sio Juu juu
JAMAA AMEMALIZA STORY LAKINI WALE WATU WA MWISHO MWISHO KUUWAWA NAWAONEA HURUMA...jamaa akimind kdg uhai wa mtu umeenda..Mungu ametulinda na watu wa namna hii wengi tu wamejaa mitaani dunia ingekuwa na watu laki badala ya billion kwa mitindo hii ya ibilisi ila ni JEHOVAH tu huruma kwetu
Maziwa, malisa wote matapeli tu,
Jamani tuache kufata miujiza kwa watumishi, Mambo ya Mungu hayaendi hivo
Yani nimehangaika kuitafuta,Asante kwa kuturejeshea.
Duuu, kwa kweli haya Mambo yalikuwa magumu sana
Afadhali umeiweka maana wengine hatujaiona big up davista tuko pamoja
💃💃💃💃
Mlima wa nyuki buhongwa hiyo
Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up
Mr Bakora hivi hukuwahi kuwaza kumpiga bakora Malikia..na uzuri wote alo nao?
😁😁😁😁😁
Kalii😂😂
Zana ndo zinakupa jeuri mzee....👹🤺😂 so sad pole sana
mwisho wa stori hii ndo mwanzo wa stori nyingine nzuri zaidii karibu sana na msiwe mnakata ayo matangazo yanayo displey kwenye video sababu ndizo znazofanya jamaa apate moyo wa kuendelea na kutuelimishaa ..
Nyoko saw😮😂
pamoja sana lwanda na devista kwa kufanikisha hiki
Sijui unanielewaa😁😁👋👋
Mapepo/majini yanayofanya kazi Africa ni tofauti na yale ya wenzetu ktk bara za Amerika (USA, Canada), Ulaya, Asia (ya China, Japan). Wao yanawapa akili na hekima ya kuvumbua na kugundua vitu. Ni mapepo ya the so called modern technology; kugundua mashine na teknolojia mbalimbali ya kuwasaidia wanadamu kurahisisha na kufurahia maisha ya hapa duniani. Mfano, Bill Gates, Isaack Newton, and the like. Tofauti kabisa na Afrika ya watu weusi. Sasa sikiliza simulizi la huyu kijana. Inasikitisha. Ni kupata Utajiri ili ufanye anasa tu tena zisizo na tija. Nimemsikia pamoja na aina ya lugha anazoongea. Lugha za kihuni; za mitaani.
Sasa, iwapo simulizi hii ni ya kweli, Namshauri AOKOKE haraka sana kabla Bwana Yesu Kristo hajamwacha. Ataumia. Shetani-ibilisi hana huruma na wanadamu; yeye ni muongo na baba wa huo, ni mwizi, muuaji, na anachinja. Kijana uovu uliotenda ni mwingi, lakini Bwana Yesu Kristo anasamehe bure. OKOKA. Nenda kwenye dhehebu lolote la Kipentekoste, preferably TAG ukaongozwe sala ya toba ili uanze kumtumikia Bwana Yesu Kristo bila kuchelewa. NIMENAWA sintodaiwa damu yako na Bwana Yesu Kristo.
Ubarikiwe.
Asante davista
kutoka millionaires mpaka laki 5!!!
Ilikuwa haipo ii
Yaaah
@@aiyamhassan1321 mbona tulisha itizama au mwisho tusikilize
@@marthamaligo458 aliweka alafu akaifuta nasikia kuna kipande alikiondosha kuhusiana na aposto maziwa
@@aiyamhassan1321hapo sawa
One love davister channel
Hilo ndo tatizo la pesa za maroho kila kitu kitaisha
Sasa je uliifuta hii hapo sawa
Story haya mazuri kweli😎
Nashangaa imeregeshwaa kumbe katoa xingine
Niliitafuta sana hii sehemu
Mara hii ilikua zamu yako maana ulizoe kuwasababishia wenzio ajali
Muwe mnatuwekea na picha mlizopiga kipindi hiko au video za bata mlinzi kuwa mnakula maana inavyoonekana haya matukio yote yalikuwa yanapitika miaka ya hivi karibuni ambapo technologia ni pana kama whatsap, instgramm na kadhalka . Story ni nzuri .
