Asante sana baba askofu. Wewe ni mwanaume wa shoka. Hupendi kuyumba wala kuyumbishwa. Tangu enzi za magufuli hukuwahi kuyumbishwa. Pambania haki. Sisi waumini tunaojua maana ya authenticity tunakuambia endelea tupo nyuma tukisapoti kila kitu
Asante baba Askofu kwa kuliona hlo nadhani wahusika ni muda wa kutenda haki kabla mkono wa Mungu haujatoa adhabu Kali kwa wahusika wote, Mungu akubariki Askofu🙏🙏
Asante baba askofu mungu akutunze wametuqeka ss ni ngombe wakuliwa kwao maana alichokiumba mungu ww unachinja ccm inatuletea maisha magumu sasa wafute vyama vyote wabaki wababe wanalili serikali za mtaa maskini wa kutupwa
Mungu akubariki sana askofu wangu Kwanza nikusalimie shikamoo Baba yangu sema ukweli CCM wamemaliza watanzania tufanyeje sasa mbona tumekwisha kwakweli.
Hawa watu wanaojipa mamlaka ya kutoka uhai wa wengine wajue karma ipo. No permanent situation except change. Ccm wanafurahi sana kuua watu wakishirikiana na jeshi la polisi. Jueni kuwa mambo haya yatalipwa na watoto wajukuu na mifupa yenu. Watu mnaowatengeneza wenye roho ngumu na wapenda mauaji mtajua tu zamu yenu ikiwafikia 6:24
Tunatoa pongezi kwa tamko hilo, Ila ki ukweli taasisi za dini zimechelewa kutoa tamko la kuikemea serikali inayofanya udhalimu na unyanyasaji wa raia wake, pili madhehebu yamekosa umoja, kuna wanaojipendekeza kwa serikali bila kujali wanaoumizwa ni wananchi na waumini wao. Tafakarini muwe na msimamo thabiti usioyumba wala usioyumbishwa.
yani mm kwa hakilizangu mtu wa kwanza kubariki mauaji nimagufuli kwakua toka walipo anza kumpiga tundulissu na kutokuwapata hadileo ndo imekua njia yawengine kufanya hayo asinge poka wapinzani uongozi walikua wana kemea hayo sana nahii itaendelea mpaka mwisho
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya ujasiri wenu kukemea dhuluma na ukatili unaofanywa na Utawala wa Awamu ya Sita. Rais Samia yuko tayari kumwaga damu za raia wasiokuwa na hatia ili mradi angangania madaraka. Huyu Rais ni katili na barakala wa kupita. Hakika atalipa damu zinazomwagika.
Kanisa Katoliki ni Tasisi ya Kidini yenye mfumo kamili wa kijasusi na niserekali isiyo na mipaka duniani kote. watawala wajitasmini kanisa na wanaushawishi mkubwa katika jamii.
Kama kweli unaipenda nchi yako Tanzania na ni mzalendo wa kweli,haya mauaji yanayoendelea kwa milengo ya kisiasa ni hatari sana,tunaenda kujengeana VISASI tufikilie kwa undani,tujihoji,tujikosoe baada ya hapo tusirudie tena huku mtaani manung'uniko ya chini chini ni mengi sana tusiyapuzie
Nionavyo askofu tunaona mengi sana kwenye vyombo vya habari na tunashukuru sana Kwa vyombo kutupasha habari ijulikane Sasa hatudanganyiki kama enzi hizo ,
Haya mambo yapaswa kutolewa matamko kila yajitokezapo ili yasikomae.nakumbuka 2001 mauaji ya raia Zanzibar hadi nchi kuzalisha wakimbizi ilichukuliwa poa.hivyo hivyo kibiti 2017-2019 na hata 2020.haya matamko yawe endelevu kwa nyakati zote
Bado kitambo kidogo tunakoelekea patajulikana tu Burundi walianza hivi hivi kilichotokea wote mlikiona chuki hupandwa kama mbegu ikikomaa huzaa dhambi ndicho ccm na serikali inachokipanda
Mashee mbona wapo kimya sana , kwanini mashee hawasemi chochote, alafu unasema uwilsamu ni dini ya haki kwanini amuongelei hiyo haki yenyewe, au mpo kwa ajiri ya matumbo yenu
Ulikuwa wapi wakati mambo haya yakishamiri sana ktk awamu ya tano ambapo watu wengi walipotea na wengine wakiokotwa wakiwa kwenye viroba coco beach au ulikuwa hujajua kuongea?
