Kwa hiyo hapo hukuwa na uwezo wakutumia hata ile hirizi yako ya mkononi kuondoka hapo na kwenda kwenye chumba chako cha siri ili uwashughulikie wote hao na usitowe hizo pesa sababu kwanza ilikuwa ni uongo .
Jamani mpe huyu jamaa hi 5......anajieleza vizuri Sana......bakora za kimkakati🤣🤣🤣......atufunze kabisaa Kwa sababu hii dunia tunayo ishi ina maajabu mengi kweli......🇰🇪🇰🇪
Hao wanawake walikuwa hawajui mxiki wako ambapo uliwashuhulikia sasa wanakuja kukusingixia eti ulikopa pesaa hao police hawakuona ile nyumba ulikuwa unaishii
I am always excited when I am listening to this story since the person narrating this story has almost all the qualities of a good narrator.
Huyu jamaa Davistar yuko vizuri sana masha Allah 🥰
saaanaa
@@mariamnuru9939 🥰
@@somoeawadh7774 kwel kabisa
Davistar rafik yangu leo umenifurahisha kishenz namna ulivyochangamka
Hahaaaa’ RUANDA MAGERE’ leo mimi ni wa tatu...!..big up Davistar Mata a.k.a MARASTA a.k.a NCHIBALONDA..!
Dereva kwann asiingilie kesi na alikuwa na ushahid juu ya hiyo kesi ameniudhi kwa kweli
Wa 17 nipen like zangu
😂😂
Ila kusema ukweli jomon hakuna kitu kinauma kama kusingiziwa kesi duuuuuuh 😭😭😭😭😭😭😭sitakuja kusahau inauma sana jomon
Pole sana
Walikua wajinga tu we amewatokea kiuchawi afu bado mnamshitaki kifo kilikua kinawaita
MOJA KATI YA STORY TAMU SANAA.. ❤️❤️❤️❤️❤️
Shem vipi?
Hii na Zabron ipi kali
Kwa hiyo hapo hukuwa na uwezo wakutumia hata ile hirizi yako ya mkononi kuondoka hapo na kwenda kwenye chumba chako cha siri ili uwashughulikie wote hao na usitowe hizo pesa sababu kwanza ilikuwa ni uongo .
Hiyi history nitamu kuisikiliza big up Davista from USA 🇺🇸
Hii story ni wonderful... Davista display NAMBA YAKO
Sijui unanielewa vizuri😃
Inaonekana ulisahau zana zako za kuyayuka nyumbani mzee wa bakora za kimkakati
Waomba like nao hawakosi duuh nitarud baadae
🤣🤣🤣🤣🤣
@@tracyirene8917 😂😂😂story nzur hii jamni
Hivi huwa zainafaida Gani?
@@tracyirene8917 😭
@@mosesjohnswilla9926 waulize
Dah! Maisha haya bana
Acha na mimi ni comment sio nasoma za wenzangu tu
Asante Davistar👏
Tunahitaji movie ya huu mkasa jameni
No. 1
Namba 1
Perfect
Tupo 👍Good Friday ya Easter bado watu wanafuatilia Stori 🔥 Hatari kweli 👍
Sanaaa
@@credo7837 Picha kapendeza👍 Swag kabisa 👍😅
@@tracyirene8917 asante wew mwenyewe umenogaa bint😂
@@credo7837 Eti 🤣🤣🤣 Kunitania Aisee🤣🤣🤣
@@tracyirene8917 kwel sikutanii nahizo nyewe umekaaa mpoa san
Matapel wanao jiita wa mjin wajifenze
Sana
Leo tuna kula bakora na asubuhi 💃
😂😂😂😂😂
Mm hapana😂🤣😂🤣😂🤣
@@vicentsandess1115 🙄
Jamani mpe huyu jamaa hi 5......anajieleza vizuri Sana......bakora za kimkakati🤣🤣🤣......atufunze kabisaa Kwa sababu hii dunia tunayo ishi ina maajabu mengi kweli......🇰🇪🇰🇪
Yaani jamaa hata hamjui asema ni Friend take kabisaa🤣🤣🤣🤣
ile ya Zabron inapata gombee
hiyo fedha ungeacha kuwalipa😊😂kwani palikuwa muandikoooo.
Daaaaaa duniani kama huna Yesu ni kama kifaranga cha kuku kipanga anajisevia muda wwte
Part 28 niliona lkn sija watch nasioni kwa notification ama devi amedelete aki nilikua buzy😭😭
ulikua na pete siungeenda kimiujiza?
Hatari Sana aisee
Pamoja sana mr facts
Davista hii story nzuri sana na inafundisha
Mjomba da vista katika stori zote kali bas hii namba moja na ya pili zambron
Kabisaaa
Ni ngani hiyo zambron
kwelii
@@pilimusa7770 kwa kuwa ina bakora za kimkakati au vp
Mm naona zabron ndio Kal zaid
Davistar unatubania Mafundisho. Ongeza episode bana
Hii kwangu ni story kali zaidi ya Zabron na jini Julieth.
Juliet noma unakula afu hushibi
Weweee zabroni ni kiboko
Mimi mpk leo huwaga nairudia ten na ten story ya zabroni
Story na msimuliaji ni noma na nusu
We komaaa!!! Zabron noma
Jamani bundle la Tanzania bei juu kuliko bill ya maji eeeeeh jaman watuhurumie story ya rwanda magere nzur mno tutaikosa sisi walala hoi
Wakwanza leo
uyo dada kaya taka mwenyewe mtu kakutokea chumbani na kukupa bakora za kimkakati leo waenda mpeleka polisi
👍👌
Dah 😂😂 huyo mwanamke alikuwa hafai😂
Mtoto WA mjin
Bwana nihuru miye mungu wangu niwe wako maishani🙏
🤣🤣🤣
Thanks
💃💃💃💃
Mmh Mwanakulifind, mwanakuliget aisee kazi wanayo😭😭😂
kabisa
11:47 rafiki yangu kabisa huyu
umesoma nae nn
Naendelea kuhesabu bakora za kimkakati.😅😂
Mbona views zimepungua, au mambo ya Bando!?