More fire DVS mzee wachumvi
🤣🤣kumbe ulitoa kipande ulicho msema baba mtumishii i see kwel wew muoga sana kaka Davistar
Kilisemaje hicho kipande mie sijaona
@@aiyamhassan1321 Kuna nabii mmoja hadi hapa alimleta anaitwa aposto Maziwa kumbe alikuw anapiga hela kijanja akiwaambia wale alio wafungua kuwa wamtaje kisha ukihitaji huduma et hadi utoe sadata wa njee wanatozwa laki 5 sasa hiyo ikafanya Davistar kupokea lawama watu wanamlaumu amewapelekakwa mpiga fedha
@@credo7837 aaaah kumbe mimi sikuona hilo
@@aiyamhassan1321 ndio hivyo tuwe na taadhar dhid ya watumishi hawa wengine wapo kimaslah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
16 hapa
Pamoja 🙏🙏💪
Yani mm nilikitafuta mpaka nikachoka:devst muulize bakora za kimkakati za watot wazuri vip anazipata
Kwa kweli kaka yale umetenda hayo yote na ungali upo BWANA YESU anakupenda dubu umtumikie MUNGU
Natamani ningeipata tu dawa niwachape wadada na bakora
Wee atleast umeeka Hiki kipande
Khaaaa
Daah yaan nilikuwa nakiwazia hiki kipande cha 37 ahsante my davistar kwa kutujali
sana yan💃💃💃💃
Ndo Kaz zakonn hz aisha
Mwacheni aisha afurahie story msijibu vbaya🙂
@@gosbertmuta5421 😂😂jaman hiz ni burudani tu masikion wala hazihusian na matendo yangu😜
@@abdikadiryussuf8355bora nisaidie best angu naona @Gosbert Muta ananionea🤦
💙💙
@Benjamin Nnko
Uchawi ni ujinga kwa kweli
Nipo nafuatilia 👍
🤝🤝
Mbn huelew unafuta mara uweke hii part37 inamgogoro gani
Itakuwa na kasoro kwa ajili ya usalama wake lazima afute vipande
@@shantellemwanakombo3703 oooh kaona itamleta shida
@@credo7837 eeeee
@@ayshamahariq6665 kazi kwel
Hadithi ndefukweli.... Nimeifwatizia wiki moja mzima hadimwisho.
Nimejifunza mengi, Hadi nikalinganisha labda hata kesi ya shakahola huku kwetu kenya lazima ilikua hizi upuzi za kishirina tuuu!!!!!
Tupo pamoja
"sijui unanielewa vizuri? " 😂😂
Magere pole kwa mkasa
Wakwanza
Mungu bonge kafanya yake
Umechanganyikiwa bro
Unarudia hii tena
Hamna umakini...
Ilijifuta wengine hatujaiona tukaomba irudishwe
@@aiyamhassan1321 aya unipe na namb sas
@@michaelvonsider3412 T369
@@aiyamhassan1321 nimekutext hapo umeona text???😀
Ulipo fika katikati, ulipiga bakora xa kufa mtu leo hii unamalizia kwa huxuni mno,
😂😂😂😂
Ww cyo dharau ndio zilikuwa zinawaponza, sema ulikuwa unatfta watu wakuwatoa kafara😁
shetani ni mbaya sana..na kila kitu cha shetani hakidumu
Davistar ukiamua kufunguka Acha uoga bro rudisha kile kipande cha Apostle maana lawama bado zitarudi kwako wengi hawajakipata
Jambo la kujifunza.
Nn😂😂😂😂
Watu wngu njoooon PART 37 uwanjan🇪🇭🇪🇭
Toka jana🤣🤣wew tu ndio hukuiyona
@@credo7837kwer😂😂😂😂
@@FFL-X1D ukwel kwann nikudanganye
@@credo7837 oh nmekumbuka kipenzi jana nlitumiwa na babu harus wngu 🤔 kujakuangalia ikawa imetolewa
@@credo7837 shkuran kwa kunkumbusha kipenz🤝🤝❤❤
leo tupo bored sana mzee baba tutupie story ingine maana kila sa tunaingia kucheki kama kuna mzigo mpya
🙄🙄🙄🇰🇪
Imejirudia au imekuwaje hii si tayar
Ndo namm nashangaa wengine tushaisikiliza
Tamaa ndo zilikuponza ona umemaliza ndugu kwa ujinga wa kupita duniani vp ungejifunza fan mpka leo 2020 ungekuwa umeshajenga nyumb kibao na ungekuwa mkopaji mzuri wa benk ndo siri kubwa ya matajiri wengi ww ulikurupukaga ungetafta njia nzuri z kufanikiwa ndagu sio nzuri wakongo wnadawa za kuharibu tyu na zenye mashart mgum unafanikiwa ila utayajutia mfanikio yako
Hapo pa kuingia ndn alafu mtu hakuoni, ila me ningekua ww kwa namna malkia alivokua amenifksha Hali mbaya ningemuita akaja nikamkaba hapohapo liwalo naliwe ila jamaa alipona kimungumungu tuache masihala
Nafuu maana nilikuwa naitafuta kweli Part 37 afadhali umeleta tena.
Dogo nadhani umesikia