Ukiwa mpumbavu unakaa kimya. Ulitegemea upumbavu ukifanywa Jana tukavumilia basi tuvumilie milele? Wewe ndiye ulitakiwa useme awamu ya Tano na yeye anasema awamu hii
@@walidmgonja3644 nilipokuita mpumbavu sikubahatisha, na kwa upumbavu huo huo ulionao unahisi ukimtukana mama yangu upumbavu wako unaisha. Hakika una upumbavu mwingi sana
Viogozi wa dini ndiyo wenye wanaichi na si rais kama inavyosemwa.hawa viogozi wanapotoa mapendekezo yao kisha mamlaka zinawapuza.jueni ichi inaenda kubaya.
Mauaji yawatu wasio nahatia anayafaya rais wainchi kwasababu ariwahi kusema swala lakuuwawa watu si tanzania tu lipo duniani kote kwa maana hiyo rais kaluhusu watu wauwawe
Asante sana baba askofu. Wewe ni mwanaume wa shoka. Hupendi kuyumba wala kuyumbishwa. Tangu enzi za magufuli hukuwahi kuyumbishwa. Pambania haki. Sisi waumini tunaojua maana ya authenticity tunakuambia endelea tupo nyuma tukisapoti kila kitu
Asante baba Askofu kwa kuliona hlo nadhani wahusika ni muda wa kutenda haki kabla mkono wa Mungu haujatoa adhabu Kali kwa wahusika wote,
Mungu akubariki Askofu🙏🙏
Asante baba askofu mungu akutunze wametuqeka ss ni ngombe wakuliwa kwao maana alichokiumba mungu ww unachinja ccm inatuletea maisha magumu sasa wafute vyama vyote wabaki wababe wanalili serikali za mtaa maskini wa kutupwa
Mungu akubariki sana askofu wangu Kwanza nikusalimie shikamoo Baba yangu sema ukweli CCM wamemaliza watanzania tufanyeje sasa mbona tumekwisha kwakweli.
Asante, kupitia maneno haya ya askofu, wahusika wote wanaoshiriki kukatisha maisha ya watu, wapate adhabu zao hapa hapa Duniani
Hawa watu wanaojipa mamlaka ya kutoka uhai wa wengine wajue karma ipo. No permanent situation except change. Ccm wanafurahi sana kuua watu wakishirikiana na jeshi la polisi. Jueni kuwa mambo haya yatalipwa na watoto wajukuu na mifupa yenu. Watu mnaowatengeneza wenye roho ngumu na wapenda mauaji mtajua tu zamu yenu ikiwafikia 6:24
Asante baba askofu Kwa kukemea uchafu na uhuni unaoendelea katika hii nchi
"Hatuna mamlaka ya kuondoa uhai wa wengine "Inauma sanaa Baba Askofu.
Mama hana hata chembe ya huruma na jinsi watu wauliwa wanatekwa wanahujumiwa lakini raisi yupo kimya ila ni swala ka muda tu atakuwa Mungu yupo
Mungu ndie muweza wa yote
From 🇧🇮 mimi gisi naona ccm yenu kutoka nishida sana kuweni kama sisi majirani zenu 😂wakiuwa na nyie munauw😂
Mlitumia mbinu gani tupe michakato
Baba Umenyooka Mungu akubariki sana
Mara ngapi Hawa maasikofu wanalalamika na Bado hawasitiwi jamani mungu awalinde raia maana hakuna kitu ichi hii
Mwogopeni mungu nyie munaokomenti ujinga msikilizeni huyu mtu wa mungu
Tunatoa pongezi kwa tamko hilo,
Ila ki ukweli taasisi za dini zimechelewa kutoa tamko la kuikemea serikali inayofanya udhalimu na unyanyasaji wa raia wake, pili madhehebu yamekosa umoja, kuna wanaojipendekeza kwa serikali bila kujali wanaoumizwa ni wananchi na waumini wao.
Tafakarini muwe na msimamo thabiti usioyumba wala usioyumbishwa.