Kaka mbona unachelewa sana kutupia?
Wamekaa kwa kifuri na bado wanajifutafuta na vitambaa shida ni nini 🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️????
Davistar mmbea wew leo nimegundua😂😂
😃😃😃😃😃😃😃
Kishenzi yaaan
Alivyotaka kuchomeka bakora nikamshika
Nahuyo mwanamke kwel alkua mtoto wa mjini asee😂😂
Angekuwa wa mjini asingeliwa mpalange😂😂
Wanangu wa harotel 🧐
Niaminini Mimi hii story inakoelekea jamaa atampiga bakora mfanyakazi wake 😂😂😂
Hii story inafungua macho, aliye na masikio asikie
Kweli
The 5 one today
Haaa kweli mtoto wa mjini
Nimefika ndani 🙏 kabisa story mzuri kikwueli
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Davista muulize hilizi sikuhiyo haikufanya kazi?
🧨🧨🧨
Pamoja dav🙏🙏🙏🙏
Season kali
Story ya 27 funga kazi
Muulize kwa nini hakutumia hirizi yake?
Mimi nimewahi singiziwa nimeiba million 10 kwa jamaa mzoa taka oya niliumia sana na hiyo kitu sitaisahau 😭
pole
@@khadijaomari9344 Asante Wang
Pole sana
@@fatmamucha4419 😢 asnt wang
@@stidejustin1156 pole ukafanyaje sasa
MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Kaka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo Jana na leo
Vzr Sana wajina
❤❤❤❤
@@fatmamucha4419 ❤❤❤❤❤
Hii kali Davistar, haha
Nilikuwa na ngoja kwa hamu
hahaha
walkuwa hawajuı kama wanaongea na zombiiiiii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hivyo wewe ulikuwa siyo mhalifu
Daaaaah story ina matukio na inazidi kunoga
🇴🇲💪🔥
Ule mkono wako wakushoto ulikuwa uwezo wakusem jambo unatoweka ilikuwaje apo
hapo sasa
Hapo Hana vifaa vya kz
kumbuka ule mkono wake kushoto toka kuzimu ameshapewa uwezo huo wakutamuka anatoweka kwa kutumia ule mkonowakushoto
Devister weka namba ya simu apo mbele bana
Du huu ukarabati mpaka kwawake zawatu kumbe tumechapiwa Sana 😅🤸
Darling 😘
@@somoeawadh7774 kuwa makini mamy uyujamaa sio mzuri akiona umbo lakibantu anataka akarabati 😍😍😍
@@gmdecoration6044 Hebu aje anikarabati 😂😂😂
@@somoeawadh7774 weeee hataniwi uyo nisije nikalia bure🤸🤸
@@gmdecoration6044 😂😂😂😂😂😂
👂👂🔥🔥🔥
Alhamdulillah w mwishoo😭😭🇯🇴🇯🇴
DAVISTER MWAMBIE HUYU KIJANA ASISEME MKE WANGU.. MKEWAKE KIVIPI HAJA FUNGA NAE NDOA WALA KANISANI
Davista mbona leo anafurahi Sana au kapewa dawa na chibbalonda
Happy Easter to everyone
Jamani mtandao wa tigo wanatunyosha🤦♀️ na huku story ndo imenoga bando lipo juu kama nini jamani
Mitandao yote mwenzangu
Tumia voda inakwenda taratibu!
😂😂😂mke wa scolastika😳
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
hahahaaa umepatikana na wewe
Usimuite mpubavu sahii ushaakombolewa Kaka,
Oyoooo
Hahahaaa kumbe ukiacha watoto wa malikia Kuna wa mjini pia ukaonja Moto japo kidogo
Hao wanawake walikuwa hawajui mxiki wako ambapo uliwashuhulikia sasa wanakuja kukusingixia eti ulikopa pesaa hao police hawakuona ile nyumba ulikuwa unaishii
Wa kwanza🎈🎈🎈🎈🎉🎉🎊🎊🎈🎈🎈🎈
Hongera bebe
😘😘😘
Upo vzur
@@badymsuya6093 umeona eee
@@badymsuya6093 body umechelewa leo.
😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Uyu nae mda mwingne akuwa na Akil sasa ela unapeleka za nn? Wakat uwezo umepewa unalalaj jela wakat mkono ukiamrisha unapotea
Aliamua tuu ili aweze kuwatoa kafara zaidi
Jamaa kanyoosha uku🙌🙌🙌🙌🙌
🤣🤣🤣🤣🤣
@@pilimusa7770 🤣🤣🤣
Leo umetuchekesha 😂😂😂😂
13,
Hahaha pasipo kosa 😭😭😭😭
🪑 nimewahi
Hongera
Umechelewa😂
Niko makini kishenzi yaani .......waah story inatiririka kiulaini kabisa..
Aysha. Aiyam. Jirani, khulood. Kawthar. Kalssam. Somoe. Zuu. Hamad. Sapna. Fatma. Amina. Blessed. Shiza. Njooni🎈🎈🎈🎉🎊🎊🎊🎈🎈🎈🎈🎊🎊🎊🎉🎈🎈🎈
Nipo bebe
@@hamadwaziri121 baba mtu.
@@hamadwaziri121 karibu❤❤❤❤
@@pilimusa7770 Asante mama
@@pilimusa7770 mama mtu
Tuko pamoja sana