Nilicho jifunza wana wake tuache tamaa na pia tusipende kuwapa ndugu kuhishi na watoto wetu watu wengi watoto wao wanapata uchawi wakiwa wadogo ukifatilia utakuta alihishi na ndugu Mungu wanasuru watoto wangu na wezangu na sie tulio mbali na watoto 😭😭😭😭
Kwanza nakupa hongera sana bro kwa kufunguka jamani tusimpe lawama huyu jamaa yeye tu kaamua kufunguka ila nyuma ya pazia kuna ndugu zetu na wengine tupo nao hapa hapa wanafanya hivyo vitu naomba tununue vitabu kwa wingi tuwape ndugu na watoto wetu wajifunze insha llah nikirudi nitanunua kitabu cha huyu jamaa na kitabu cha Zabron
Hii story imenifunza mambo mengi sana sana 2 imeniongenzea imani nisiwe na tamaa ya hela hata nikipewa mlioni mbili nje na mume wangu sipokei vizarau kidongo nivifute kabsa nitasalimia hata nisio ongea nao ewa mungu nikumbatie mie 🙏🙏🙏
Wadada wengi haswa wakisha danganywa kuambiwa wazuri au makwao familia bora huwa mnakua na Dharau sana mpaka mnapitiliza na hili ndio tatizo mlio wengi mnafanyiwa mambo mabaya bila wenyewe kujijua.
@@aishaally8811 Wahenga walisema hakuna Mkate mgumu kwenye Chai, Ndio sawa na mwanamke na Pesa huwa ningumu sana kuruka huo mtego wa Bakora za Kimkakati ,😂😂😂😂
Ukishaingia katika mambo ya kishetani cha kwnza wanatoa UTU wako wa ndani unakuwa na roho mbaya kama ya mnyama uyu aliyafanya hayo kwasbabu ndani yake kuna roho chafu imemkaa
Yaani kunakitu nimejifunza sana; ladies wachaneni na tamaa, tena kama kuna chumba cha siri tafathali wachana nayo,tena shetani hana faida na hana nguvu
Kuna maisha unaweza kupitia ili uwe kama fundisho kwa wengine uyu jamaaa Mungu ndio kamtoa uko hadi sasa yuko hai ni ngumu kutoka kwenye ushetani na kutoa siri zao kama hvyo na kuendelea kuishi
Huyu jama ananifurahisha sometimes sema ni muongo alie changamka 😁 kila mwanamke ni mzuri atari afu hio ntakuja kueleze tumechoka we elezea tu MB zenyewe ha Halotel mxuiii
Hiyo nixambi ulitaka damu bs ungemtoa kisha mwache lkn unamwingilia mtu kinyume na maumbile tena unamwachaa bila nguo jamani mlisema mussa ni katili lkn hapana huyu kaxdii mussa nafuu
Daaaah huyu jamaa Huyo zainati hawazi kujua taarifa hizi jamani Akivuta picha hawezi kukumbuka hizi stori kweli Na wakijua hizi stori watachukua hatua gani juu ya huyu ndugu yetu!!!
Str xuri lkn anavojishauwaa eti watoto wazuri my friendwazuri wote wako chumba cha kusitiriwaa yani kila part mwanamke mxuri unasahau ulisema uliowaona kisimani hawafanani na wadunia jamani acheni kujishauwaa sana kama mfuko ya shati😄😄😄😄😄😄
hivi hao watu wakipata taarifa, na hayo majina itakuaje, watakuelewa kweli?, mbona kama panatia ukakasi?, kwa hizi familia hii storry ni nzuri sana ila kwa hizo familia sijui itakuaje!!!.
Yote 9 kumi tusisahau mchango wa davista na tujifunze kina dada tamaa ridhika na hali yako kama umeolewa basi stahmili hali ya mumeo kuliko kudandia watu wenye pesa matokeo yake mabovu sana
Kupitia huyu bwana ndo nimegundua kwann Mungu amewanyima uwezo fulani binadamu maana binadamu ni kiumbe wa kuumizana tu pindi akiwa na power dhid ya wenzake yani ni kiumbe wa visasi.
