Mmmh mungu mkubwa.namahukuru mungu kwa kukutumia wewe davistar,ukatuletea kipindi hiku cha kutuelimisha .tunayajua mengi ata yaliyojificha.Asante sana davistar mwenyezi mungu akujaharie heri na subira.Hatuna cha kukulipa zaidi ya asante
Inategemea na mira kwa mira za kiarabu ni sawa kwa mira za kikerewe ni sawa kwa mira za kifipa sio sawa kwa mira za kizungu ni sawa... kwahiyo inategemea na mira
Sio sawa labda ukaoe ndugu wa mbali wakoo hio,,, alaf davista zoom hio alama mkononi mwake au ipige pic then ipost insta ili tuione vizur kama ulivyo kua Kwa zabron
Hayo majini yamemchukua mama yako...yametengeneza scenario za kipepo...na kumchukua mama ako... kaka umepoteza roho nyingi zisizo na hatia...MTUMIKIE MUNGU KISAWA SAWA MPKA MWISHO WAKO ON EARTH....hata hivyo ukiona mtu anahadithia hivyi kuna zaidi ya 100+ Walikufa majaribuni....Tumtumikie JEHOVAH
Wee bwana kando chimbalonda ,ulikuwa na roho chafu na kiburi!yaani uchukue bibi y mwenyewe....halafu unantukaka hi you🤔🤔,Tena heti amekudharau!!! Mungu akusamehe Kaka🙏
Sisi wajaluo hatuoani wifi juu mahari hazibalidishwi, labda muchukuane bure bila mahari, dem mgani ana penda aolewe for free inabidi iyo issue yaishe tu
Sisemi kwa ubaya ata mimi niko na nguvu mob sana mwanaume ndo anatii, mimi yangu ni natural sijaenda kwa chibalondo nilipewa na Mungu naomba iyo dawa nimpe mtu
Kijamii sio sawa kabisa . Ita kuwaje shemeji yako kumuoa wakati kakake ndo katangulia kuoa dadako ? Sijui kwa Kabila tofauti tofauti lkn huwa haileti show kabisa .
Mwanamke hakomolewi! Ndivyo wanye ukimwi wanavyoambukizwa! Unasaga sana hadi unaondoka nao! Ile kitu ni mpira! Unajikomoa mwenyewe! Labda mi nipate dawa ya kumchukua demu yoyote nimtakae!
Piga bakola za kimkakati🤣🤣🤣🤣 aisee mzee chibaronda😄🤣🤣🤣daaa mbali na kujifunza naenjoy sana 2022
Au co
Aliyeona davista akisikia bakora anakua making zaidi gonga like
Hahaha
😂😂😂 nimecheka sana
Sio bakora tu bakora za kimkakatiii.2
watumishi ambao hatujui vinywaj gonga like🤣🤣🤣
Mmmh mungu mkubwa.namahukuru mungu kwa kukutumia wewe davistar,ukatuletea kipindi hiku cha kutuelimisha .tunayajua mengi ata yaliyojificha.Asante sana davistar mwenyezi mungu akujaharie heri na subira.Hatuna cha kukulipa zaidi ya asante
Bwana mtumishi davista bavaria ni juice ya apple tuu usipate presha😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ajui 😂😂
Ni sawa mm kakangu kuenda kuoa kwa kina mume wangu
💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Bakora za kimkakati uwiiiiiiiiiiiiiiii
Amina.tatizo.
Inategemea na mira kwa mira za kiarabu ni sawa kwa mira za kikerewe ni sawa kwa mira za kifipa sio sawa kwa mira za kizungu ni sawa... kwahiyo inategemea na mira
Hata wahaya ss Ni mwiko
Wapi likes za Davistar jameni
@Kashton Frederick okay I will
@Herbert Rosenow I will too
Namkunguta bakora🥰🥰🥰🥰
Huyu jamaa licha ya kuenjoy utajiri wa kichawi ali enjoy sana bakora za madem so alifaidi 🤣🤣
Wapi emoji ya kucheka nicheke jameni🤣🤣🤣🤣
Nampenda plus machungu🤣🤣🤣🤣😂
😁😁😁
@@tatuhongeranurushaus485 😘
mzeee wa bakora
Acheni kuroga watu jamani! Mungu anawaona mnaharibu maisha ya watu wengi kwa tamaa zenu.!