Mungu akubariki sana kusema ukweli polisi tumewachoka yote haya raisi ndio chanzo kwann hawajibiki
Hongera baba askofu Rwanchi , haki inapoporomoka nchi huingia kwenye machafuko na huondoa tunu ya amani tuliyonayo kwa mda mrefu
yani mm kwa hakilizangu mtu wa kwanza kubariki mauaji nimagufuli kwakua toka walipo anza kumpiga tundulissu na kutokuwapata hadileo ndo imekua njia yawengine kufanya hayo asinge poka wapinzani uongozi walikua wana kemea hayo sana nahii itaendelea mpaka mwisho
We nae akili huna kume
Asante baba kwa kukemea
Baba asko mwambie Samia atubu dhambi hii hatatoboa mwakani haya mauaji hapana Tena hapa serikali inapuuza mengi sana
Hatuna viombo vya Dora bhn saiv ni watumishi wa. Watu
Yaani tunaumia sna BB Askofu
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya ujasiri wenu kukemea dhuluma na ukatili unaofanywa na Utawala wa Awamu ya Sita. Rais Samia yuko tayari kumwaga damu za raia wasiokuwa na hatia ili mradi angangania madaraka. Huyu Rais ni katili na barakala wa kupita. Hakika atalipa damu zinazomwagika.
Mungu akubariki baba🙏
Kanisa Katoliki ni Tasisi ya Kidini yenye mfumo kamili wa kijasusi na niserekali isiyo na mipaka duniani kote. watawala wajitasmini kanisa na wanaushawishi mkubwa katika jamii.
Kama kweli unaipenda nchi yako Tanzania na ni mzalendo wa kweli,haya mauaji yanayoendelea kwa milengo ya kisiasa ni hatari sana,tunaenda kujengeana VISASI tufikilie kwa undani,tujihoji,tujikosoe baada ya hapo tusirudie tena huku mtaani manung'uniko ya chini chini ni mengi sana tusiyapuzie
Waziri wa Mambo ya Ndani ajitadhimini na Mapolisii wake!
Umekuwa wa kwanza kuwasemea wa Tanzania,,
Baba Askofu msichoke kutusemea
Tumungoja shehe Mwaipopo aonglee Jambo hili,maana yy anaona serkali inaonewa.
Bora Askofu umeongea vizuri kuliko hao policcm
Niatari sana
Tatizo na Mama abduli na CCM yake anaua kwa sababu sio mTanganyika ni Mzanzibari naongoza ugenini haezi kua na huruma na nnji ambayo sio yake
Ni hatari sana
Nionavyo askofu tunaona mengi sana kwenye vyombo vya habari na tunashukuru sana Kwa vyombo kutupasha habari ijulikane Sasa hatudanganyiki kama enzi hizo ,
Jamani watu wana wana kwa sababu tu ya Siasa. Mbona inakuwa hivyo?
Wale wakutulinda sisi raia na mali zetu ndio wa kuwakemea wamekuwa kinyume na kiapo chao cha kazi
Hayo usemayo si sera ya Ccm. Ccm ni kuua kwa kwenda mbele Mungu wamjua wewe kwao si muhimu kuliko wadhifa
Kumuweka m/kiti wa kitongoji lazima kuua sijui kuwaweka madiwani,wabunge na rais itakuwaje?
Watachinja watu sana
Lazima ccm watoe roho za watu ndio washinde
Ni wakati wa kukataa milango ya kanisa kukanyagwa na waovu hata akiwa na cheo gani
Haya mambo yapaswa kutolewa matamko kila yajitokezapo ili yasikomae.nakumbuka 2001 mauaji ya raia Zanzibar hadi nchi kuzalisha wakimbizi ilichukuliwa poa.hivyo hivyo kibiti 2017-2019 na hata 2020.haya matamko yawe endelevu kwa nyakati zote
Mwaipopo huto msikia kukemea hii tabia
Mwaipopo sio Kiongozi wa dini na wala sio shehe,ni Mganga njaa kwenye huu Uislamu wetu.
Mm muislamu ila mwaipopo ni mnafiki Kama wanafiki wengine tu
@muhamadsalim5295 Mimi pia ni muislam lkn unafiki wa Mwaipopo umezidi kiwango
Serikaki yetu siyo sikiv inatak kutawala kimabavu baba askof
Bado kitambo kidogo tunakoelekea patajulikana tu Burundi walianza hivi hivi kilichotokea wote mlikiona chuki hupandwa kama mbegu ikikomaa huzaa dhambi ndicho ccm na serikali inachokipanda
Huyo ndio mama Samia ccm mbele kwa mbele
Mwaipopo aongee akose misaada, wakristo wanajiamini. Penye ukweli wanaongea.