Nilicho jifunza wana wake tuache tamaa na pia tusipende kuwapa ndugu kuhishi na watoto wetu watu wengi watoto wao wanapata uchawi wakiwa wadogo ukifatilia utakuta alihishi na ndugu Mungu wanasuru watoto wangu na wezangu na sie tulio mbali na watoto 😭😭😭😭
Amiiin
Aamiin hubinty ni kuomba Mungu tu
Polee mamy.. 🤦
@@Teacher_01 🙏
🤗🤗🤗🤗
Kwenye part za bakora davista anafurahia sana huyu mwamba
Davista anafurahi sana yani
Anachimbaga kinoma
Yaan anafurah hatar
😆😆😆mwacheni mtumishi
Kwanza nakupa hongera sana bro kwa kufunguka jamani tusimpe lawama huyu jamaa yeye tu kaamua kufunguka ila nyuma ya pazia kuna ndugu zetu na wengine tupo nao hapa hapa wanafanya hivyo vitu naomba tununue vitabu kwa wingi tuwape ndugu na watoto wetu wajifunze insha llah nikirudi nitanunua kitabu cha huyu jamaa na kitabu cha Zabron
Upo Oman ?
Asante Sana mwanangu mariam
in shaa Allah wngu 🤗🤗
@@Teacher_01 za asubui wote 😘😘😘😘😘
@@Teacher_01 Hapana my nipo Malaysia
Hii story imenifunza mambo mengi sana sana 2 imeniongenzea imani nisiwe na tamaa ya hela hata nikipewa mlioni mbili nje na mume wangu sipokei vizarau kidongo nivifute kabsa nitasalimia hata nisio ongea nao ewa mungu nikumbatie mie 🙏🙏🙏
Ndiyo umeona Mambo yatamaa yanavyoumiza watu eeh
Wadada wengi haswa wakisha danganywa kuambiwa wazuri au makwao familia bora huwa mnakua na Dharau sana mpaka mnapitiliza na hili ndio tatizo mlio wengi mnafanyiwa mambo mabaya bila wenyewe kujijua.
@@charlesmapunda5905nikweli kabsa
@@suzansimon5296 yaaani na si wanawake tunaponzwa sana na pesa
@@aishaally8811 Wahenga walisema hakuna Mkate mgumu kwenye Chai, Ndio sawa na mwanamke na Pesa huwa ningumu sana kuruka huo mtego wa Bakora za Kimkakati ,😂😂😂😂
Kitu kinabamba mpaka usiku naogopa kulala dah!kwakweli tumshike mungu
Mi mpaka saa 8 usiku naangalia tuu eti siogopi kivile
Ila nimefurahi xana mzee wa bakora na nimejifunza vitu vingi,
Ila dav ukisikia bakora za kimikakati unachangamka Sanaa unafurahi kweli😂👐
🤣🤣🤣
@@aishaally8811 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 anazipenda hizo sekta davistar 🤣🤣
@@miriamngosha6856 Sana😂
Ndani ya nyumba🙏💪 mzee wa bakola
Waa hii story inatisha Sana tuned 🇰🇪
Ukishaingia katika mambo ya kishetani cha kwnza wanatoa UTU wako wa ndani unakuwa na roho mbaya kama ya mnyama uyu aliyafanya hayo kwasbabu ndani yake kuna roho chafu imemkaa
Ukifanya makubwa sana ndiyo maana ulikutana na makubwa zaidi
Kheeee!!!!mpaka wanaumee anawashuhulikia alikua malaya
Mungu tusaidie waja wako
Davista ongeza muda wa vipindi at least 60 minutes for each season
Kweli
Si suala la yy kujiamria muda atakao. Ni utaratibu wa RUclips kuzingatia gharama
i guess I am pretty randomly asking but do anyone know of a good place to watch newly released series online ?
@Emerson Konnor flixportal :P
@Keegan Heath Thank you, I signed up and it seems like they got a lot of movies there :) I appreciate it !
Bila Yesu ni bure duniani hapa
Yaani kunakitu nimejifunza sana; ladies wachaneni na tamaa, tena kama kuna chumba cha siri tafathali wachana nayo,tena shetani hana faida na hana nguvu
Yani ulipewa utajiri lakini ulikuwa unaulipia kwa
kuuwa binanadam,utajiri wa hivyo ni utumwa,shukuru Mungu amekutoa huko.