Kwa kweli
Kijamii si sawa. Hiyo inaleta magonjwa nyumbani. Kama hayo ya ku paralize ama hata vifo vya gafla. Kikwetu tunaita vitio.
kabsa🤔
Mr. Bakora..!!Basi ebu sema/tuuzie huo mti wa kupiga > bakora za kimkakatiii
Huo mtii please 🙏 🙏🙏 tunaomba ututajie😋😋😋😋
Ukishaupata tu nitafute🏃🏃🏃🏃🏃🏃🤣🤣🤣🤣
Mzee wa bakora mkakati kun watu wanaulizia hiyo dawa fanya uwanzishe biashara ya kuiuza utapata mamilioni ya wateje
Niko ndani 👍
Twende kazi....
boss wetu yuapenda haya mambo😂😂
Mzee wa bakora
Hatar kwel
sana mr bakora
Huyu jamaa bahna nampenda sana nimeanza kumfatilia sikunyingi sana dah anajua sana kuhadidhia
Hahahaha umenishinda tabia eti wakati unamwambia macho anayawekawekaje
Mzee WA bakoola🔥
Mm nitamtafuta mzee nchibalonda #dawa za kimkakati ndoo nazitaka nitembezee bakora wadada wenye nyodo mjini
@@ikabako2454 🤣🤣🤣🤣🤣
@@ikabako2454 hyo haihusian na mwenye profile ww kwan huoni hyo ni channel ya youtube
Pole sana davista
OMG nikisikia ajali hz daaah.nawaza sana Juzi kuna mdogo angu kafariki ajali ya Dodoma. Daaaaah!!
Hii stoli ina madini sana kwa wachimbaji mashimo yapo wazi... ila davistar itakua anapenda sana p didi😅😅😅
Bakora za kimkakati hatar Sana 🔥🔥🔥
Sanaaaaa 😁😁😁😁😁
Daaaah hatari sana. Wadada wanapenda hii kitu.
Munapenda😄😄
@@dotosalim5090 mnooo
🔥🔥🔥🔥🔥
Sio sawa kbs...
Watu munalala you tube 😂😂
Wewe unakesha cc tunalala🤣🤣
Bakora za Kimkakati😃🤣😂😁😀
Piga bakola saaaka gugu mzee wa bakola saana zabron mzee wa msosi🙏🙏🙏💪💪🤣
Iko sawa kabisa..
Weather uokoke ama ukose..hizo damu zoote ztakufuata!!!!bad storii ever!!!imenikelaa sana
Kwendraa
Mwenyezimungu mwingi wa rehema na mwenye kusamehe
Hahaaaaa devista kwenye kufinyana anashangilia huyo
Daa 4 twende kazi sio mbaya 😂😂 lakin part18 inakimbia sana sijui kwann🤔
Hiyo sawa tu
Wee na hizi bakora zako hizi, ruka nenda sehemu nyinginge, bakora zimenichosha mie
Hata mie nimechoka😪😪
Au na we unataka hiyo dawa ili upewe mbona povu.
@@Laila-lz4ij wivu 😄 🤣
@@tatuhongeranurushaus485 hiyo ya dawa mwisho wake gharama, kamuulia mama ya mtu juu mshtuko...duh! jameni!!
@@philipoluzege3200 🤭🤭
Mko vizuri sana kwa kila kipande 2ko p1
Sio sawa labda ukaoe ndugu wa mbali wakoo hio,,, alaf davista zoom hio alama mkononi mwake au ipige pic then ipost insta ili tuione vizur kama ulivyo kua Kwa zabron
Thank u 🙏🙏
Bakora za kimkakati hahahaaa
Tuned 🇰🇪
Si sawa coz already mana ukoo
Huwa naangalia tu bila ku comment ila Davista una mpamba huyu broo 😂😂😂 una mpa moto ila sema ana simulia vzr keep it up broh tunajifunza
Kuoa kwa mpango ule ni sawa,Bali kutembea na yule ambaye ashachukuliwa ndio makosa.Story safi,nafuatilia kutoka Nairobi.