Muharamijuma askofu analaani vitendo vya kuwana kisiasa hajasema ccm au chadema
Akawatafute wapi!
Haki huinua taifa vice versa is true
Askofu mjinga
@@amosiabdulallh7965haya bhana,
Nashindwa kukubali kwamba, ile kauli, kwamba 'Tz. ni nchi ya amani na utulivu' imekwisha, lakini mbona mambo yanazidi kutisha !
Mashee mbona wapo kimya sana , kwanini mashee hawasemi chochote, alafu unasema uwilsamu ni dini ya haki kwanini amuongelei hiyo haki yenyewe, au mpo kwa ajiri ya matumbo yenu
Hakuna dini inayo ruhusu mauaji..tuungane kukemea maovu yote ...maovu yanawezabkufanywa na mtu wa dini yoyote
Hivi Pengo anajua yanayoendelea? Mwambieni atoe tamko tujue tangu enzi za magufuli amebadilika au la?
Mzee wetu atulie tuu.. ukiskia sauti ya Ruwa'ichi umeskia mawazo ya Pengo pia. Kanisa ni moja!!
MBONA WAKIULIWA WAZANZIBARI WAKIULIWA WAKATI WA UCHAGUZI NYINYI MAASKOFU MNABAKI KIMYA TENA WAO HUULIWA KWA WINGI SANA.NYINYI NI WANAFIKI.
Wanakemea bwege wewe usie na akili
Unadhani Kila kitu ni mashindano ya dini.
Usipokuwa makini, basi mnafiki ni wewe
Usipokuwa makini, basi mnafiki ni wewe
We nawe huna hata cha ku comment. Hao si wana watumishi wao wa Mungu mbona wako kimya usiwalaumu hawa wa kwetu bhana
@@maureenlilykiwia1515 wakwao hawana akili kutwa kutetea ujinga, kwanzia bandari na ujinga mwingine
Ulikuwa wapi wakati mambo haya yakishamiri sana ktk awamu ya tano ambapo watu wengi walipotea na wengine wakiokotwa wakiwa kwenye viroba coco beach au ulikuwa hujajua kuongea?
Ukiwa mpumbavu unakaa kimya. Ulitegemea upumbavu ukifanywa Jana tukavumilia basi tuvumilie milele? Wewe ndiye ulitakiwa useme awamu ya Tano na yeye anasema awamu hii
@bcozhenry2698 mpumbavu ni wewe na mama yako,choko wewe
@@walidmgonja3644²toa hoja matusi kumtukania mamaake haisaidii na yeye anaweza kumtusi mamako ila yeye ana akili timamu
@@walidmgonja3644 nilipokuita mpumbavu sikubahatisha, na kwa upumbavu huo huo ulionao unahisi ukimtukana mama yangu upumbavu wako unaisha. Hakika una upumbavu mwingi sana
Usitukane,elimishaneni Kwa hoja.
Sasa yanapofanya hivyo alafu yakaja kanisani, simuyafukuzee.
Viogozi wa dini ndiyo wenye wanaichi na si rais kama inavyosemwa.hawa viogozi wanapotoa mapendekezo yao kisha mamlaka zinawapuza.jueni ichi inaenda kubaya.
Mzeee uongozi wa Juuu unazeesha
Kichwa 0
DP WORLD NI HATARI SANA, BANDARI IMEBANA LAZIMA WATAONGEA
😭😭😭😭😭😭😭😭
Mauaji yawatu wasio nahatia anayafaya rais wainchi kwasababu ariwahi kusema swala lakuuwawa watu si tanzania tu lipo duniani kote kwa maana hiyo rais kaluhusu watu wauwawe
Mbona Katibu wa CCM alipopigwa Risasi kule Iringa hukusema HAUĶUKEMEA KWA WAĶATI UNATIA SHAKA!!!
Unamaanisha Nini wewe kenge
Kwa hio unaona ni sawa
Wacha ushabikii wa kitoto fala hii
Wewe mharami ni mpumbavu sana ni mwislamu mpumbavu na hao unao watetea
Mkundu wa baba ako ww