Emein
Kila mtu mzuri wa kimataifa yaani alikuwa mzuri kishenzi😂😂
😂😂😂 Wa kimataifa .....
Davistar anakazia mambo flani flani inavoonesha naye anapenda kupiga bakora😁😁😁
@@sapnaabdallah1084 kabisaa😂😂
@@emmanelly6864 😂😂😂
@@sapnaabdallah1084 kila mwanaume anapenda imani tuu yatulinda
mh uyu anazambi jamani wee kaka muombe mungu msamaha sanaaa ucku na mchana yani mpaka wanaume wenzako
Ndio anatubu ila kawavuruga wote sasa sijui alikua na akili za kitoto daa hatari
Kila mtu anadhambi hakuna makamilifu
Tulia wewe, unamwambia mtumishi wa Mungu vitu vya kale. Sema ubarikiwe sana mzee wa bakora.
@@credo7837 tunazidiana madhambi. Mimi mbele yake hapa naihisi ni malaika 🤭
@@Laila-lz4ij 🤣🤣🤣usinichekeshe mie
Asubuhi na Mapema 👌👌👍
🙏🙏🙏
@@credo7837 Nakuona upo??🤔🤔
🤗🤗🤗
@@tracyirene8917 eee nipo mwaya
Tuko pamoja🇰🇪
Bakora za kimkakati 😁 wa10
Tehe teheee
Davister naomba umuulize je walimruhusu kuwa anaenda kanisani?
No 1 leo
Ulikuwa unajifanya mungu mtu kitu kidogo unauwa mungu akujaalie kwa sasa uwe huna roho hiyo lakini una masuali mengi ya kumjibu mungu wako
Akitubu Mungu atampa msamaha
Mungu anasemehe kila dhambi mungu atamusamehe
Kuna maisha unaweza kupitia ili uwe kama fundisho kwa wengine uyu jamaaa Mungu ndio kamtoa uko hadi sasa yuko hai ni ngumu kutoka kwenye ushetani na kutoa siri zao kama hvyo na kuendelea kuishi
Kweli kabisa,, jamani roho zote hizo na ukatili wote huo. Allah atunusuru
Bakora za asubuhi leo,wale wenye shape zetu za kibantu tujuane 💃
Aaaa wapiiiiii
@@noshadmadini5768 kweli
Kwenye profile usngeeka kidude hiko
@@somoeawadh7774 watu washakuzoom bwana kumbe
@@gosbertmuta5421 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kabisaa
bonge ya mwanamke bonge ya mwanamke uyu kaka heshima kwake 😀😀😀😀
Wanawake wake walikua wakimataifa
Nilichogundua jamaa anapenda rangi nyeupe au limbukeni wa wanawake na vitu enzi zake😂😂
Si kweli....kwa wanawake hakuna urimbukeni wewe😃 toka dunia imeanza...
Safi Sana
Iwekeni iistor yote ili tuendelee namambo mengine imekuwa nikama alosto hiv😂😂😂😂😂
😇😇😇 kabsa yaan
@@aishaally8811 😂😂😂😂
Vicent sandess😂😂😂polee
@@aishabeka5562 inatesa 😂😂😂
Leo mapema kabisa.. Davista display Namba YAKO..
Eee Mungu Hadi naogopa
Ndio muache kushobokea wanaume wenye hela magari na mijumba mtanyooshwa
Nyie wachawi nyinyi humu km mnachukia chukieni Yani notification imeingia humu lkn papo hapo mshakua 41 mloangalia
Top 10 tunafunga naikubali sana hii story
🙄🙄🙄🙄 mtuache nasie siku moja tuwe wa kwanza, kila siku nyie tuuuuuu😂😝
@@dorcaskidoti249 we leo si umewahi kidogo lkin
tv bd niko busy sana, ntakuja baadae sana.😜😋
@@dorcaskidoti249 maswala ya communication ndo magumu kwa huku
@@dorcaskidoti249 poa mi mda wote nipo
Nice 🇧🇮Who lives 🇹🇷
Huyu jama ananifurahisha sometimes sema ni muongo alie changamka 😁 kila mwanamke ni mzuri atari afu hio ntakuja kueleze tumechoka we elezea tu MB zenyewe ha Halotel mxuiii
🤔🤔🤔 acha njaaas
Kila mtum mzuri kishenz
Ebhanae 😁😁😁
😄😄
Anazingua
Mzee wa bakora za kimkakati noma Sana mpaka mitaro umezibua
Hapa nmejifunza vitu vingi Sana wanaume wenye hela cio wakuzoea hovyohovyo Kuna wengine wanamambo yao
Usemacho ni kweli kabisa lakini kwa Asili ya Wanawake mlivyo umbwa na tamaa inakua ngumu sana kwenu kujiokoa kwenye hilo balaa.