Hayo majini yamemchukua mama yako...yametengeneza scenario za kipepo...na kumchukua mama ako... kaka umepoteza roho nyingi zisizo na hatia...MTUMIKIE MUNGU KISAWA SAWA MPKA MWISHO WAKO ON EARTH....hata hivyo ukiona mtu anahadithia hivyi kuna zaidi ya 100+ Walikufa majaribuni....Tumtumikie JEHOVAH
Tena itakua walimuua sabu waliiona alikuwa anazuia mipango yao ya kupata watoto ktk maagano..
Kijamii ni sawa
kwa mm ni sawa..
Davista!!! Eti uko vizuriiiiii😂🤣
Samesame salum
Kisebu sebu Na Kiroho Papo😄😃🤣😂😁
Duuu mzee wa bakora habadili shat au mlirecord siku moja😀😀😀
Ni siku 1 yaonekana
Sio saw kabisa
😭😭😭
@@tracyirene8917 walia nin 🤔🤔
@@credo7837Aisee story Yasikitisha kweli Nimekubaliana jinsi ulivyosema sio Sawa Kabisa
@@tracyirene8917 oooh okay pamoja
@@credo7837 😍😍
Mtaalam wa kuchapa bakora 😁😁,Hasante unanifanya niongeze ck za kuishi
😁😁😁😁😁👌👌👌
alafu za kimkakati sio bakora tupu.
@@ivaniavianarodrigo7201 😂😂😂😂
Azam Energy Drink ipo powa sana
hi mbona yule dogo alieanda nae vijijini kutafuta ela ya mwaka 1993 hajamtaja?
Wanawake wa Viwango vya Kimataifa 😁
Davista kwa msisitizo wakati anamwambia Mr. Bakora macho yake alikua anayawekaje eheeee.🤣🤣🤣🤣
Zinaitwa bakora za kidplomasia!😆
Wee bwana kando chimbalonda ,ulikuwa na roho chafu na kiburi!yaani uchukue bibi y mwenyewe....halafu unantukaka hi you🤔🤔,Tena heti amekudharau!!!
Mungu akusamehe Kaka🙏
Waudhi
Mtumishi anependa watoto😀😀
Sisi wajaluo hatuoani wifi juu mahari hazibalidishwi, labda muchukuane bure bila mahari, dem mgani ana penda aolewe for free inabidi iyo issue yaishe tu
True
Inategemea na kimila yenyu, kwuenyu🇰🇪 Nyanza sio sawa nikama munabadlishana mahari
Ipo sawa
Davister apo mwenye bakora unakuwa makini so poa😂😂🤣😂🤣😂😂😂
Story nzuri 🙏
Nisawa msiseme siyo sawa
Hakuna tatizo lolote kuoa shemeji yako Ila kosa ni kwa vile yule dada ni mke wa mtu.
Kabiisa
Davister happ hakuna shida ila tatizo hyo mwanamke alikuwa ameshaolewa
He shaban umalaya huo mke wa nduguyo kabsa me sidhani km hata uboo unaweza kunyanyuka siwez kabsa
@@gosbertmuta5421 hakuwa yeye pale walikuwa wale mapepo wanamuendesha
@@gosbertmuta5421 mm napiga bakora vizury
Duuh sio sawa ndugu kuoa au kuolewa sehemu moja...😁
Sio Davister tu hata mm napenda kishenzi 😁😁😁
BAKORA ZA KIMIKAKATI 😄 🤣 😂 😆 😄
🤣😂🤣
Davistar bwana eti macho alikuwa anaangaliaje
Davista nakupenda nipo single😋 nitakuenesha jinsi ya kuweka macho bby wange😘 nijibu davista wangu
Ana mke tayari 😃😃😃
Yesu wangu khaa 🤔
@@credo7837 watu waomba mapenzi life 😂😂😂
@@somoeawadh7774 😂😂 na sijal Wala nn
Ila ni utan tu jmn
@@somoeawadh7774 at Me Nina Mume😂
daa kusogea chini ndo umesogea kasho???!!!!!, daa🌞
Hapo hakuna shida kuoa alipoolewa dada,,, shida ni kwamba huyo tayari ni mke wa mtu mwingine,,,,,,,,#PAMOJAMTUMAKINI
Davista ii tamaa ya macho cheza chini mtu wangu😂😂😂😂mapenzi ya dawa ayooo
Bakora za kimkakati 😂😂
Story ina bamba sana👏
Sio sawa
KUBADILISHANA HAPO MM NAONA NI SAWA TUH SABABU NDOA NI.MAKUBALIANO YA WATU WAWILI MBONA INCH NYINGINE WATU WANAOA DADA ZAO KABSA😃😃
Yaaap. Ni kwrli kiasi flan hv
Wanawake wa viwango vya kimataifa aiseee 🤣🤣🤣🤣
Iyo sio tatizo ila shida ni uyo mwanamke alikua kaolewa tuendelee na story wanawake tunatamaaa
Tatizo yule mwanamke pia haikuwa amri yake ni nguvu za giza
tatizo alishikiwa dawa nguvu za giza shetani ashindwe kwa jina la Yesu
Pamoja na hvyo kuna tamaa
Bakoraa za kimkakatiii 😂😂😂😂😂😂
Mhh mbona naona kila ajali na vifo ni vya kutengenezwa sasa kwenye haya maisha tumtumainie Mungu tu
🙏🙏🙏
kabisa
Wacha tubaki na Mwenyezi Mungu na Yesu Kristo atabaki kua Mwana wa Mungu basi.