Mussa chesa alisema shetani atakutia roho ngumu bt hawezi kukuondolea roho yakujuta utajuta adi basi😭😭
Kaka yetu huyu bado haja juta hivyo. Mpaka Ile siku roho za hao aliowatoa zikiamua kumzunguka ndio ataiona Dunia chungu
@@Laila-lz4ij roho gani!!!! Acha siasa hapa dogo
🔥🔥🔥
9 Minutes No. 23 pamoja Davi🇰🇪
😋😋😋🙏
Davista kwenye ishu za kimkakati unakazia mzee😂😂
Kazi nzuri kweli
Noma san
Hii ndiyo chai ya leo asante dav
Hiyo nixambi ulitaka damu bs ungemtoa kisha mwache lkn unamwingilia mtu kinyume na maumbile tena unamwachaa bila nguo jamani mlisema mussa ni katili lkn hapana huyu kaxdii mussa nafuu
Mzee Nchibalonda dah
hii dunia wengi wana zini sio kwa kutaka wao kumbe kuna uchwai ndani yake
Mzee wa bakora karushwa na upepo, aka capwa bakora na wachawi 🤣
Umenitishaaa had wanaume mzeeee 😂😂😂😂😂
Wa kwanz
Viwango vya kimataifa!!😃😃😃
Duh paka nyuma 😂😂 Ww umempokea mungu kweli
😄😄😄😄
Daaaah huyu jamaa
Huyo zainati hawazi kujua taarifa hizi jamani
Akivuta picha hawezi kukumbuka hizi stori kweli
Na wakijua hizi stori watachukua hatua gani juu ya huyu ndugu yetu!!!
Str xuri lkn anavojishauwaa eti watoto wazuri my friendwazuri wote wako chumba cha kusitiriwaa yani kila part mwanamke mxuri unasahau ulisema uliowaona kisimani hawafanani na wadunia jamani acheni kujishauwaa sana kama mfuko ya shati😄😄😄😄😄😄
😅😅😅😅 wivu mnao jaman
Aaah kumbe bakora nikufanga ngono i seee nishaelew maana ya bakora🤣🤣🤣
Muendeleza unachelew jamni😥😥😥
Wa14
Tatizo una rudia rudia maneno san nyooka bwana una tushosh
Ww mungu atakulaani hata km hupo huko
Nilimkung'uta Bakora za mikakati.jamaa hii segment anaiongea kwa mkazo sana😂
😛😛😛😛😛 wale mademu wapenda bure wanaipata hiyo, na wao wajipange kuzipata bakora za kimkakati.
Wee acha tu alipata raha
@@ivaniavianarodrigo7201 daa vya bure ni gharama sana aisee
@@somoeawadh7774 raha zenyewe alizipiga kikatili
@@straightkonect1613 kabisa
Mzee wakushugulikia, kukarabati au mzee wa kupiga Bakora😀😀😀😀
Hahaha jamaa ulizidiwa nguvu hiki kipindi kina mafundisho san
Kila mwanamke mzur we ulikua na pepo la ngono
😄😄😄😄😄😄
Hiyo dawa ya chibalonda ilikuwa haiishi au alikupa gunia zima 🤔🤔🤔
Pembe ilikuwa ni chuma inashukishaa gari😄😄
Namba 1
Mbeya yetu jamani,, 😭😭
Mbeya shikamooni
Mmh nihatar sana
Sana
Nahisi roho mbaya km ilikuwemo.😢😢😢
Davister mbona ikifika kwenye kuvua nguo unakazia sana😀😀
Yaaaasp
Leo nimewai
🙄🙄🙄🇰🇪
Hongera
Bonge ya mwanamke
Mwenye kiwango cha kimataifa
Lazima nimshughulikie
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂
Dahhhhhhhh ,?!!??!. Noma sanaaaa
hivi hao watu wakipata taarifa, na hayo majina itakuaje, watakuelewa kweli?, mbona kama panatia ukakasi?, kwa hizi familia hii storry ni nzuri sana ila kwa hizo familia sijui itakuaje!!!.