Sisemi kwa ubaya ata mimi niko na nguvu mob sana mwanaume ndo anatii, mimi yangu ni natural sijaenda kwa chibalondo nilipewa na Mungu naomba iyo dawa nimpe mtu
🤣🤣😆😆hivo unahitaji bakora za kimkakati😁
Naomba namba yako Jacky Please🙏🙏
Kwa hivyoo unahitaji dawaa ili umpe MTU wakoo,,,,be natural,,,,mpeleke mwenzako na gear ya level Ake then mtaenjoy
@@johnstonemuyelele4353 🤣🤣🤣aki
@@baravuga622 utaweza?
Davistar Leo number 1, nimeshida nikisikiza, part 14 15 16 17, sasa 18
😂😂wee mim wanne sijakuona acga uongo leo j.pili
@@credo7837 mie nimeanzia 15
Am waiting please 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🥺🥺🥺🥺🥺🥺
Shukran sana 🙏🙏🙏
🤔🤔
Mshirika
❤️❤️
😘😘😘😘
Davista "mr.fact"muulize hugo jamaa kuwa hio dawa hata mwenye ugonjwa wa sukari pia bakora ina simama?
Mgonjwa wetu wa sukari unataka nae apige bakora za kimkakati utammaliza 🤣
@@kelvinramson2164 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kijamii sio sawa kabisa . Ita kuwaje shemeji yako kumuoa wakati kakake ndo katangulia kuoa dadako ? Sijui kwa Kabila tofauti tofauti lkn huwa haileti show kabisa .
Bakora za kimkakati au za kishujaa 😂😂😂😂😂😂😂
Njooon wadau
Tumefika 😃
@@somoeawadh7774 karibu 😂
@@credo7837 Asante
@@somoeawadh7774 pamoja
Tupo!!!👍👍
Mwanamke hakomolewi! Ndivyo wanye ukimwi wanavyoambukizwa! Unasaga sana hadi unaondoka nao!
Ile kitu ni mpira! Unajikomoa mwenyewe! Labda mi nipate dawa ya kumchukua demu yoyote nimtakae!
KUNA KITU NMEGUNDUA,😲😲WANAWAKE TAKA TAKA NI WALE WANAOPANIC😁😁😁😁😁
Hao wanawake wanao Panic sio takataka. Takataka ni wale wanaojiuza na wanao paramia wanaume hovyo hizo ndo takataka
😂😂😂😂mzee wa bakora za kimkakati
Hatoautiani na mtu wa misosi 😂😂😂😂😂
Ila davistar mashongo kumbe
Bakora za kimkakati haahaa aisee hyu jamaa ni balaa
Wa kwanza
🤣🤣🤣gari anaacha duuh uchawi noma
Aki Kumbe sazingine sio akili zetu tunafanyiwa mandingo
@@shizaarfred4059 kwel kabisa duuh poleen wadada
@@shizaarfred4059 kumbe wew mdada🤔🤔
@@credo7837 ulijua mm mkaka 😂😂 mm nimdada bwana
@@shizaarfred4059 😂😂 i seee asante kwa kufahamu hilo