Kwani kuna Asha mmoja mzee?? Atajuaje kuwa ni yeye
Kumbe maana ya kupiga bakora Ni kufanya nae mapenzi🤔🤔🤔🙃🙃
Kumbe
Ulikua hajaelewa😅
@@pilimusa7770 😂😂😂😂😂😂
@bady msuya unafanya mapenzi na mtu unae pendana nae. Huyu alikuwa Anabaka tuu
Mimi ningekuwa huyu jamaa ningekuwa natoa kafara wazungu wenye dharau pamoja na wahindi wapale kisutu.
bakora mpaka kwa wanaume wanzako khaaa
Wangapi wanaudhiwaa kumchokoxaa mtu naanamuachia wewe bs uswahilini siunaeza kuua watu kwa plot mana kwa plot hakukosagii ugovii
🙊🙉 I wewe ulikuwa unabomoa hadi mifereji ya maji machafu Kha!😱
naomba namba ya nchibalonda😊
Yote 9 kumi tusisahau mchango wa davista na tujifunze kina dada tamaa ridhika na hali yako kama umeolewa basi stahmili hali ya mumeo kuliko kudandia watu wenye pesa matokeo yake mabovu sana
We fala kumbe ndo uliuwa ndugu zangu ajali ya simba mtoto! Uwe umeacha umetoka utalipia tu muonja asali lazima atachonga mzinga time will tell!
Anaitwa lwanda magere a.k.a bakora ukileta nyodo unapigwa bakora, mzee wakufumua makalio ya wanawake,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu pamoja na uchawi wake ana roho mbaya sana, Kwanini umuue dada yake Dhainath?
Kumuua ya kudhalilisha
Ana mengi ya kujitetea mbele Ya mungu
@@Laila-lz4ij hata ongea yake anaonesh kbs roho yake si nzuri je ukiongezea hayo majini ndo zaidi, bora angembaka nakumuacha basi.
@@dorcaskidoti249 na majini Huwa yanachagua Nani wakumtumikiza. Huyu nadhani walimpima wakamona kaelekea kuwa mtumwa wao
@@Laila-lz4ij inaumaaaa😥😥😥😥
Alhamdulillah w kwanzaa 😂😂💃💃🇪🇭🇪🇭
Hongera
Hongera kipenzi💞💞💞💞💖💖💖😍😍😍😍
@@somoeawadh7774 Asante kipenzi😘😘😘😘😘😘
@@pilimusa7770 Asante kipenzi😘😘😘😘😘😘😘
@@somoeawadh7774 Za asubui❤❤❤❤❤
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Anatengeneza mwenyew
Bakora hadi kwa wanaume 😳😳😳
Saivi nataka niwe naangalia tu si comment maan stor inajieleza yenyewe 🙌🙌🙌
Kupitia huyu bwana ndo nimegundua kwann Mungu amewanyima uwezo fulani binadamu maana binadamu ni kiumbe wa kuumizana tu pindi akiwa na power dhid ya wenzake yani ni kiumbe wa visasi.
F
Dah chili story imenifundisha vitu vyingi sana
Jmn hamtumi mzee wabakora mm namsubiri
Eka 40 minutes bro sio 34 kama unavoeka ni ombi tu afu naomba namba ya mzee chibalonda 😀😀
Utaka na wewe ufate dawa za bakora?
@@shantellemwanakombo3703 😄😄😄😄😄😄🤣🤣🤣amfuatee atapewa
Dav. Muulize kama Alikua anatumia Dawa ya kupotea kutemea kwenda mikoa mbali mbali kwaajili ya kutembea Au kwenda Kula bata bila ya kwenda kuua watu.
Wapi viwango vya kimataifa
Mbona hamuongelei kaka ake na mdg wake wa arusha?
Mnzi tena
✌🏽✌🏽✌🏽
Duh, yaan sekunde tu watu shanzi,haya na Mimi wa 8
Mpaka wanaume kapiga bakora